KAMA RIZIKI INAPATIKANA KWAAKILI YA MTU BASI NJIWA NA MBUZI WANGALIKUFA NJAA

  Рет қаралды 22,465

arkas online tv

arkas online tv

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@pachawadoto5911
@pachawadoto5911 11 ай бұрын
Subuhanallah...umenifungua moyo wangu shekhe..hakika uzito nilikua nao moyon mwangu woote imeisha juu ya rixiki yangu nnaamin Iko siku nitakutana nayo inshaallah...yaarab nipe naisubiri...
@HadijahShomari-ef8jz
@HadijahShomari-ef8jz 11 ай бұрын
Mashallaah tabarakallaahu naaam allah akupe khei yaaa sheikh
@shadyahamad3724
@shadyahamad3724 11 ай бұрын
Mwenyezi mungu azidi kuku bariki na akupe mwisho mwema akupe shahada kabla ya mauty 🙏🙏🙏
@KhadijaMahamoud-fs2im
@KhadijaMahamoud-fs2im 11 ай бұрын
Mashaallah nashukuru kwa Elimu utupayo ALLAH akijaalia Afya na Siha njema Sheikh wetu. Amiin
@munamuna4288
@munamuna4288 11 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu na uwe nasalama na amani nashkuru kwa ukumbusho shkuran shehe wetu.
@selemanimsabaha7104
@selemanimsabaha7104 11 ай бұрын
Jazaka lwahu khaira shekhe wangu
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 11 ай бұрын
JAZAKA LAKHU KHERI SHEKH OSMAN MAALIM
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 11 ай бұрын
MASHALAH ALLAH AKUPE AFYA NNJEMA RIZIKI WASAA NA MWISHO MWEMA AMIN
@ZamdaAlly-d6n
@ZamdaAlly-d6n 11 ай бұрын
Amini ya allaha
@abdulragmababdulsalam5107
@abdulragmababdulsalam5107 11 ай бұрын
Mashaallah shukran ❤❤❤
@zhshsh-us8tf
@zhshsh-us8tf 11 ай бұрын
Jazakala heri kwa elimu unayo tufundisha je mume wangu amewacha uislam akwa mashia je hukumu ya mtu kama huyo ninini
@zhshsh-us8tf
@zhshsh-us8tf 11 ай бұрын
Sheikh naomba jibu
@AbdullyHemedi
@AbdullyHemedi 11 ай бұрын
Mashaa"""allaah
@muhinanjowa7229
@muhinanjowa7229 11 ай бұрын
Subhanna,na kaka viumbe wote wa Mwenyezi Mungu hakuna alie na akili isipokuwa ss watu ila😢😢😢msiba mkubwa Wallahi,Allah atuongoze Yarab 🤲
@ShekheMsela
@ShekheMsela 11 ай бұрын
Shukrani kwa ukumbusho shekhe
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 11 ай бұрын
ما شاء الله 🇰🇪💚
@FadhiliMsigwa-g7q
@FadhiliMsigwa-g7q 11 ай бұрын
Asalaam alaykum kweli Allah ana turuzuku.
@mansurmomade9686
@mansurmomade9686 11 ай бұрын
Amém ya sheikh
@AliAchimoAchimo-c5j
@AliAchimoAchimo-c5j 11 ай бұрын
Assalamo alaykum warahmaturallah wabarakatuh
@imaculee1758
@imaculee1758 11 ай бұрын
Amina
@allanjumaa2921
@allanjumaa2921 Ай бұрын
mashallah
@vannymakata694
@vannymakata694 11 ай бұрын
Asslam alaikum warahmaturallah wabarakatuh hukumu yamutu asiye Sali ninini?
@ismailmustafa115
@ismailmustafa115 11 ай бұрын
Kafr
@AbdullyHemedi
@AbdullyHemedi 11 ай бұрын
Anajua Allah pekeyake
@ismailmustafa115
@ismailmustafa115 11 ай бұрын
Praise be to Allah. Imaam Ahmad said that the one who does not pray because of laziness is a kaafir. This is the more correct view and is that indicated by the evidence of the Book of Allah and the Sunnah of His Messenger, and by the words of the Salaf and the proper understanding. (Al-Sharh al-Mumti’ ‘ala Zaad al-Mustanqi’, 2/26). This is a reference from the Ayat in surah TAWBAH 9-11
@zhshsh-us8tf
@zhshsh-us8tf 11 ай бұрын
Salamu waleikumu sheikh Malimu mbona sijaona jibu la mine wangu kuwa mashia
@ShekheMsela
@ShekheMsela 11 ай бұрын
Shukrani kwa ukumbusho shekhe
HII NDIO NJIA NYEPESI YA KUPATA PEPO YA ALLAH // SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:00:55
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
035 1 OTHMAN MAALIM   NABII MUSA NA FIRAUNI 3
1:00:51
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 184 М.
QISA: IBLIS ALIPOMKERA NABII ISSA AS
1:03:46
Riyadh Tv Online Znz
Рет қаралды 114 М.
Gonjwa Hatari Duniani la HUSDA Sh. Rusaganya
22:42
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 13 М.
JEE JIRANI YAKO NI MWEMA ?// SHEIKH OTHMAN MAALIM
56:30
arkas online tv
Рет қаралды 4 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН