It’s the pisi kali for me😂😂😂 watu wanacheat hawana habari uwe pisi kali uwe pisi mbovu heartbreak lazima uipate🙌🏻🇹🇿
@catherinewanjiku-d1m3 ай бұрын
😅😅😅
@Asha-yn4bu3 ай бұрын
😂😅hapo sasa
@beatricejoseph27842 ай бұрын
Na hiyo ndio bongo nyoso 😂
@Asha-yn4bu2 ай бұрын
@@beatricejoseph2784 ndiyo hapo sasa
@cynthianoanezz94513 ай бұрын
Wakwanza like zangu team strong ahahha
@Humblejoker2543 ай бұрын
Security wa pluto wanaenjoy hawana kazi uko Tz kama kenya😂😂😂
@SaumuNasenya3 ай бұрын
😂😂😂😂walai
@Asha-yn4bu3 ай бұрын
Love this 😂😂😂😂😅mwizi kashikwa
@AgriPinah-rs8st3 ай бұрын
That feeling nikisikia it's your boy thee pluto ndani ya thee pluto show.daaah
@irenewile3 ай бұрын
Mungu akusaidie huko Arusha wasikuvunje,, sisi wa kilimanjaro na Arusha tunahasira za karibu,bangi yetu imetoka loliondo
@witnessroby12233 ай бұрын
Ongea wewe dada😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅🎉
@joanchepkemboi16852 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@gileadkatana71723 ай бұрын
Kaka mi naomba tuishie apo 😂🔥🔥 , hits hard
@AlexAlexander-v1z3 ай бұрын
Pluto 😂😂umeamua kujaribu relationship adi za Tanzania 😂😂
@daudiramadhani85472 ай бұрын
Husna anaoneka a hana mambo mengi sema kajichanganya kwa mshkaji ambaye anapenda sana chini,,,, Husna stay focused tafuta wana ambao wapo focused, wapo take time huyo atakupa magonjwa na hamuendani
@sophiahmedza9293 ай бұрын
😂😂😂😂😂jamani jamani jamani simjui got me on the floor.umelikoroga linywe Pluto 😂😂
@technicalanalysis81243 ай бұрын
Mbona husna kama vile mzuri,🫶 mrembo kweli,, much love from kenya
@patrickgitau9912Ай бұрын
Pluto! Joy ni nani butcher man mimi simjui😂😂😂 what the hell watanzania wajanja kweli 🤸🤸🤸
@katamukamamake87673 ай бұрын
Pluto Come kenya kwenye mtu anacheat halafu unasikia sichacheat 😂😂😂😂😂beb i can explain 😂😂😂😂😂😂😂😂
@cahmillie24893 ай бұрын
hili ni janga ... lapita. swahili doesn't sound like they are breaking up, they are so romantic. brasa naomba unisaidie .... she is a pretty lady
@emmydiana18572 ай бұрын
😂
@Zaza-bt1hx2 ай бұрын
Pluto is really speaking good tz Swahili 😂😂😂😂😂😂
@AlaineKariuki3 ай бұрын
Jamani wakenya wenzangu,hamuoni kma huyu kijana ni kichaaaa😂😂😂😂😂wa tz bdo wapendana kwa dhati 😢😅kenya kama huna mathao anguka nayo💔😂😂😂
@SabrinAbdinoor2 ай бұрын
😂😂😂😂
@EmilykuvunaKonzi2 ай бұрын
Uyu jamaa akitaka warudiane aachane na umalaya
@dianangethe78393 ай бұрын
Pluto, nangoja ufungue kile chuo cha urembo na ususi unipe kazi jameni, mimi ni fan wako kutoka kitambo
@rashidkishk87263 ай бұрын
Dem anampenda jamaa, angekua hamtaki angeshaondoka
@BahatiSego2 ай бұрын
Watanzania tumepatikina 😂😂😂 tuambie joy ni nani
@mowawajowangu82163 ай бұрын
Loyalty test ya Tz Iko top😂 bring more please 😅
@StephenNganga-nq2me3 ай бұрын
Mimi simjui joy..pluto we ndio umasave joy😂😂nisamee
Pluto, After Sanitizing Them, Be Advising The Couples To Accept That They Made Mistakes To Their Opponent And Should Apologize, Not Denying The Mistake.
