As a Nigerian, I am deeply in love and obsessed with Tanzanian music. I have started learning Swahili 😁😁🇳🇬🇳🇬
@ab3ab3132 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@mariamjumanne52162 жыл бұрын
Good job 👍🏾😊
@rukiaiddyyahaya95062 жыл бұрын
Muongo wewe
@milagrecarlos34472 жыл бұрын
@@rukiaiddyyahaya9506 vc
@boscoloritah44042 жыл бұрын
@@rukiaiddyyahaya9506 kabsaaa
@ivaniswekha93662 жыл бұрын
I'm leaving my comment here, so that when you like it I listen to this masterpiece again!!!!
@shabs2212 жыл бұрын
On behalf of all the Kenyans iam here to say that this is a dope song. Tunawapenda watanzania. 🇰🇪🙏
@hajramfinanga6842 жыл бұрын
We love you too neighbour
@Thekidp3702 Жыл бұрын
No you don't love us hypocrites
@RehemaMakuka-q4e9 ай бұрын
Shukrani tunawapenda na sisi
@thekopiteliverpoolforever20276 жыл бұрын
Dogo endelea vivo hivo, East Africa ni yako.. Kenya twakukubali sana... Wenye mnaamini anastahili kuwa artist of the year mikono juu✋✋✋✋ kwa kugonga like hapo down.
@RealProffesiona10 ай бұрын
Aslay nampenda kuliko kitu chochote, my bro from TMK unajua vbaya, nikisikiliza hili goma, namkumbuka sana mitaa ya mwembe yanga! Da hatar sn but am in Canada now! 20/2/2024! Tujuane jaman
@DivinahKemunto-xl3hc5 ай бұрын
Nope connection yacanada
@DivinahKemunto-xl3hc5 ай бұрын
*nipe
@Dr.zaidi46 жыл бұрын
Huyu kijana hapotezi,yaani kila corner Nairobi na Mombasa kila mtu "ASLAY KICHAPO" utaratibu na ustaarabu kwenye sanaa.Congratulations,there's no flamboyance or mimicking in almost every presentation. Creativity at its finest
@asialashid68476 жыл бұрын
Geoffrey Embasa hongera sana mdogo wangu
@hodanibrahim4769 Жыл бұрын
I0
@angelsengo333 Жыл бұрын
11¹
@Thekidp3702 Жыл бұрын
😆😆😆😆 This is what happens when a kenyan is trying to comment like a Tanzanian ,your comment is funny
@Dr.zaidi4 Жыл бұрын
@@Thekidp3702 Inakaa haujaishi pwani wewe. Maana wazaliwa wote wa visiwani Wana mfumo mmoja. Si Tanga,unguja,kismayu,Comoro islands, daresalam au Pemba. Sote tunajuana kwa vilemba.
@chrisonlinetv16776 жыл бұрын
aslay no 1 acha like yako hapa kuendeleza harakati za huyu kijana
@paulinemoraa71454 жыл бұрын
FOR real Asley uko juu saaana kama pia wapenda hivi gonga like apa....♥♥♥♥mwuaaaah!!!!!!
@stephaniequartier19334 жыл бұрын
i'm from Cameroon 🇨🇲👏👌 discovered this song ...in Qatar my kenyan freinds could put repeat in the car as we drove for duty......
@panganpaul87826 жыл бұрын
hatariii asly wew mkaka jicho ilo jamaniiii yani nakupenda adi naumwa kaza butiiiiii wew ndo king wa bongo frv
@mumovincent21105 жыл бұрын
My grandmother who was 70 years old listened to this song now she is 69 yrs old............
@asheryissa61005 жыл бұрын
Hahahahhaaaha
@denniskipkoech5666 жыл бұрын
I think is one of the best songs from Tanzania and East Africa in 2018. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Nibebe bee [nakupenda usiwe namakuu]BabyNibebe bee [atakama nikininginiza miguu] Nibebe bee [wanataka niwechini wao juu] Mpenzi wee ninbebe bee {aaanhnn annnh
@athumaniwaziri6676 Жыл бұрын
Aslay is the best singer of love songs here in TANZANIA 🙏👍🙌
@RehemaMussa-d6f2 ай бұрын
Yan mimi ni team aslay forever sitochok kusikiliza nyimbo zak at miak 100 ikipita
@mbokachawe96576 жыл бұрын
Niiiceeee uuuwiiii... Ila nilijua tutapata kichupa cha mazingira ya uswazi... Uhuhuhuuu
@husseinmjengi97696 жыл бұрын
Niiiceeee uuuwiii ...Ila nishida dogo
@emedishebabinbawili47326 жыл бұрын
Aahaa kumbe ............ Nilikuwa nimesha miss mashabiki wa Aslay hebu gogeni Like hapa ili nijuwe kama muko wangapi.
