For Bookings: aslayisiaka@gmail.com Follow Aslay on: aslayisihaka aslayisiaka AslayOfficial
Пікірлер: 6 371
@localtv20754 жыл бұрын
Ngoma ikiwa kali bhana hupati tabu kabisa... toka jana sijaplay ngoma yytee daaah
@mpoleclassic1604 жыл бұрын
Nyimbo kali wote wameuaaa bt na mimi leo naombeni like jaman🇹🇿🇹🇿
@gadafigadafi44644 жыл бұрын
PD uko vizu hauna chuki
@mahijakapingu3954 жыл бұрын
Tuko pamoja
@faithbabra31244 жыл бұрын
Aki imeweza much love from kenya....
@shivapossa18614 жыл бұрын
Ok
@irinecharles19344 жыл бұрын
Kwenye vitu vizuri usiweke chuki ili ujifunze mazuri mfano punguza kuimba matusi kwasisi wenye hofu yamungu unatupoteza kama shabiki wako wazamani tangu nitarejea ila nimehamia King Kiba
@cmaxfrans46544 жыл бұрын
Nice song. Love the calmness and swagg of Alikiba.
@robertmwasoghona41244 жыл бұрын
King kiba aslay natakata na penzi lako, ulivyo mtamu rahatele sukari ucongeze .original bongo .naomba like jamani
@jumafarid88614 жыл бұрын
Kudadadekiii niliijua hii lakn duuuh!,wameua mbayaa masauti ya watoro wa madrasa ni balaaa Aslay x Alikiba#bembea.
@omayaedward46654 жыл бұрын
Nilijua aslayXalikiba wataipindua dunia sasa povu litawatoka mpaka wakome walah hiii ngoma nataka KZbin mpaka bando LA elf20 likatike
@ibrahimuadamu31714 жыл бұрын
Ali kiba ni kama maji kwenye music wa Africa "usipo oga, utakunywa,utafulia"king
@elimuathuman46094 жыл бұрын
ibrahimu adamu 😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥✔️🇹🇿✔️✔️
@mustaphajuma68214 жыл бұрын
Bonge la collaboration big up sana .....wewe ndio King hakuna mwingine ndani ya Bongo...like yko please km umekubali hiki kichupa."
@dadygirl41534 жыл бұрын
wozaaaaaaaaah🎶🎶🎶🎶🎶🎧🔥🔥🔥🔥🔥ngoma Iko moto sana aiseeee jaman guys wanaoikubali hii ngoma gonga like🔥🔥🔥🔥🔥
@herielshalua31194 жыл бұрын
Daaaa mpaka nmekosa chakuandika taam x utamuuu
@christophersoty1014 жыл бұрын
Anayerudia kusikiliza unyama aloufanya KIBA humu ńdani adondoshe LIKE apa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Nyimbo hatari sana aisee shikamoo kiba
@theafricanprincevivecongo86324 жыл бұрын
Christopher Soty 𝓂𝒾𝓂𝒾
@officialfadhilomar52494 жыл бұрын
Hahahaaha dah kiba kiba tuuuuu
@ummunaaleicester43374 жыл бұрын
Tupo
@dickkillyjamaanajuasana63114 жыл бұрын
Christopher Soty zaidi ya hatar
@mkamaboy20164 жыл бұрын
Gonga like ngoma imefika 1m views ndani ya siku 2💪💪💪💪 Km unarudia kusikiliza hii ngoma kila dakika fanya kulike
@salehnzala93904 жыл бұрын
Hgg
@zaimakundi68294 жыл бұрын
Nona kali
@zaimakundi68294 жыл бұрын
ngoma kali
@mohammedjamal50224 жыл бұрын
Ali Kiba can't make bad music even if he wanted to.. Aslay ft king Kiba 🔥🔥🔥
@zahrahassan93274 жыл бұрын
True naikubali💪💪👌👌👌✌️💯💯💯
@MCbwel3 жыл бұрын
Si nilidhani wahenga walidedi,.. Kumbe uliponea.. 😳😳
@sskkondo223 жыл бұрын
@@zahrahassan9327 uv
@sskkondo223 жыл бұрын
@@zahrahassan9327 v
@sskkondo223 жыл бұрын
Vb
@wlyisaac4 жыл бұрын
Sikutarajia king kiba na aslay kuimba pamoja..nyimbo faya🔥🔥🔥like fans
@DonMooSTUDIO_Express4 жыл бұрын
Kama umeielewa vilivyo fanya kubonyeza hapa chap harafu SUBSCRIBE kzbin.info/www/bejne/hJvKi6BjoJhorJI
