Huyu mzee ana mapenzi ya bwana mtume Muhammad swala Allahu alaihi wassalam
@BHawaKhlifah8 ай бұрын
Maashaalahu allah atujaalee tuwe miongeni mwa wat wema
@rushu12329 ай бұрын
Insha Allah Mwenyeezi Mngu akujaalie ufufuliwe na Mtume na munao chukia sio lazima mufuatilie tuwachieni wenyewe wenye mahaba ya dhati na Mtume.
@daarularqammkaku1539 ай бұрын
Allahu akbar
@lordenoughforme44178 ай бұрын
Mushreeken hawa.wajifanya masheikh
@shabanijuma20859 ай бұрын
Mashaallah. Watu wenye yakini na ikhlas zao kwa sababu yao kuitamka kallima yenye roho nidhamu ya Dunia jua linaendelea kutoka mashariki na kuzama magharibi.Siyo sisi wanafaki wa dini.alafu tunajifanya tunampenda mtu.Hatuendi kutoa mawaiza mbaka tupewe hela.Kana kwamba mawaiza yetu ndiyo yanatoa hidaya.Tumejazana mjini kibaha zegereni watu Hawana imamu .Alafu tunajita masheikh.Mashekh waliacha miji kwa ajili ya kwenda kufundisha dini vijijini huko.Mashekh tutakuwa sisi kamzole.
@daarularqammkaku1539 ай бұрын
🤝🤝🤝
@abuurayaan39029 ай бұрын
Uzuka huu Usufi ni uwenda wa zimu ALLAH awaongoze
@lordenoughforme44178 ай бұрын
Mtume aliitwa mtlchawi na makafirii.nyinyi ni washirikina masufi
@harithhilal5809 ай бұрын
Mashaallah mcha mungu sisi twampenda sana lamu
@daarularqammkaku1539 ай бұрын
🥰🥰🥰
@hamisisalimu69089 ай бұрын
Mashallah, Allahuma swali ala Muhammad walaalihi Muhammad
@aziza90939 ай бұрын
Mshaallah❤❤❤
@daarularqammkaku1539 ай бұрын
Al hamndulillah
@selemanally20389 ай бұрын
daruweshi sawa kabisa
@yahfatmudswiddiq22718 ай бұрын
Katika mas,haba wa mtume s w w nani daluweshi?
@HanifaOman-oo4pl9 ай бұрын
Amyn
@daarularqammkaku1539 ай бұрын
🤲🤲🤲
@aljalilatiba98739 ай бұрын
NI USHIRIKINA KUSEMA KWA BARAKA ZA MTUME TUKATOKA UNATAKIWA KUSEMA TULIACHIWA KWA IDHINI YAKE ALLAH
@ahmadSeif8609 ай бұрын
Acha kukurupuka we, soma kwanza km hujuw uliza, uckomment ujinga
@rayisadesigns26469 ай бұрын
MISALAFI MISHENZI HAIJUI DINI, KUSEMA KWA BARAKA ZA BWANA MTUME (S.A.W) SIO KOSA NENDA KASOME DINI MJINGA WEWE?! MNAKURUPUKA KURUPUKA TU AU ULITAKA ASEME KWA BARAKA ZA BABU YAKO MPUUZI WEWE?!
@salimmbilu45248 ай бұрын
Huna ilmu yeyt njoo tukufunze mshenzi tu
@salimmbilu45248 ай бұрын
Acha upuuzi kwa elimu za kusikia Kaa chin usome😊
@swabirattwas.129 ай бұрын
Swallallahu alayhi wasallam❤
@daarularqammkaku1539 ай бұрын
S.a.w
@HamisShini9 ай бұрын
Allah akupe nguvu
@AshaKilagula9 ай бұрын
Maashalha
@abdulrahmanrajab43699 ай бұрын
mashallah
@Alakhyasirabuammar9 ай бұрын
Allah subhanahu wa taala amewajibisha kwetu kujifunza masa'il manne, Al uwlaa(1) Al ilmu. Hivi wewe mzee watanguliza amali bila elimu yake? Someni wachaneni na mazefe na uzushi
@MuhamadikhatibMalili9 ай бұрын
Uchiz
@MohamedMgwami-nw6bl9 ай бұрын
Udarweish si uchizi kama alivyoandika mmoja hapo juu,bali uchizi ni uwahabi kwa sababu kwenye vichwa vyao wameondolewa ufahamu na ukweli,ukiwa na adabu huwezi kuwatusi watu kwa jambo usilokuwa na ilimu nalo,usahihi unatakiwa uwaulize wenye jambo Lao sio matusi,
@fauzishabani26229 ай бұрын
shekh mti mkavu. sijamwona mda
@daarularqammkaku1539 ай бұрын
Anaumwa 🤲🤲🤲
@rashidyyusuph43869 ай бұрын
Mzee acha uongo
@rayisadesigns26469 ай бұрын
MPAKA HAPO TU HAUNA ADABU... MISALAFI MPO KAMA MITOTO YA GESTI
@rashidyyusuph43869 ай бұрын
Daruwesh maana yake nini
@salimmalaka2569 ай бұрын
DARUWESH NI JINA KAMA MAJINA MENGINE.
@ayububakari99429 ай бұрын
daruwesh ni jumba bovu
@rayisadesigns26469 ай бұрын
@@ayububakari9942ACHA UONGO, KAMA HAUJUI KAA KIMYA
@khalefabdallah36809 ай бұрын
Daaru -Nyumba,wesh -Hamna kitu.
@salimmalaka2569 ай бұрын
@@khalefabdallah3680 WESH NINI
@NasraAbdallah-k8r9 ай бұрын
Daruwesh maana yake chizi
@salimmalaka2569 ай бұрын
MPUMBAVU WEWE
@rashidyyusuph43869 ай бұрын
Au jumba tupu
@ahmadSeif8609 ай бұрын
Umepata wapi hio
@rayisadesigns26469 ай бұрын
NYINYI MASALAFI MPO KAMA WATOTO WA GESTI MNAFANYA HARAMU KWA KUSEMA UONGO?! UONGO KWENYE UISLAM NI HARAM NA NYINYI MWASEMA UONGO KWA KUPOTOSHA MAANA HALISI YA JINA DARUWESHI KWA CHUKI ZENU TU!! KAMA HAMJUI MAANA YAKE KAENI KIMYA WAPUMBAVU NYINYI!! CHUKI ZITAWAUWA!!
@SaidKondo-rw8wb9 ай бұрын
@@rayisadesigns2646wewe nawe mwanafunzi wa shekhe rocket au mti mkavu? Kazee kajaahil unakatetea