@afmabeat95676 жыл бұрын
Hii ndiyo bongoflavour. Its sound natural & listenable. Sema ulover-lover vipi? Ngoma kali dogo. You are the real bongoflavour icon.
@DJWONDERGLIVE5 жыл бұрын
I like the fact you are independent from great labels like Wasafi...it makes your music and life have no contraversies...your record label/producer has also a cutting art/production
@faucynkrctian66074 жыл бұрын
Huku hakuna waomba likes Huku kuna mashabiki wa kweli Hakuna kiki kuna hits na talent tuu
@lizmarshal12325 жыл бұрын
Much love from Cameroon 🇨🇲🇨🇲🇨🇲🇨🇲. Your talent is undisputed 🥰
@martinnjogu76274 жыл бұрын
Swahili to the world
@pishiyamti94913 жыл бұрын
K mm km
@meleas82623 жыл бұрын
He is from Tanzania
@mutuamwende8523 жыл бұрын
@@martinnjogu7627I
@Thekidp3702 Жыл бұрын
@@meleas8262 Good job 😂
@kinyamal82013 жыл бұрын
Aslay's voice is so unique, i miss this kind of music, can't grow tired of them. 2021📌
@psalmsmith79803 жыл бұрын
It gives me Nostalgia
@ilishiramzah44886 жыл бұрын
Wa gapi mnakubali #Aslay💕💕💕...254 Weka like hapa🔥🔥🔥👌.....
@shiffahmahmoud85676 жыл бұрын
Mimi hapa aslay anikosha 😂😂😂kenya tunaimbiwa dawa ya mende
@ashasalum41326 жыл бұрын
Il
@m2kumbom2kumbo566 жыл бұрын
Ilishi Ramzah nko 💯💯💯💯👍 aslay ni 👉🔥🔥🔥🔥
@kelvinphillip10486 жыл бұрын
Ilishi Ramzah namuelewa kulikoooooooooooooo
@proudaggie79876 жыл бұрын
😜
@nyalegabriel45286 жыл бұрын
Aslay ulipo mkaka naaaminia ....mistari hii kweli iinoga ......mi nipe nafasi niingie studio nifanye cover song ..kali sana ...Akuzidishie ale juu
@engjeizanmohamedmahfudh82366 жыл бұрын
Usiwe mchonga vinyago utanifilisi mwisho wa siku tukigombana ikawa Hadithi.... My best lyrics #aslay umeeeuuuuaa. Team +79
@princeuzieri45486 жыл бұрын
Jmn asley unatowa ngoma Qaaali kama unamkubali asley weka like kutoka panda za United States USA
@mulunguthegreatedavid2896 жыл бұрын
team Yamato band & team aslay gonga like hapa... Ngoma kali ile the fireeeeee "" """""""" "" "fireeee
@monicamuasa50444 жыл бұрын
Aslay umenibeba kweli.the guy in chorus amenimaliza pia
@divinahkerubo86352 жыл бұрын
Aslay my favourite ❤ bongo artist ...Kenya tunakulombotove saana walahi 😊 😊
@josephkadudu54086 жыл бұрын
Sina la kusema juu ya huu wimbo hakika unani fariji na kuniburudisha kazi nzuri Aslay
@jumaxavel10326 жыл бұрын
Aslay best artist wa Tanzania kama unamkubali gonga like kwakee aslay
@RomanusTv6 жыл бұрын
the video quality is so perfect, the lyrics are addictive, the voice is sweet, BIG UP ASLAY
@muvika96176 жыл бұрын
kideo kizuri, nyimbo nzuri na expect uendele level nyingine next song
@mangiruben3 жыл бұрын
Oyyaaa? mko wapi? lazima tufike 10Million.... am back here every week
@mangiruben Жыл бұрын
Tuko karibu kufika 10M
@punkanderson96565 жыл бұрын
Thank God that Kenya is an island surrounded by great music. I do not have to suffer listening to Wamlabez!