@nahasongichia26964 жыл бұрын
Waaah alikiba kweli atabaki kua mfalme, huwezi mliganisha na wengine
@salmushhechi8754 жыл бұрын
Jamani aliye rudi sena ya king kiba a like twende sawa respects aslay &kiba
@ramamanyama29444 жыл бұрын
Bonge la colabbo mwaka 2019 naomben malikes jaman stak kuongea meng kuhusu hii ngoma
@nuruabdullyhabib22263 жыл бұрын
Najikuta nabembeaaaaa ndio leo naiskilza kweli nilipitwa......fanyeni nyengine asley nimependa ujiachia hadi umenisisimua
@simonmtuka84734 жыл бұрын
Eee bhana eeeeh!!!! anaesema hii ngoma tamu na imeimbwa kwa ufundi gonga like ili twende sawa
@jofreyrobert3834 жыл бұрын
Simon Mtuka ngoma Kali hatar sana
@simonmtuka84734 жыл бұрын
Hawa watu ni mafundi hstsri
@amossamweli13524 жыл бұрын
napenda ngomai ipige nikiwa nimell?
@evenewa64724 жыл бұрын
Ni pale ambapo unaempenda (Aslay) anakutana na unaempenda ZAIDI (King Kiba himself) unadhan Nin kitatokea, haya sasa bembea ndo matokeo yenyewe ouuuuh you guys mmejua kunikosha mie ♥️♥️
@dynamiccrew30904 жыл бұрын
Hey let them shine at night of a thousands enemies and conquer the best of music zone, Be the best in whatever u do. This song is kinda of the best mantra ever hits ... not only Amazon but but also Everton City....Show them love from USA !!!!
@karimissa7634 жыл бұрын
Yaani ukiamka na ukaanza kuusikiliza wimbo huu bac ujue cku yako itaanza vizur sana sana 🔥🔥🔥
@harunashabani73684 жыл бұрын
Ni umeme huuu...ukisikia kolabo ya baba na mwana ndo hii xx, kwakwel this tune never exist before
@muuhhb47874 жыл бұрын
Daah yan wasenge wamechomoa betri mbele ya kituo cha petroleum.... Bigup San king -&$ Aslay...mamaeee wataisoma #1
@favouropande10654 жыл бұрын
Music that rings good to the ears and music that cuts across to all and music that lasts over time.....Haishi ladha na hakuna kelele. Big up our Kenyan citizen Ali kiba and Aslay you have out done yourselves on this one.
@elimuathuman46094 жыл бұрын
Favour Opande 🔥🔥🔥🔥
@xas224 жыл бұрын
" ...hakuna kelele " is that a dig at our naija friends ? 😄
@ramabendera81834 жыл бұрын
Kama umerudia seemu ya kingkiba kama mara zote gonga like
@trm_tba98204 жыл бұрын
Sure
@laurentchimbirani59904 жыл бұрын
Anasema ulivyo mtamu raha tele, sukari usiongezee
@justinadamiane34964 жыл бұрын
Saana
@hussenseck14904 жыл бұрын
Rama Bendera jamaa anajua
@abelmwaipungu82874 жыл бұрын
King kiba nikiboko yawoo
@totoyamungu4 жыл бұрын
👑👑Kibaaaaaa bongo hakuna km ww chiiiiiiiii🙌🙌🙌🙌
@hyasintakundy3694 жыл бұрын
Yooo kichupa kipo poa alikiba hachaguagi msanii wakutoa nae ngoma ndio maana nampenda😍😍😍😍😍
@stephenochieng38464 жыл бұрын
Wasafi washachafuka baada ya kunde boy kujitoa.. Huku sisi KING KIBA twawika.. Mambo ya waflme hii... Team KIBA +254 tumejaa
@JohnJohn-ec5wz4 жыл бұрын
Qumamaqeeeeeh nyiemmejua kuwanyamazisha walekule upande wa pili KIBA NA ASLAY it's EVER 👊👊👊👊
@karimissa7634 жыл бұрын
Yeeeeebaba 🔥🔥🔥
@darceramica87824 жыл бұрын
Sijajua kama hii beat mnaisikia vzr !!! Maana nimeweka hear phone nausikia unadundia kwenye moyo!!
