Tap to unmute

DUNIA (Ep 20)

  Рет қаралды 420,440

ASMA FILMS

ASMA FILMS

Күн бұрын

Пікірлер
@asmacomedian9021
@asmacomedian9021 Ай бұрын
FAMILIA NZIMA YA DUNIA INATOA POLE KWA WAHANGA WOTE WA AJALI ILIYOTOKEA LEO MTAA WA KARIAKOO DAR ES SALAAM,, TUMESIKITISHWA NA AJALI HIYO NA MUNGU AWAPE NGUVU WAHANGA WOTE NA AWALAZE PEMA PEPONI AMBAO WAMEPOTEZA MAISHA PIA,, MIPANGO YA MUNGU HAINA MAKOSA 🙏🏻
@MugendiCharles
@MugendiCharles Ай бұрын
🙏
@JacklineLaizer-r9n
@JacklineLaizer-r9n Ай бұрын
Jamani Leo nimekuwa wa kwanza nipeni like zangu
@AshuraTito
@AshuraTito Ай бұрын
😢😢😢
@yasinramadhan7315
@yasinramadhan7315 Ай бұрын
Amina
@ZakayoThomas-l7i
@ZakayoThomas-l7i Ай бұрын
Ameen
@Juliety-v3o
@Juliety-v3o Ай бұрын
Wangap wanaangalia dunia uku ukiwaombea waanga wa ajali kariakoo watoke wakiwa salama
@Zainabu-q7v
@Zainabu-q7v Ай бұрын
🙏 watatoka salama tu Insha'Allah 🙏
@zafaranmohammed7272
@zafaranmohammed7272 Ай бұрын
Poleni sana,watanzania,what happened kindly???
@emilywilly2306
@emilywilly2306 Ай бұрын
Mimi
@SamweliJacob-bm2ij
@SamweliJacob-bm2ij Ай бұрын
Kwani imekuwaj uko kaliakoo watu wamekalia koo?
@Zainabu-q7v
@Zainabu-q7v Ай бұрын
@@SamweliJacob-bm2ij ovyo fyuu😏😏😏
@ZebuuFilm
@ZebuuFilm Ай бұрын
Tim manyanya na mat mko wapi kama unapenda movie i usikose kuweka alam na sapoti zenu muimu sna kwa manyanya mnampa gv sana🎉🎉🎉
@Patricelasway
@Patricelasway Ай бұрын
Tupo 😅😅 Cathe kazi anayo 😂
@vevevechou-yu5gk
@vevevechou-yu5gk Ай бұрын
eeeeh tupo mboba 😂vai kwisha habali😂😂
@isaiahkiptoo
@isaiahkiptoo Ай бұрын
Nipoo 100%
@MonicaAgapitiBruno
@MonicaAgapitiBruno Ай бұрын
Tupo chezea penzi jipya wewe ukisema wanini wenzio wanaaza tunapata lini penzi kwa Vai litapotea asipokua makini
@AminaMussa-bw2jh
@AminaMussa-bw2jh Ай бұрын
Tupo
@GiriadyMsumle-jw1ek
@GiriadyMsumle-jw1ek Ай бұрын
Asante sana kaka manyanya Kwa kutuburudisha na pia kutufundisha mungu akubariki na pia akuzidishie kipawa zaidi Amina🙏
@SaroMwaringa
@SaroMwaringa Ай бұрын
Waaaaaah! Manyanya nimekubali bro asili Mia 100% Yani hio sehemu ya mati ulivo ingia kwake na amekasirika Yani bro umenifurahisha Sana venye umemuongelesha aki Yani ata sijui nisemeje bt ivo ndo inafaa mwanaume kuongelesha mwanamke.... My God bless you bro Manyanya ..pamoja Sana bro i love from Mombasa KENYA
@karimalharthi8144
@karimalharthi8144 16 күн бұрын
Kabisaa,, sio kumfokea mke wako
@EstherMussa-x5x
@EstherMussa-x5x Ай бұрын
Leo Matrida kampata anaempenda nmefurah mno Matrida kupendwa na Manyanya ❤❤❤❤❤by Juliana
@stanfordboas
@stanfordboas Ай бұрын
tatzo n mume wa mda so huenda ataumia kuliko mwanzo
@stevenpyuza7154
@stevenpyuza7154 Ай бұрын
Manyanya kaoa ujue. Na anandoa yake😅
@priscakimburi-sl9ml
@priscakimburi-sl9ml Ай бұрын
@@stevenpyuza7154😂😂😂😂😂kwa mke gan asie jali hisia za mumewe yy ako tu kwa kuheshimu ndoa yake et haezi chepuka na ya muhimu hatekelezi acha maty ajibambe🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@priscakimburi-sl9ml
@priscakimburi-sl9ml Ай бұрын
