Daah nakumbuka hiyo siku tulikuwa ndege beach akaja Imamu ukatusumbua sana anataka tumnunulie pombe tukaona poa Kwa vile mwana tukamnunulia mzinga wa konyagi hee kufika asubuhi tukasikia Imamu Abbas amefariki wakati wanarudi kutoka ndege beach gari yao ilipata Ajali na yeye akafariki. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.
@mkenejuma6425 Жыл бұрын
Dah
@jumaaathumani41442 жыл бұрын
Sana tena san
@jumaaathumani41442 жыл бұрын
Ajali haina kinga
@shukurusaleh74982 жыл бұрын
Nakumbuka hiyo jali hitokea kwasokota temeke
@muddysangaraza79632 жыл бұрын
Muziki bora duniani
@athumaniathumani3082 Жыл бұрын
Nakumbuka nilitakwwnda na lafiki YANGU nyemo nikakataa nikasema Sina pesa ya mchezo WA stalehe ya nanna hiyo , muñgu awasamew makosa Yao waliotanguliya mbele ya haki