@ferdcoast4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@milemo6044 жыл бұрын
Humziki hunarudisha mapenzi yangu kwa x wangu hupya Aslay mungu hawabariki mana Sio kwakubembeleza huku. Namtafsiria mzungu Hadi hana weweseka.
@danimligo78224 жыл бұрын
mnaharibu kiswahili jaman dah🤔
@rocksstartv76864 жыл бұрын
Siku zote nimekuwa MTU wa kunyimwa #like mpaka natamani nistoe #koment yeyote mbona nawapa jamani huu sio ustaarabu munipe like
@julietajwang48224 жыл бұрын
Ukipewa likes then what next everyone is asking for likes
@gabrielobote70934 жыл бұрын
Mfalme ameguruma watu wamechana mbuga big up kiba the real king of bongo flavour
@blackdick4blackwoman8914 жыл бұрын
as its my first time hearing this Aslay,,much love from uganda,,tz & kenya mnipe likes zangu
@4realonlinetv1694 жыл бұрын
Uganda we are coming 12/9/2019 & 13/9/2019 show 💕 to ur 👑
@bonifasmwitahmadenge11524 жыл бұрын
@@4realonlinetv169 I like you people
@bonifasmwitahmadenge11524 жыл бұрын
Tuko
@stephenkalu12204 жыл бұрын
Mmmmh from Kenya here
@salimkhamis2934 жыл бұрын
Daaah kama umekubali mziki wa King kiba na aslay gonga like apaa mm kama mm Big up sana nakukubali king kiba tengeneza kazi broo ww ndo star miaka 100 unakubali ..From zanzibar unguja bushii welcome
@Binarybotsltd4 жыл бұрын
Walioregelea verse ya king kiba nipe 👍
@christophersoty1014 жыл бұрын
Kama Nawewe hii ngoma haikuishi Utam kama Mimi gonga LIKE kubwa Nyimbo Taaam kushinda juice ya embe boribo 🔥🔥🔥🔥 Watavaa vyupi round hii
@elimuathuman46094 жыл бұрын
Christopher Soty Balaaaa
@aishaawadhimalokimaloki99534 жыл бұрын
😃😃😃😃😃
@juliussanga48744 жыл бұрын
Aslay kiba ndio mtyu wakutoa nae ngoma kali kama hizo ona alivo kutendea haki hapo hana wivu jembe namkubali all
@ousmanjuma33964 жыл бұрын
from Thailand much respect to alikiba king of africa
@yosefalkhalil61124 жыл бұрын
Ousman Jumz yap
@paulchalela39254 жыл бұрын
Find me on wasap +255744780542
@paulchalela39254 жыл бұрын
Find me fb Paul chalela, even Instagram
@rohimapretty46644 жыл бұрын
❤❤❤❤💝💝💝💝💝
@razaromganga52404 жыл бұрын
.yebaba
@juniengkeeby30724 жыл бұрын
Jaman hiii utamu unausikia kabsa anaebsha akakojoe akalale huko king kiba & aslay Ahsante sana kwa ngoma kaliiiiiiii mtabaki kua juuu #juuuu zaid💯🇹🇿
@salumuabedi20204 жыл бұрын