@@stanfordboasvai ndo ataumia ju amemtoa mumewe inje mwenyewe
@stanfordboas
@stanfordboas Ай бұрын
@priscakimburi-sl9ml wana wake kama vai wapo wengi sana unakuta n watu wenye misimamo mikal na wana kua waaminifu lakin linapo kuja swala la ndoa mwanaume anahitaj mwanamke mwenye tabia za kimalaya ila afanye kwa mumewe tu huo umalaya. 😂😂😂 vai atakua mchaga yeye mapenz sio kipaumbele kwake anaamin katika uchumi
@zuberimasoud5728
@zuberimasoud5728 Ай бұрын
Manyanya na mati naona wakifika mbaali sana. Kila mmoja kitu alichokikosa anakwenda kukipata kwa viwango vya SGR. Aise kitu hiyo inanireflect kwa 100%. Wanaume wengi hua tukilazimishwa kuwa na michepuko kutokana na aina ya wanawake tunaokuwa nao na 50% baada ya Mume kuchepuka ndoa hua inaishia kuvunjika. Aise big up sana Wana Dunia kwa kutuelezea mambo yanayoikumba jamii yetu. Kama unakubali hili nipe like na angusha komment yako hapa chini yangu
@MaulaEnefridy
@MaulaEnefridy Ай бұрын
Yaani huyu mkewe manyanya anaenda kupata kitu na box
@johnmarubiri6729
@johnmarubiri6729 Ай бұрын
Huoni nae kaanza kubadilika
@filmonvenance5859
@filmonvenance5859 Ай бұрын
Big up kwao💯
@gloriamyinga1686
@gloriamyinga1686 Ай бұрын
😂😂😂nachekaa jamni Ila muddy Eti nitikiiiii😅😅😅😅
@zawadgunza2093
@zawadgunza2093 Ай бұрын
Daah jamani penzi la manyanya na matrida limenikonga nyoyoo Sanaa ❤️
@EricKingForever
@EricKingForever 7 күн бұрын
Wanawake wachache sana km Mati. Unataka kumuachia pesa ya chakula, anakujib hela anayoooo❤❤❤
@ramadansorby-iq9oi
@ramadansorby-iq9oi Күн бұрын
Wanaomkubali Mudy muzungu paka la bar .."NITIKI" 🤣
@PurieMakena
@PurieMakena Ай бұрын
Sijui kwann nasmile ninapo ona matii na manyanya pamoja ❤❤❤❤ am happy for you guys hongereni kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉
@shamirasaid4514
@shamirasaid4514 Ай бұрын
Kama mm jmn
@HadijaSalim-c7p
@HadijaSalim-c7p Ай бұрын
Km mm pia
@joanbwahama-rx3tc
@joanbwahama-rx3tc Ай бұрын
Kama mimi
@Josure_tz1
@Josure_tz1 Ай бұрын
Uzinz tu unakusumbua😂
@ScholaMalale
@ScholaMalale Ай бұрын
Hata mm nina furaha😂😂😂😂
@elizabethzacharia7725
@elizabethzacharia7725 Ай бұрын
Nitumie mda huu kutoa pole kwa ndugu zetu wa kaz wa dar kwa kupata mshtuko wa kupoteza ndugu jamaa na marafiki polen sana kwa majanga ujumbe tuombe Mungu atupe mwisho mwema
@IRATUZIAimable
@IRATUZIAimable Ай бұрын
Heri mwanamke atakayetii ushauri wa wa Manyanya!Wanaoniunga mkono tumpe like❤
@YosiahMalon
@YosiahMalon Ай бұрын
Exactly
@neemamabena-xx5er
@neemamabena-xx5er Ай бұрын
Kwakweli
@Aisha-f2g
@Aisha-f2g Ай бұрын
Tuko pamoja❤
@ErastoNgerangera
@ErastoNgerangera Ай бұрын
👊
@aureusnchimbi7243
@aureusnchimbi7243 Ай бұрын
😀😀
@ashiakibwanaashia4934
@ashiakibwanaashia4934 Ай бұрын
Team manyanya nashiriki kutoka bahrein Kwa wale ndugu zetu waliopoteza uhai kariako Allah azilaze nafsi zao Salam salimini na wale walojeruhiwa pia Awape nguvu na subra na Kwan tunaish Baina kafu na nun Allah akisema jambo liwe linakuwa so Mungu atujalie mwisho Mwema na pia manynya na team yake mungu awabarik mzid fika mbaliq
