Mungu anapendeza Kuimbwa, Anapendeza Kusifu! Mungu anajishughulisha Na Mambo yetu❤❤❤, Atujalie tuishi Maisha safi Ili atukumbuke katika ufalme wake❤❤❤❤
@jipsonmwallo788711 ай бұрын
Old is Gold nabarikiwa sana Hawa watu
@stacyfarah7458 Жыл бұрын
Today i just found myself humming this song, finally found it😊
@bethwelyego794121 күн бұрын
So lovely songs .enjoyed days when sayare and bhb were launched..God bless you choir ..
@ElvisKakai7 ай бұрын
For years I have been looking for this song....reminds me of my youthful life
@emmanuelluvai93993 ай бұрын
Hallelujah 🙌. Mbarikiwe sana St James Kaloleni. Master piece kali sana
@rehemafario7079Ай бұрын
Tunakuomba baba tuishi maisha safi ili utukumbuke katika ufalme wako
@JuleKikira4 ай бұрын
Amina, Amina. Na hitaji wimbo usemao Wewe Mungu wetu moja ya nyimbo hizi.
@FidelisKerabu4 ай бұрын
Nautaka pia...
@Mwembeh4 жыл бұрын
Wow what a surpirse. I have been looking for this songs forever. Mungu awabariki sana. I am from Nairobi Kenya na nililelewa na hizi wimbo hasaa hii album pamoja na Shangilieni ya Tumaini Choir. Wow you just brought back all the memories. Mungu awabariki saaaaana
@stanleychepkwony143 жыл бұрын
They so good tz gd bless
@mercyelahuya95222 жыл бұрын
Me too
@derrickkiptoo19189 ай бұрын
This is one one of my all time favorites
@rechomlay54203 жыл бұрын
Napenda nyimbo zenu hadi Leo. Wekeni na ile tazama Elia . mungu awabariki sana
@joycemakori38356 ай бұрын
Ile nyimbo nikiboko hata mimi naitafuta sana
@FidelisKerabu4 ай бұрын
Huu wimbo wanikumbusha mbali sana...😢😢
@mhogomchungu78824 жыл бұрын
Mi naombeni... Tazama eliya, na haya ni maono.... Mbarikiwe Sana
@mbijesamson2673 жыл бұрын
Mwenyewe nimezitafuta sana hizi nyimbo
@joycemakori38356 ай бұрын
Na mimi pia
@catemuthoni7634 жыл бұрын
My favourite gospel track since I was 14 listening from dubai
@hellenondego54872 жыл бұрын
I have been looking for this song and boom today I got it..can't get enough of this album furaha gani
@emmanuelluvai93992 ай бұрын
Good work St James 👏
@BernardOnguti16 күн бұрын
Nasipenda hisi nyimbo ,yenye sichapata saulo mbona wanitesa
@webingogo36334 жыл бұрын
This song always makes me repeat it four times to be satisfied:
@neemajulius8017 Жыл бұрын
Nyimbo za zamani ziko na upako sana!izi nyimbo tang niko primary mtot adi sas mtu mzima bado sizisahau zinanibarik sana!zinanifnya niwakumbuke wazazi wangu walipend san kuanglia video za kwaya hii
@tinagrace70104 жыл бұрын
Tuwekeeni full album jmn
@esthermamuya5645 Жыл бұрын
Ninyi watu mwanibariki sana! Mungu awarefushie maisha❤
@kdfitness35803 жыл бұрын
It's 2021 and I still listen to these best songs
@catherinecherotich7343 жыл бұрын
I love the whole album,and another thing I love the oneness they have,love you all
@stanleychepkwony143 жыл бұрын
A men catherine Stanley from kco county
@luisojr3480 Жыл бұрын
Best Album
@asueddy14653 жыл бұрын
Huyo chalii mdogo kuliko wote 2:14 saa hizi atakuwa m-dingi... Glory to God
@danielpyuza41272 жыл бұрын
...and the rest will be babus and bibis
@MetrineChepcourse-hk3et Жыл бұрын
Kindly post the whole album,
@khumusalabarepuplik9802 Жыл бұрын
Wherever you guys are be blessed, hii kwaya hunikumbusha mbali
@wilsonchishomi10833 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana huu.. nimeshaurudia mara nyingi.. Mungu awabariki sana.. tunaomba mtuwekee Na nyimbo nyingine tafadhali.
