Clam ni king 👑 wa comedy na huyu dada ni queen 👑 wa comedy 👑
@maindaafricanbeauty3360 Жыл бұрын
Jamani mpo vzr kama mtuuu akitaka kujiunga na nyinyi nafanyaje mm nata kujiunga na nyinyi
@simbajumanne9718 Жыл бұрын
wewe dada hongera sana unajua kuigiza na big up sasa uyo dada akiegiza malaya
@armandodiogo Жыл бұрын
Jorje. Joao
@user-jn7pi4fl5m Жыл бұрын
😀😀😀😀huyu mwanamke hata uso wa firauni hauoni mwongo mwongo tena huyo shetani akae pembeni😀😀ila hapa mnafundisha tusiaminike wanawake😀😀😀
@AliAwadh-ev7dtАй бұрын
Iko sawa Kenya tuna wakubali
@rajsmartbusiness8710 Жыл бұрын
Daaaaaaa huyu demu ni 🔥 🔥 🔥🔥🔥
@christianjeandedieu6169 Жыл бұрын
Huyo mr kofia yupovizuri kbs
@IsmailMadrelya Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Huyu dada ni balaaa aiseee,,, bora wew clam nenda nyumbn
@nasraabdallah850 Жыл бұрын
🤣🤣kbs
@IsmailMadrelya Жыл бұрын
Hakika sijawah coment KZbin mm zaid ya kuangaliatu nakusoma coment za wadau ila kwa mara ya kwanza nimejikuta uzarendo umenishinda ,,hii Dunia ina mambo hakika🤣🤣🤣
@danielmkama24 Жыл бұрын
😆😆😆😆 Clam is 🔥 ety naenda nyumbn...
@mohamedmashaka4680 Жыл бұрын
Napendaga sana akisema ivyo....jamaa anajua sana
@KELVINMATALUMA-pp1qz4 ай бұрын
Unamuona huyo da@@mohamedmashaka4680
@user-ll7ej1ei2t6 ай бұрын
VaI unajua jaman😘😘😘❤
@baimarrajahbuayan6237 Жыл бұрын
Aisee hii kali
@Rod101156 ай бұрын
😂😂😂😂pole kijana tafuta ela
@josephlemi8084 Жыл бұрын
Hongera xana mnaweza Ila naomba kujua jina la huo wimbo bora nibaki mwenyew 🔥🔥🔥
@imanimachaka2419 Жыл бұрын
Bd huja pat jina la wimbo
@jolujodaagrecia61611 ай бұрын
Nimeipenda pia wimbo ni nsani gani? From🇲🇿
@juliusjoseph4889 Жыл бұрын
daaaah huyu Binti anajua kuigiza kwa hisia😂😂😂😂 nampenda jamn naomba namba yake nitafika dau,ila Yuko vzr kabsa Kwa kuigiza
@phelixokeyo3522 Жыл бұрын
🤣 🤣 🤣 🤣
@maduhusesa7587 Жыл бұрын
@@phelixokeyo3522 k Nmj.
@IbrahimuHaule4 ай бұрын
Dada nmelipenda hiyo muv umeuwa
@bensonfrancis5599 Жыл бұрын
Wanawake wabaya saana
@hevizymatho78538 ай бұрын
Haha... kuenda kuchapa mzigo
@manmgomi3042 Жыл бұрын
Uyuu mwanamke anaweza akakuhua kabisa kabisa kweli ni kuigiza lakini mmh
@JumanneShingsha-ks4vb Жыл бұрын
Vai nae Kwa kuigiza analia ni noma sana 😂😂😂😂😂😂❤️❤️❤️🚶🚶
@mrben227 Жыл бұрын
Inafundisha sana, congratulations 👏
@EnelGosbat3 ай бұрын
Mmetukosha 🎉 balaa maua yen mnasitail jaman
@mohamedijuma3703 Жыл бұрын
Munajua vizuri sana make me smile
@amanishiughaaa6345 Жыл бұрын
Ndugu yangu hapa kazi ip yaani ukisikia maraya ndoige Ndo huyo yaan ukipita kushoto yupo kulia yupo Kama umesikia hiyo like kwa mmbwa ww