Nimerudi hapa 16/4/2024 akii sikuwa nakubali kipindi hicho ila mwaka wa 2017 aslay alikuwa juu ya wote Tz 🇹🇿❤
@cardoalbert136611 ай бұрын
2024 nimekuja kuiyangalia tena aisee masterpiece kabisa 😊
@neemavenancy80738 ай бұрын
Aslay tuko na wewe hadi 2024 jaman naombeni hata lake
@moseswachira1254 Жыл бұрын
I love this song and I can't go a week without listening to it.let me reserve my comment so as whenever someone like it,it will remind me to come back and listen to it again and again.
@belindaouma-zv8ij10 ай бұрын
Kama watch huu wimbo 2024 gonga hapo
@Asnath-v2f8 ай бұрын
Nipo hapaaaa
@kevineochieng76117 ай бұрын
I was so much in love that I couldn't stop dedicating this song but my ecstatic moments were cut short then I jumped to nipe likizo tu which has been my favorite till today
@Estermuhache04-ur4mo6 ай бұрын
Nipo hapa 🎉
@EsterAidanmadati4 ай бұрын
❤❤❤❤
@MarthaMunene-f9mАй бұрын
Here I am October 2024
@matheta358711 ай бұрын
Wangapi tuko hapa Hadi wa Leo 2024
@edwinmtenyi76489 ай бұрын
Sisi apa 😅bwana wee nyimbo za zamani nzr San
@Kigali_boy8 ай бұрын
20240 nipo hapa from rwanda❤
@johnronoh31568 ай бұрын
Aslay siku zote, nmejikuta huku nkisaka kama ametoa kipya
@carlosmutua62758 ай бұрын
Old and new than the latest love songs
@deusmasasila44048 ай бұрын
Nipo
@SOS_VILLA Жыл бұрын
Ñipe like kama unatazama wimbo huu 2023-2024
@mckiprotich.33768 ай бұрын
How many are here just to rewatch this natamba video by aslay. Kenyans love you bro Kama ndo unaitizama tena gonga hapa like
@patrickmutwiri56982 жыл бұрын
How I miss my love Brenda when this song was launched. I listened it daily with her. Unfortunately distance and fate made sure that we even forgot each other. Now I can't reach her or know how she's doing. Life is continuing but how I misse her whenever I listen to this song.
@peterodhiambo80962 жыл бұрын
Pole my brother.i feel for you....
@patrickmutwiri56982 жыл бұрын
@@peterodhiambo8096 thanks bro, I'm okay now.
@mercymwende66196 жыл бұрын
HE'S blessed...kazi nzuri sana ...no need to dislike
@donaldongadi70944 жыл бұрын
Mercy nice comment
@shemejiwaxxl95637 жыл бұрын
au waziri mkuu wa SHILAWADU. ......hadi nimemaliza MB za 1000 natazama huu wimbo hafu bado moyo unataka tu yani wewe Asaly 🔥✔
@joicepeter95247 жыл бұрын
ngoma kaliii
@modiranks70767 жыл бұрын
Devid Maige download nyimbo uangalie utasave MB
@shemejiwaxxl95637 жыл бұрын
+Ahmad Musa NIMEKUSOMA
@kigalidanzafitness Жыл бұрын
My big brothers used to listen to the songs of this guy, but I didn't know kiswahili and asked them the meaning and here 2023 still listening to his songs ❤
@aimableoseyaeric6 ай бұрын
Wanao amini kuwa wata tizama tena huu wimbo hadi mwaka wa 2030 tujuwane kwanziya leo❤
@msollahbazemule92657 жыл бұрын
Kwamba kilichonifanya kunivutia ni upole wako na heshima yako dah asanteeeeeee hatariiiiiii balaaaaa nimekukubali
@Omoinjiniah11 ай бұрын
Kama unaiangalia mwaka 2024 weka like
@Josphat-ws8ty9 ай бұрын
B🎉and
@DagrasKaragane Жыл бұрын