@hamzaibrahimu
@hamzaibrahimu Ай бұрын
Jamani uvumilivu umetushinda Huyu Mudy tulipanga tumtoe kafara Christmas lakini naona itabidi tuwahi kdgo 😢Ila msimwambie asije akakimbia
@mariammuslim2987
@mariammuslim2987 24 күн бұрын
😂😂😂😂
@Babyfaty-m3y
@Babyfaty-m3y Ай бұрын
Leo maty amenifrahsha jins alvo panic na jns alivo feel moment na manyanya mnafaa kuwa mke na mume😅😅😅😅😅😅vai hafai kabsa
@YosuwaSabuhungu
@YosuwaSabuhungu Ай бұрын
Manyanya ❤kiswahili kukiandika kinanishinda sana rakini nasema ivi mubarikiwe sana Mungu abanguriye
@DonbrightKenny
@DonbrightKenny Ай бұрын
Hahaha MAti mauwa kwako naona Sasa unafurah tere maana mikosi kwisha ❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💓💓💓kw star wet manyanya
@BahatiJuma-z5h
@BahatiJuma-z5h 10 күн бұрын
Hadi nimelia kuona maty anapendwa nifurahi sana ujue nakupenda sana maty mdg wangu
@aishaomar9621
@aishaomar9621 7 күн бұрын
Umenifunza kitu kaka manyanya n matilda Mungu hukuletea sahihi uwakuletea subra ndio kila kitu nmetabasam kwa mara nyengn😂
@ZainabuZaina-dk7mx
@ZainabuZaina-dk7mx Ай бұрын
Manyanya hii move sitegemei kuisha Leo wala kesho utanikwaza, all in all ni kaz nzuri san hongera sana!!! Love you ASMA FILM
@abdallahmkwizu6185
@abdallahmkwizu6185 Ай бұрын
I like this film. Wanawake wajifunze mengi kupitia hii movie💯
@raymondlaurent4167
@raymondlaurent4167 Ай бұрын
Uyu manyanya smart sana Ako na ualisia sana
@YusuphPetro-f8u
@YusuphPetro-f8u Ай бұрын
Aisee Mungu akutunze Sana brother manyanya yaan katika movie nayo enjoy ni hii dunia sijawai Ina movie inayo fundisha namna hii daah hongela sana
@GraceBriton
@GraceBriton Ай бұрын
Yani kila siku na download movies then nafuta lakini hii siwezi kuifuta it makes me happy ❤❤❤😂😂🙌MATY AND MANYANYA ❤️
@DenisChuwa-p7i
@DenisChuwa-p7i Ай бұрын
Nani anataka penzi la manyanya na mati liendelee..Gongs like apa🎉
@HalimaIddy-f9e
@HalimaIddy-f9e Ай бұрын
𝑻𝒖𝒑𝒐 𝒉𝒂𝒑𝒂❤❤❤
@HAPPINESOKUMU
@HAPPINESOKUMU Ай бұрын
Tuko Kwa wingi 😂😂🎉🎉🎉
@Deny859
@Deny859 Ай бұрын
Na mm pia nataka mati awe mkee wa pili wa manyanya
@YosiahMalon
@YosiahMalon Ай бұрын
😂😂😂
@pharmacotherapist-hb8rm
@pharmacotherapist-hb8rm Ай бұрын
Mimi hapa
@SuzyFidels
@SuzyFidels Ай бұрын
Oyoooooo! Manyanya nimefurahi ulivyomwambia mati unampenda waliofurahi pamoja na Mimi gonga like
@IgnaseTalaboe
@IgnaseTalaboe Ай бұрын
Safi sana martine kwakumjali manyanya anae nyanyaswa namkewe na ongera sana manyanya kwa penzi jipya
@IgnaseTalaboe
@IgnaseTalaboe Ай бұрын
Kabisa
@MwazaynMfaume
@MwazaynMfaume Ай бұрын
Yani furaha Yako hainishindi Mimi,
@MwazaynMfaume
@MwazaynMfaume Ай бұрын
Waooh mati ongeza spidi mtt ,mi shabiki wenu bana
@MwazaynMfaume
@MwazaynMfaume Ай бұрын
😂😂😂manyanya anaeanza ivoo ,chakula mkamato tena😂😂
@KapendFiston
@KapendFiston Ай бұрын
Kazi nzuri sana ongereni Sana timu Yote zima mungu amipe nguvu na akili kwa kutuletea mafundisho mazuri sana
@hutahuta1170
@hutahuta1170 Ай бұрын
