ASANTENI WOTE KWA SUPPORT YENU NAOMBA USISAHAU KUSHARE 🙏🙏🙏
@ClovisDusabe-xl7mv8 ай бұрын
I like your own style kutoka Burundi🇧🇮🇧🇮🌺🎯🎉🎉🎉your sound kill me all days❤❤❤
@appytz8 ай бұрын
@@ClovisDusabe-xl7mv Thank you so much truly appreciate your support
@NjokiNyawira-d9d8 ай бұрын
Love you 💞 your voice
@lwanzonarcisse8 ай бұрын
Bi Appy una niuwanga sana kwa nyimbo zako Tena sana kabisa Mziki wako una ni fanya Crazy You are my super music lover I swear
@NeemaJuma-xn9nw8 ай бұрын
Kushare nini mamaaa?
@essaumachibula90128 ай бұрын
Kalamu yako ni nzuri sana mdogo wangu naomba wino usiishie please!, kichwa chako kina madini mengi mno, hiyo sauti yako sasa itoshe kusema kipaji unacho. keep it burning aseee......
@TAWAKKALREPAIRS14 күн бұрын
suleiman from kenya aky hiyo sauti weeuuh nyimbo zako poaw sana na ubaki hivohivo🥰🥰🥰🥰🥰
@MagidaFafa7 ай бұрын
Wasani wanafki sana uyu demu anakipaji sana ila kwenye tamasha nyingi aitwi apewi kolabo ila kwanguvu yamungu anatobowa kwakweli sotalended iki nizaidi yakipaji siyo kwasauti iyo bonge lamsani axe ongera dada unajua mpaka unakera🔥🔥🔥🔥
Tunataka goma moja la kibabe la kucheza,,yani romantic dancing,,,ninauwakika utapata dancing challenges za kutosha...iyo ni idea mpya tuu,tunatamani kukuona unatikisa hadi kwenye dancing songs, listening songs and emotional songs....I love you appy mm ni shabik yako namba 1❤❤❤
@appytz8 ай бұрын
❤❤❤
@KAIYAN_STAR8 ай бұрын
Kazi nzuri Ila ubadilike utuletee Nyimbo za furaha pia 😊
@appytz8 ай бұрын
🤔🤔🤔
@frankjames90318 ай бұрын
@@appytz Hapana keep it up, be different from the rest, ujumbe huu ni maalum kwa watu wengi wasiojua hatma yao katika mahusiano ... ni wengin sana. ubarikiwe
@shyneafya8 ай бұрын
Yan ni unajua Sanaa APPY VOCALIST IKO JUU SANA NA UNA IDEA TOFAUTI SANA CONGRATULATIONS TO YOU MADAM
@Dartich7 ай бұрын
Pure class. U hold yourself with such dignity & grace...simply stunning elegance of your vocals & perfect production💯👏🏼👏🏼👏🏼 Becka...Real Definition Music 🎶 🇬🇧
@challychaimah51238 ай бұрын
You made it always tangu nianze kusikiliza mziki wako kiukweli unajua sana hii game ni yako una kila kitu nakuona mbali zaidi ktk mziki wako
@tinochami52962 ай бұрын
Ngoja hivi huyu dem ana ngoma Mbovu hata Moja????? Asee sio poa my mind is blownig up
@hanceironfurnitureog62526 ай бұрын
Nasfi,sikio na moyo,vinapokea saut nzur toka kwako,nakubal kazi zako asee
Mpendwa wangu niamɓe shoo unafanyia wapi nakuelewa sana dada wa shoka
@yohanacharles8728 ай бұрын
Tunakupenda sana unajua sanaaa happy Tz🇹🇿🇹🇿
@appytz8 ай бұрын
❤❤❤
@AmazingWars8 ай бұрын
naomba wimbo usikatwe ila aingie kontawa au stamina atutetee sisi wanaume kwa nini huwa inatokea hivi.. ila ni bonge la nyimbo, kali kuliko zote nilizosikia. melody kali
@irankundafalidajolie54998 ай бұрын
Ila Maa unasauti kabisa we number 1🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏👏👏👏👌👌👌👌👌
@appytz8 ай бұрын
🙏🙏🙏
@praygodsamwel44128 ай бұрын
I really appreciate uuu appy...umeshawavuka hao wakina nandi,wewe ni Star ⭐ nyimbo zako zinaelimisha sanaaaa, keep going Mom 🎉🎉🎉
@amosdesdery84828 ай бұрын
Appy unajua mpaka Basi Ani haichoki kusikiliza played it more than 20times before I had to download it waoooooooh......big message in a simple relaxed presentation .....big up 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 love you much Appytz
