AGANO (Ep 20) FINAL

  Рет қаралды 18,382

ASMA FILMS

ASMA FILMS

Күн бұрын

#agano

Пікірлер: 190
@asmacomedian9021
@asmacomedian9021 19 сағат бұрын
ASANTENI SANA KWA KUA PAMOJA NASI KWAANZIA MWANZO WA TAMTHILIA YETU MPAKA MWISHO,, KESHO TUNAANZA TAMTHILIA YETU NYINGINE YA DUNIA,, HIVYO KAA TAYARI KWA JIWE LINGINE,, HAKUNA KUPOA, MUNGU AWABARIKI SANA TUNA WAPENDA
@SalamaKhatibu-yp6wi
@SalamaKhatibu-yp6wi 19 сағат бұрын
Tunawapenda pia hongereni kwa kazi mzuri mungu awe pamoja nanyi
@MwanaidyHamis-rg1pu
@MwanaidyHamis-rg1pu 19 сағат бұрын
hongerenibsannkwa Kaz nzuri mme Tisha sana kwenye tamdhilia hii
@mauwabanda2746
@mauwabanda2746 19 сағат бұрын
Tunakupenda pia KAZI nzuri sana tunasubir kwa hamu ije na hiyo
@abdulhamid9593
@abdulhamid9593 19 сағат бұрын
kazi nzur ila ondoen neno download mpate views nyingi
@OchiengDaniel-pg2sr
@OchiengDaniel-pg2sr 18 сағат бұрын
Bila shaka napongeza kazi yenyu
@NathaSMART
@NathaSMART 21 сағат бұрын
Mumefany vizur ❤ Latifa😂😂😂😂 much love kwa hio game ❤😂😂😂😂
@Godwin-g6m
@Godwin-g6m 20 сағат бұрын
Ongereni sana kwa kazi nzuri sana, sis kama mashabiki zenu tunategemea kazi nzuri zaidi na zaidi MUNGU AWABARIKI SANA NYOTE
@Young_p2007
@Young_p2007 21 сағат бұрын
Wakwaza leo naombeni like zangu🎉🎉
@jazminewatanzi1854
@jazminewatanzi1854 21 сағат бұрын
Thnx for the good work 👏 🙌 👍 the entertaining and educative movie
@user-rq9sf8fr4wmorisjumbe
@user-rq9sf8fr4wmorisjumbe 21 сағат бұрын
Wa 21 leo jmn naomben like zang kama ndot
@NoelaGustave
@NoelaGustave 18 сағат бұрын
Tunasubir nyingine nzuri zaidi ya hii ongereni san kwa wote mlio husika❤❤❤❤❤❤
@abrahimfathery8126
@abrahimfathery8126 21 сағат бұрын
Wakwanza leo jamani sijawahi kupata like from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@NicholausMziray
@NicholausMziray 17 сағат бұрын
Mama ake doctor anajua kuvaa uhalisia wake nimempenda bure❤❤❤
@psychologist799
@psychologist799 20 сағат бұрын
Hahahahhaaa huyo malkia kajamba alipoanguka
@Katuni862
@Katuni862 20 сағат бұрын
Nan kamuon Latifah kasuka leo
@MarkOlubayo
@MarkOlubayo 16 сағат бұрын
Nami nashukuru tokea mwanzo hadi mwisho huu nimekuwa nanyi. ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 kazi nzuri asma Comedian na kundi love. Mimi mkenya na nawapenda sana.