Wangapi wako hapa tukisubiria 1m nataka niwajuwe kwaku 👍 mana huu mchezo wakubembea sisi ndo wenyewe team Kiba team Aslay atushindwi sema yebaba
@elimuathuman46094 жыл бұрын
Salumu Abedi Here we are
@andrevdheuvel43404 жыл бұрын
Tupo hapa tumeweka camp🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@salumuabedi20204 жыл бұрын
Jamani mmenikosha roho kabisa 1.1m yooooooooo Kiba for life
@chomafamily4 жыл бұрын
dah hii ngoma tamu sana yani kila nikisikiliza naludia tena,safi sana Asley & Kingkiba
@vicentdaudi55324 жыл бұрын
Oyooooo team kibaaaaa wap Wap team Ashley hahahaahaah Nakubaliiiii sanaaaa
@athumaniddy90844 жыл бұрын
Trending no 1 in the world king king kiba
@frankchibago32064 жыл бұрын
Ndani ya 2day tumengonga #️⃣ 1️⃣ Ⓜ️🏁 alaf sio za kubusti 🕺💃 Team kiba piga keree 🗣️see yeah yebaba hatarifaya 🔥 🏃 safari ikopalepale
@abubasharkikoti10924 жыл бұрын
Wale wanaorudia rudia kuitizam hii nyimbo na hawachoki kama mm tujuan jaman 💥💥💥🎼🎶🎶🎧
@abubasharkikoti10924 жыл бұрын
🎼🎧🔥🔥🔥
@hamedmohammed89124 жыл бұрын
wanga wanasubiri waone utavonomwaga aah bembea. like za kiba zinanihusu jmn😎
@immanuelbendict65154 жыл бұрын
Yeeh! Baba
@andrevdheuvel43404 жыл бұрын
Team kiba na team asley tuenjoy ngoma tamu Leo tufikishe milioni🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@maedsonmahonge1224 жыл бұрын
acha utani aiseeeeeee! this is one of BIGGEST SONG IN THE WORLD... I LOOOOVE IT
@karimissa7634 жыл бұрын
Yeeeeebaba
@khadijakhadija62124 жыл бұрын
1M,tuendelee kuiangalia
@POGMESSITV4 жыл бұрын
@@khadijakhadija6212 ❤👀
@khadijakhadija62124 жыл бұрын
@@POGMESSITV ok sante
@halfahalfa97284 жыл бұрын
Aslay popote ulipo toa heshima yako kwa KING KIBA hapa kakuvusha mbali sana mamamae Duuuuuuuuh! Tuache unafki anaejua anajua tu jamani Tunaburudika bila kutoka jasho Bonge la nyimbo 👏👏👏👏👏
@KingKong-db9zv4 жыл бұрын
Yeah huwezi kukanyagana kwa beat hili unatingisha tu kichwa yebabaaaaa
Wote wamefanyakazi nzuri sana kuanzia Beat hadi Audio & Video. Kamawakubaliana na mimi sawa sana.
@zulfadaudi99264 жыл бұрын
Yan bembeen tu kwenye moyo wanguuuuu ali &aslay😍💓
@elimuathuman46094 жыл бұрын
Zulfa Daudi 🔥🔥🔥🔥
@kimani7544 жыл бұрын
We need a full Aslay Ali Kiba Album.. Mannnn this is smoooth Mpaka simu imeteleza damnnnnnnnnnnn
@ericboniphace65464 жыл бұрын
never thought of Alikiba and Aslay in one song this comes out like a surprise to me!!!!!
