Askofu Bruno Ngonyani alivyofurahisha watu na Misamiati yake wakati akikabidhi jimbo kwa askofu pisa Ni katika Misa Takatifu Kusimikwa Kwa Ask.Wolfgang Pisa Jimbo Katoliki Lindi SOURCE:KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Пікірлер: 3
@janethmayanja2 жыл бұрын
Ulikuwa wakati mzuri Mungu utusaidie hongera Askofu Pisa
@merinachalinze64552 жыл бұрын
Mungu mwema
@josephlorri4312 жыл бұрын
Huyu Askofu mstaafu alikuwa kaelemewa,akaamua kufunguka. Unaweza kuhisi hilo kwenye tone yake