Good governance and transparency, accountability ipo chadema.CCM ni waovu hawawezi kuwa wazi kwa sababu niya watu wachache CCM ila Chadema ni ya wanachama wote. CCM ni chama cha kikoloni TU.
@hassanmitayo187513 күн бұрын
Mazungumzo na kuvumiliana ni kanuni ya watu wastaarabu na wapenda amani, tafuta na usikilize kwa lakini wimbo wa reggae wa ALPHA BROND, uitwao Peace in Liberia utagundua kitu
@barakajohn800513 күн бұрын
Hawa ndio wanao tuchelewesha na uchambuzi maandazi...zee zima linakuwa ogaaa😂😂😂
@salumkondomwinyimkuu424112 күн бұрын
Huyo anaitwa Abdulkarim Rashidi Atiki na sio Abdulkarim Ally Atiki
@SuolFat12 күн бұрын
Saaizi Wana mbunge mmoja
@geraldluiso679213 күн бұрын
Maamuzi ya wachache huumiza wengi ila maamuzi ya wengi huokowa wachache
@OttoChiduo13 күн бұрын
Usiri umekiukwa,mambo ya siri yabaki sirini hata kama mmetofautiana,hili litawagharimu !
@Ramadhanilawoga13 күн бұрын
Mbowe amekijenga chama anaijua Nchi Yake nanna ya kuleta majadiliano Kwa manufaa ya chama chake pia nchi hao wengine waliozaliwa baada ya Uhuru wanamihemko tunamshauri mbowe simamisha uchguzi fukuza hao wahuni wakaanzishe chama chao tunaamini watakao Baki na ww utakijenga zaidi chadema
@zyelewiloboo13 күн бұрын
Chama kinakatiba Hana mamlaka yakumfukuza yeyote mpaka uchaguzi uishe pole sana mjukuu wa mgabe😅😅
@ibrahimomari245813 күн бұрын
Tatizo ni pale tu walipozani kuwa wanapoteza nafasi zao za uongozi ndio kilichochochea kinachoendelea... Hapo ni wasaka tonge...