Raha niaje ukiona ni comment nyingi ujuwe ni moto wa kuotea mbali hahahahah mmmm oooo 💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@alangabyose23843 жыл бұрын
Kitu kinzuri kipo njiani kweli nawa penda bure rafiki zangu
@chamtvonline90583 жыл бұрын
Mubarikiwe sana watu wangu wanguvu 🙏🙌🙌🔥🔥🔥
@Samir200053 жыл бұрын
Dogo umeitendea haki hile sehemu kabisa l love that ❤️
@kuhanikweli36153 жыл бұрын
Vijana wenye maono
@gbopro54243 жыл бұрын
Mungu awabariki sana vijana wa Mungu ...
@amisaselemani13 жыл бұрын
Búpe Eeh ♥️🔥🔥🔥
@allyibulahimuofficial3 жыл бұрын
Mbarikiwe sana wana wa mungu🙏🏾
@saramlamba39673 жыл бұрын
Amina 🙏🏾
@germainmwanuke5693 жыл бұрын
Inapendeza sana 🥰🥰
@julita99173 жыл бұрын
Mnaimba vizuri sana kwa nini na ninyi msiende jiandikisha kwenye PRAISE HIM YA HAPA MAREKANI?? 😜🙏🙏
@isaackkimpanga38833 жыл бұрын
Nahikubali sana kazi yenu Mungu ahendelee kuwafanikisha ktk uhimbaji wenu 🙏
@Godfrey1234-j6b3 жыл бұрын
Je valide. 🤗🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Mungu awazidishie zaidi ndugu zangu wa Armée Celeste Band.
@adolfkaskile53943 жыл бұрын
Amena sana kabisa
@Jbpronashville3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥big sanaa hii🙌
@tiktokvds50923 жыл бұрын
Hahaha mtaniuwa namaraha mungu awape nguvu awazidishie awasaidie sikuzote za maisha yenu katika kristo
@faibeahadi99703 жыл бұрын
Aaaaaaah jamani pata kitu toka Armee Celeste Bende niwape nini miyeeee nawapenda sanaaa 🔥🔥❤❤🙏🙏💪💪😍😍🔥🔥
@tiktokvds50923 жыл бұрын
❤❤❤⚘⚘⚘⚘🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥🔥🤩🤩🤩
@ungwaalulea58383 жыл бұрын
Band yetu on fire namungu awabariki 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@matayo____45843 жыл бұрын
Let’s play “the waiting game” 😁😁😁😁
@isaackkimpanga38833 жыл бұрын
U are waiting for the game 😅😂
@amisaselemani13 жыл бұрын
Masauti ziko bien adi kerooooo 🔥❣️🥰‼️‼️‼️‼️
@selatiba12023 жыл бұрын
Awwwwh MUNGU WANGU NANI ALIYE WAPA UJUZI WAKUTUNGA NYIMBO NZURI KAMA HIZI JAMANI ... UTUNZI WAKISASA NA MELODIES ZA KISASA KWELI.... yaani nyimbo zenu zote zina mafunzo mazuri sana tena sana.... yaani mnajua kuimba, kutunga watumaji wote wako sawa .... ila mtumaji wa kwanza achangamki bwana uyo dada vipi .. ila inabariki sana kwa kweli 😍😍
@marthaesube69003 жыл бұрын
Mungu azidi kuwapa nguvu 💪🏾💪🏾💪🏾
@loramzaliwa18903 жыл бұрын
Wimbo umeanza vizuri mumeuaribu na dance zenu zisizo mtaja mungu 😟
@ibongeitabelo75553 жыл бұрын
Mubarikiwe sana
@JennyOmary10303 жыл бұрын
Amen 🙏 jamani
@sistajoy13 жыл бұрын
Ina bariki moyo🥰🙏🙌... Mungu awabariki kwa kazi njema!
Mubarikiwe sana mungu awatiye nguvu sana kabisa nawapenda sana vijana wa yesu 🥰😍🥰🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤝🤝
@amisaselemani13 жыл бұрын
Weee 🖇💯😍 mda waku wait tuh.