@rinaalbaloushi29814 жыл бұрын
💯💯💯
@Epiread20244 жыл бұрын
Same
@patelpmax99544 жыл бұрын
Hawakoseag king & his young brother big up mmeuwa jaman
@Azzer_Classic4 жыл бұрын
Am watching this in London huku wote wasema Aslay x Alikiba for real nisha share kwa group za huku zote na Facebook page pia tusha share mko juu niko London on click # bembea
@yassinmohamed82414 жыл бұрын
2 on trending # fireee kama unaamini italudi na 1 niachie like yako hapo 👇👇💕 Enx
@kgchippy4 жыл бұрын
Watu wawili wasiohitaji international colabo and stil rock the bongo entertainment
@julietajwang48224 жыл бұрын
Yeah
@praxedadominic98644 жыл бұрын
Mimi Team WCB bt apa nimekubali unafk naweka pembeni nyimbo nzur sana nimeipenda sanaaaaaa
@fridahmollel32674 жыл бұрын
Bonge la nyimbo nimeipenda sana Aslay na King Kiba big up nawapenda sana
@kadrihussein1524 жыл бұрын
Team kiba mbona mnanibania likes zenu
@maggienjeri32604 жыл бұрын
Ali kiba nd aslay luv u guyz sana it one wk nd i watch it kila siku aki nawapenda king kiba tambua u sana aslay african prince uko juu%%% gonga like kama tuko pamoja
@elimuathuman46094 жыл бұрын
Maggie Njeri 🔥🔥🔥🔥
@mashakagwesa99834 жыл бұрын
Huu ndio muziki, hii mingine ni misiki tu, saluti sana Kiba na aslay
@getrudehassan30364 жыл бұрын
De amaizing king kiba voice wolllaaa, wallah nabembea tuu hapa nilipo Aslay big up
@justinadamiane34964 жыл бұрын
Yebaba
@getrudehassan30364 жыл бұрын
@@justinadamiane3496 for really
@ashaherzog44884 жыл бұрын
Vocal kama Zoote Yebabaa🎶🎶 💥💥💥👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽🇦🇹🇰🇪
@malikkb64444 жыл бұрын
Still not getting enough of this jam!! It's like am hearing it for the first time!! Natakata takata natakata na penzi lako....💓💓 So soothing
@barakandilatuma83474 жыл бұрын
Mungu akulinde Ali kiba kpenz Cha watu Uishi miaka mingi Dunian LIKE Kama unamuombea mema alikiba Azid kutubuludisha!!!
My All time crush😍😍😍😍Aslay always on top😘😘😘😘😘😘team Aslay &kiba
@hamisimwakuteza15424 жыл бұрын
+254 Shem alikiba huu mwaka usiishe njoooo nyumbani Kenya... your second home we miss yu
@binomaliza32824 жыл бұрын
Gud combination ngonga like twende sawa goma kali
@khalfanhamisomar92054 жыл бұрын
bonge la kichupa nimekielewa kinoma tim kiba piga keleleeeeeeeeeeee
@ReneeTalullah2544 жыл бұрын
my favourite bongo artist combo,couldnt be better...i love you from kenya
@halemaahmed72294 жыл бұрын
Alikiba HAJAWAI poteza njia kabisaa yaani akiachia ngoma inafunika zengine zoteee
@mwanaahmed34094 жыл бұрын
It is hits song congratulation to them king kiba and asley..........
@primostemba4 жыл бұрын
So wanzee wa Vocal wamechomoa Betri like kama una Bembea🔥🔥💪💪🤙
@furahabolenge15824 жыл бұрын
Nakupenda bure asley Duhuu unaniachaga hoi na nyimbo zako big up alikiba utabaki kua juu Miye penda weye sana gonga like Yako Apo twende sawa
@danielmfikwa50174 жыл бұрын
"Ulivo mtama Raha tele sukari usiongezee" Yeeebabaa kama unamkubal KingKiba like hapa👑🔥
@ericrsong47784 жыл бұрын
1st view from USA 🇺🇸 yeeebaaaa. Yoooo💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾 king king Kiba Jameni nipeni likes kwa kuakilisha Team kiba na Team AslayIsaka USA 🇺🇸 Fans of Good music always!!!!!!