@wilmotkarisa6174
@wilmotkarisa6174 11 сағат бұрын
Ama kweli mwisho wa ubaya ni AIBU....Tutende mema jameni😢😢
@Evaline-n1p
@Evaline-n1p 20 сағат бұрын
Tunaisubiri dunia sasa❤,,,,
@RosebellahOwasi
@RosebellahOwasi 15 сағат бұрын
Imekuwa kazi nzuri sana
@KoreanDramaMoviesKiswahili
@KoreanDramaMoviesKiswahili 17 сағат бұрын
❤❤❤
@MusaUreni
@MusaUreni 19 сағат бұрын
Ila kanji hatujui hatima yake nandonilitegemea awe staring pia kifo cha afisa salama hakijaeleweka nafainali pia mmemaliza mapema pia binti aliekua amegeuzwa njiwa kwaajili yakua mtumishi wa agano pia hajaeleweka ila congratulations🎉
@niyogusengwaalexis292
@niyogusengwaalexis292 20 сағат бұрын
Kutoka BURUNDI❤ nipe like zangu
@IrenewillyMwenda
@IrenewillyMwenda 19 сағат бұрын
Ila hawa watu jaman niseme ty ukwel wanajua wanajua sana hayupo kicheche lakin wameupig mwingi mno ten mno onger zao nawapenda
@TuyajengeYaishe-q8v
@TuyajengeYaishe-q8v 21 сағат бұрын
Aisee mko vzr sana nakila mmoja anaitendea haki nafasi yake daaah Mungu awabariki sana ❤❤❤❤
@kadegeolesaita6515
@kadegeolesaita6515 18 сағат бұрын
Mapemaaa wakuuu
@BRANDIAFRICA
@BRANDIAFRICA 15 сағат бұрын
Wanao penda kuponza wazazi soma hi comment alafu usi like umemtukana mzazi wako
@anitamgonwa2221
@anitamgonwa2221 21 сағат бұрын
Wakwanza na mi leo jaman toka mwanzo tulikua pamoja na mpaka final hongera kwa move nzuri sana asanteni kwa ujumbe mzuri pia
@DonMooFILMES_Express
@DonMooFILMES_Express 9 сағат бұрын
Kwasasa msanii wangu bora namsogeza MANYANYA ❤ Huyu kijana anatembea na script hadi natamani mimi ndiye ningekuwa Manyanya 🔥💯⚘ kazi nzuri sana Baba Asma Gang ❤
@Rosemaryhamisi
@Rosemaryhamisi 15 сағат бұрын
Hii ni bonge la movie sijawah kuona kazi nzuri sana Doctor
@ninjacomedy9622
@ninjacomedy9622 21 сағат бұрын
Wa kwanza kutoka kenyaaa.....c mnipe izo likes
@JoelMukulu-f4i
@JoelMukulu-f4i 19 сағат бұрын
Ila kinacho ni shangaza uyu mama kalogwa na uchawi ina maana ni nguvu za Giza zinazo mtesa sasa toka lini jameni uchawi Uwe na dawa hospitatalini ?naona Hapa mungetumia pasta.
@MamuBintally
@MamuBintally 19 сағат бұрын
Hakutumiya sana madwa y hosi kma unamkumbuka cha pombe pia ilkuwa akimleteya dawa y kienyj
@givenrichard8094
@givenrichard8094 19 сағат бұрын
Kweli kabisa
@JoelMukulu-f4i
@JoelMukulu-f4i 19 сағат бұрын
@@MamuBintally lakini Kuna mda huyo chapombe Ali fukuzwa na ma dawa yake. Ila mama aliendelea kupata dawa kuwa mzima huko mtoto wake akiendelea Pia kusisitiza kwamba yéyé anaiamini iyo dawa japokuwa alikuwa hamuamini Cha pombe.
