Рет қаралды 62,116
Shuna's Kitchen👉 • Vileja vya mchele vita...
Farhat Yummy👉 • Jinsi Ya Kutengeneza V...
Mahitaji kwa vileja 14-16
Unga wa ngano kikombe 1
Unga wa corn starch/corn flour nusu 1/2 kikombe
Siagi nusu 1/2 kikombe
Sukari ya unga ( icing sugar ) robo 1/4 kikombe
Chumvi kipunje
Vanilla nusu kijiko cha chai
Hiliki ya unga robo 1/4 cha chai ( kama utapenda)
Kwa vileja 30-40
Unga wa ngano kikombe 1 na 1/2
Unga wa corn starch kikombe 1
Siagi kikombe 1
Sukari ya unga 1/2 kikombe
Chumvi 1/4 kjk cha chai
Vanilla kjk 1 cha chai
Aroma of Zanzibar social media
/ fathiya.ismail
/ aromaofzanzibar
Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas www.youtube.co...
Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
www.instagram....
Music courtesy / contemplative-middle-e...
This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world