@zanlee-r9r3 ай бұрын
naonanga hii wall naona tuko pande za witeithie🤣🤣🤣🤣
@Toyride3 ай бұрын
😂😂😂
@Asha-yn4bu3 ай бұрын
Nisamehe ka kuma imekuletea zote😅
@zanlee-r9r3 ай бұрын
@@Asha-yn4bu yoh😅😅😅siunipitie
@zanlee-r9r3 ай бұрын
@@Toyride nipitie
@wbritneyanne153 ай бұрын
@@Asha-yn4bu😂😂😂😂😂
@gileadkatana71723 ай бұрын
These tanzania episodes look like high school skits 🔥😂
@Asha-yn4bu3 ай бұрын
We tuache sio wote
@erickmalindi46523 ай бұрын
Jamaa "hadi tumefikia huko😂" " nisaidie brother 😅" kimeumana hapo
@gileadkatana71723 ай бұрын
When he said hili ni janga 😂😭😭 , yooow
@EstaDaffi-wg5cr2 ай бұрын
Dada anakazi kaka mwenyewe ni Kam kina ndarooo hayuko romantic 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tunakufwatilia tukiwa Oman uwarabun tunafurahia shoo yako
@CkayCenty3 ай бұрын
Pluto youre doing good work brother 🥰🥰❣️
@10minutesman-x92 ай бұрын
"Kaka mi naomba tuoshie apa"😂😂
@charlesnamai3 ай бұрын
Pluto umejikaza kwa kiswahili.🤣🤣 #anguka nayo
@snowaudielizzy88613 ай бұрын
Uje na dar es salaam plz😅
@inviolatawamache26263 ай бұрын
naomba ufuate mambo yako got me off guard🤣🤣🤣kenya ingekua mangumi tu
@nadiatanzania2 ай бұрын
Tz ich yangu nakupenda sana 😂😂😂😂
@antonyochieng86923 ай бұрын
The same tactic Used in kenya🇰🇪are used in 🇹🇿ety mm simjui simu inatumika na watu wengi
@lydialema87662 ай бұрын
Umelikoroga pluto utakunywa mwenyewe 😂😂😂😂😂😂😂msemo was semaring 😂😂
@caltoto3 ай бұрын
Kenya wanatatua na mangumi na huku Tanzani wanatatua na hutu
@Zaza-bt1hx2 ай бұрын
Naomba😂😂😂😂😂 wa tz are too calm. Come to Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🚩 you will get your medicine 😮
@hamoudcreator63432 ай бұрын
Kiji Husna Kinazini, ndo faida yake...😅
@lydiakagunya62223 ай бұрын
Weeeh Pluto rudi tu kenya we want drama 😅😂
@janeleennjeri78513 ай бұрын
@@lydiakagunya6222 wapole Sana watizedi hawana ma drama😅😅
@Blessed-shiru13 ай бұрын
Walai
@JohnIluka3 ай бұрын
Hawa watu hawajui drama tushazoea vita😂😂Pluto Rudi Kenya bana😅
@EastAfricalive9743 ай бұрын
Maan😂😂😂 we miss drama
@starboywizzy10082 ай бұрын
14 of September last year … watu huchange bana 😂😂
@juliasmaick2 ай бұрын
Eti hadi tukafikia uko 😅😅 ❤frmo 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@mambokambabeast9364Ай бұрын
Joy 🤔 joy simjui , joy joy simjui mm😅😅😅😅
@Asha-yn4bu3 ай бұрын
Hata mimi simjuwi leo utajiuwa upo na Pluto 😂😂😂😂😅
@BrianKabata3 ай бұрын
simjui simjui joy😂 nisamehe 😢bro kuitisha picha...😂😂 nice one
@ericcallie94443 ай бұрын
Bro I like the contect....seems wakenya ndio tunafuruga sana those pple are so cool ...like they look they are used to kuchezwa bana
@WardaWarda-bk8tj3 ай бұрын
Hehehe Tanzania tumefikiwa mungu wangu nisiwahi kutana na pruto nikiwa na beybe sitaki kurud soko
@DebbieOchieng3 ай бұрын
Pruto ndo nani wewe😏
@emmanuelamisi20643 ай бұрын
😂😂😂😂😂eti pruto
@charlottenyamisi65693 ай бұрын
We Mzee..pruto ndio nani😏
@WardaWarda-bk8tj3 ай бұрын
Wazeee kuchapia kupo haya Pluto wakubwa
@DebbieOchieng3 ай бұрын
@@emmanuelamisi2064 😅😅😅
@KhadijaHadija-w5uАй бұрын
😂😂kwakeli hakuna chapekeako sikuizi
@Abeltsubu2 ай бұрын
Pluto I didn't know you were in arusha .maaaan I stay here in njiro pay a visit here in njiro container I have a shop of shoes I'll give you a pair. Shop is located after njiro container called sunami
@kitalansparxs13343 ай бұрын
Kwani hawapigani😂😂...adi kuchuna ama kuuma mtu ni kitu ya kushindwa😂
@NorahGatwiri-co5zq3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂ii ni tabia ya gen z hpa Kenya Hawa nikama hawajui ata kushika mtu mashati pekee 😂😂😂😂😂
@ruthmuigai88563 ай бұрын
Pluto mbona ulikoroga jameni 😂😂
@grantmanase68682 ай бұрын
Boys wa Tanzania banaaa eh. 😂😂😂 Waschana wametulia maboys wanakaa confused.