@MamuBintally
@MamuBintally 19 сағат бұрын
@@JoelMukulu-f4i ndio cha pombe alikufa ile dawa y chupani ilkuwa n y nini haswa eee sijakat kma ilkuwa hapt matibabu, ilkuwa anamtibu kotekote
@OnesmusMwikya-k7z
@OnesmusMwikya-k7z 21 сағат бұрын
Mimi wa kwanza comment zenu sikam na like zenu
@JenifaJafeti
@JenifaJafeti 21 сағат бұрын
Namm nipeni ata like moja😢😢😢😢
@QueenShakers-i4c
@QueenShakers-i4c 14 сағат бұрын
Ayaaa mie wa mwisho😂😂 🎉🎉🎉🎉
@liylahahmed829
@liylahahmed829 21 сағат бұрын
Oooh hatimaee........Safi sanaa🎬
@SalmaSaid-v3d
@SalmaSaid-v3d 20 сағат бұрын
Uyu latifa ni star kwa kweli ❤
@richardmloha1762
@richardmloha1762 19 сағат бұрын
Sooo guuuud HONGERENI 🔥🔥🔥
@JustinBirori-e7q
@JustinBirori-e7q 21 сағат бұрын
Wakwanza leo mimi🇧🇮🇧🇮
@NdyamukamaEdmund
@NdyamukamaEdmund 21 сағат бұрын
Ewaaah mama anatembea sasa
@luswagawamba2232
@luswagawamba2232 15 сағат бұрын
Sawa na njiwa vp
@JoelMukulu-f4i
@JoelMukulu-f4i 20 сағат бұрын
From congo I say thank you so much
@davidmutiso7820
@davidmutiso7820 21 сағат бұрын
Nice one, from Kenya
@aimen5584
@aimen5584 21 сағат бұрын
Wakwanzaa❤
@AbuubakarySalumu
@AbuubakarySalumu 9 сағат бұрын
Congratulations my brother manyanya and team zima ya BICHWA production
@sharu1567
@sharu1567 7 сағат бұрын
Ongereni saana movie nimeilewaiyoo❤❤ leteni movie mzuri zaidi kulikoo hiyoo❤❤❤
@evelnjuma1834
@evelnjuma1834 19 сағат бұрын
Nzuri sana mko vizuli mwisho wa kigongo hiki ndio mwanzo wa kigongo kingine kizuli Zaid nawakubali sana tunawapenda 🎁💃🏼💐🎥🇹🇿
@EtienneNsengi
@EtienneNsengi 5 сағат бұрын
Asante sana kwakutupa muchezo nina jifunza amo vitu mingi❤❤❤❤
@wilmotkarisa6174
@wilmotkarisa6174 11 сағат бұрын
Yeyote Aliyekuwa akitazama AGANO toka mwanzo hadi hapa mwisho Mungu ampe maisha marefu....reply kwa kusema AMEEN...
@SAMANTHACHEGEChege
@SAMANTHACHEGEChege 6 сағат бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏
@DismassSteven
@DismassSteven 6 сағат бұрын
Amen 🙏
@NikizaGamariel
@NikizaGamariel 21 сағат бұрын
Nampongeza mwandishi wa hii video alikua amefikilia kweli kweli hasa hasa Ratifa mchawi Na Dr manyanya Ebu naomba likes nyingi sanaaaaa😊
@GospelPrince254
@GospelPrince254 10 сағат бұрын
Ila latifa jamani, si angempeq doctor ata show mara ya mwisho jamani😂😂 sijapanda
@AbdallahSelemani-tr1ph
@AbdallahSelemani-tr1ph 8 сағат бұрын
Congratulations kwa kazi nzuri from 🇿🇦 nawatakia kazi njema ndg zang
@KWIBEAMISIOBAMA-congo
@KWIBEAMISIOBAMA-congo 18 сағат бұрын
Ms Obama from Congo Kolwezi 🎉🎉
@oswaldminja8241
@oswaldminja8241 20 сағат бұрын
Safi movie nzuri sana short and clear sio mtu wanaweka vipengele vitu maneno yanakuwa ya kurudia rudia mpaka board
@PrettyTarah-122
@PrettyTarah-122 19 сағат бұрын
Leteni nyengine nzuri kma hii
@MleviInternational
@MleviInternational 19 сағат бұрын
dunia inakuja
@halima2382
@halima2382 7 сағат бұрын
🎉🎉🤣🤣🤣🤣kikohozi tena latifaa umewakomesha sana hao🤣🤣🤣🙌🙌