ilamudi namkewake.mbavu sina mati namanyanya nawapenda mpendane hadi muowane❤❤
@maryamrashid-s6
@maryamrashid-s6 7 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wakina moody mwanichekesha kweli adi naumwa na kichwa🙆🙆🙆 moody nae akaandikwa kwa madeni 😅😅😅😅😅😅aah jaman ungedhani n dada na kaka 😅😅
@king_hippopotamus_tz
@king_hippopotamus_tz Ай бұрын
Hivi wanaotoa tuzo , kwanini hii isiwe movie Bora , maana inafunza na kukumbusha watu majukumu Yao katika ndoa na jamii kwa ujumla ✍️✊🇹🇿
@DonbrightKenny
@DonbrightKenny Ай бұрын
Mi wakwanza ku comment nipeni maua yangu fan's from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 nampenda sana manyanya
@KambaleJustin-w4f
@KambaleJustin-w4f Ай бұрын
Hata kama wa kumi na ngapi nipee like zangu from Drc Congo hiyi ni nomaaaa manyanya New kanumba
@stephenmutisya535
@stephenmutisya535 Ай бұрын
Asante kwa movie na makiwa kwa familia zilizo poteza watu wao kariokor pole zangu kutoka KENYA
@salimkhamisi6490
@salimkhamisi6490 Ай бұрын
Pole wanatanzania nyote
@bernardmlenda9800
@bernardmlenda9800 Ай бұрын
For really I enjoy this new love version of MANYANYA and MATILDA, u guys are so wonderful, actually u know how to conca heart of your fans, big up to MANYANYA and Baba asma family
@RaelDiana-d3w
@RaelDiana-d3w Ай бұрын
😂😂😂😂aii manyanya unalamba adi sahani😂😂,,funzo kwa wanawake wanaopendwa na hawapendeki,,mume akishakuchoka anapata wa kumjali
@KingNtiharirizwa
@KingNtiharirizwa Ай бұрын
Funzo iwafikie wana wake wanae jifanya kibabe kwenye ndoa😂😂😂😂
@IshaMachuya
@IshaMachuya Ай бұрын
Wangap tuko na Mat jmn hivi mmewaza cathe akijua nyie pameanza kuchangamka huku 😂😂
@YosiahMalon
@YosiahMalon Ай бұрын
Hahaha atajua ajui
@Mwajey-w7u
@Mwajey-w7u Ай бұрын
Pambeeee😂😂
@ASAS-q9u9e
@ASAS-q9u9e Ай бұрын
😂😂😂😂😂pambeee 😂😂😂
@MerryAlly-s8p
@MerryAlly-s8p Ай бұрын
Yaani huku kutakua pamoto😂😂
@NawaliKassimu
@NawaliKassimu Ай бұрын
Atamtafuta mke wa manyanya amharibie ili wakose wote tena anaonekana atakua kikwazo kikubwaa
@GodwineJohn
@GodwineJohn Ай бұрын
Yaani nimefurahi kuona furaha ya maty imerejea kawa pisi kali bwana kama unakubali dondosha like
@JohariKhamis-i1n
@JohariKhamis-i1n Ай бұрын
Naomba lakii 😂🎉
@lynnopeywa
@lynnopeywa Ай бұрын
Asante sana Dunia mnatufundisha tuwalee waume wetu vizuri tusije tukalelewa hko nnje
@JamilaRajabu-g8p
@JamilaRajabu-g8p Ай бұрын
Jaman 😂😂😂😂hatimaye matrida Yuko penzini mbn mnanikosha atariii nazidi kuvulugwa na hiii move🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤😂😂
@johannesnyabara2527
@johannesnyabara2527 Ай бұрын
Asante Manyanya, unawaelimisha sana wanawake majukumu maana wanajisahau sana hasa wakipata house girls! overall muv ni kali inavyozidi kuendelea mbele
@SnapBoy254
@SnapBoy254 Ай бұрын
Yaan nliamua kuokoa jahazi🎉nkanunua bundle la mwezi ili nisipitwe na EP yoyote ya dunia😅ila chaajabu sjaipata like jameni 🤔 kama kunae mwenye huruma please naomba uachilie ka like tu. Staki unlipie okoa ila uki like nkama umeshanlipia.