2023 bado unaangalia wimbo huu gonga likes please tujuane🎉🎉🎉🎉❤❤
@Elvciimanchester10 ай бұрын
Hi
@stacyathanas86027 жыл бұрын
Am in US..swahili is my first lg but i ts a long time since i left TZ and i looove this african tune!! Big up
@dennisamazingwewezikishika34706 жыл бұрын
this song makes me to remember my love....big up aslay Kenya twakupenda xana au siyo wakenya
@zainabnassoro11092 жыл бұрын
Kweli kabisa 😁
@kenedylumumba74392 жыл бұрын
,💖💖
@zawadiolivierkahongya36522 жыл бұрын
Yira folk
@veronicahosebe6092 жыл бұрын
N kweli
@davidkahurongochi67382 жыл бұрын
Kabisaa
@irakas96955 жыл бұрын
Aslay napenda sana music Voice formidable. RDC,Kinshasa poa
@oliveomoto40382 жыл бұрын
2022 I am here feeling every word in this master piece. Live long Aslay. You are a legend 🙌🏽
@rachealmatu5502 Жыл бұрын
amen
@ericknsabi94927 жыл бұрын
Wewe sio team fulani fulani ila wewe ni team kivyako vyako big up kama unamkubali Aslay gonga like moja twende kazi
@fettychalz79787 жыл бұрын
shikamoo asly
@paschalfrancis76747 жыл бұрын
nyimbo ipo Gud sana jamn inanifanya nasikiliza mda wote ongea kaka
@njirofurniture67017 жыл бұрын
Good
@jamilashabani85809 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@tanescoperson36507 жыл бұрын
Daah this guy is so talented🔥 I don know why he is not trending international
@jacksonpeter21307 жыл бұрын
daaaa huu mziki umenikumbuxha mbali kdg but kaz zur pongez anaxtahr
@maremjon15616 жыл бұрын
I like tha song too so touching
@annsony79357 жыл бұрын
Aslay anatamba kweli kenya big up kaka hit after hit yaani bumper to bumper 👏🏽👏🏽🙌🙌
@bahativictor95813 жыл бұрын
Legends live forever,aslay love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@hawamwajumahayat50535 жыл бұрын
Hivi ndio sasa nimeanzakupendwa ,wakati huu wimbo ilitoka sikua n mtu nimeweka moyoni kama Sasa🤗🤗❤️❤️❤️🇰🇪
@DenyoReigns7 жыл бұрын
Katabiri pweza penzi litafika mbali,ndo maana nacheza ya watu natupia mbali #Huu wimbo Nyoko
@amryzuberi30817 жыл бұрын
siyo razima amzime mond
@tusajighwe92887 жыл бұрын
umesahau hii nacheka kingereza tamu mno
@imeldamariwa67647 жыл бұрын
+Tusa Jighwe ľ
@neemajrk7457 жыл бұрын
hahahaaaa umenisaidia sijuag anaimba nn nasikiaga pweza tu...
@aishabigset7 жыл бұрын
Angalia chepu ya Wema Sepetu , angalia jicho Hamisa Mobetto, karangi kake Elisabeth Michael ,Yani we mrembo. Can play this song all day
@mekushileki32877 жыл бұрын
imetulia hapo mdada
@lawrencemutugi64237 жыл бұрын
balaa yaani ni moto
@markinsfollonzi2 ай бұрын
This was the song my wife sang for me when we were dating ,we now have two kids Kai and Hailley and still the bond is a Giant one. GOD BLESS YOU ASLAY
@ajfrankline7 жыл бұрын
wapi love from the 254, twapenda mziki yako sana ASLAY
@floramosha63367 жыл бұрын
Nakupenda bure
@jaymo84627 жыл бұрын
Ngoma kali mnoo asly
@aishauwimana43387 жыл бұрын
Songa Frankline jaman na Aslay anakuwa anava misalaba ndo dunia ya mwisho
@millicentachieng897 жыл бұрын
Aslay...you make me believe that love still exists....Your songs....wallahi zinanigusa...
@millicentachieng897 жыл бұрын
Basi baby nikumbatieee mamaaaa.....we ndio wangu wa milele...#kufdead
@clamvevo64727 жыл бұрын
Kuna watu wanachezea akili yako hawakutakii mema🙏
@saimonchanzu42522 жыл бұрын
Aslay ongera Sana Kenya twakupenda Sana nyimbo zako ni tamu kabisa
@faithmakena35587 жыл бұрын
I don't know why but there's something special with music from Tanzania. I love all songs from TZ....it's an addiction 😍😍
@joseecontroversial87207 жыл бұрын
Faith Makena where are you from?
@faithmakena35587 жыл бұрын
I'm from KENYA Josee
@hassanmagambo78402 жыл бұрын
redress ese0pp@@joseecontroversial8720 awe
@fadhumhassan96022 жыл бұрын
Hi
@dorothyanyango21972 жыл бұрын
It's the Swahili and unique composition of lyrics, I think so 😊
@josephisengwa43407 жыл бұрын
This drop out is so so beautiful. Cant feel tired of listening. Good work. Aslay you up in the air. No body can say no.
@peterndaro15427 жыл бұрын
Mmmmmmh asly kwahii ngoma mwangu umenigusa sana mungu azidi kukupa maujnja mkuu ktk kazi yako
@chazygetaro85757 жыл бұрын
Dgo unajua sana
@danieltiko41806 жыл бұрын
sana
@pilycotar84486 жыл бұрын
Kali sana bro
@glaqgloryaqram751110 ай бұрын
2024 nani yuko hapa?!
@HassanHassan-hj9hq7 жыл бұрын
doh we aslay una balaaa upojuu wapi likes za aslay kwa Kazi nzuri anazo tupa 🙌🙌🇹🇿✅🔝
@yasinihamza38077 жыл бұрын
safiii
@HassanHassan-hj9hq7 жыл бұрын
hatari
@xavierngaweje39137 жыл бұрын
kazi nzuri sana Aslay, keep it up...nyimbo zako nahisi zinaongozwa kwa kusikilizwa na watu..umewapatia watanzania, unaimba mashairi watu wanayotaka kuyasikia...m your No1 fun.
@jonahkennedy57895 жыл бұрын
Listening 2019 June lakini bado inatamba Aslay baba yao unaweza
@munaahmed84993 жыл бұрын
Nani yuatizam 2021 kam mie jmn shusha like twende sawa maan ni nyimbo nzur mno ktk nyimbo za aslay
@hamzabanx22473 жыл бұрын
💪👌
@kiamdugeneraltraders98903 жыл бұрын
Tuko p1 usijal
@hawwasandale19353 жыл бұрын
Mimi pia mmoja wapo 2021
@madoluzito16597 жыл бұрын
Angalia shape ya Wema Sepetu,jicho ya Hamisa Mobetto, karangi kake Elizabeth Michael,kama unamkubali Aslay ngonga like hapa..
@maryseriah1576 жыл бұрын
Dogo janja wa ukwel kuanzia nyimbo saut zake amizing video za kijanja hongera kijana
@bigilwalwiza46786 жыл бұрын
Ninoma mzee Baba
@raichezzcarli49106 жыл бұрын
Ako sawa huyu jamaa
@roscoegash24605 жыл бұрын
Uko vizuri
@nancyruoruo10255 жыл бұрын
Niko hapa kwa shape ya wema😂😂😂😂😂😂😂
@Eli_Materazzi7 жыл бұрын
Listening ndani ya United Kingdom Aslay wewe ni next big thing!
@martinwangeci26705 жыл бұрын
Hii ngoma huwa inafanya niweke repeat mode...i have never got enough of it😍😍😍
@florarobertdavid Жыл бұрын
Kasemaje nasemaje ❤❤❤ my 🇹🇿 county people nawapenda sana big up kwa darasa.
