Askofu mpya wa LINDI alivyokabidhiwa gari ya Kifahari na Waziri mkuu Majaliwa pamoja na Membe

  Рет қаралды 36,294

Breez Online Tv

Breez Online Tv

Күн бұрын

Askofu mpya wa LINDI alivyokabidhiwa gari ya Kifahari na Waziri mkuu Majaliwa pamoja na Membe
Ni katika Misa Takatifu Kusimikwa Kwa Ask.Wolfgang Pisa Jimbo Katoliki Lindi
SOURCE:KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

Пікірлер: 41
@JacksoniJoeli-tb7be
@JacksoniJoeli-tb7be Жыл бұрын
Baba askofu hongera sana ni jacksoni kutoka Bargish uwaa nakupa pongeza kubwa sanaa endelea kumtumikia kazii ya mwenyezi Munguu 🙏🙏🙏
@nicolauswandao8988
@nicolauswandao8988 2 жыл бұрын
Mapendo daima, Tumsifu Yesu kristu milele Amina, Sinodi ya pili Nuru yenu iangaze mbele za watu, Kristo tumaini letu, Ushiki ushirika na ukatekumeni. Sitamaliza naomba tu niseme tu asante baba
@augustinoevarist6754
@augustinoevarist6754 2 жыл бұрын
In love with My Church. Hongereni Lindi
@samsonsamson9811
@samsonsamson9811 2 жыл бұрын
hongera sana my lecturer ulietoka chuo cha saut arusha , mungu awe nawe kuwachunga kodoo zako ili wampendeze mungu kwa matendo yao
@merinachalinze6455
@merinachalinze6455 2 жыл бұрын
Hongera sana wana Lindi. Mbarikiwe sana kwa moyo wa ukarim
@ordasstephanoords9882
@ordasstephanoords9882 2 жыл бұрын
Hongera. Asokofu wanaliindi hongereni
@seciliamaze451
@seciliamaze451 2 жыл бұрын
Hongera Baba Askofu Mpya wa Jimbo la lindi. Sisi kondoo wako tunakuombea sana kwenye utume w ako.
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
Waumini madhehebu kikristu na waisilamu sote tukumbuke babu yetu wa Imani ni mmoja Ibrahim. Tuendelee kushilkamana. Hongereni Wana Lindi na Mtwara kwa upendo, umoja, mshikamano na ukarimu.. Baba Askofu umepata kondoo ambao Wako tayari kusikia sauti ya mchungaji mwema.
@andrew29468
@andrew29468 2 жыл бұрын
Kimsingi waislamu hawana ndgu wa imani isipokuwa wakristo, Waislamu hawana uhusiano na mabudha isipokuwa wakristo ambao wanashare vitu vingi mnoooo
@happymsaki1720
@happymsaki1720 2 жыл бұрын
Mh Membe hapo nimekupa bg up uko vzr sanaaaaaaaaaaa
@teresiamgimba5498
@teresiamgimba5498 2 жыл бұрын
Hongereni Sana Asanteni Sana kwa umoja
@ordasstephanoords9882
@ordasstephanoords9882 2 жыл бұрын
Mungu akuimarishe uwachunge kondoo uwafikishe kwa mwana kondoo mkuu yesu pekee
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
Mzee Bernard Membe hakika eonesha uzee ni dawa.
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 2 жыл бұрын
Ahsante Mungu!
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 2 жыл бұрын
Lindi mmeweza!!!
@Expedito2512
@Expedito2512 2 жыл бұрын
Hilo ndo kanisa katoliki bwana. Upendo upendo upendo! Waislam ni ndugu zetu, wakristu wengine ni ndugu zetu. Upendo upendo upendo!
@teresiamgimba5498
@teresiamgimba5498 2 жыл бұрын
Kazi nzuri kwa kweli
@sylvesterkwembe3686
@sylvesterkwembe3686 2 жыл бұрын
Superb!💪🇹🇿👍
@aloyceponela3249
@aloyceponela3249 2 жыл бұрын
Ongera mtumishi wa mungu.chungaa sana kondoo wako
@dicksonisakwe3063
@dicksonisakwe3063 2 жыл бұрын
Hapo shetan kanuna balaa,,,navuta picha domo lake alivyolivuta🤣🤣🤣
@imelidamfikwa7954
@imelidamfikwa7954 2 жыл бұрын