@EdwinAthanas-yj7my8 ай бұрын
Kipaji kizuri pambana we ni mwimbaji mzuri Mungu akupe ujasiri tele
@appytz8 ай бұрын
🙏🙏🙏
@JosephIsanzu-g1r8 ай бұрын
Speechless,may God bless appy for a gud music take your 🎉🎉🎉🎉
@alexmahenge94088 ай бұрын
Style yako ya kuchana inanikosha sana Appy
@gajalugano68088 ай бұрын
We mchuchu ni nomaa Sana we level zingine sema support zetu zitakufikisha mbalii Sana your are so talented baby Appy
@jessicarachier68875 ай бұрын
I'm in love with Appy. You have a beautiful voice.... I love every song ❤❤❤
@GloryMalisa-f8m8 ай бұрын
ifike mahali ao wasanii wenzako wajifunze kutoka kwako maana kunamagoma mwanzo mwisho amna cha manaa...big up ..ngoma kali
@appytz8 ай бұрын
🙏🙏🙏
@Boog_p8 ай бұрын
The voice, woow🥰.. love your songs❤ keep it up
@appytz8 ай бұрын
🙏🙏🙏
@hillarykiprotich-uo2ju6 ай бұрын
Big up to all trustworthy ladies wenye wanatuvumilia in hard times, we'll make it
@khaloiyse8 ай бұрын
I really like your voice, am watching your good song from Zambia 🇿🇲🇿🇲
@bivugiremwanaidi7 ай бұрын
Mungu azidi kukupa nguvu sauti yko iko vzri❤
@MadimonsMsera8 ай бұрын
Ntakuoa jpo sin maokoto nakukubali San appy😊😊😊😊🎉🎉🎉🎉
@josephatSwai8 ай бұрын
Nakubali kibaji Atari sana wakupa nafac kidogo wameisha wapi king's musc uyo dada atar vip midia zetu azionii jamani kweli hii Africa ni nomaaa
@innogladson88698 ай бұрын
bado najipanga aisee. ngoma nzuri kiukweli
@lucamartin65848 ай бұрын
Subiri kidogo, just a moment najipanga kwanza nataka nikikuoa niwe na maisha mazuri, nyumba na gari mtt mzuri usiteseke keep on loving me usichoke. I was thinking out loud. Bonge la Song as always unajua unachofanya big up.
@becampayage26438 ай бұрын
🔥🔥 stamina au lunya katika remix hapo kutetea WA kiume
@johnnyone30404 ай бұрын
So much love from Kenya.Never mind your underestimaters,we love you.Keep on winning.
@gandhiblack21105 ай бұрын
Very unique style sauti nzuri wimbo mzuri
@cellestinelucas1658 ай бұрын
wimbo mkali madamu ila hapo sauti ya kiume ingeingia ingekuwa poa sana ❤
@talentshow20247 ай бұрын
Kweli we like the way unapresent uafrika wetu
@THRIVESHINE-rx2gr8 ай бұрын
You are such a unique musician with a lemon-crispy voice fused with a creative and prowess lyrical gesture. Am proud of what is built in East Africa
@browsekidcleymmo8 ай бұрын
Wow..nmechelewa sana but appy you're de best ever ...vibes zijawai ona buana ..Tamu saana
Apparently East Africans we don’t know good music, see, this lady deserves more recognition,attention for she got an incredible talent 😊
@appytz8 ай бұрын
🙏🙏🙏
@sunsol47788 ай бұрын
How bad i want to see her perform live she's a real deal appy tz
@ShafiiMbande8 ай бұрын
Anajua sana, uyu
@bongorecaps35588 ай бұрын
Appy ningekua nimeshaingia kwenye music industry ningekujibu kwa nyimbo ingawa pia naamin nina muandiko mzur kwenye mashairi! Kama mwanaume nilishawahi kuwa kwenye mahusiano na nilijua napendwa sana na nilimpenda pia mpenzi wangu lakin nilishindwa kumuoa wakati yeye anahitaji na nilikua na sababu za msingi ambazo zilinifanya nishindwe kufanya hivyo kwasababu mwanamke anapoanza kuuliza hilo swali kila utakachomuambia anaona kama ni kisingizio na unampango wa kumuacha, sometimes unachohitaj ni kujua hasa mpenzi wako anataka ku achieve nini ili ajionw yuko tayari kwa ndoa kisha msapoti kwenye hilo utaona jinsi unavyoiharakisha ndoa yako.