@lindalengyell98087 жыл бұрын
So beautiful song. I am not a Tanzanian, but have a dream of moving there from Toronto. I love you guys
@martinkidudu45702 жыл бұрын
Welcome
@martinkidudu45702 жыл бұрын
Welcome
@lulanjamd3886 Жыл бұрын
@@martinkidudu4570 Karibu
@nurumberwa71617 жыл бұрын
Mmm jamani muko wapi mbona najiwona nimimi tu nasikiliza hu wimno .. naweza kula chakula maramoja kwa siku ila niusikilize hu wimbo mara 25 kwa siku .. gonga like kama tuko pamoja big up
@ludovickkilawe76597 жыл бұрын
soothing melody, great message, powerful tone..this is what they call good music
@godfreykanelela94487 жыл бұрын
ndio #3 on trending mtoe domo hapo #1 on trending kufika jion atakuwa ametoka naaamin
@evelynekasalile32437 жыл бұрын
Godfrey Kanelela SAA hii no mbili..hakika amtoe
@lucymkenya9567 жыл бұрын
waaaaah OK ya this Tz guys must name wema kwa song,nilikuwa napita 2
@mussatendeli69097 жыл бұрын
she is the sweathart of Tanzania #wemaspetu
@faithmakena35587 жыл бұрын
Lucy Wanjiru she deserves it..
@issaliwajacom63787 жыл бұрын
Afiiiiiiìiiii sana asray
@issaliwajacom63787 жыл бұрын
Nakuamini hujawah kufany ujinga
@lucymkenya9567 жыл бұрын
Mussa Tendeli oooooh OK thn
@robertsimba50815 жыл бұрын
Aslay should team up with Ali kiba ..jux,mr.blue and shetta....wasafi watatii....🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@boazmasinde27644 жыл бұрын
Hahhhhaaa
@philevankaduma53784 жыл бұрын
Kwani asley bado anaimba?
@mashambwana98494 жыл бұрын
@@philevankaduma5378 😃😃😃Daah we umejua kumdharau
@Waberoya4 жыл бұрын
mindset ya kushindana, poor you
@robertsimba50814 жыл бұрын
@@Waberoya we mkundu toa u Malaya hapa takataka hii
@kesagutimseti285411 ай бұрын
Tz musics z no doubt the best in Africa, lyrics, nice swahili, air fresher.. Kenya mpo wapi?????
@vicenthafrey4157 жыл бұрын
wasikufananishe na beka wew nilevel nyingine kabisaaa aslay aseee I appreciate you mo than beka good work brother
@pablonzokira24017 жыл бұрын
Nyota yako ita shine more and more coz you are a blessing for the next generation, tamba sana tu, LOVE from Belgium.
@georgekaminja25114 жыл бұрын
X
@desmondkipkoech13186 жыл бұрын
My favourite song of all time. My love Precious Faith approved and I ever sang to her when she's mad at me and she will calm! It is a bomb of the heart! Thanks Aslay!
