Hivi Hawa waimbaji WA siku hizi hawajifinzagi Kwa Hawa????Mimi ni kijana mdogo sana miaka 31 now ila kusema kweli hizi ndio nyimbo zangu,waliimba ujumbe WA MUNGU na walitulia mno achana na Hawa WA siku hizi,Kam tuko pamoja hadi sahv 2023 naomba like Yako hapa
@AkimJudah27 күн бұрын
gonga like Kama unaskiliza 2024
@alexonesmo17534 жыл бұрын
Mliifanya kazi ya Mungu vema sana , hongereni wapendwa
@jaydenbenson66154 жыл бұрын
2020 bado tupo na Mungu,utabaki kuwa Mungu tunabarikiwa sana
@messiasulleydidy25853 ай бұрын
2024 still watching
@kennedykioko56394 жыл бұрын
Ooh God where are this guys? May God bless them
@mwitas52865 ай бұрын
The golden voice when gospel melodies was still
@andrewbaluhya4903 жыл бұрын
Mbarikiwe Bulyankulu choir.Majaribu na changamoto za maisha tutazihimili na kuzishinda iwapo ROHO WA MUNGU ndie kiongozi wa maisha yetu.
@juliusmakau16883 жыл бұрын
Forever Ulyankukulu from Tanzania you will remain green since the year 1984,when i was 2year.
@mathewwambua1662 жыл бұрын
Bringing up childhood memories. Old is gold!
@thegood_nurse45336 жыл бұрын
OMG nimeitafuta hii nyimbo. Finally 😀
@michaelwambua67363 жыл бұрын
This choir used to sing the Bible, listening to their music is like you are reading the Bible.shalom
@otangamakokha310 Жыл бұрын
Humble beginning
@richardmutuku4545 жыл бұрын
Mungu turehemu tuweze kuwa na ufunuo ama huu katika utungaji wa nyimbo,, Wewe uketiye juu ya vyote sifa hizi zikufikie
@maryosward18795 жыл бұрын
Kabisa mungu atusaidie saizi ni viduku tu utafikili kwenye baa yakale ni dhahabu
@samuelnyaachi70943 жыл бұрын
Good old days always in version.
@kiribwazmoseyz26203 жыл бұрын
My childhood @ a glance God bless!
@stephenmusembi21762 жыл бұрын
The song we will listen until we die
@lovenessernest23876 жыл бұрын
mbarikiwe sana watumishi
@samuelnyaachi70943 жыл бұрын
Good music of those old years of 1980s still in good version. God bless them.
@angelandunge89513 жыл бұрын
This song really touches my heart..
@fredanunda77195 жыл бұрын
wonderful and touching voices!and great massage!God bless you!i love your songs always.
@paulokaminyoge91235 жыл бұрын
kweli ya kale ni dhahabu,wimbo mzuri wenye ujumbe mzuri ni kama umeimbwa leo hii,
@rugemalilaregid38325 жыл бұрын
Wimbo huu pamoja ule wa " Katika viumbe vyote" nazipenda sana kiasi kwamba kila siku nazisikiliza. Kweli kwaya hizi zilijitahidi sana, Mungu awabariki milele.
@matilderkaingu78294 жыл бұрын
Kweli kabisa
@samuelnyaachi70943 жыл бұрын
Truly they sung in spirit.
@corneillemikalano733211 ай бұрын
Wakati nzuri
@gaspalkabambi9727 Жыл бұрын
Mungu uwali Nde waimbajihawa nauwazidishie maishamalefu kwauwezowamungu tutaonana skuyamwisho, hakika Tanzania tutawamis sana mlitisha sana popote mlipo Tanzania tunawakumbuka sana, amina
@ASTUDIOSTZ Жыл бұрын
Barikiwa sana
@lovenessmaggie1444 Жыл бұрын
Mungu ni mwema Kila wakati
@pendomichael94724 жыл бұрын
2020 bado naitazamaa
@ASTUDIOSTZ4 жыл бұрын
Mungu awe nawe
@edochichi99074 жыл бұрын
Jesus is the lord....Glory to God
@eustusjosephmwai601 Жыл бұрын
I love zilizopendwa was inspired.