@chaochao67223 ай бұрын
Sijai Cheka leo nmecheka😂😂😂😂😂😂
@DayanaPeter-pd9yf2 ай бұрын
Jamani si Uje uku Leganga Usariver Utu sanitize na Mimi na husband Wangu jamani
@OfficialyourboyMLuckson3 ай бұрын
Dhuuh Siku hizi Pluto ni atari Anakuwa unawatowa watu kazi hadi kwama boyfriend wao😂 Tukimbiliy wapi😂😂
@millygacheru39483 ай бұрын
Pluto ukipata watu kitu ya kwanza wambie wa sucribe
Unampenda kwa dhati huku Kenya tunapendana kwa bao tu yaani kazi ndo mingi
@soundbwoy25483 ай бұрын
Pluto sasa unafeel aje ukivunja relationship za watu😂
@jamesnjiru59283 ай бұрын
Anasafisha relationships.
@AngieRaph-f1y3 ай бұрын
Team pluto mnipitie kwangu please
@AgnesKemuma-wo8lo3 ай бұрын
😂😂😂😂Bado anajataa mm na kuamini kijindume Cha mtu weeeh
@Asha-yn4bu3 ай бұрын
Kimewaka😂😅Pluto leo nikali
@olieberry89053 ай бұрын
😂😂😂kina husna tumefikiwa,
@Pinkyy6163 ай бұрын
Pluto Rudi Kenya tumemiss mangumi za kenya 😅😅😅😅😅
@aishaelias90713 ай бұрын
Ingekua Ni kenya 😂😂😂 mangumi mawe matusi 😂😂😂😂
@officialkoros2 ай бұрын
Huyu mwanaume ni mkora 😅😅😅
@aishahahmeddy92883 ай бұрын
Tz wana heshima yani unapata amesave mtu beb dem bado namuuliza "naomba unieleze nani joy" na hawatoani nguo nakutukanaa.. Kenya wee! Ukiskia tu kuna beb mwingine hapo ni kofi na mangumu na kuvuana nguo hadi viatu... Kenya sihami😂😂😂
@sophiahmedza9293 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mildredpriscah10693 ай бұрын
Pluto leo sielewi caption, pisi ni nini😢😂
@FelixGikunda3 ай бұрын
Pruto niletee nmbr yke uyo mdada 😂😂
@Asha-yn4bu3 ай бұрын
10000later 🏃♂️ 🏃♀️ 🏃♂️ 🏃♀️ tupo wa TZ mimi nipo na umbea
@ianmomanyi33413 ай бұрын
kila jombo naomba naomba,,we kali sana,,pluto nikame na kamoja,,natamni sana kudate mtanzania
@belindalowasa28192 ай бұрын
Eem mimi jamani nisamee mimi😢
@bonifacekyalo39723 ай бұрын
Pluto rudi Kenya drama muimu😂
@volatility_75indextrader613 ай бұрын
Pluto, im from Tz Dar es salaam. Been your Fun for 3 yrs now🔥🔥 welcome
@annarisetarzan65092 ай бұрын
Ni janga Lipite tu 😂😂😂😂😂😂
@bakarijuma86952 ай бұрын
Arusha city ndani ya njiro wasafishe baba wanyooke 😂
@TiAh05563 ай бұрын
Angusha zote pluto😂😢😂😂😅
@DeusdedithalinusMmasi3 ай бұрын
Pluto Tz hakuna ujinga wa Kenya
@treyvissy98542 ай бұрын
Umelikoroga 😂 linywe mwenyew 😂
@DavidDavid-wf5ug2 ай бұрын
Bro cha kujitetea huna umemwaga maji na hayazoleki.ni hatari kuna maradhi
@BentaAnn3 ай бұрын
Pluto nyumbani mbona havaani,SS tunapenda drama
@bethnjeri76443 ай бұрын
Naomba uniambie ukweli😂😂😂
@RamadhanHashim-r6b2 ай бұрын
TZ kuna warembo😂😂🎉
@jessicaasajile12992 ай бұрын
Hili nijanga tu linapita😂😂
@Samwelimagaba2 ай бұрын
Umetuvamia na uku 😂😂😂😂
@stellahwilfred57622 ай бұрын
Ukuje tu tena😂😂
@lil_pres0013 ай бұрын
umeamua tanganyika itanganyike..daah
@joelchege-rr5td3 ай бұрын
nisaidie braza lakini bro ni ww umecheat😂
@AnicetaWaithaka3 ай бұрын
Pluto aai hawa wanaboo Sana
@Asha-yn4bu3 ай бұрын
Oooh jamani jamani nisamehe😅oooh 😂😂😂😂😂
@RuthLateipa3 ай бұрын
Pluto umesema lasima mta hikuwe Safi 😅😅😅
@sharonjoakim57133 ай бұрын
Hahhaha I saw you at aces jana akiii 😂😂
@zainabadam1232 ай бұрын
Kaka mkavu jmn😅😅😅😅😅😅😅
@janeleennjeri78513 ай бұрын
Asubuhi njema wenzangu..siku nyingine hapa pluto amejiandaa kuvunja ndoa ama mahusiona ya wapendanao wueh noma sana😂😂😂😂😂...nipewe likes wadau 😅😂