@munamamaj9622
@munamamaj9622 Ай бұрын
Ni pesa ngapi hio okoa ya mwezi
@SnapBoy254
@SnapBoy254 Ай бұрын
@munamamaj9622 akh nliona nibora niokoe 550coz nlichukua 500 nkaongeza 50 na nlikua na 50 kwa account. 250 una subscribe mwezi moja. Mim nka dibble iyo 250 then 250. Inshot nadaiwa 550
@KingNtiharirizwa
@KingNtiharirizwa Ай бұрын
Kwwri mtazamajii mzuli😅😅😅
@zafaranmohammed7272
@zafaranmohammed7272 Ай бұрын
Kwani umekopa ngapi mkenya mwenzangu ❤❤❤😂😂😂
@SnapBoy254
@SnapBoy254 Ай бұрын
@zafaranmohammed7272 550
@marymele9714
@marymele9714 Ай бұрын
No one 🎉🎉🎉 yenu ila Vai umezidi Yan kama mwarabu vile Yan kilakitu dada
@halimaamini8015
@halimaamini8015 Ай бұрын
Nimefurahi❤❤❤ matrida na manyanya wapo pa1 Nyie sasa naipenda hii moves kuliko
@GehaziMetelii-p4m
@GehaziMetelii-p4m Ай бұрын
Duuh Hii move nimeikubali Sana tofauti na nilivoikubaligi kibenten ya kicheche💕💓💕💓💕💓💕💓💕💓💕💓mart na manyanya
@radgamechanger2547
@radgamechanger2547 Ай бұрын
My all time favourite and educative movie 🎉🎉 Naipenda zaidi .. Jinsi mnavyoigiza safi sana,mafunzo na vibe noma zaidi
@Dogokingo
@Dogokingo Ай бұрын
Ni kweli Ana zoweya chumba haye huyo ata hona mambo😅😅😅😅😂😂😂
@mzeewakazi3398
@mzeewakazi3398 Ай бұрын
Hii couple ya manyanya na Mattiii Ni best mnooo
@noeliddi82
@noeliddi82 Ай бұрын
Kwakweli tumepata raha sana leo maty kapata tulizo la moyo aloooh kazi nzuri sanaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🙏🙏🙏🙏
@JumaMilungu
@JumaMilungu Ай бұрын
Mh uyu manyanya, na mati wanajua kuagiza, wapeni mauwa yao, nimewakubali San,😅😅😅
@Ezekielngar
@Ezekielngar Ай бұрын
Oya team manyanya tuko hapa respect 🙏 ❤❤
@MussaKassim-i9p
@MussaKassim-i9p Ай бұрын
Braza manyanya uko vizuri sana na kazi yeni nzuri sana. Tunaburudika na kuelimika pia asante sana
@ARONPaul-bz3ws
@ARONPaul-bz3ws Ай бұрын
Katikaaa kaziii zoooot3 alizo toaaa manyanyaaa hiii ni ya kufungiaaaa mwakaaaaaa kabisaaaaaa jamanii nimeipendaaaa bureee 😅pongeziii sana kwa crew nzima ya manyanyaaa na waandqqqji kwa ujumlaaaaaaa😅
@ErickBike-w1h
@ErickBike-w1h Ай бұрын
Leo imenikuta macho ❤❤❤❤ nimeisha Luka nayo Chapo nabuludika Tu❤❤❤
@sharonpaul7364
@sharonpaul7364 Ай бұрын
Kweli wanaume Wanapenda kudekezwa hivi😊,nitakudekeza mume wangu mpaka uchanganyikiwe
@nasrachimamy
@nasrachimamy Ай бұрын
Yan mpk najikuta nimetabasam mat na manyanya dah hap nimejifunza kitu nikipata mubaba mbn atakoma
@sharonpaul7364
@sharonpaul7364 Ай бұрын
@nasrachimamy 😂😂😂😂naona lazima akome
@moreenmethew3156
@moreenmethew3156 Ай бұрын
Mambo niyapendayoo hayoo hatimae mati kapata true love ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉jamanii me nimefurahi mnoo nacheka chekaa tu hapa mwenyewe kweli mvumilivu mlaa mvivu🤗🥰
@kamekafuraha1465
@kamekafuraha1465 Ай бұрын
Leo kidogo mmetutendea haki sisi wafuatiliaji wa hii movie asanteni SANA
@DeeDan-sj1mr
@DeeDan-sj1mr Ай бұрын
Tokea nianze kufatilia dunia epxode 1 had xaxa tuko epxode ya 20 ata xjawahi kupata like
@JBAUTOSPAREPARTSJB
@JBAUTOSPAREPARTSJB Ай бұрын
Sijachelewa sana naomben like zenu ata KUMI tu😢😢😢 sijawah pata ata like jaman😂😂😂😂😂😂😂
@gracewangai2725
@gracewangai2725 Ай бұрын
Tuko wengi hata nimezoea
@aminaabdalla-uo9zq
@aminaabdalla-uo9zq Ай бұрын
