Huyu shekhe namkubali saana. Napenda saana mihadhara yake. Namuomba ALLAH akupe umri mrefu wenye uzima na afya tele.❤
@mwanakheirahmada20318 ай бұрын
Aaamin aaamin
@mohammedkidody56182 ай бұрын
Amin inshallah🙏
@KhamisiJuma-q8p3 ай бұрын
Hakika uwislam nidini ya allah ukweli utabaki kua palepale sheikh othuman allah akujalie umri mrefu uendelee kutupatia mawaidha allah akujalie inshallah
Allah atupe mwisho mwema sote sheikh and all Muslim ya Allah❤❤❤
@umfahad26092 ай бұрын
Allahuma ameen 🤲💕
@RazakuKipara24 күн бұрын
Mashaallah allah HAKIKA Allah,ana mawakala wake hap duniani, allah akupe taji lako litimie HAKIKA wew n MWENYE hekima
@ShukurkollAngel6 ай бұрын
Mawaidha mazuri na muhimu sana, Alhamdulillah. Ahsante sana Sheikh wetu.
@broumaiyyah80188 ай бұрын
Barakallahu fiikii
@kofondebocha1768 ай бұрын
Masha Allah numuomba Allah akuhifadi ndugu
@SalehMussa-s3i6 күн бұрын
Mashaallah jazaka allah ❤️ kheri
@MohamedYusufu-kg6fc6 ай бұрын
Sheigh Othman namuomba Allah azidi kukupa maono thabit,, unatupoza nyoyozetu sheigh Othman alhamdulillah Allah akulipe othman
@SalimAli-h3t3 ай бұрын
MashaAllah,sheikh wetu anajitahidi bali kazi iwe zaid kwetu kuyatekeleza.InshaAllah Allah atatauwafiki.
@AllyRamadhani-yf4vr8 ай бұрын
جزاك الله خيرا
@suleymanpongwa45888 ай бұрын
Wewe sheikh Othman maalim ni professor ktk hii dini yetu tukufu kwani mtu muhimu sana Allah azidi kukujaza iliimu ili nasi tufaidike na hiki kipaji chako wabillah wataufiq
@sabihakhamis83098 ай бұрын
❤💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖
@twaibumikidadi73778 ай бұрын
Ohh mashallah İla tumuombee atıjibiee UHALALİ WA MULİDI mbona hawajibu maprofessors ????😅😅😅 Au ni MİLA TU?? Na kama hayana DALİLİ! kwanin Professor anafanya vitu havipoo?????😮😮😮 kweli atakuwa profesor kweli???
@lidyamrema70918 ай бұрын
,p 00@@twaibumikidadi7377
@mohammedkidody56182 ай бұрын
@@twaibumikidadi7377unakijuwa unachokiongea
@mohammedkidody56182 ай бұрын
Mashallah Allah akupe umri mrefu sheikh wetu🙏
@SUYUZOjr8 ай бұрын
Shukuran kwa elimu kubwa shekhe othman ❤❤❤❤
@golzaryashraf58662 ай бұрын
MashaAllah kiss kizuri sana..Jazzaka Laah L kheir
@abusuheyba8 ай бұрын
Masha allah
@BarakatChomba8 ай бұрын
Alhamdulilahi
@aminaabdulghanim82564 ай бұрын
Mafunzo muhimu waislamu tujifunze uchoyo sio mzuri.
@ShabanMohamed-e9l19 күн бұрын
Kuna watu Wana ukosea uisilam Kwa kuji fanya wemesomea sijui vyuo vikuu sijui wapi wapi huko kazi Yao kuwa tukana mashekhe Hawa na kutengeneza faraka katika dini Kwa kisingizio Cha bidaa mwenyezi mungu. Azikunjue nyoyo zao waache upuuzi