ASKOF MWANAMAPINDUZI ATOA MAZITO "CHADEMA HAWAKUJITOKEZA POLISI WALIKAA KIVITA NA SILAHA ZA KIJESHI"

  Рет қаралды 25,547

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 82
@rizikikyando3289
@rizikikyando3289 Ай бұрын
Uyu askofu yukoo sawa.
@rizikikyando3289
@rizikikyando3289 Ай бұрын
Ni aibu ya mama kuwakingia kifua wauaji na watekaji ni aibu kubwaa mikono ya serikali ya mama imejaa damu na uso wa serikali ya mama umetapakaa damu ya Mzee Aliiy kibao duuu ni Aibuuuu Mungu ibariki Tanganyika yetu
@hamisramadhan-eb3ie
@hamisramadhan-eb3ie Ай бұрын
Vichekeshooo 😂😂😂
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Ай бұрын
Ni kweli kabisa maandamano yalikuwepo kwani kazi zenyewe za serikali zilisitishwa mwenyewe nilikuwa naapointment na police lkn nilipigiwa simu nisiende niende baada ya siku mbili. Police au Jeshi ndio waliandamana na ujumbe umeenda ulipostahili na ndiomana leo Lisssu kapata pakuanzia kudai haki yake. Huwezi kubishana na Mungu alafu Mungu hanaga upendeleo wala hana mihemuko wala kupanick guys
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Ай бұрын
UVUNJIVU GANI MBONA MBONA. HAWAJATAMKA IJULIKANE WAZI. WANATUONEA SANAA
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 Ай бұрын
Nakukubali sana mh. Mwanamapinduzi wewe unaumuhimu sana katika nchi yetu ila ni mjinga pekee ndio anae weza kukuchukia, naamini mpenda haki lazima aelewe unacho ongea. Asante mh. Mwanamapinduzi ninakuamini sana mkuu.
@jacksonsilaa415
@jacksonsilaa415 Ай бұрын
Swala la amani si kwa Mwanasiasa tu kuwa na amani maana yake ni pana zaidi,na halina huyu aseme lakini huyu asilseme Hakuna shule ya Marais, lakini kuna shule ya upadre uaskofu n.k Theology inafundisha Amani kamili,siasa haifundishi amani kwa sababu siasa ni uongo unaofikirika.Mchungaji yeyote anayesimama mbele ya hekalu la Mungu wa herufi kubwa atakemea maovu kwa uwazi usio na shaka,tawala nyingi ni za mabavu inapotokea kiongozi wa Dini akaongea ameona hayo atakayo kuwa anayakemea ,na watu wote wana Mathabahu/Hekalu zao
@JosephTarimo-c5h
@JosephTarimo-c5h Ай бұрын
Mungu yupo
@NgamelaYussuph
@NgamelaYussuph Ай бұрын
Ukimuona wap
@KandidoLuvanga
@KandidoLuvanga Ай бұрын
Chenye mwazo kinamwisho one day yes
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu Ай бұрын
WAJINGA HAWAJUI ILA CHADEMA WAMEFANIKIWA 100% kwsbb mtakuja jua baadae misaada ikakatwa ndo polisi watakuja kugundua walichofanya kuzuia maandamano ni ujinga mkubwa
@RamaKimbeu-tw4po
@RamaKimbeu-tw4po Ай бұрын
KWANI NA WW.MIONGONI.MWA.MASHOGA.
@jesaminzo
@jesaminzo Ай бұрын
❤❤❤
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan Ай бұрын
HAKUNA MLICHOFANIKIWA NI UPUUZI TU,MBONA WAKATI WA MAGUFULI HAMKUANDAMANA NA NCHI ILIKWENDA!!!
@jacksonsilaa415
@jacksonsilaa415 Ай бұрын
​@@RamaKimbeu-tw4pokuwa Chadema ni ushoga,msipokuwa na akiba ya maneno yenu machafu utafikia kumtukana Mama yako mbele za watu.
@jacksonsilaa415
@jacksonsilaa415 Ай бұрын
​@@TwahirBurhanHuyo magufuli yuko wapi,hata haya pole pole tu mtayasema wenyewe,ni lini manachadema alimpiga mtu,wapigeni sana kwani nyiye ni wa kupiga, zote zinahesabika hakuna moja itapita bila kuhesabiwa Mungu awarehemu sana kwani kisasi ni cha Mungu pekee kubali kataa huo ndiyo ukweli.