Katie naz ule😂😂
@abduliashiru9394
@abduliashiru9394 Ай бұрын
@agustinoezekiel
@agustinoezekiel Ай бұрын
Nakupa like kwakua nimeipenda hii movi
@YussufuYussufu-xo6we
@YussufuYussufu-xo6we Ай бұрын
Wa kwanza toka Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿❤❤❤
@AgnesNeva
@AgnesNeva Ай бұрын
Kaka angu manyanya❤❤❤❤❤❤❤.. Mpo vzr teem nzima ya Dunia
@MosesMahende013
@MosesMahende013 Ай бұрын
Nakubal sana sana kaka manyanya hakka wewe ndoo umendelezea pale kanumba alpo ishia
@MABAONITV
@MABAONITV Ай бұрын
Kwel kaka
@KhairatiSulemani-t6d
@KhairatiSulemani-t6d Ай бұрын
😢😢😢watu mnapenda like mbona hamsemi tuombee duwa ndugu zetu walio pata majanga mnaujasili wa kuomba like tuu jamani 😢😢😢
@SwaumuAbdallah-fu1bx
@SwaumuAbdallah-fu1bx Ай бұрын
Tumeshapoa kipenz
@ZindunaJackson
@ZindunaJackson Ай бұрын
Kwa pamoja tuwaombee wahanga wote waliopata na majanga pale kariakoo Na Mungu awatie nguvu wale wote walioathirika na jambo hili Pray to kariakoo 💔💔💔
@RehemaMussa-g6s
@RehemaMussa-g6s Ай бұрын
Wapumzike Kwa amani
@Nanah-go4lj
@Nanah-go4lj Ай бұрын
Jmn tunaofurahi manyanya na matilda kuwa kwenye mahusiano gonga like hapa 😂😂😂
@Lastbornecadet
@Lastbornecadet Ай бұрын
KWA NIABA YA WA CONGO🇨🇩, NATOA POLE KWA NDUGU ZETU WA TANZANIA🇹🇿 KWA JANGA LILILOTOKEA KARIAKO 😢😭limeniliza Sana😭
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw Ай бұрын
Asante 🙏🙏🙏😭
@YvetteKabuha-e7l
@YvetteKabuha-e7l Ай бұрын
Namiye natowa pôle 🙏 Niko Congo Bukavu 🇨🇩
@misanamohamedi8438
@misanamohamedi8438 Ай бұрын
😂😂
@estermpare4078
@estermpare4078 Ай бұрын
​@@misanamohamedi8438saaa unachekaa nini kaa chokoo vilee😮😮watu wanatoa polee kwa maafaa we unachekaa😢
@amyboyfighter7281
@amyboyfighter7281 Ай бұрын
Asante 😭😭
@barekemedard3724
@barekemedard3724 Ай бұрын
Namkubali Sana manyanya big up Sana my best of the best ❤🎉
@RashidimoshiMkumba
@RashidimoshiMkumba Ай бұрын
😀😀😀😀 nilitaka nishangae mudi ela kamwibia nani adi alipe madeni yamkewe
@ClairiaNiyomashimwe
@ClairiaNiyomashimwe Ай бұрын
Kazi nzuri 🎉mungu azidi kuwabariki nawapenda sana team manyanya na mati nayipenda san
@leopoldwilliam2128
@leopoldwilliam2128 Ай бұрын
Manyanya nauwona uwanaume❤ wako now tuko pamoja mpaka umpige tukio vai🎉🎉😂😂
@Roby-nw8sz
@Roby-nw8sz Ай бұрын
Kwangu nataman ampige hilo tukio hata saiv maan mwanamke gan yule hana hata haya kapata mwanaume Bora anampa ushaur lkn lenyewe liko kama mwehu vile
@leopoldwilliam2128
@leopoldwilliam2128 Ай бұрын
@Roby-nw8sz 😄 🤣 😂 😆 Tuko pamoja.
@catherinedonald7915
@catherinedonald7915 Ай бұрын
Vai your ova 🤣🤣🤣
@EnglibertMichael
@EnglibertMichael Ай бұрын
😂😂
@EnglibertMichael
@EnglibertMichael Ай бұрын
kwishaaa vai
@TeamBabajoan
@TeamBabajoan Ай бұрын
Manyanya Nahitaji kukusajili katika team ya babajoan, nimeona ushirikiana wako na juhudi zako kwa Director Bichwa
@Danielm28Namegabe
@Danielm28Namegabe Ай бұрын
Vraiment iyi sizone iko tokoss muendeleye mbaka ku 1000 sizon
@Johnleetzofficial
@Johnleetzofficial Ай бұрын
Wow 🎉good jobs 🎉 nawatakia maisha mema nyie ambao mme iyona sku nyingin ❤❤
@ROSEKABUE-s1b
@ROSEKABUE-s1b Ай бұрын
Niko hapa kwa ajiri ya wa mozambiqe 🇲🇿 🇲🇿 wote kutoa pole ya mdugu zetu wa Tanzani. Ile mahaga😢😢 yaliyotokea k/koo poleni san.