@johalirankunda6618
@johalirankunda6618 17 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤❤asant nanyinyikwa kutuletea bong lamov 🎉🎉🎉🎉
@CollinsShado
@CollinsShado 20 сағат бұрын
🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 tukombele pamoja tunaitajikitu kama iyo tena
@allysaid6742
@allysaid6742 7 сағат бұрын
Masha Allah hongereni Sana kwa kazi nzuri yenye mafunzo
@MariamuIbrahimu-p5g
@MariamuIbrahimu-p5g 18 сағат бұрын
Nimeinjoy lkn kumwisho machozo yalinitoka na sijuwi kinacho niliza
@mathnaasaa2166
@mathnaasaa2166 20 сағат бұрын
Mnaweza mnaweza tena ila tunapenda movie kama hizi za kusimumua za kutisha mbona ile dunia haina vitisho😢
@PoleenNjeru
@PoleenNjeru 21 сағат бұрын
Much 💚 from 🇰🇪🇰🇪 ila imeisha haraka sana jamani alafu rejeleeni pili
@001_kenya
@001_kenya 20 сағат бұрын
Kazi nzuri baba asma na crew yako #much luv from 254🎉
@katembosyaluka-f2n
@katembosyaluka-f2n 13 сағат бұрын
kazinzuri sana kaka tafadhali nahitaji huu wimbo wa agano naweza kuipata vipi
@josephrwakayonza3654
@josephrwakayonza3654 20 сағат бұрын
Inafundixha sana na nimemejifunza vingi kwenye haya maixha ya kunavingi sana
@Labankarani1
@Labankarani1 21 сағат бұрын
@DainesWilliam
@DainesWilliam 20 сағат бұрын
Kaz nzur hongeren sana tunasubir Kaz mpya on 💕💕💕💕
@RobertTuesday-js2gi
@RobertTuesday-js2gi 11 сағат бұрын
Much congratulations guys you did it well and good, stay focused and work smart you guys are so talented, stay blessed forever🤝❤️🤗🌹
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 14 сағат бұрын
Agano limeisha vizuri sana mashaallaah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Mboko-Mediaz
@Mboko-Mediaz 17 сағат бұрын
Tena kazi nzuri jamani kuna kipya DUNIA twendeni mana tume fika mwisho wa Mzigo uhu
@GodfreyChaula-w1n
@GodfreyChaula-w1n 3 сағат бұрын
Daaah siamini km imeisha dis iz my fvrt mv ..igonna mic
@MikajoseNankola
@MikajoseNankola 10 сағат бұрын
Sema kazi zenu azitoki kwa wakati unacheleweshaga sana
@dionisntabangalala6345
@dionisntabangalala6345 11 сағат бұрын
ALAFU MCHAWI MKUU ALIPO DONDOKA ALIJAMBA 😂😂😂
@radjabuharerimana2538
@radjabuharerimana2538 8 сағат бұрын
Nawapongeza sana yani mumepiga mulemule yani
@BeatriceLuciana
@BeatriceLuciana 18 сағат бұрын
Latifa amewaza watching form kenya ❤❤❤
@ZunanOman
@ZunanOman 19 сағат бұрын
Mnajitahidi kwakazi mzuri naangalia tamsilia nikiwa oman
@harrisonhamisi9971
@harrisonhamisi9971 17 сағат бұрын
Very impressive...good work may God bless you all team asma....much love
@michaelmarcelin892
@michaelmarcelin892 11 сағат бұрын
Wahooooo kazi nzuri kabisa much lov manyanya
@IreneIsambi
@IreneIsambi 21 сағат бұрын
Asante sana Kwa kutumalizia movie vizur
@RosetteMaarashi
@RosetteMaarashi 20 сағат бұрын
Vizuri sana ❤❤❤nawa penda kutoka congo
@zeinabuAchiengOkara
@zeinabuAchiengOkara 16 сағат бұрын