@jacksonsilaa415
@jacksonsilaa415 Ай бұрын
Huyo Magufuli yuko wapi mambo yote yatapita kama alivyopita, manachadema alimpiga mtu lini na wapi lakini nyiye wapigeni tu tutafika wakati muafaka wa mashtaka, kisasi ni cha Mungu pekee tumwachie yeye anajuwa.huu ndiyo ukweli unabakia kuwa ukweli usio na kificho,
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 Ай бұрын
Askofu mwana mapinduzi kwelikweli, mnashindwa kusimamia dini kwa kuzuia kubariki ndoa za jinsia moja
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z Ай бұрын
Wakemee wakati laisi wenu Alisha towa sahini
@hamzakhamis1575
@hamzakhamis1575 Ай бұрын
​@@AnnaFelix-p1z tuthibitishie kauli yako
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Ай бұрын
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
@kamalabuberwa2001
@kamalabuberwa2001 Ай бұрын
Maandamano yalifana maana ujumbe ulifika
@AzizSalumu
@AzizSalumu Ай бұрын
Mnapo comment muwe na chakuongea maandiko yanasema anae msapot muovu na kufurahia maovu nae nikama yeye pia hakuna kumtii kiumbe katika kumuasi mungu so Kama mungu atausishwa atasapot yanayotendeka
@WilbertManjonda
@WilbertManjonda Ай бұрын
Kujitokeza kwa polisi barabarani, kumeonyesha CHADEMA inakubalika na wananchi mana polisi walilazimika kuwa zuia wananchi wasio na silaha kuandamana hivyo wanajua wananchi watajitokeza wengi kuunga mkono. Polisi wanathibitisha wapo wananchi wa kutosha nyuma ya CHADEMA
@binsherbal6089
@binsherbal6089 Ай бұрын
Nyie Machawa mnaemshambulia huyu Askofu, mbona juzi wakati yule Pwagu wenu alipopanda Madhabahuni kwa yule Tapeli wenu mwengine pale Arusha hamkujitokeza kusema haya mnayosema? Tena lile Pwagu likasema kabisa eti kua Mungu hana Demokrasia wala hamkulikosoa. Uchawa wenu unawafanya kua Mandondocha.
@jesaminzo
@jesaminzo Ай бұрын
😅😅😅
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 Ай бұрын
Kweli umewajibu vizuri "mbwa mwitu"😊
@HaruniEriasi-fb8yy
@HaruniEriasi-fb8yy Ай бұрын
Nakukubari
@EmmaculateGembe
@EmmaculateGembe Ай бұрын
Hayo maswali unayouliza askofu yanatoka kwMungu yanatakiwa kujibiwa nawahusika ila tunyamaze Mungu yupo
@ShabaniMustafa-n8h
@ShabaniMustafa-n8h Ай бұрын
Mbona unayo mwenyewe
@officialmubytz1076
@officialmubytz1076 Ай бұрын
Kiukweli huyu mama ananifanya niwachukie wanawake wa hii njii
@RajabuLanda
@RajabuLanda Ай бұрын
Hapa kwajeshi hiri hata uchaguzi Haina uharali hapatakuws uchaguzi tena
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 Ай бұрын
Nafurah kuwasikiliza ila baba anapiulizwa umri wa mwanae aseme hii, au hii, na sio anamiaka kama...., alafu pia mtoto wa miaka 13 anapaswa kuwa kidato cha kwanza. Endelea...