@peterhayo86206 жыл бұрын
God bless this Ulyankulu, this song is a true gospel
@kipkiruikorir61422 жыл бұрын
Best of the best, cannot stop listening to this!
@user-cp1mc5ty3gАй бұрын
Nawapenda sana hivi mukowapi jameni 😢
@priscadismiss83592 жыл бұрын
Amina mungu azidi kuwalinda nakuwabark popote pale mulipo
@DiCulture6 жыл бұрын
nawapenda saaaaaana
@michaelnyauko60495 жыл бұрын
Hizi ndo nyimbo za kumsifu mungu wengi wa siku hizi ni kutafuta umaarufu na fedha MUNGU awabariki sana watu wake.
@henrychaula11742 жыл бұрын
Mungu naomba uwabariki sana waimbaji wa wimbo huu mahali popote walipo maana hadi leo 12/9/2021 unagusa mioyo yetu na kutukumbusha umuhimu na faida za kusimama kwenye imani.
@ASTUDIOSTZ2 жыл бұрын
Barikiwa sana ndugu popote ulipo
@brightonigilakubi9903 Жыл бұрын
Mubarikiwe waimbaji kwanyimbo zenye upako
@justinbulaze92562 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awaongezeyeni nguvu
@leonardleoni54272 ай бұрын
Hakika nimekumbuka ukuu wa Mungu
@cimpayeriziki50352 жыл бұрын
Mubarkiweeeeéee🇧🇮
@edwardbakana12885 жыл бұрын
kila mara naingia U-tube kwa ajili ya hizi nyimbo za Ulyankulu. Mungu awabariki sana hawa waimbaji.
@nicholausmaswi31415 жыл бұрын
Da unanikumbisha tunaingia seblen tunaambiwa kaeni chini msichafue KOCHI
@theblackpearl70354 жыл бұрын
Oh my God soo true😂😂
@charleswambua71865 жыл бұрын
Upako wa Mungu mwenyewe. Mungu awabariki hao waimbaji pamoja na jamii zao
@jobwechuli6 жыл бұрын
Mungu awazidishie baraka kwa nyimbo iliyotujenga utotoni
@expert5898 Жыл бұрын
In 2023 still one of the bests
@aipcTanzania Жыл бұрын
Such a blessing voice
@stellahgetuno8372 жыл бұрын
😥😥😥😥i love this song it touches my heart kila napo sikia
@tresorshmurda5575 Жыл бұрын
2022 bado tunabalikwa kwa jina la yesu ! Nyimbo nzuli sana
@ASTUDIOSTZ Жыл бұрын
Kama bado upo watamkie neno waimbaji hawa
@luciuskibaasa285 жыл бұрын
Dah....hua zinanikumbush mbali sana hizi nyimbo
@samwelmgonto Жыл бұрын
Bado tunabarikiwa 2023❤
@rizikimgonja16914 жыл бұрын
wimbo unamafundisho maUr
@sadikimsumba61864 жыл бұрын
Inakumbusha mbali sana
@barackmagambo3754 жыл бұрын
watumish wa mungu mbarikiwa
@ibrahimsimon10404 жыл бұрын
Goog, very nice be blessed
@samuelnyaachi70943 жыл бұрын
Olynkulu my choir. I love you.
@ASTUDIOSTZ3 жыл бұрын
Yes. you can subscribe and turn on notification bell for more videos
@domisonrichman64999 ай бұрын
This gospel was dope
@antonykimeuk6572 Жыл бұрын
I love the song
@ananiafransic12574 жыл бұрын
Hakika nyimbo zazaman zilikuwa na ujumbe mzuri hongelen watumishi wa mungu amen
@rosewabiwa56282 жыл бұрын
Good
@ndalawasimon78425 жыл бұрын
Mungu awabariki sanaaaa,,Mama angu alikuwa akiniimbia nyimbo hizi Aisee nilikuwa nafurah na kupata raha sana Mungu awabariki sana watumishi
@Jayrosfrancis2 ай бұрын
Upanga wa zamani makali yale yale
@charlesmganga30865 жыл бұрын
nakumbuka miaka ya 1980 wakati huo kulikuwa na mikutano kwaya zote zilikuwa zinakutania Tazengwa kweli kwaya zilikuwa zikisimama kuimba mnabarikiwa sana.nkinga.nzega .tazengwa.hizo ulyakulu acha tu.