@lauranawire50794 жыл бұрын
😝😝 pekejeng pekejua pekejeng😝... Lol these kids will kill us
@amirkamola6002 жыл бұрын
@@lauranawire5079 lol total abomination saitan ashindwe😂😂
@lauranawire50792 жыл бұрын
@@amirkamola600 haha, kapsaa
@keithjerome7026 жыл бұрын
hapa ni aslay na alikiba tu. ngoma safi sana✔️✔️
@andrewnyambega55906 жыл бұрын
Keith Jerome kiba mwenywe nyuma kwa huyo dogo...kiburi simba tu..na yeye asingekuwa kiburi angeburuzwa
@keithjerome7026 жыл бұрын
sidhani, sidhani kama kuna mwanamuziki yeyote tanzania aliye mature industry kumliko,
@janethmwakingili43286 жыл бұрын
hahaaa .. kwa Aslay ki ukweli kiba anafifia jamn
@keithjerome7026 жыл бұрын
kings never die. na hafai kutoa nyimbo kila siku ndio akae relevant bytheway
@kenyagirl45736 жыл бұрын
Sisemi kitu
@Dr.zaidi46 жыл бұрын
This guy on the the violin,anaweza akamvuta nguva mwenye ushangaa wa dhahabu na kumleta ufuoni na mwisho akumfunga mabao.What a splendid combination!!!!
@salimsarai541311 ай бұрын
Uyo anaitwa shirkomedia
@ericogutu18664 жыл бұрын
This song takes me to the moon..much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@kenyanboy76273 жыл бұрын
But I saw you in Nairobi, when did you return from the moon?
@ericogutu18663 жыл бұрын
@@kenyanboy7627 🤣🤣🤣🤣🤣I just landed in Nairobi 🤣🤣uko na ufala
@karanjamurumba57723 жыл бұрын
My all time Favourite song. Keep up the great work Aslay.🇰🇪
@mohamedomaronline74595 жыл бұрын
Wanao mkubali Aslay 2019--2020 mnipe like zenu basi
@sallysarch94413 жыл бұрын
2021
@onyangoantone92616 жыл бұрын
ngoma nzuri fundi...mdundo on top
@ngwenaentertainment14296 жыл бұрын
It's a big tune ..hongera sana Aslay ..4from 254
@African_Joskey6 жыл бұрын
Nice onr
@serahjumah89873 жыл бұрын
Am so in love with this song Kenya representing🇰🇪
@mosesmkandawile55976 жыл бұрын
Aslay unaweza Sana sema wanaokuangusha hawa jamaa wanaokufananisha na diamond na wenye lengo la kujaribu kukupandisha ww na kumshusha mond hata viewers haziend kabxa kuwa makin dogo watakupoteza hao wanao kupa sifa ambazo haustahili
@thomasukuzuleupete75956 жыл бұрын
Yani buuuuum.. music nzur Joh.. Go on boy
@haddisaid64336 жыл бұрын
haujawahi niangusha dogo.....zije ivo ivo....+254 gonga like kama unamkubali aslay
@wanenetv96726 жыл бұрын
DAWA ZA ASILI/TIBA ZA ASILI/: kzbin.info/aero/PL_DSXHfkoymz_mON4Y4rJ7Tu9HulfT8W7 ni
@kdbjr7designer3975 жыл бұрын
fundi wa muziki aslay kama unakubaliana na mimi gonga like down
@iam_epa6 жыл бұрын
nakubaliiiiiii xema broo huyo featuring mbon hauja muwek jina
@khairiahamid44826 жыл бұрын
waaaaa dogo Aslay hii noma# superb
@kulthumsalim18866 жыл бұрын
Big up mdogo wangu wimbo unanikoshaje huu,beets zipo mahala pake ilikua natafuta wakuingilia stage bt hii aaah tamu saana bila sukari thnx a lot dogo Aslay#+254 👏👍😍😘🔥💯
@kevinokombo97306 жыл бұрын
Shabiki wako no 1,ngoma Kali aisee
@wanenetv96726 жыл бұрын
Best music: kzbin.info/aero/PL_DSXHfkoymyCk8ozPoWuvU9tDHz-k086
@twariqmohamed91096 жыл бұрын
Anaemkubali Aslay kama mimi Gonga Like kwa sana tu
@samiahuseninikweli85394 жыл бұрын
Kijana yuko sawa
@mkaramatv39316 жыл бұрын
TWO FIVE TWO I’m representing My Country SOMALIA 🇸🇴 Aslay My Brother from the first song #NaendaKusema to 2018 hit after hit 🤙 🔥🔥🔥 🔥
@edachengula26836 жыл бұрын
Hongera sana mdogo wang aslay Mungu akawe kiongoz wako kwa kila ufanyalo na umtegemee yy atakuonesha njia
@iamkabugi6 жыл бұрын
Kali mkubwa wao.. Keshashusha dredi.. Umeweza
@feridferhadov2556 жыл бұрын
Hello from Azerbaijan🤗❤️❤️❤️I love your country 😍
@dominicboniphace53755 жыл бұрын
We love u too !
