Asanteni sana kwa kutuletea hiki kipindi, kwa heshima ninamuomba Chifu hii historia isi ishie apa tu, vitabu viandikwe kwa manufaa ya watu wetu. Mimi ninaweza kumasaidia mkuu kuandika kama akinialika. Asanteni sana
@faridamkesso974 жыл бұрын
Nashukuru sana Gama kwa history ya kwetu najivunia asili yangu maana nami ni Gama pia. Hongera sana Wangoni wote
@richardlizomba31425 жыл бұрын
Daaaahhhh... nimefurahiii sanaaaaa...i don't know what can i say but wooooowwwwwww from Dabani to Songeaaa.....
@augustuss45035 жыл бұрын
Asante sana kwa hiyo history yetu.
@luhendesoloshija9502 Жыл бұрын
Napenda kujua wangoni walio elekea bushetu, kahama, shinyanga na geita Bado wapo au washakuwa wasukuma, wasumbwa, wanyamwezi, Waha, wasubi, wahangaza, wazinza, au wahaya
@yasintangonyani63046 жыл бұрын
NIMEFURAHI SANA KUSIKIA KWA MARA NYINGINE HISTORIA YETU
@exavelmagari10173 жыл бұрын
Jamani mnifunze lugha
@salumshaibu Жыл бұрын
❤
@maliethnyoni28475 жыл бұрын
Wangoni oyeeeee mm najivuni kuwa mngoni ata mume wangu natamani awe mngoni
@depravooh1695 жыл бұрын
Asuma Asuma Bombaa
@richardlizomba31425 жыл бұрын
daaah safi anaaaaa asumaaa umenikunaaaa
@obrigadondimbo40455 жыл бұрын
Oyee tupo pamoja
@exavelmagari10173 жыл бұрын
Unifunze lugha
@Namtumbo3 ай бұрын
RIp Daniel Mputa Gama
@YomePyd Жыл бұрын
Xongea iz ma home I will be back there
@MAWAZOFESTOKIZUNGU Жыл бұрын
Wako kigoma ukoo wao unaita wasuka ndio blaza k
@kahimbaalphonce95645 жыл бұрын
Pamoja asante
@exavelmagari10173 жыл бұрын
Unifunze lugha mwenzio
@charleserasto37495 жыл бұрын
Saf sana
@maxelinambawala39336 жыл бұрын
Ni vizur kujua historia yetu ya zamani kuusiana na ngoni tribal wengi tunapendana kujua vizuri kabila letu màana wengine hatukuwepo kipindi icho
@depravooh1695 жыл бұрын
Natakakujua historian ya ukoo wa kapinga
@francismillinga45913 жыл бұрын
Ndugu yako hapa ukoo wa Bibi mzaa babu yangu ni ukoo wa Kina Kapinga