Kwakweli nimefurahi kusikia Kuna 10days za watoto kashinda. Mimi nilianza jumatatu 13/01/2025 maombi ya watoto na sikujua Kama Kuna program hii mbele yetu kwani Nina siku tatu sijaweza kuingia online. Asante kwa MUNGU wa Upendo
@judithshoo86464 күн бұрын
Yaniii mwenyew nilipata sauti ya kurudia maombi ya mwaka jana ya watoto... Na jana nilianza lkn walipotangaza uku nikastop nianze kwanza haya kisha nikimaliza nianze yalee
@EmmyShirima-jl7kj3 күн бұрын
Watumishi hivi vitabu mmeandika wenyewe vyote?? Hakika huu ni Ukuu wa Mungu🙏