@evahdaud5045
@evahdaud5045 Ай бұрын
Asante sana dear
@EMMANUEL-jw4kt
@EMMANUEL-jw4kt Ай бұрын
Mudy leo 😂😂😂😂😂 hapana sikuwezi umeshindikana brother
@shavakhantz7960
@shavakhantz7960 Ай бұрын
Yn mudy chizi kwer😅😅😅😅
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m Ай бұрын
Muddy ameniacha hoi😂😂
@Arafat_tz
@Arafat_tz Ай бұрын
Uhakika muddy anazingua
@EMMANUEL-jw4kt
@EMMANUEL-jw4kt Ай бұрын
Yaan Leo kidogo tu nimpige rungu LA kwenye screen kabisa kipindi anachungulia mke wake anameita
@Arafat_tz
@Arafat_tz Ай бұрын
Hii nyimbo jina lake
@DainesWilliam
@DainesWilliam Ай бұрын
Nimewah namimi jmn naomba like zangu team nawapenda ❤❤❤❤
@BashirOjwang
@BashirOjwang Ай бұрын
Manyanya ikija kwa kula eeeeh 😅 mashallah kaka yuwala si matezo
@GamitoPatricioEdmarques-sp1uy
@GamitoPatricioEdmarques-sp1uy Ай бұрын
Nawakubali sana 🎉🎉🎉 from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@Rehema-h6t
@Rehema-h6t Ай бұрын
Hajalishi niwa ngapi lakini nimewahi tm strong like zangu jaman 🎉❤
@AbdulJuma817
@AbdulJuma817 Ай бұрын
daah tuliisubiri polen bongo movie Kwa msiba wa fred kiluswa pia polen Ndugu zetu kariakoo Dunia Sio yetu 😭😭😭😭
@Jasminadamu
@Jasminadamu Ай бұрын
What?😢
@Jasminadamu
@Jasminadamu Ай бұрын
Daaah😢😢😮nlikuwa sijaona asee ndo nmeenda kwa millady nmevunjika moyo sana MUNGU awapumzishe salama wote waliotangulia na awape afya wagonjwa wote hospital
@AbdulJuma817
@AbdulJuma817 Ай бұрын
@@Jasminadamu Amen 🙏😭💔
@DenisChuwa-p7i
@DenisChuwa-p7i Ай бұрын
Wa kwanza Leo...Kabla sijaangalia natoa pole kwa wahanga wa kariakoo....Tusali sanaa ndugu zetu...Kifo tunatembea nacho😢
@ananiadaudi-c8k
@ananiadaudi-c8k Ай бұрын
Ukwel kabisa 😭😭
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 26 күн бұрын
😢😢😢
@StevenyohanaYohana
@StevenyohanaYohana Ай бұрын
Nakupenda Sana kaka manyanya maneno yako unanifundisha dunia hisiishe kaka enderea.kunyoosha ndoa zetu
@JeftagideonLwanduluko
@JeftagideonLwanduluko Ай бұрын
Waooooo nampenda mati bure jamani Ila manyanya daaaaaa noma
@KibweOnlineTv
@KibweOnlineTv Ай бұрын
Vituko Vya Mudi Noma, na Huyu Manyanya na Matty In Love❤😂, But LEO ITAKUWA KUMBUKUMBU KUBWA KWA TANZANIA YETU JANGA LA KUPOROMOKA KWA GHOROFA YA KARIAKOO, IMEUA NDUGU ZETU MUNGU AWASAMEHE MADHAMBI YAO AMEEN, PIA AHSANTE TEAM DUNIA KWA MUENDELEZO WA EPISODE YETU YA LEO NI KALI BALAAA🎉🎉❤❤
@mohamedshemshindo2922
@mohamedshemshindo2922 Ай бұрын
Mbn unapotoshaaa umma wew
@KibweOnlineTv
@KibweOnlineTv Ай бұрын
@mohamedshemshindo2922 wewe endelea kulala huko kwenu udongoni kuporomoka, tuache huku sisi
@estermpare4078
@estermpare4078 Ай бұрын
​@mohamedshemshindo2922 anapotoshaaa umma vipii muachengee kutumiaaa itel zilizochokaa inaa maana unazanii hamn watuu watu walikufaaa !!