Kazi nzuri jamani leteni movie ingine kwa haraka
@JescaFelix-e4x
@JescaFelix-e4x 20 сағат бұрын
Safi sana latifa Bora umeteketeza Agano
@stephanosafari3792
@stephanosafari3792 11 сағат бұрын
Nmefanya kazi nzuri sana season ingine ikuje
@WilsonMwamboneke
@WilsonMwamboneke 7 сағат бұрын
Manyanya naqubalii blood uko kaziii nzulii
@dogoshayo
@dogoshayo 18 сағат бұрын
Nawapa maziwa yenu mpo vizur mwazo adi mwisho
@EmmanuelShao-d7z
@EmmanuelShao-d7z 6 сағат бұрын
Huo wimbo wa agano n mzuri naweza kuupata
@jonasespoir
@jonasespoir 21 сағат бұрын
wakwaza kutoka congo naomba liké zangu jamani
@DiviahDhemarley
@DiviahDhemarley 20 сағат бұрын
Jamni movie zote mzuri sinaisha sasa ata hii ni fanal
@gabrielmnangala7822
@gabrielmnangala7822 18 сағат бұрын
Naupnda san huu wmbo wa Agano vp ntaupataje
@husa8849
@husa8849 12 сағат бұрын
Tunashukulu kwakuanzananyi nawapendasana
@mahmoudnajad217
@mahmoudnajad217 13 сағат бұрын
MANYANYA SINDANO IYO TAFADHALI KUA MAKINI
@Ibrahimpuusi
@Ibrahimpuusi 6 сағат бұрын
Tunaomba nyingine jaman nzulli san
@AlayakaAbdallah
@AlayakaAbdallah 9 сағат бұрын
Kazi nzuri sana❤❤❤❤ mmemaliza vizuri
@ZilaboAmbonisye
@ZilaboAmbonisye 5 сағат бұрын
Imeisha kiutamu sana. 🔥🔥🔥🔥🔥🙌
@RedixMalamaMbeye
@RedixMalamaMbeye 17 сағат бұрын
Mko vzr sana jmn akika nimependa kz zenu
@rawlentmaneke3569
@rawlentmaneke3569 21 сағат бұрын
Wa kwanza leo naomba like zangu kama zootee
@umentco9600
@umentco9600 3 сағат бұрын
Uchawi unagarama pia 😅😅😅😅
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 17 сағат бұрын
Malkia ndo unaondoka sio😂😂😂😂😂😂
@NeemaEli-wl1dz
@NeemaEli-wl1dz 14 сағат бұрын
Kazini zuri sana tunawapenda sana
@BeatriceLuciana
@BeatriceLuciana 18 сағат бұрын
Nmependa hii tamthilia hii🔥🔥🔥🔥
@JohnKinyua-s2l
@JohnKinyua-s2l 16 сағат бұрын
Nipoa lakini m2 letee ingine fine
@psychologist799
@psychologist799 20 сағат бұрын
Daah inaumiza huko mwishoni...
@gabrielmnangala7822
@gabrielmnangala7822 18 сағат бұрын
Ka Tiffah ka manz kakali aiseeeee
@brucerinka8732
@brucerinka8732 21 сағат бұрын
Leo nimewai mkose kunipea like
@KapilimbaYoshua
@KapilimbaYoshua 6 сағат бұрын
Na wa kubali ndugu zanguni
PLAN B _ Episode 18
40:31
kp wa Aquino
Рет қаралды 37 М.
JUAKALI  LEO ALHAMISI FULL MOVIE 26 SEPTEMBER 2024
21:47
MECKY NOVELA
Рет қаралды 11 М.
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,1 МЛН
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17
MKOBA WA MAMA Episode [  31  ]
29:18
TANU PLUS+
Рет қаралды 22 М.
MISSION IMPOSSIBLE [44]
26:11
CHADO MASTA FILM
Рет қаралды 97 М.
HOUSE GIRL EP 09  | S3 | Love Story 💕💞
21:57
BUSATI TV
Рет қаралды 85 М.
HUBA LEO USIKU ALHAMIS TAREHE 26 SEPTEMBER 2024
24:46
MECKY NOVELA
Рет қаралды 9 М.
AGANO (Ep 19)
20:08
ASMA FILMS
Рет қаралды 30 М.
Utapeli
9:53
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 46 М.
MTOTO WA SHEIKHE (Ep 30)
23:59
Comedy Plus
Рет қаралды 27 М.