@HamzaHeri
@HamzaHeri Ай бұрын
HUYO NCHIZI MWAMBIE AWE NA ADABU NI MPUMBAVU SANA KAMA NCHI HII TUKIWAPA UPENYO WAPUMBAVU HAWA WATATUPELEKA PABAYA
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Ай бұрын
WANANCHI WANGEPITA WAPII WKT POLISI WAMETANDA NJIA NZIMA
@RamaKimbeu-tw4po
@RamaKimbeu-tw4po Ай бұрын
KWANI WW NI CHADEMA AU
@AbdallahShaabani
@AbdallahShaabani Ай бұрын
Hiyo intelejensia kinyume chake urongojensia 😢😢😢😢
@EmmaShirima-d9l
@EmmaShirima-d9l Ай бұрын
Kwani huyu ni askofu au ni mwanasaisa😂😂😂
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Ай бұрын
KWAKWELI HATAMIMI NILIPOTOKA. NJE NIKAONA MBWAMABUÑDUKI NILIDHANI KUNA VITAA
@gidongailo7174
@gidongailo7174 Ай бұрын
Usiseme maandamano mliyofanya nchi nzima yalikuwa ya amani! Amini Amin nakwambia kama polisi wasingekatazwa kuleta fujo na kuamriwa kuwalinda waandamanaji hakika yasingekuwa na amani yoyote😂😂😂
@SylvesterMakenzie
@SylvesterMakenzie Ай бұрын
Zibitisha huo ujinga wako
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 Ай бұрын
WEWE UNGELIFANYA HIVYO MWANDISHI MBELE YA SILAHA ZA MOTO??? YAONESHA HAUWATAKII. MRMA WENZIO
@RaibebeBebe
@RaibebeBebe Ай бұрын
Askof ameongea ukweli wenye ,akili wamekubali unachokiongea
@HamisWawila
@HamisWawila Ай бұрын
Watia fujo nyinyi lazima mukatazwe
@EdwiniKibona
@EdwiniKibona Ай бұрын
Asikofu,kaurizwa,msitakabari,wa,hayo,yanayo,tokeo,,hajaurizwa,kuhusu,uwaskofu,wake
@AzizSalumu
@AzizSalumu Ай бұрын
Yaan watu tumekua washabik wakijinga et tue Makin nae mungu anasema tuue tutekane kemea ulimi wako kwanza
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Ай бұрын
NI KAWAIDA YA KAMANDA KUWAPA MOYO ASKARI WAKE. LKNI INAFIKA. MAHALI. ASKARI WANARUDI. NYUMA. NA SIO KOSA
@rizikikyando3289
@rizikikyando3289 Ай бұрын
Wewe unaesema chadema haikubaliji ni nbumbu kama chadema haikubaliki polisi mliweka wanini mtaani? Mwehu mkubwa we.
@rizikikyando3289
@rizikikyando3289 Ай бұрын
We zipo mamlaka nyingine ni za kipepo kama hii ya sasa yakutetea wauaji si ya Mungu kabisa weww usikalili mistari
@maruhe1958
@maruhe1958 Ай бұрын
Askofu mwanamapinduzi soma warumi 13:1-4 Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu. Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu..... Usijifiche nyuma ya kola. Niliwahi kuuliza kama huyu ni mchungaji kweli au ni mwanasiasa tu. Watu kama hawa tuwe makini nao najiuliza kanisani anahubiri neno la Mungu au siasa. Kwa nini serikali imnyamazie kimya huyu mtu. NO! NO! NO! Acha kuchanganya siasa na dini
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 Ай бұрын
Hiyo mamlaka iliwekwa na nani?Sio kila mamlaka inatakiwa uitii.
@officialmubytz1076
@officialmubytz1076 Ай бұрын
Kwa hyo mamlaka yenye maumaji utekaji wa sharihi inatoka kwa mungu?! Hii ni mamlaka ya shetani na itaanguka Amwagaye damu ya mwanadamu na ya kwake itamwagwa na mwanadamu Kuna pigo kuu kwa mwenye mamlaka dhalimu kabla ya uchavuzi mkuu
@georgewambura7695
@georgewambura7695 Ай бұрын
Sio kila mamlaka inatoka kwa mungu , zingine kama hizi zinatoka kwa mwanadamu
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 Ай бұрын
@@georgewambura7695 Nikweli kabisa,sasa hizi mamlaka zinazotoka kwa watu,ndizo zenye kuleta shida na taabu hapa Duniani
@maruhe1958
@maruhe1958 Ай бұрын
@@georgewambura7695 Mungu akusamehe
@MalkiadiNaano
@MalkiadiNaano Ай бұрын
Hivi kweli hayo ndiyo unamfundisha mtoto wako.?
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 Ай бұрын
We mtoto wake anakuhusu nini 😂
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 Ай бұрын
​@@philemonsnyanda9450si ndo hapo?
@cristinaruka9293
@cristinaruka9293 Ай бұрын
Mtumishii wa mungu mungu akubariki sana tunatakiwa tuw na watumishi wamungu kama ww wanaoongea porojo ni wajinga awajitambui kitu mch tuwaomber hao wajitambue
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan Ай бұрын
HUYU NI MWANASIASA UCHWARA NA ANAJIFICHA KWENYE KIVULI CHA UASKOFU
@IddyHussein-n2y
@IddyHussein-n2y Ай бұрын
Yaani asikofu anayetetea maandamano Ebu Kaa kimya hubiri dini achana na siyasa
@DottSayi-v7e
@DottSayi-v7e Ай бұрын
R
@peteremanuel2367
@peteremanuel2367 Ай бұрын
Huyu ni Askofu wa dini gani? Huyu ni mwanasiasa, asitudaganye, aache kijiita askofu!!?