@bonfasmhule38033 жыл бұрын
However you sang the song Long time I'm still getting messages of God even today
@kingmwaxoh64202 жыл бұрын
asante sana kwa kuweka wimbo hizi nzuri , vya kale ni dhahabu hakika.
@kombomohamed72604 жыл бұрын
Naombeni maono jamani
@georgemzuli34224 жыл бұрын
Hakika nimekumbuka sana nimebarikiwa na huu wimbo wenu
@upendochoirSince19674 жыл бұрын
Amen
@upendochoirSince19674 жыл бұрын
amen
@deborahmwaipopo52453 жыл бұрын
It was my choir, it is my choir and will be Where is Elizabeth and Manase?
@Usxznt4 жыл бұрын
Mungu azidi kuinua huduma yenu njema,nawapenda sana
@Mgema0017 ай бұрын
Hii album nitaipate jamani
@peterlenaola29344 жыл бұрын
Hongera St James,mmekuwa was baraka
@williammakhanu65693 жыл бұрын
A very beautiful song. I have loved it since I first heard it. Very very uplifting spiritually.
@samuelmuigai84604 жыл бұрын
Huu wimbo umenibariki sana,Mungu awabariki nanyi
@nathanjunior76944 жыл бұрын
Huu wimbo nimeusikiliza kipindi Niko primary huko, I'm happy uko KZbin unanikumbusha mbali sana
@noelmotto99944 жыл бұрын
Safi mzee mlunga
@peterlenaola29344 жыл бұрын
Natasama nikiwa Kenya kanisa la kianglikana uaskofu wa maralal
@bonfasmhule38033 жыл бұрын
Hi, peter hapo kenya
@dilliwa2 жыл бұрын
This is very natural simple and basics. From the faces these guys sing in the spirit
@bonfasmhule38033 жыл бұрын
May God bless them hundredfold ,
@MetrineChepcourse-hk3et Жыл бұрын
Very powerful song song
@amsi4637 Жыл бұрын
@upendochoirSince1967 kuna uwezakano mka-upload album nzima ya 'Furaha Gani Wapendwa'?
@derrickkiptoo19189 ай бұрын
Old is gold
@LotinaBaitan-ms9rc Жыл бұрын
The best of them all
@valentinejeruto81973 жыл бұрын
My favourite song. Asante Yesu
@bonfasmhule38033 жыл бұрын
I also loved it & I'm going on listening to it . the message it's Carry is blessing me.
@neemasopilian9175 Жыл бұрын
Mungu mwema sana
@roymosirigwa45143 жыл бұрын
God to bless you all,this are the best gospel songs
@rebeccakengele40034 жыл бұрын
Haleluya
@mwanwaamtumishi.jinalabwan15212 жыл бұрын
Glory Glory 💖💖💖
@dominicmusee26142 жыл бұрын
God bless you
@patrickkip39353 жыл бұрын
God bless it bring back memories
@mcpetitkisinini6814 жыл бұрын
mimi nautaka haya ni maono
@upendochoirSince19674 жыл бұрын
upo hapa hapa angalia kwenye list yetu hapo
@mcpetitkisinini6814 жыл бұрын
@@upendochoirSince1967 nipo kuutafuta tena hapa na sijauona aiseee natamani sana
@dilliwa2 жыл бұрын
Huwa najiuliza Kazi hizi zinawezaje kutumika kuelekeza kizazi cha sasa kijue kuwa nyimbo za Injili ni za Rohoni na sio ktk complexity madoido wikolombwezo ambavyo havina uwezo wa kumwita ROHO?
@WawudaC3 жыл бұрын
27/11/2021
@wilsonchishomi10833 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana huu.. nimeshaurudia mara nyingi.. Mungu awabariki sana.. tunaomba mtuwekee Na nyimbo nyingine tafadhali.