@Iam.dato83 жыл бұрын
Mubarikiwe!!!!!!!❤️🥺
@HusseinKumbwa3 жыл бұрын
Nawapa 100% Mungu awabariki
@shayolee80393 жыл бұрын
Mbarikiwee sana ❤️❤️🙏🏿
@ab200gaming53 жыл бұрын
Bang is on fire 🔥 😳
@neemalambert75363 жыл бұрын
Wow mungu awabariki🙏🙏
@tiktokvds50923 жыл бұрын
Mbona wimbo aujakifu hatari naukiona aujakifu ujuwe ni full burudani full raha kwani ninani aliwafundisha kuimba ❤❤❤ mtaniuwa mtuanaweza kujikata kidole jamani
@mwavitaosewa28683 жыл бұрын
Mnakuga nanibariki sana kweli ... i wish ningekua naimba na ninyi ila duuuh fire sana 🔥🔥🔥
@mkmoses27243 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥lazima kazi yamungu isonge mbele...👉🙋🏃🏃🙏🙏
@nyassaetulo74643 жыл бұрын
Mubarikiwe sana 🙏🙏🥰🥰
@etoalulea5463 жыл бұрын
Amen mungu awabariki
@andrebz26453 жыл бұрын
Bang on fire 🔥
@UlimwenguMilenga3 жыл бұрын
Angereni sana, Na liwe fundisho kwa wanao imba na wanavalia watu nusu uchi, mpate kuwa mfano wa kuigwa, kondi wa kwaya ivi anitafute Ulimwengu Milenga nda jina langu la Facebook
3 жыл бұрын
Asante baba
@Samwelitvnc3 жыл бұрын
Wow I love this song ( Aimeeee)
@bisengobubasha3 жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@andree34813 жыл бұрын
Kali
@rajahiv97233 жыл бұрын
Kizazi kipya 🙌🏾
@marthaesube69003 жыл бұрын
God bless you guys
@bilofirepro96373 жыл бұрын
Kweli kazi ya Mungu mnaifanya kwa haki na kweli Mungu awabariki sana mzidi kumwimbia Naupenda sana uhu wimbo 🥰🥰😍
3 жыл бұрын
Asant sana 🙏
@lajoieinnocent77813 жыл бұрын
Mubarikiwe sana ndugu zanguni. I’m in ❤️ with this song
@eliahngarama61933 жыл бұрын
Jamani Mungu awanariki kweli tuache dhambi jamani bado kitambo kidogo Yesu anakuja atukute tuko tayari kumpokea jama vijana wa Yesu nyimbo zenu nitazipataje
3 жыл бұрын
Ukiitaji kuzipata nyimbo zetu unaweza kujiunga kwenye channel yetu ili uwe wa kwanza kuzipata au wasiliana nasi kwa ihi number ya sim whatsapp# +16155866002 au +16154309082
@eliahngarama61933 жыл бұрын
Haya watumishi nitakuja kupiga cm kwa namba hiyo kwakweli mnabariki sana
@bikyeombeetulo43683 жыл бұрын
🔥🔥☄️🙌👏🙏❤️👈
@berthahelenprincess7493 жыл бұрын
Amen🔥🔥🔥🔥
@officialedatunza90243 жыл бұрын
Amena mbarikiwe na mungu watu wangu waguvu ❣❣❣
@hassandavis25583 жыл бұрын
Armeé celeste band on fire 🔥 proud of you guys 🙏🙏🙏🙏🤝🤝🤝
Amen god blessed you so much guys l love you🔥🔥🔥🔥🔥👌👌👌👌🙏🙏🙏
@voiceofgod81113 жыл бұрын
Mubarikiwe sana vijana wa yesu kristo 😍😍🔥🔥🔥🤣❤️🎤🎤🎤🎤🎤🎸🎸
@ElizabethDorcas3 жыл бұрын
Amena❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@elizaselemani72183 жыл бұрын
Mubarikiwe
@specialvijanatv88103 жыл бұрын
Kazi Mzuri sanaa
@julietteniyokwizigira53393 жыл бұрын
Amen 👏🏾👏🏾👏🏾
@bezalelipelo1923 жыл бұрын
Beautiful 😍....
@yobakitulomakalu84183 жыл бұрын
Amen
@itsmeg67483 жыл бұрын
Amen 😍😍✅god blesss!!
@mkmoses27243 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥mungu ni muweza siku zt. Mubarikiwe sn wana wa mungu. N1.
@officialafricancomedycomed74963 жыл бұрын
Wow moto 😍🥰
@jeanasumanimt54213 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏 amen
@marthaesube69003 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@mussathomas67373 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Ongeza bidii utafanikiwa wimbo mzuri kweli
3 жыл бұрын
Amen kweli 🙏🙏💪🏼
@Blackgk99_3 жыл бұрын
Keep it up
@frerejarinelbamanga3 жыл бұрын
God bless Armée Celeste band good job brother Jarinel bamanga from Dallas Texas
@ab200gaming53 жыл бұрын
It's LIT!!!!!!!!
@henrimateso6723 жыл бұрын
Mubarikiwe sana watu wangu wanguvu
@joseline48663 жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN!!!🙏🏾🙏🏾I love it! This song has been on replay all day. I am in love, I had to subscribe! You guys sang this song so beautifully 🥰😍😍🎶 God bless you guys! Can’t wait for more.
@ab200gaming53 жыл бұрын
💥💥💥💥💥💥💥💥🥰
@CarolineAkinyi3 жыл бұрын
Powerful
@ebasombamlondani82443 жыл бұрын
Mungu Barolo❤️💕💕👍🙏🙏🙏🙏🙏
@playboyjules5873 жыл бұрын
May God bless y’all 🔥🔥🔥🔥‼️
@fatumasimbi69173 жыл бұрын
Amen 💖💞
@charitekatoelishah94663 жыл бұрын
Nice song . Keep it up 👍
@mariamkz65753 жыл бұрын
Mibarikiwe 🥵🤍🙏
@alexmlinda93993 жыл бұрын
Good song
@voiceofgod81113 жыл бұрын
Sishibagi kusikiliza ngoma kali kama hii jamani baraka tele 🔥🔥🔥