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 Ай бұрын
Askofu Gwajima na ni Mbunge wa Kawe ni wa chama gani?Ni mwanasiasa au Askofu?Akiwa CCM sawa na wakiwa Chadema sio sawa?Acha ujinga.
@charlesshitobelo6870
@charlesshitobelo6870 Ай бұрын
Unafikiri kwa kutumia kiungo gani wewe chawa!!?
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
Punyeto ingetunusulu
@maspro6294
@maspro6294 Ай бұрын
WEWE UTABAKI KUBWAKA KAMA MBWA KOKO HAKUNA ATAKAE WAPA NCHI HII MAVIBARAKA WA MABEBERU NA DOMO LAKO LINA NUKA KAMA CHOO UKIMALIZA KUBWAKA UKAPIGE MSWAKI
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 Ай бұрын
@@maspro6294 Hii nchi sio yako wewe na familia yako na wapigakura wako wengi na kwa sasa hivi wanajitambua,mtaji wa CCM ni watu wasiojitambua,wajinga na wapumbavu,endelea kuwa kwenye hilo kundi
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 Ай бұрын
Nchi unaitoa wewe!
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 Ай бұрын
@@philemonsnyanda9450 Ndivyo wanavyodanganywa na viongozi wao wa CCM kwamba nchi hii bila CCM haitawaliki na haiwezi kuwa salama
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 Ай бұрын
@@yassinnabwera4273 wanajidanya wao, saiv watanzania wengi niwaelewa siyo kama kile kipindi kile wananchi walikua wanaonyeshwa mauji ya Rwanda na burundi
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 Ай бұрын
Unaongea point sana ila wa tz wengi ni wapumbavu sana haijawahi tokea
@rizikikyando3289
@rizikikyando3289 Ай бұрын
ELEZA MAANA YA MABEBERU kama unaelewa mambo nahisi wewe huna akili kabisaa ni Tabora rasa kabisaaa unafanana na watekaji.
@AmaniKizinga-ew9mk
@AmaniKizinga-ew9mk Ай бұрын
Acha kuvaa kola uku unajifanya mtumishi wa MUNGU,, mtumishi wa MUNGU anahubiri injili..waandamanaji wangekuwa na silaha ingenoga,,we chochea tu eti waandamanaji wangekuwa na silaha na kola yako...mbona wewe ujatoka kwenda kuandamana.. hubiri injili wewe utaenda motoni..wewe sio mtumishi wa MUNGU wewe ni mwanasiasa.
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 Ай бұрын
Mpuuzi tu huyu
@georgewambura7695
@georgewambura7695 Ай бұрын
@@AmaniKizinga-ew9mk kuandamana kwenye katiba ya nchi hii , kumeruhusiwa so what broo
@AbdallahShaabani
@AbdallahShaabani Ай бұрын
Akifili FUPI kama MAISHA ya funza😂😂😂😂😂
@Frank-b2d6u
@Frank-b2d6u Ай бұрын
Kweli ujumbe umefika viongozi wadini kemeen nasi waumini tuungane kemea kama yohana wajinga wasiokemea pumbavu
@muharamijuma1569
@muharamijuma1569 Ай бұрын
KILICHÒTOKEA JUZI UJUMBE TOSHA KWA CHADEMA KUWA HAIKÙBALIĶI KWA WANANÇHI HUYO MCHUNĜAJI NÌ MGANGA NĴAA TUU
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan Ай бұрын
VIONGOZI KAMA HUYU ASKOFU HAWAPASWI KUWAONGOZA WATU SABABU NI WACHONGANISHI NA WANAJENGA CHUKI BAINA YA SERIKALI NA RAIA WAKE
@gaagwasaugustino2584
@gaagwasaugustino2584 Ай бұрын
Chuki unazijenga wewe na udini wako!
Disrespect or Respect 💔❤️
00:27
Thiago Productions
Рет қаралды 37 МЛН
The Ultimate Sausage Prank! Watch Their Reactions 😂🌭 #Unexpected
00:17
La La Life Shorts
Рет қаралды 5 МЛН
SAUTI HII YA KINABII INAKERA WAHALIFU, INALIWAZA WANANCHI
26:56
SK Media Online TV
Рет қаралды 7 М.
OTHMAN MASOUD ASHANGAZWA WAUWAJI HAWACHUKULIWI HATUA
40:54
Marhaba TV
Рет қаралды 6 М.
Disrespect or Respect 💔❤️
00:27
Thiago Productions
Рет қаралды 37 МЛН