@salimpareh99955 жыл бұрын
At a mm naipenda san
@felistuschemutai85303 жыл бұрын
So.mee
@desmondkimosop22002 жыл бұрын
@@felistuschemutai8530 🥰🥰🥰
@acsizeburundi2567 Жыл бұрын
Nakumbuka xaan hiyi song ilikuja kama muoto wallah ni kali so love from AC SIZE ❤️❤️🙏🏻🙏🏻
@irenelukosi76257 жыл бұрын
Kama una mkubali aslay gonga like
@deendungu27596 жыл бұрын
Irene Lukosi i
@naomibarasa37376 жыл бұрын
uko juu to sana
@jepchirchirmatilda30726 жыл бұрын
Irene Lukosi I
@mercymbithe56517 жыл бұрын
Aslay ako juu bana mapenzi ya Kweli ukutana wawili wanao pendana tusidizishe washauri watasababisha tuje kkosana jamani 254 gonga 👍👍👍
@lemahkiranto97696 жыл бұрын
very true
@charityngunju64136 жыл бұрын
0706581818 nstue ak
@jonathanmj93787 жыл бұрын
Wa kenya 🇰🇪 nipeni likes kama iyi ngoma kali🙏
@wanjikuchege38367 жыл бұрын
MJ Rex Band we repping
@nafisamohamad31827 жыл бұрын
MJ Rex Band kali zaidi mm ni shabiki mkubwa wa aslay from +254 tupo tunaendelea kusaport ngoma zake2
@bahatimbezi66787 жыл бұрын
Noma sana aslay
@lenceronyonyi71177 жыл бұрын
Kali I say nakuunga mkono nikiwa +20
@faithmaganga11927 жыл бұрын
MJ Rex Band kali zaidi ya sana
@munezeroladouce3222 ай бұрын
Wazazi wake hawakuwahi kunipenda wala kuni furahia ila alipenda kuniimbia haka ka song ,ila roho ilikuwa ikiniuma sana😢😢
@ommykjunior12537 жыл бұрын
Dogo uko vizuri endelea kukaza na kuomba mungu
@rehemaahmed19847 жыл бұрын
Aslay I love ur songs..I am ur biggest fan.. hii nymbo kubwa sana, naomba uipe nafasi kwanza mpk mwakani ndo uendelee na system yako ya back to back 💕💕💕...#keepiingthegoodmusicalive
@SirLoochie4447 жыл бұрын
I randomly saw this song on my IG trending page and for some reason I clicked on it lol I have no idea whats being said in the song but oh dear!!!! This song is amazing!!!! Much love from the USA 🇺🇸
@irenemusyoka344411 күн бұрын
Wangapi bado tunavibe tukifunga mwaka 2024
@joharilastborn25834 жыл бұрын
Ndo maana nacheza ya watu natupia mbali,hii corona imefanya ni watch ngoma za kitambo manze who is with mi?
@lusekelomwasanga28157 жыл бұрын
hehehe uyu aslay mfungieen maaana duuu sio poa misiba kila sikuu hehe respect mnyamwezi ngoma kali
@osooabina7 жыл бұрын
LYRICS Natamba natamba aah Kilicho nishawishi upole wako na heshima yako Wazazi wangu wame kusifia sana kwa tabia yako Sura yako ya upole inanivutia aah shepu twiga Mwenda pole najivunia aaah Ooh tupeane mapenzi iwachome eeh Na kama namba waisome eeh Ata tukigombana wasione eeh Washike jembe wakalime eeh Mapenzi mazurii wakutane wawili wanao pendana sizidisha washauri watasababisha tuje kugombana aah eeh Aaaaa eeeh angalia shepu aa eeh Ka Wema Sepetu aaah eeeh angalia jicho aah eeeh Hamisa Mobetto aaah eeeh ka rangi kake aah eeh Elizabeth Michael aaah eeeh yani we mrembo aaah eeeh wah rai Nachukua jiko we ndo wangu wa milele (milele) Nauza dagaa ili ninunue motorcar nikuridhishe Unanipa furaha na nguvu ya kusaka chapaa nisikuangushe tuna nyota ya adamu na hawa ooh Tunavyopendana ata wakituchukia ni sawa ooh Tu aminie mama wanaona umenipa dawa ooh wanaongea sana chunga usije kuota mbawa ooh ukaniacha dilema watabili pewza penzi litafika mbali(nitacheka kiingereza) Ndo maana nacheza ya watu natupia mbali jamani watabili pewza penzi litafika mbali ( kwa kweli amtoweza) ndo maana nacheza ya watuy natupia mbaliu (basi bebi nikumbatie) aah eeeh Aaaaa eeeh angalia shepu aa eeh Ka wema Sepetu aaah eeeh angalia jicho aah eeeh Hamisa Mobetto aaah eeeh ka rangi kake aah eeh Elizabeth Michael aaah eeeh yani we mrembo aaah eeeh wah rai Nachukua jiko we ndo wangu wa milele (milele)
@alphoncemayala78177 жыл бұрын
OsooAbina ok,nc nc nc 👍
@sherryshanty36357 жыл бұрын
OsooAbina waoh
@evaristakamasho28117 жыл бұрын
hatariii,uko vizur Mdogo angu
@collinsmunambo85247 жыл бұрын
hapo sawa iko juu sana
@andrediluundo92137 жыл бұрын
nice
@queencynthiaadhiambo26033 жыл бұрын
Kwa kweli nyimbo za aslay zina mmbo za kutuliza roho ata kama uyuko in moods unafil to umechangamuka
@shamsaally93857 жыл бұрын
Ngoma kalii Sanaa Kama unamkubali aslay like za kutosha hapa
@michaeljonas74977 жыл бұрын
ila huyu dogo ni fundi dah!!