@WilliamJoel-kz2jv
@WilliamJoel-kz2jv Ай бұрын
Mapena sana leo❤🎉🎉
@nicemakene1187
@nicemakene1187 Ай бұрын
Nmekuwa wa kwanza nipen likes zangu
@Fbmovie254
@Fbmovie254 Ай бұрын
Umefanya vzr sana kaka manyanya kuregesha furah ya d Mati ❤ wngapi na wao wanatamni penzi lao liendelee tujuane kwa❤
@godfreynoah6450
@godfreynoah6450 Ай бұрын
Manyanya bwana eti kwisha abali yangu😂😂😂
@janethlaizer-k4t
@janethlaizer-k4t Ай бұрын
Wanawake tujitahidini tuwe tunapika chakula mkamato Manyanya umejua kutunyoosha
@Mary-q5d5c
@Mary-q5d5c Ай бұрын
Manyanya na mat njoo mrudishe meno yangu 😂😂😂😂😂mnafanya na smile kama mjinga 😂anyway hongera sana
@ScholaMalale
@ScholaMalale Ай бұрын
Hahaha
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 Ай бұрын
Kamwambie vaylleth aendeleze jeuri naaendelee kua busy na kazi😂
@Mary-q5d5c
@Mary-q5d5c Ай бұрын
@m.mmarckus6298 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣maombi yangu manyanya aoe mat
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 26 күн бұрын
Kabisa ata mm😂
@Juliety-v3o
@Juliety-v3o Ай бұрын
Wanaoona Vai anaenda kumpoteza manyanya tujuane
@leonardchidingi-kg5wv
@leonardchidingi-kg5wv Ай бұрын
Co rahc kwa harakaharaka ila manyanya katengeneza bomu kubwa sana linahitaji akili nyng
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 26 күн бұрын
Kivipi
@MMo-e8f
@MMo-e8f Ай бұрын
Hongera kaka manyanya angalau umeshapata barafu ya moyo wako
@Nathan-p1n5q
@Nathan-p1n5q Ай бұрын
Woooow manyanya best move with mati nawatakia kila laheri akh hii dunia inaendlea kunifunza mengi xn akh nawashukuru xn familia ya dunia kwa kijumla be blessed xo much
@NamaaAntoni
@NamaaAntoni Ай бұрын
Reo jioni ndamsindikiza mayanya kula chakula chausiku kwamati😂😂
@rahmaissa1941
@rahmaissa1941 Ай бұрын
@@NamaaAntoni hahaha 😂🤣🤣😂 nyoo
@LatifaMuddy
@LatifaMuddy Ай бұрын
😂😂😂❤❤
@LatifaMuddy
@LatifaMuddy Ай бұрын
Tunaenda wote 😂😂
@vailethmtawa3478
@vailethmtawa3478 Ай бұрын
😅😅😅
@JoyJack-x5x
@JoyJack-x5x Ай бұрын
😂😂mbona hatujakuona mezani ndugu 😂au ndoto😅😅
@MedanneRubenga
@MedanneRubenga Ай бұрын
Mati wewe nilikuaidi kwamba utakuwa kipenzi kia manyanya ❤❤❤❤❤
@MariamuIbrahimu-p5g
@MariamuIbrahimu-p5g Ай бұрын
Jamani tutakanyagana umu heeeh watu hamlali jamani😁😁😁 mimi ni wakwanza
@SophiaMabula
@SophiaMabula Ай бұрын
Nafurah kuona penzi la manyanya na matirda likizaliwa upya daaah mungu awabarki xna mfke mbali na mpate watoto weng❤❤
@YusraNeema
@YusraNeema Ай бұрын
🎉❤manyanya usipo nenepa muda huu sijui manyanya aka Mr kitaalamu❤❤❤hongera sana
@Dogokingo
@Dogokingo Ай бұрын
Leo Mimi wa kwanza like 👍 please ❤❤❤
@gcweke
@gcweke Ай бұрын
Kenya nakubali sana kazi ya TZ acting iko sawa sana i dint know manyanya huwa mkenya😅
@YosiahMalon
@YosiahMalon Ай бұрын
Nooo Won’t happen
@RosemaryWilbard
@RosemaryWilbard Ай бұрын
Wow timu maty mko wapiiii😅😅😅
@LailatSleyoum-ex6rb
@LailatSleyoum-ex6rb Ай бұрын
I'm here
@JasminMuhq
@JasminMuhq Ай бұрын
Tupo
@ShamilaAbdullah-w1f
@ShamilaAbdullah-w1f Ай бұрын
Tupo mie uwa nakenua meno kitengeo cha maty😂😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 26 күн бұрын
Tupo😂
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp Ай бұрын
Aisee Manyanya❤❤ tumpe hongera maana amebeba Toto la kishua❤❤simple sana ..Matrida❤
@SibijaliLim
@SibijaliLim Ай бұрын
Vayi pol sana 😢😢 na hapo maji huzowi kbx manyanya ka nasa kwa mati we huogopi ila we mwenyewe ndo uriyataka hapo sasa jiandaye na kuaoga🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
DUNIA (Ep 21)
18:02
ASMA FILMS
Рет қаралды 421 М.
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
GYCC Mkutano Wa Injili Nyimbo Za Agano Na Ngoma Tulifu Iratsa HQ December 2024
14:30
DUNIA( EP 24)
1:50
Plus Films
Рет қаралды 4 М.
DUNIA (Ep 22)
23:57
ASMA FILMS
Рет қаралды 444 М.
“Kp na Zebuu _ HEKAHEKA
19:05
FOOTBALL DATA TV
Рет қаралды 66 М.
DUNIA (Ep 34)
27:36
ASMA FILMS
Рет қаралды 493 М.
DUNIA  (  Ep  28  )
2:36
ASMA FILMS 199k views 5 Ours ago
Рет қаралды 616
DUNIA (Ep 29)
21:55
ASMA FILMS
Рет қаралды 483 М.
HUYU DADA MCHAWI
8:01
Steve Mweusi
Рет қаралды 1,8 МЛН