@Thekidp3702 Жыл бұрын
Welcome its Tanzania 🇹🇿
@estherhaloim14966 жыл бұрын
Aslay has a nice voice. His music 🎶 is full of emotions when hearing. We feel the music. 👍👍👍👍👍👍👍👍❤️❤️❤️❤️🥂
@kingsmedequipment49375 жыл бұрын
The composition and arrangements not forgeting the videology aspects, stands out as one of the best promisory Songs for love, big up Aslay
@colly358 Жыл бұрын
Uyo papa akisha vuliwa nitakusaidia kumla tushibe...awawezi tufanyia hivyo😂❤..the best ...much love from kenya
@bethnjenga55166 жыл бұрын
From Iraq love you Aslay,nimechizi ni nyimbo zako
@lucysamba64586 жыл бұрын
Hongera dogo kwa kazi nzuri..kudos to your producer,naona nkihama tz
@samsonmusa76266 жыл бұрын
Kama baila ya diamond platinum ila kwa kuwa bado aslay ni Mdogo., twende tu ngoma nzuri
@nellyesendi91606 жыл бұрын
Wow.. This dudes voice is amazing ❤... Aslay ni number 3 on my list 1 kiba 2 diamond 3aslay
@josmbolomnyoi24986 жыл бұрын
heshma kakangu...love the violin played nimeshinda nikirudia sababu ya hiyo #ASLAY
@halimamaggy85516 жыл бұрын
aslay uko juu..nakupena sana wewe dogo
@felixkimutai84786 жыл бұрын
The violin player must be an expert, the sound is killing
@shaabanmohamad3976 жыл бұрын
''ucwe mchonga vinyago ukanifilisi,uweke tumbo mble mble kw kuku na chips,chunga utkula fisi.........''' aky ur more dan a wizard kaka blaza big up..........#254 😂😂😂😂
@lilianokedi96993 жыл бұрын
Walaaaai Aslay that voice uko sawa kaka🥰🥰🥰🥰🥰🔥
@funsupadatestourists92566 жыл бұрын
Mmmmh haya mkali wa.........omg sio powa hii ngomaa.....haya nibebe baby
@lucasmsogoti34353 жыл бұрын
Bonge la ngoma asante sana mama D kwa kumuimbia mwanangu hii nyimbo❤❤
@udakuudakutv71766 жыл бұрын
Dahhhhh yan hatariiii unajua mpaka unanikera
@shiffahmahmoud85676 жыл бұрын
Aslay wakomeshe wakome😁😁😁from Germany to 254 nakukumbali agemate
@deejay_izzy6 жыл бұрын
Shiffah Mahmoud wo wohnst du
@shiffahmahmoud85676 жыл бұрын
English pleaae @ismail khalid
@shiffahmahmoud85676 жыл бұрын
English pleaae @ismail khalid
@abuuiddi91106 жыл бұрын
Shiffah Mahmoud pliz nicheki kwa hii number coz huu mwaka nakuja huko Geyman +97477053859
@shiffahmahmoud85676 жыл бұрын
@Abuu idd the no. From Qatar is it yours?
@charlesraymond99374 жыл бұрын
This is pretty cool song 👍😎 this fool he's cool I'm from USAsorry for comment in English for who those don't understand 🙏🙏
@Jifunze_Kiswahili1 Жыл бұрын
As a Swahili teacher I am Proud of you Aslay. Unaitendea haki lugha ya Kiswahili
@husseinfattyfatty57846 жыл бұрын
Nice song kk angu ongera sana naipenda hadi bac😍😍😍😍😍😍
@ashaali71546 жыл бұрын
Congrats Aslay you are getting there👍
@lisagrace74996 жыл бұрын
asha ali He is already there.
@jamaikasanga79645 жыл бұрын
asha ali adleisawasanaaaaaa
@soihibouhamidou32614 жыл бұрын
@@lisagrace7499 ppmmp⁰⁸wp
@zynhssn69382 жыл бұрын
2022 can't stop playing this 🇹🇿 Aslay⭐⭐⭐⭐⭐
@bajakisonzo49356 жыл бұрын
kiitikio aliyeximamia Mungu anamuona cyo kwa kuuwa uko
@theresiachuwa88726 жыл бұрын
nibebe hata kam nikining'iniza miguu....ooh🎶🎶🎵🎤 😍😍😍
@maximusalnono64256 жыл бұрын
Yaani hili bonge la song zito yaani halibebeki..big up Aslay
@princenewton6 жыл бұрын
Give us a break bro hit💯🔥💥✔after hit representing team +254 kenya
@justusotenyi66506 жыл бұрын
Prince Newton true
@bintimohammedrashidrashid49296 жыл бұрын
Prince Newton ausio kama kawa 254
@lindamasitsa48166 жыл бұрын
Prince Newton after ali kiba I like aslay
@omanmanah53016 жыл бұрын
Prince Newton nambie
@Ellehenri6 жыл бұрын
Hatupumui
@ashaswaleh32816 жыл бұрын
Jamani Aslay sijui nikuletee zawadi gani
@fatmaalfan13196 жыл бұрын
Asha Swaleh hahaha...mpelekee kidude
@shamilahasan73446 жыл бұрын
Asha Swllh
@saimonmanyerezi71694 жыл бұрын
@@fatmaalfan1319 wadada humu mnavituko!.