@motamohele82527 жыл бұрын
Shamsa Ally upo safi sana
@motamohele82527 жыл бұрын
Anatisha kijana
@joshualaiso53217 жыл бұрын
namkubali sana
@salomeadam8667 жыл бұрын
waho natamba
@raulenciaruben8247 жыл бұрын
Jamani nani kama aslay...... Gonga like kama unamkubali PAPA WA MUSC
@Iam_Becky7 жыл бұрын
Goodness what a great song...awesome lyrics...brilliant mind...Piga show Nairobi ...
@shashasharon2644Ай бұрын
I will just sign hapa comment section ndio if anyone likes my comment i come back and listen to this jam! 25/10/2024.
@kelvinchegekenya99807 жыл бұрын
Niko kenya lakini Aslay ako m na kazi nzuri
@omarysaidy66337 жыл бұрын
dogo huko vizuli komaa uwashike wasikutishe hunaweza hamnia
@emiymungutunusuluamosi38166 жыл бұрын
Nice
@juliejulie60637 жыл бұрын
sasa huu wimbo uchi uko wapi? watu na chuki zao, Big up aslay wimbo tamu sana
@ashrafali58587 жыл бұрын
Julia 1989 mashallah japo yaniumiza roho 😙
@ashrafali58587 жыл бұрын
Julia 1989 kupendwa raha lakini kutwenda
@stevstevin18816 жыл бұрын
W
@karengatwiri35227 жыл бұрын
Sijui kwa nini wimbo huu unaisha haraka hivi...naweka nikigeuka hivi kidogo napata kameisha...yaani nimeshindia hiyo siku yote.
@sylviakadeha32617 жыл бұрын
Karen Gatwiri ...hata mimi jamanii. .😃😃😃😃
@alexmalema40942 жыл бұрын
Hapa aslay alitisha Sana kudadeq hatari sana aaaaaaaa natamba
@razansalim5325 жыл бұрын
Nani yupo hapa 2019 gonga like hapa tusonge mbele
@witnessmwikangila93705 жыл бұрын
Twiix_57 Hfc wozaaaa
@Belle_Empire6 жыл бұрын
verse 1 Natamba, Natamba Aaa Am boasting, am boasting Kilicho nishawishi upole wako, na heshima yako, Your politeness and respect tempted me wazazi wangu wamekusifia sana kwa tabia yako, My parents are proud of your personality Sura yako ya upole, inanivutia, Your polite face attracts me Shepu Twiga mwenda pole, najivunia, Shape like a giraffe slowly going, am proud Oh tupeane mapenzi iwachome(Eeee), Oh let's share this love so it pains them Nakama namba waisome(Eeee), It's up to them Hata tukigombana wasione(Eeee), Even if we quarrel let's hide it from them Washike jembe wakalime(Eeee), Let them go work Mapenzi mazuri wakutane wawili wanaopendana, Love is sweeter when there's love between couples Usizidishe washauri, watasababisha tuje kugombana, Do not add advisors they might break us apart chorus Aaaaae! angalia shepu, Aaaaae! Ka-Wema Sepetu, Aaae! Look at that shape, Aaaae! Just like Wema Sepetu Aaaaae! Angalia jicho, Aaaaae! Hamissa Mobetto, Aaaae! Look at her eyes, Aaaae! Hamissa Mobetto Aaaaae! Karangi kake, Aaaaae! Elizabeth Michael, Aaaae! Her colour, Aaaae! Elizabeth Michael Aaaaae! Yani we mrembo, Aaaaae! Walah nachukua jiko, Aaaae! You really are beautiful, Aaae! I swear I will marry you “ Aaaaae! angalia shepu, Aaaaae! Ka-Wema Sepetu, We ndio wangu wa milele, You're my everlasting