Wa mbil awe mbil wa kwanza tuwe wa kwel🔥🔥🔥🔥#Bembea
@ogegaenock2344 жыл бұрын
Alikiba siku sote hatwangushii!! Harmonies ziko juu sana. kalii kama wao wenyewe
@elimuathuman46094 жыл бұрын
Enock Ogega 🔥🔥🔥🔥 Sana tuu
@erickndunguru18244 жыл бұрын
Kama hujaskia tusi umo embuu like tujuaneew
@brayofyta85254 жыл бұрын
from Kenya 🇰🇪🇰🇪, King kiba 💥💥, show some love na likes, msiniangushe
@jumamilner17304 жыл бұрын
Kiba noma
@julietajwang48224 жыл бұрын
Kiba always the best
@emmanuelmilala66684 жыл бұрын
1 million soon
@neemagrace96484 жыл бұрын
brayo fyta yan nihatar kiba wapoteze kam wote yan
@brayofyta85254 жыл бұрын
@@neemagrace9648 kabisa
@masala80994 жыл бұрын
Uliyeona mwishoni king kiba kaamua aambulie kupapasa mguu wa mrembo gonga like kubwa
@andrevdheuvel43404 жыл бұрын
Uwiiiiiiiiiiiii watu tunaenjooooooy na bembea, motooooooooooooo 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@elimuathuman46094 жыл бұрын
Andre Vd Heuvel Wa kuotea mbali✌️✌️🔥🔥🔥
@inversedelcruise6764 жыл бұрын
Raha sanaaa aisee, safi sanaaa, asley unajua hadi unakera, mfalme ndio habari ya mjini
@elimuathuman46094 жыл бұрын
inverse del Cruise 🔥🔥🔥
@amanimasikilizano93324 жыл бұрын
Kali sana wa zee wa kazi nakubali kbs iyi moja ni fimbo 👏👏👏👏 Jamani nita kosa hata like 10 kweli kwaiyi ngoma ??
@effiekirui43124 жыл бұрын
Noma sna my favourite artist kiba na asly pita na like kama unawakubali from 254
@hatibujuma57014 жыл бұрын
Yani najikita ninafiraha ambayo haijawahi kuwa kwenye maisha yangu mungu awape kila jemap
@charlesmassawe51114 жыл бұрын
U-fey Ephy nakubali sana
@husnahasna71614 жыл бұрын
U-fey Ephy k
@husnahasna71614 жыл бұрын
U-fey Ephy .
@rayanalhabsi80294 жыл бұрын
makig wangu kazi mzuri ongeleni
@hamadiabinlahi64174 жыл бұрын
Namuelewa sana king kiba ajawai kutuangusha mashabikizake tukopamojanae
@andrevdheuvel43404 жыл бұрын
Raahaaaaaa bana 🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@bestentertainmentoneal2114 жыл бұрын
Love from Kenya it's a lit tune 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎶🎶🎶🎶 if you are watching from 254 and 255🇰🇪🇰🇪 Tanzania
@bongo36094 жыл бұрын
Hizi Tecno ni bora zikatazwe tu ! Nmekimbilia ku comment ile ninasend tu ikazimika ndio imewaka sasa hiv nimekuwa wa 2.6k dah!!! 🙄😏 Basi jamani nipeni like tu nitashkur
@shaukatmohammed76924 жыл бұрын
Hahaha wewe ni WCB kama simu imekataa ku comment🤣🤣🤣
@mandyuwimana77354 жыл бұрын
King always ever❣️❣️wa koseya chakusemaga hakuna kutafuna✌️✌️
@euverusjohn5393 жыл бұрын
Daa hawa jamaa ni noma sana .king kiba ni kwere kama imekubamba gonga like
@gervaswenceslaus61584 жыл бұрын
King murdered the thing! Wasiopinga tap thumb us #mfalmewanyika sio SIMBA TENA! ni KING KIBA!
@rehemahussein7484 жыл бұрын
Nipo hapa hadi tufikishe millions! King Kiba ni 🔥
@jaycalliam49564 жыл бұрын
Kimojaaaa
@SyntheticMusic2114 жыл бұрын
Mutafikisha mwakan
@jaycalliam49564 жыл бұрын
@@SyntheticMusic211 unafeel umewin then die first.
@hamishokororo3024 жыл бұрын
Vijana Wabaya Hawa... Ngoma Inaisha na Utamu... Kama Inaendelea vile!!! Daah.
@lizzylove13194 жыл бұрын
🔊🔊🎶🎵🎵
@karimissa7634 жыл бұрын
Daaahh!! Wimbo mtaaaaamu mpaka umesahau kuwa nadaiwa kodi ya house