ANNA WA JUA KALI AKANUSHA JUA KALI KUISHIWA MVUTO KWA WATAZAMAJI "MABADILIKO"

  Рет қаралды 15,991

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 23
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 6 ай бұрын
Mzuri huyu dada na anajua kuigiza saaaaaaana ❤❤❤❤❤❤🎉ukiona mtu anaigiza na watu wakachukia wanachukulia ni kweli ujue kwamba anajua saana apewe mauwa yake 👸🌹🌹🌹🌹💥
@MaryamSimai-b9f
@MaryamSimai-b9f Ай бұрын
Na kuzungumza pia anajua
@johnmshuta5133
@johnmshuta5133 6 ай бұрын
My favorite actor
@NeemaStephen-oe4ww
@NeemaStephen-oe4ww 6 ай бұрын
Haina mvuto kwa kweli saii tunaangalia kupoteza time tu
@janethdavid510
@janethdavid510 6 ай бұрын
Hatufurahii bhana tunamtaka Maria wetu 😂😂
@RajabuHayyan
@RajabuHayyan 6 ай бұрын
Imeisha mvuto tunaangalia mazoea tu 😅😅😅
@marymauki-iu2ex
@marymauki-iu2ex 6 ай бұрын
kwakweli imeisha mvutoooo
@pendolema2743
@pendolema2743 6 ай бұрын
Imekuwa ndefu sanaa mwisho imekosa.maana😢
@Humanity21216
@Humanity21216 6 ай бұрын
Unadhani basi urefu tu visa vinakosa mvuto na uhalisia mbona huba ndefu saana but wanajitahidi kutuvutia​@@pendolema2743
@LatifaNamkumba
@LatifaNamkumba 2 ай бұрын
Usijitete Anna juakar imepoteza mvuto sikuizi sio mzr
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@LoretteM-xb9ls
@LoretteM-xb9ls 6 ай бұрын
Mvuto haupo dear sisi ndio watazamaji😂😂😂
@deborachambulila6631
@deborachambulila6631 6 ай бұрын
Ila saizi hatutaki kumpa maumivu diba inatosha sana umemuliza sanaa😢
@ramadhaniilali6114
@ramadhaniilali6114 6 ай бұрын
Samia lazma afanye kitu kama ico maana amegundua wasani ni macawa wake ambao wana support ujinga wote anao ufanye sisi wanainchi kunyanyasika nyie amuaoni daaa😢
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 6 ай бұрын
Eti ukimtizama huu upande wa pili pia haeleweki sio😂😂😂
@arafatahir5848
@arafatahir5848 6 ай бұрын
sanaa Anna mwenyew haelewek scene zakee
@ElizabethGideon-bo9tn
@ElizabethGideon-bo9tn Ай бұрын
Aaaa subutu bdo ipo poa sana ila ukikosekana Anna mie siangalii kbsa
@nadalaboubacar2356
@nadalaboubacar2356 6 ай бұрын
Uyu demu hajui kutangaza na hana muonekano hata ana force sana
@elvira9325
@elvira9325 6 ай бұрын
Yup sasa ana au yule w refresh
@MwanaHussein-s2n
@MwanaHussein-s2n 6 ай бұрын
Haina mvutoo😂😂😂 tena wewe Ana majnunii ndo unazidi kuivuruga😂
@silvesterrichard7440
@silvesterrichard7440 6 ай бұрын
Haina mvutoooo imechacha
@Maymuna-wc8lz
@Maymuna-wc8lz 6 ай бұрын
Wewe Mwenywe Hujui Unataka Nini na Wifi yko Maria
@BarakaChiuyo
@BarakaChiuyo 6 ай бұрын
Kama wameishiwa matrilioni wasema tuwasaidie
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
🔴#LIVE:MASHAMSHAM  NDANI YA WASAFI FM - 23/1/2025
1:25:00
Wasafi Media
Рет қаралды 2,6 М.
KADANGANYA
10:21
Joti TV
Рет қаралды 467 М.