verse 2 Nauza dagaa, ili ninunue motorcar nikuridhishe, Am selling sardines so that I can buy a car for you Unanipa furaha, na nguvu ya kusaka chapaa nisikuangushe, You give me happiness and energy to work so that I won't disappoint you Unanyota ya Adam na Hawa(Ohooo), Tunavyopendana, We are like Adam and Eva the way we love each other Hata wakituchukia ni sawa (Ohooo), Tuaminie Mama, Even if they hate us it's okay, trust me baby Wanaona umenipa dawa (Ohooo), wanaongea sana, They think you bewitched me, they talk too much Chunga usije kuota mbawa (Ohooo), Ukaniachaga kilema, Be careful don't you grow wings, and leave me lame Katabiri pweza penzi litafika mbali, Nacheka kiingerza, Octopus predicted our love will last long, am laughing in English Ndio maana nacheza ya watu natupia mbali, Mh Jamani, That's why am playing, I don't care about other people's stuff Katabiri pweza penzi litafika mbali, Kwakweli hamtoweza, Octopus predicted our love will last long, truly you can't Ndio maana nacheza ya watu natupia mbali, That's why am playing, I don't care about other people's stuff Basi baby nikumbatie mama So baby please hug me mamy Aaaaae! angalia shepu, Aaaaae! Ka-Wema Sepetu, Aaae! Look at that shape, Aaaae! Just like Wema Sepetu Aaaaae! Angalia jicho, Aaaaae! Hamissa Mobetto, Aaaae! Look at her eyes, Aaaae! Hamissa Mobetto Aaaaae! Karangi kake, Aaaaae! Elizabeth Michael, Aaaae! Her colour, Aaaae! Elizabeth Michael Aaaaae! Yani we mrembo, Aaaaae! Walah nachukua jiko, Aaaae! You really are beautiful, Aaae! I swear I will marry you We ndio wangu wa milele, milelee You're my everlasting
@saidamurenga14544 жыл бұрын
I love this song
@lumierembilizi9664 жыл бұрын
TREASURE MEDIA great work, bro! I'm impressed 😮 ❤️
@brkomar56294 жыл бұрын
Jufeqaswida
@kizazijeuri28867 жыл бұрын
wa tz tunaombeni tubadilishane mtupe aslay tunawapa kaligraph na pesa tunawapa juu
@wakitaapino36287 жыл бұрын
mudy ally yeah neah
@yusuphitanake247 жыл бұрын
mudy ally we we,nikari
@collinsaron96944 жыл бұрын
My fav song...2020 na still bado hii ngoma iko juu...aslay feel loved from Nairobi Kenya
@abidonndumieni12117 жыл бұрын
yan napenda unavyo imba kaka upow pow sana mungu akuzidishie mara 1000000000
@mwinjumaeliah75297 жыл бұрын
abidon ndumieni @ kwahy mbinguni mpenziwako wa kizaramo
@princefrancis55757 жыл бұрын
#254-in the house:::wah umeweza daddy....counting 254 supporters #likes
@mskhatoro15827 жыл бұрын
Prince Francis habar
@princefrancis55757 жыл бұрын
poa sana bro
@fulgentmwanyalord26137 жыл бұрын
Not a club banger, but definitely it will sooth many souls beyond our generation...... good choice of rhythms..... Good composition.... I love it.... Many people can relate with it.... kudos Aslay......
@awadhali5916 Жыл бұрын
My fovourite bongo star big up broo!!