@boniphacephilipo17616 жыл бұрын
Aslay anaimba mziki mzuri sana... mashairi mazuri sana
@selemaniabubakari96076 жыл бұрын
Boniphace Philipo nice song
@ghostblack31014 жыл бұрын
Napnd nymb zke
@princessaidal11306 жыл бұрын
Aslay uko vzr mm napenda sana songs zako schoki kuskiliza songs zako yaan all the time nakuskiliza big up sana
@kevinoyile26636 жыл бұрын
King of bongo fleva....#nibebe
@hamzajuma65686 жыл бұрын
Congratulation Aslay wewe sio msanii tu yani wewe ni fundi
@stellamaro49846 жыл бұрын
aslay mambo ni 💣 ngoma kali bro sharot xana mkali wa mavoko 🤗
@titustekei10885 жыл бұрын
Kabisa
@gracenatasha40564 жыл бұрын
I love aslay..nimekuja kuiekea boyfriend on Valentine’s Day
@wamberecarthyrene28494 жыл бұрын
Aslay congs true talent lives in your voice love from Mbale Uganda
@swalehabdulrazak13056 жыл бұрын
Mkenya anayemkubali aslay hit Like hapa. Tuko wingi Tu kwa sanaaa
@idahjohn59966 жыл бұрын
I just love Aslay😍😍😍 Can't get enough of this song and all of his song
@ammymuddy6 жыл бұрын
Dogo kipaji cha kuimba unacho... mashairi unayapangilia vzur saut iko poa sana.. BIG UP ASLAY TZ
@fatumaabdul80646 жыл бұрын
Nakupenda Sana asilei
@fatumaabdul80646 жыл бұрын
Ammy muddy mm
@emmanuelwith18122 жыл бұрын
Am proud to be AFRICA am proud to be a Tanzanian🇹🇿
@mossyally33526 жыл бұрын
Nice song. Safi Aslay na nimependa huyu aloimba chorus ana sauti nzuri sana.
@ahmedissa91766 жыл бұрын
Aisee Aslay ni noma sana
@suleshcleverboytz50506 жыл бұрын
Wenzangu na mm TUNAONGALIA HUKU TUNASOMA COMMENTS #GONGA_LIKE_TUSONGEER
@benardluvaga98354 жыл бұрын
Still one of the best songs of all times. This is one of those songs that never age. Kipaji unacho, wengi wanakuhusudu. Simple story, but the message is poignant. Nibebe bee, nakupenda usiwe na makuu, (elevate me baby, I love you, never have "airs") Nibebe bee, hata kama nikining'iniza miguu, (elevate me baby, even when my feet are dangling) Neibebe bee. Wanataka niwe chini, wao juu...(elevate me baby, they want me to be beneath and they high)
@bridgetwanyaga41333 жыл бұрын
I have been trying to understand what it means!! Thanks
@boniphacetv7396 жыл бұрын
Team #ASLAY mpo wapi like kwa hapa twende sawa hongera dogo sana ngoma kideo kikali
@evancepauly35296 жыл бұрын
officialbonitajiri Tv hiii hapaaaa👊👊
@joanwanjiru26446 жыл бұрын
Wenye kusikiliza mziki mzuri tumewasili
@neemaraphaeliraphaeli49016 жыл бұрын
officialbonitajiri Tv nice kaka langu ,😘😘
@allymkweu6896 жыл бұрын
dogo we noma
@floratesha41536 жыл бұрын
Nampenda mpaka basi
@callarnest15376 жыл бұрын
Kaka nakupenda sanaaaaaa Mungu awe
@noelmziray49886 жыл бұрын
nakukubali sana bro, nataman sana ufike level za diamond plutnums ujulikne afrika nzima,kaza buti ucje ukalewa mafanikio maana wew nyota yako inatakiwa uwe international