@Bailimtoaji8 ай бұрын
Appy nakuelewa sana nakuombea uwe mkali zaid
@mdkkomba54038 ай бұрын
Dada uko pouwa Sana mzik unajua kwakweli na aidia unazo 🔥👏👏
@pc_boy4268 ай бұрын
🔥🙌❤🎹 congratulations Sister #Appy
@Innoh_kid8 ай бұрын
Good music 🎵 i like the vocals 🎉
@seur_ke32867 ай бұрын
@Appy you been a motivation since "watu feki" and you were an angel send to me during my hard times of depression I pray to God that he takes you where you want to be Lots 💝 of love from +254
@shabaninayopa-nw9cf8 ай бұрын
Much respect Happy 100% upo vzr
@appytz8 ай бұрын
❤❤❤
@herryleo93145 ай бұрын
grammy is not a dream to you soon you will be there my dear doesnt matter language your soul. is pure music and true feelings.. jackprime
@nicken32508 ай бұрын
Aisee we dadaa...❤❤❤❤💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥
@appytz8 ай бұрын
🙏🙏🙏
@Sharmy_028 ай бұрын
Goooo Appy ❤❤❤
@RamazaniMulongeca3 ай бұрын
CROWN MEDIA IMENIFIKISHA HAPA.. BIG UP “THE THRONE”
@IsdoryJohn-tt8md8 ай бұрын
Uko vizur Sana dada. apy music
@telvinmwore24744 ай бұрын
napenda ngoma zako❤️💯
@Ngurenjoroge8 ай бұрын
What a nice song,... shoutout frm kenya... i love you Tz
@appytz8 ай бұрын
❤❤❤
@schoolshamba8 ай бұрын
SIA wa bongo umetisha
@Kilizon88 ай бұрын
Masikilizia mchongo fulani ukitiki sema nimependa sana kipande cha toka nyakati zile...
@necy_muzik8 ай бұрын
appy eeh asee unajua hadi unakelaaaaa chukua maua yako momy soon mi pia naomba kollabo 🙏🙏
Binafsi nakubali kazi nzuri dada, mungu lakusaidie usibadilike kipaji unacho
@sinklay-roxy8 ай бұрын
Huyu hapa fan kutoka kenya,, Tunakupenda Appy🎉🎉
@appytz8 ай бұрын
Thank you so much💌
@amphotericktanzania88118 ай бұрын
UNIQUE VOCAL,UNIQUE LYRICS NOMA NOMA NOMA
@appytz8 ай бұрын
Thank you so much truly appreciate🙏🙏🙏
@SmilingAstronaut-rr5wh8 ай бұрын
My favorite tz female artists
@appytz8 ай бұрын
🙏🙏🙏
@khalidibero8 ай бұрын
Nitakuoa soon but ukiimba amapiano hakuna ndoa.
@X_tinnah72019 күн бұрын
damn girl ....this is the first time I'm listening to your songs ...you're really talented you're on 🔥 fire... you've just become myfavourite artist 🥹❤️ keep on going lots of love .🌹🌹 here's your flower.
@kenzo-jungle91338 ай бұрын
NICE ONE ❤❤❤❤
@One_5_l8 ай бұрын
nakubali sauti na melody zako
@appytz8 ай бұрын
😍
@RestutaJulius8 ай бұрын
Kiukweli nyimbo zako nazikubali sana
@THE_RAMZYS8 ай бұрын
I'm from Kenya n I personally love you n your work Mungu mbele all will be well dear
@appytz8 ай бұрын
Truly appreciate
@esthermatisho26045 ай бұрын
Waoooo,bila The Junction Show nisinge discovered AppyTz. So talented girl,unique voice and beautiful pia 🔥 kila la kheri 😍
@nathanboy26178 ай бұрын
Mziki wako mzurii sanaa🎉
@appytz8 ай бұрын
😍😍😍
@sixneym10686 ай бұрын
That singing style, hainichoshagi, that's Uniq, in NAMUACHIA MUNGU umekill aisee, am your fan, I love you