@chimwanajayne27007 жыл бұрын
Kama umeipenda hebu tabasamu kwa kingereza ❤️❤️❤️❤️
@florambembela53807 жыл бұрын
jeanne charles
@sallykanze7 жыл бұрын
Hohoho
@dorineshayo17467 жыл бұрын
jeanne charles
@scolaodeyo81106 жыл бұрын
Kwakwel this is my favourite song..I just love it. I wish ungekuwa umeimbwa na mwanamke kwa mpz wake. weldone Ashley
@scolaodeyo81106 жыл бұрын
jeanne charles Hahaha nmecheka kabsa
@perpetuahshiroh64824 жыл бұрын
Wangapi tuko hapa after kuona cover ya "slayking" #kilimani group 🇰🇪🇰🇪🤣lovely song ❤️❤️ 🇰🇪
@cessyachieng627 жыл бұрын
I love this song..can't help but keep watching it over and over...The lyrics are dope
@melaniaanney47314 жыл бұрын
Hii nyimboo daaah mpka makosa cha kuelezeaa inanipeleka hisia zang mbali sana.... Aslay mungu akujalieee uendelee kutupa Raha mashabiki usikate tamaa uar talented
@husseinremmy81027 жыл бұрын
daaaaah asee Tanzania rahaaaaa
@bernadethabenangodi7 жыл бұрын
Hussein Remmy raha sana
@ashazitto68847 жыл бұрын
Hussein Remmy tena sana
@ashazitto68847 жыл бұрын
Hussein Remmy tena sana
@husseinremmy81027 жыл бұрын
Asha Zitto haahaaa asha seen you
@ashazitto68847 жыл бұрын
Hussein Remmy nimeona kaka yangu 😀😀😀😘😘
@contridasanga35347 жыл бұрын
We ni fund daaaaa anakosha nilienda club nilipockia nyimbo yako daaaa nilicmama kwenda kuchezaaa big up bro
@casmirmogute45057 жыл бұрын
i dont understand why this guy is underrated in Tz hes so talented
@mwajumakitano8423 жыл бұрын
Asante sana wow beautiful song keep going🤗
@dolarodelricho85117 жыл бұрын
Kama umeikubali hii ngoma gonga like kwa aslay
@josebrownbongo97777 жыл бұрын
aslay nikama ndio alibeba yamoto band..👏👏👏
@furahampanga4866 жыл бұрын
Penda sana
@kelvine-lloys52196 жыл бұрын
Kweli kweli
@isaacsangiz1775 жыл бұрын
254 representing in 2019,wekelea like hapa.
@kadeejak62922 жыл бұрын
Hongera dogo aslay nyimbo zako nzuri
@kadeejak62922 жыл бұрын
Kwa sanaaa tuu aslay safiii sana
@oscarmiheso95645 жыл бұрын
Am glad he woks with a Kenyan producer!
@zuenaomary99877 жыл бұрын
duuh ngoma Kali jamani kiukweli Dogo anajua mbayaaa gonga like km unamkubali kwa asilimia 100
@waltermsacky49477 жыл бұрын
love
@benjaminmike97787 жыл бұрын
Nmeskiliza hii nyimbo takribani na mara ya 18 sasaiv mfululizo
@angeldaniel38167 жыл бұрын
angalia jicho hamisa mobeto
@priscaalfred79727 жыл бұрын
Una kipaj sana Kali sna hii...Fanya kuongeza elim pia mapema ili usikose nafac zaid
@omoloerick3306 Жыл бұрын
There some memories I can't erase because of this beautiful song!
@mcoyoojakasipul7 жыл бұрын
Kazi nzuri sana Aslay,,,, DUH!! 👏👏👏 karangi kake,,,,,,, nimependa hii haki ya mama 😍😍😍 endelea kutia bidii kaka,,,,
@elibarikipiniel16737 жыл бұрын
wasanii mjaribu kua wabunifu, Wema mara lulu kila msanii anaimba...au ndo wanawake mliona wazuri Tanzânia nzima maana na boa, mara nyingne hua najiuliza huenda mnalipwa na hao wanawake ili muwataje maana otherwise mnaboa #we need changes from the game