Huo ndio utaifa wa hakika.Tuwe pamoja kiimani na kisiasa.Nani huanzisha chokochoko wakati hatukuzoea
@happymsaki1720
@happymsaki1720 2 жыл бұрын
KUSINI HOYEEEEEEE MUNGU AWATUNZE MEMBE NA TIMU YAKE
@zachariamakamillo1965
@zachariamakamillo1965 2 жыл бұрын
Simpendi mnafiki huyu yani
@tagkibadanewcity6473
@tagkibadanewcity6473 2 жыл бұрын
,🙏💯
@zachariamakamillo1965
@zachariamakamillo1965 2 жыл бұрын
Yaani Membe hovyo kabisa.
@juliussilvestar8988
@juliussilvestar8988 2 жыл бұрын
Ally musira hilo gari halijanunuliwa na serekali
@marykayombo9076
@marykayombo9076 2 жыл бұрын
HAHAHHA tupo, taayari!
@robsonlotyloy5678
@robsonlotyloy5678 2 жыл бұрын
Mna tapakanya fedha huku wananchi wana shida. Askofu haitaji vituhivi bali anaitaji waumini wake watubu thambi zao na kuungana nao na Kuwahita wengine zaidi ya walio ungama nao wajikomboe.
@superangeltv4615
@superangeltv4615 2 жыл бұрын
din zilezile zinawakubali wajipendao wenyewe siwi mkatoriki tena
@sarafinafranci8481
@sarafinafranci8481 2 жыл бұрын
Hulazimishwi wala siyo lazima.
@breezonlinetv
@breezonlinetv 2 жыл бұрын
Utajua mwenyewe.
@superangeltv4615
@superangeltv4615 2 жыл бұрын
siko tayari kuambatana na wanafiki daima na milele
@revocatusrubaba4416
@revocatusrubaba4416 2 жыл бұрын
@@superangeltv4615 Yesu daima alikaa na watenda dhambi sasa kama wewe unahukumu hao ni watenda dhambi hiyo ni dhambi ya kwanza ya pili ni kujitenga tafakari
@devidkingu2439
@devidkingu2439 2 жыл бұрын
Tafuta hela ndg. Chuki inauwa
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 2 жыл бұрын
Ngekuwa vyema kusaidia wagonjwa yatima na masking kuliko kununia gari.
@allymusira2153
@allymusira2153 2 жыл бұрын
Mumpe na Sheikh wa mkoa wa Lindi kuweka usawa
@breezonlinetv
@breezonlinetv 2 жыл бұрын
Hatutafiti usawa
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 жыл бұрын
@@breezonlinetv hayo siyo majibu... wewe ni mtoa habari simama kwenye misingi na mipaka yako ya kazi utafanikiwa, lakini ikianza habari za mipasho kwa kujibishana na watoa maoni hautafika popote. Ndugu zingatia hilo.
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 жыл бұрын
Sasa suala la usawa hapo halipo. Hapo ni wakatoliki. Pengine kutakuwepo na Anglikana.. Moravian.. Lutheran.. EAGT.. FPCT.. TAG.. Nk. Nadhani itakuwa fujo badala ya usawa. Sio kila jambo lina usawa !!
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 2 жыл бұрын
Mawazo potovu
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 48 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 163 МЛН
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 3 Серия
30:50
Inter Production
Рет қаралды 574 М.
ASKOFU BRUNO NGONYANI ALIVYOAGA NA KUKABIDHI JIMBO KWA ASKOFU MPYA MBELE YA MAASKOFU
4:22
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Mwananchi Digital
Рет қаралды 18 М.
MAPOKEZI YA ASKOFU MTEULE WA KAHAMA AKIWASILI NA KUBUSU ARDHI YA KAHAMA KWA MARA YA KWANZA
21:51
ASKOFU MPYA LINDI AKABIDHIWA ZAWADI YA GARI LA MAMILIONI NA WANALINDI
3:48
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 3,9 М.
MAKALA:ZIARA YA PAPA YOHANA PAUL II NA UIMARISHWAJI IMANI KWA KANISA LA TANZANIA
15:28
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 11 М.
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 48 МЛН