Kiambaa ghosts + Msando +JJ + Saitoti + Ojode + Shakahola + Ogola + many more innocent souls wenye walisafirishwa na wanasafirishwa mbinguni kwa lazima ............................. = disaster !!!!! 😭😭😭😭😭😭. God have mercy on millions of struggling Kenyans and act quickly 🙏🙏
@rosekwasi38245 ай бұрын
Let mandago pay with the money he conned parents
@appsplay43245 ай бұрын
Magari hayana maana kuliko maisha ya watu polisi wanaua watu n hamuoni
@Sl451355 ай бұрын
This is sad when a leader thinks he can not listen to the people who elected them but set goon’s on the people who put them in office
@shariffmwagagah21955 ай бұрын
Imagine
@winnieamanya6655 ай бұрын
Ndio Ruto ajue amekataliwa hata kwao🚮🚮🚮Ruto must Go...
@JacintaMueni-l9k5 ай бұрын
Watu wa eldoret congrats sana hope mlikumbuka vyenye alichoma kanisa ikiwa na watu huko kiambaa
@faithnyaboke4995 ай бұрын
Good job we don't care Reject the bill na bado Thursday tuko njiani
@bellaki43925 ай бұрын
This reporter is unbelievable!!! Feeling sorry for property 😢😢😢
@eyeforgoalsproductions5 ай бұрын
When your hometown turns against you...your finished
@sylviaecke17725 ай бұрын
hiyo TV ni muhimu kuliko watoto wetu wewe jonalist mjinga sana
@computerGURU-dp7gn5 ай бұрын
hujawai ju anakuwanga mjinga,,,, ni mate bado hajaanza kumwaga😂😂
@CicilyNjeru-qp2lq5 ай бұрын
Watoto wenu walibifu,huko sio kuandamana kwa amani
@musakomen69415 ай бұрын
Akuna mwaafrika mzuri, heri mzungu anajali maisha ya watu wengine
@JohnNyamai-s3g5 ай бұрын
Hio magari ni mzee hata haindi
@EverlineNgige5 ай бұрын
Big up ELD kazabuti hakuna kitu chenye thamani kama maisha Ya bin adam safari kitu gani washa moto
@MohamedNoormohamed-lc4rg5 ай бұрын
Ruto must go we are tired of his lies
@KwiniJoel5 ай бұрын
Acha kuzungumzia magari Zungumzia vifo vya watu waliyouawa!
@Ephantus-ll6ph5 ай бұрын
Gentz should open up their minds and realize that we are against the poverty , and do their demonstration peacefully and avoid destroying the property and damage 😢
@faithnyaboke4995 ай бұрын
Ruto must go
@michaelmuiruri36235 ай бұрын
Leaders should stop chest thumping at the same time wananchi should not destroy public properties. Hasira Hasara.
@asnathuktv49035 ай бұрын
I urge the republic of kenya not to pressure our president Honourabe Samoei Ruto he is trying enough to search means to make ends meet despite majority never understands his cliteria , he started with paying debts, lowering economy,where he went wrong would be advised on how to cope not running into country destruction so sad give him humble time he will follow Kibaki and Moi protocols
@jojome-h7b5 ай бұрын
Wewe ni ngombe sana unasema nini!
@yusufmwangichannel66925 ай бұрын
Eldoret ndio kuna vijana walio dhulumiwa na Mandago aliwadanganya kua wataenda ugaibuni kusoma na akawaibia pesa zao na hakukua na safari na bado kuna agent pia alifanya kama hivyo kuiba pesa za watu akiwaambia anawatafutia kazi ugaibuni kumbe anawadanganya na Ruto naye ndie uyo na finance bill, so vijana wako na hasira acha watoe hasira zao walizo dhulumiwa
@gladyswanjiku59625 ай бұрын
Truest,walikuwa very bad corned
@sheidahkerry38065 ай бұрын
This are ruti goons not gen z youths trust me not😢😢😢 but as we gen Z we will never give up until we finish our mission💪💪💪💪💪
@Kaka-kq2uy5 ай бұрын
Yes hata kama Ruto akienda kwani mtatumia nini with whom you think he will put food on ur table freely without working.
