No video

Azam FC U17 3-0 Transit Camp1

  Рет қаралды 851

Azam Football Youth Development

Azam Football Youth Development

Жыл бұрын

Mabingwa watetezi wa ligi ya vijana chini ya miaka 17, Azam FC, wameendeleza ubabe wao baada ya kuandikisha ushindi wa nane mfululizo msimu huu kufuatia kipigo cha 3-0 walichowapatia Trans Camp June 23, 2023, kwenye uwanja wa TFF Kigamboni.
Wafungaji wa mabao hayo ni Issa Abdallah aliyefunga bao la kwanza dakika ya 29 akifaidika na pasi ya Mohamed Shillah. Mtengenezaji wa bao la kwanza, Mohamed Shillah, akageuka kuwa mfungaji wa bao la pili dakika ya 54 akimalizia kazi nzuri ya Adidan Rashid dakika ya 54 na bao la tatu na la mwisho likapatikana dakika ya 64 kupitia Alobogast Charles akipokea pasi safi ya mwisho kutoka kwa Peter Zogoya dakika ya 64

Пікірлер: 3
@user-jw7pq6ni3s
@user-jw7pq6ni3s 4 ай бұрын
Naomba munisaidie na mimi nicheze mpira hapi
@YussufYussuf-pu1ie
@YussufYussuf-pu1ie 6 ай бұрын
Kch nakuomb bs uwez kunisaidia ..
@YussufYussuf-pu1ie
@YussufYussuf-pu1ie 6 ай бұрын
Kipaj ninach natak na mm kuitoa familia yang ni maskin sana
Azam FC 1-0 APR FC | Highlights | CAF CL 18/08/2024
7:33
Azam TV
Рет қаралды 40 М.
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 12 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 63 МЛН
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 27 МЛН
Ruvu Shooting U17 1-4 Azam FC 17
4:57
Azam Football Youth Development
Рет қаралды 1,1 М.
JINSI YA KUJIUNGA NA TIMU ZA VIJANA ZA AZAM FC
9:56
Azam Football Youth Development
Рет қаралды 17 М.
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 12 МЛН