@vailetaron57175 жыл бұрын
Charles Mganga nawapenda sana watu hawa tangu nakua nawasikiliza sana
@makutowambeteh2005 Жыл бұрын
God bless this Barbara 13 choir.You are ablessing to many
@jonathankioko25866 жыл бұрын
I love this song; cant get bored of it
@johaneskiiza20995 жыл бұрын
Hizi nyimbo hata ck moja haziwezi kuhisha kwenye chati mwenyezi mungu hawababariki wote walioimba nyimbo hizi
@winnyradjabu79094 жыл бұрын
Napenda Sana😍
@lucasmhagama81664 жыл бұрын
Ukiangalia waimbaji wa miaka hii daaah aisee Mbarikiwe
@jacksonpetem5798 Жыл бұрын
Nitapata wapi wanawake kama hawa wenye maadili nimuoe maana ktk kizazi hiki sijaona
@ASTUDIOSTZ Жыл бұрын
Muombe Mungu kaka wapo tayari kwa ajiri yako kama ukiomba
@IngridMakuka-gz9pd9 ай бұрын
Gonga likes kma Bado unasikiliza 2023
@jonnykumbukakijamba10103 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana naisikiya kila siku.
@yomajisatv17546 жыл бұрын
Good song of ulyankulu choir.ulyankulu's choir be blessed by god
@munamajii16026 жыл бұрын
Penda sana huu wimboooo
@vailetaron57175 жыл бұрын
June 2019 nani yupo pamoja na mimi?
@catherinenyokabi64855 жыл бұрын
Vailet Aron I am here
@vailetaron57175 жыл бұрын
Catherine Nyokabi wow let’s enjoy old gospel from ulyankulu my dear
@winnymwando59596 жыл бұрын
I love this song very much lord bless ulyankulu choir
@hildasankey33775 жыл бұрын
Mama yangu Nakupenda sana . Pumzika kwa Amani.
@gloriousn64253 жыл бұрын
Kindly upload na ule wa KISHA NIKAONA KITI CHA ENZI ...
@ASTUDIOSTZ3 жыл бұрын
Sawa sawa
@gregorysixmund20206 жыл бұрын
THANKS FOR UPLOADING THIS SONG
@ASTUDIOSTZ5 жыл бұрын
Be blessed
@wewehehe64054 жыл бұрын
My favorite people 😍💙💙❤️❤️❤️❤️
@zakayophillyx6761Ай бұрын
1998 kagongwa kahama hiyo
@eliudkiplagat19622 жыл бұрын
Great lesson
@evamabula74324 жыл бұрын
Hawa ndio waimbaji wa Gospel wa mwisho kabla haijawa biashara
@zabronmabamba36115 жыл бұрын
Anayepingana na mambo ya kale hajitambui. Sote tulitoka huko nawashangaa wanaojiita wa kisasa wakati hajazaliwa kutoka mbele wote ni matokeo ya wazamani
@lilianflorence50617 жыл бұрын
wimbo mzuri, unafundisha
@rachelbenjamin74577 жыл бұрын
Nice oldest songs
@benssonmbogani87512 жыл бұрын
Benson from Kenya(leave the song)
@adamgeorge40546 жыл бұрын
Enzi hizo bn duuu, safi sana.
@francisluganga50584 жыл бұрын
Hawa wahenga katika kwaya nawapenda mno, barikawa na bwana
@bantukauky54085 жыл бұрын
30 year agoo miss sana hawa waimbaji kwakweli wanajua