@annahsimiyu14015 ай бұрын
Haiwezi fika mwisho Ruto atoke State house tumechoka Kenyans we are done ✅🙄🙄🙄🙄🔥🔥🙄🙄🙄🙄
@judithnekesa55335 ай бұрын
Please GenZ we support you but don't destroy buildings please please please even if you are bitter 😭😭😭 some of the buildings belongs to your families indirect or direct
@Blueboy-d8m5 ай бұрын
I doubt if GenZ doing this. No that hired goons are being used in pretext... politicians taking advantage of the situation.
@kevinoo22245 ай бұрын
Sorry for your losses... But Ruto must go!
@afrakanaswahilitv55205 ай бұрын
Ni vizuri klabu ya Mhe. Sudi ilichomwa ili apate ujumbe wa mubashara kwendana na kinyume cha uwakilishi wake. Hatumtaki na tunadai ajiuzulu bila kusita.
@KwiniJoel5 ай бұрын
Ndo viongozi wajue wakifanya ujinga kwenye masilahi ya umma mzara yake ni makubwa sana kama hayo unayoyashuhudia.
@bantkmaca57565 ай бұрын
Roho zenye zimezimwa ni ngapi ata unaongea sijui televition😢
@stevestephen21225 ай бұрын
There was no charges to use this library years ago
@MakuzaBosco5 ай бұрын
Kwanza mnabomoa mtajenga wenyewe kubomoa nirahisi kujenga ngumu
@jerrymcbride22305 ай бұрын
Government ipunguze raha - tax ifanye kazi county viva
@annahsimiyu14015 ай бұрын
Chomeni kabisa juu Ruto ni muuwaji wa binadamu ,so hizi ni vitu za kuisha ila maisha ya mwanadamu haiwezi rudishwa ,,polisi walianza kw hasira itamalizika kila kitu ,he must resign and go home 😢😢😢🙄🙄🙄🙄🤔🤔🤔🤔🤔⚡⚡⚡⚡⚡
@Nora-v1m3p5 ай бұрын
Hagekua hayo alisababisha n ruto kwann asitekeleze ahadi za wakenya?
@dogodogo5955 ай бұрын
Sasa na wale watoto waliouliwa na police walikua wamekosa nini?
@conquerorvictor50725 ай бұрын
Really eldoret? Something is wrong.
@RobinsonKamoko5 ай бұрын
😊😮😢
@aliabdi83475 ай бұрын
Fulls always destroy their own properties
@antonymungoloti5 ай бұрын
say it loud brow
@mpefu_49365 ай бұрын
Hao awadai Hali ni vibaka tu
@keisha60565 ай бұрын
Can you put English subtitles please?
@afrakanaswahilitv55205 ай бұрын
Wachana na utumwa na ukoloni. Thamini lugha yako ya kiafrika na usituletee uzungu na ukoloni mamboleo.
@techyrack5 ай бұрын
polisi ndio wahuni waliofanya vijana kupata Hasira
@MakuzaBosco5 ай бұрын
kwanza tafuteni raisi asiye mkenya kwasababu mgombea anakuwa na rugha tamu ya asari akipata uathifa anakuwa mbaya sana
@JulixYung-kw2tr5 ай бұрын
Mbona zikichomwa hamko wanahabari mwatuomyesha.mkiitwa na polisi. Hao polisi wanapiga doria wanachoma kama bunge kisha mlaumu mwandamaji
@FauziaJoseph5 ай бұрын
Sasa hii ni nini wanarundisha uchumi nyuma kabisa ata hio bill hiandikwe tena waongesee vitu ndio hio hasara wamefanyia ikamilie Ruto hongesea kabis
@vionahandrew14285 ай бұрын
Na bado mbaka zakayo hazuke😂😂😂
@AleleHumphry5 ай бұрын
So tragic 😢😢😢
@husseinbakromar58655 ай бұрын
Thieves nation vijana hoe nyie ongozeni uwizi pambaneni na wanainchi ndio serekali kuu
@husseinhussein38575 ай бұрын
Waadamanaji walikasirika wakati askari walianza kuua watu.
@mtuwawatuhoyee65495 ай бұрын
Ruto ndie aliandaa goons.
@maremm57375 ай бұрын
Ugandan president messed up the Kenya president Ruto shout know Kenya is not Uganda we Ugandans are ruled by military busher men we are dedicating m7 to deal With God
@antonymungoloti5 ай бұрын
mh cio kwamba walizidi maafisa wa polisi nguvu hila polisi angetumia bunduki angesemekana ametumia nguvu kupita kiasi ok I wonder hii mambo itakuja kuisha lini ukweli inafaa ukifanya maandamano bas inaonekana Kuna cku itafika hii Kenya watu wapewe nafasi waingie penye wanataka then wapate Raha na chenye ua wanapata
@afrakanaswahilitv55205 ай бұрын
Hasira hasara na hasidi hasada.
