The truth is bitter for those walking in flesh. Mungu akubariki sana kwa kusimama na ukweli na kuisema bila uwoga. We all be judged in the end but its all love when you correct a brother in Christ
@hellenkathambi86944 ай бұрын
Wisdom Sir. May God grace be upon you abundantly
@JeanIshara-qe6dp4 ай бұрын
Umeonya vizuri
@Johnmbuguajn5 ай бұрын
Oh Pastor Munish mungu kweli amekupa hekima sana. Umemweleza ukweli ingawa haabiliki lakini ataupata ujumbe. Kumbe kila ugonjwa iko na dawa. Alipokuja marekani nilikataa kuhudhulia ibada zake kwa kua Roho ilikataa. Numefurahi sana sana. Iwapo atakutusi usijari tumeskia wote
@thomaswilsonrotich64675 ай бұрын
Umenena ukweli kabisa brother Munishi!
@VeveDayud5 ай бұрын
amen
@zachariamakoba83685 ай бұрын
Nimeipenda xn hii 😂😂huu ni upendo mkubwa xn kwa aposter nga'ng'a hakika munishi wewe ni mtumishi mwenye hekima kubwa Mungu awape hekima kubwa mzidi kupendana xn mnapoona mwenzio anaenda kupotoka mnaludishana njiani Bwana awe ngao yenu na ng'ang'a asichukie kwa maonyo haya mazuri
@purity1345 ай бұрын
Wisdom
@ramseyngwejela4995 ай бұрын
Kila ushauri wa bure haijalishi una busara na hekima ya kiasi gani, kuupokea huwa majaliwa ya Mungu mwenyewe kukuwezesha kupokea, lakini si jambo rahisi.
@tigermose64915 ай бұрын
Wamerudishwa mzee 😂😂😂😂enyewe uko na Hekima ya bwana
@kristophalex76644 ай бұрын
Ushauri mzuri sana but uwezi risha adui wako woe mwenyewe uri tusi mtu na kabira rake rote kwasaba ameimba wimbo wako mbona woe usifanye ivoo ? but wegine wafanye
@KennedyNgusa4 ай бұрын
Bosi ,mbona sim unayo ,munishi mpigie sim ,nimejifunza Mambo ya kiloho kwako ,inakuwaje ,tena ?
@DeusdeditMichael4 ай бұрын
Kwani hiyo Ng"ang"a alisema kwa simu au hadharani?
@hellenkathambi86944 ай бұрын
sasa wengine wamerudi atasema nini?
@marykanyi49534 ай бұрын
Mshauli huyo Nganga mambo ya matusi na kutumia lugha Baya anamhaibisha Christ.Hakuna mtume wa ukweli angependa kuitanishwa na huyo Mtu.
@johnicigo40615 ай бұрын
Mwambie tusaidie huyu commander alikuwa ametushinda
@KimanziDennis5 ай бұрын
Wew ni WA wap wachana na apostle!!
@christopherkatuta25735 ай бұрын
Munishi wapi madhabau yako Kenya?... achana na commander,aty babako wa kiroho?