@HappyCoralReef-wo6qh5 ай бұрын
Na hao Gen zwanaotumiwa majeshi kama alshabab hamuulizi ni kwanini wanauliwa mnajali magari
@DeMboris5 ай бұрын
Watu wa Uasin Gishu wahadaiwa na Ruto wao kupitia Mandago na hadi sasa hakuna case........
@Kaka-kq2uy5 ай бұрын
Who are these pple.?Na ni kwanini.Really.Are they not known?
@JohnNyamai-s3g5 ай бұрын
What are you saying
@MourineLewa5 ай бұрын
Kusikia si shida, shida n kututendea tunachopigania
@EverlyneAkinyi-ou8ji5 ай бұрын
Hao watu wengi walikua edited.
@Alutt5 ай бұрын
Poleni sana ndugu zangu wakenya
@memyself21525 ай бұрын
What else do you expect from people who disobey God?
@gladyswanjiku59625 ай бұрын
N those who are killing them,do they fear God also
@SaraAlmutairi-l5n5 ай бұрын
Sio teargas ilimfanya ni kupitishwa Kwa finance bill ndio ilichochea sio kitu ingine.kwani hizo siku singine hakukuangi na teargas???
@DennisLwoba5 ай бұрын
Eldoret town imechakaa
@afrakanaswahilitv55205 ай бұрын
Safi. Kenya ni yetu sisi sote na yanayojiri yanatuathiri sisi wote na hakuna mkenya atasazwa.
@maxwellkibet19885 ай бұрын
This Tuesday stories.... citizen tv don't mislead us we know your story
@jabezpartners44605 ай бұрын
What happened....it started as a very peaceful process....
@obongo965 ай бұрын
When Parliament passed that bill
@13utt3r5cotch5 ай бұрын
So sad😢. I used to go here to study.
@AmyBloomz5 ай бұрын
Sorry but ruto must goooooo
@abijahhamisi14745 ай бұрын
Gari ni mabati Tu,
@christinemambo68405 ай бұрын
Sasa huyu analilia magari, hakuna hao waandamanaji wakipiga magoti wakiomba peace, but police hawakuwasikiza,walikua wakiwapiga wakiwarushia tear gas, adi wanapigwa risasi, mulikua hamuoni, ila mnaona magari tu🙄🙄🙄
@Cench62175 ай бұрын
Muuaji wa kanisa
@ogumajane5 ай бұрын
Hao wengi wanajiuliza hawajui chenye imeleta shida...kwa hivyo wao ni criminals
@hellenmaiyo25165 ай бұрын
Was that a peacifull demonstration?look!,wazazi wanaenda kukaramia ujinga ya vijana wao.we shall be taxed proper.
@gtdetan5 ай бұрын
Not if we all refuse to pay.
@dennismucilla5 ай бұрын
Huyu journalist ni n'gombe sana miss information at it's best... People got mad after the kid nappings and shootings and thats how demos went violent 😮😮😮😮
@hellenmaiyo25165 ай бұрын
Hawa kweli ni wasomi?sidhani,ubumbavu yao imeonekana,na imewafikisha hapo.Those who were given money are now in hideouts,while the stupid ones are killed in streets.
@faithnyaboke4995 ай бұрын
Shut up your ass rubbish
@estherwanjiru5955 ай бұрын
Magari niya maana kuliko life of our children? What's wrong with you guys
@graceamadi10965 ай бұрын
Walio kufa sio hasara? Miti na vya dunia ndio vya muhimu? Police ndio wenye makosa
@Charles-jy9mg5 ай бұрын
Makosa gan? Wacheni uwongo
@paulsiro17755 ай бұрын
Sasa pia Hao watu wa uasin gishu ni criminals?
@mosonikcheomet12065 ай бұрын
Yes and they don't want their name criminals
@josephatkebenei50805 ай бұрын
CRIMINALS who destroyed properties in eldoret should never think they'll go unpunished for their actions
@NangoPhoebe5 ай бұрын
😂
@jameskutai76485 ай бұрын
This is a very biased reporter who has been hired to magnify peripheral issues and highlight mundane issue. This must be a quack