AZAM WAKO SERIOUS SANA/ GIBRIL SILLAH NI MCHEZAJI HATARI KUTOKA RAJA CASABLANCA/ AZAM NI WA MOTO

  Рет қаралды 27,325

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 32
@AdulKiga
@AdulKiga 10 ай бұрын
Bregenz sawa yani ukishakua chawa wa wasafi ability unaishiwa kabbisa yan away jamaa wanajioan wanajua kilakitu uchambuzi uko UFM sio wasafi wasafi ni ambagile pekee
@kingungemaster4811
@kingungemaster4811 Жыл бұрын
Oscar unaacha kumtaja Ayoub lyanga ambae amefanya vzr zaid unasema akijumuishwa na kipre ambae hakamatik wakat Lyanga kafanya bora zaid ya huyo kipre wako... Respect the Og bhana. Na Azam izo quality kazileta sana kina Edinho wote Walikuwa hapo.. Taja kina lyanga, sopu na Nado wanafanya pouwah kuliko huyo kipre unaemtaja kila dakika
@DaudMpelwa
@DaudMpelwa Жыл бұрын
Hapa mwishoni ndo umeongea vizili wazawa wajitume mbona wataonelana2 mfano kibu denis mbna anaonelan safi2 wazawa kama haonyesh kiwango kusajiliwa nasimba au yanga wasahau hilo, umemzungumzia samatta mcheki sasaiv alipo hiyo nijuhudi yake binafs kabisa kujituma wajitume nawao
@veelmng7746
@veelmng7746 Жыл бұрын
Siyo kweli Yanga wamemununua Msonda na wachezaji wengi sana kikosi cha kwanza. Acha kubalance sema Simba wananua wachezaji ambao hawacheze Yanga walishatoka huko
@teddymhagama611
@teddymhagama611 Жыл бұрын
musonda alivunja mkataba na timu yake , alikuja free agent
@nappekiliakiliasalimu346
@nappekiliakiliasalimu346 Жыл бұрын
unaitaji lik zako
@munirashabanmnubi8650
@munirashabanmnubi8650 Жыл бұрын
Unaongea nini wewe, ishu ni kununua mchezaji anayecheza kikosi cha kwanza au mchezaji bora. Yanga walishatoka huko wapi na kivipi!? Fafanua usiongee kwa kukariri maneno unayoaminishwa na wengine.
@bezaleliandrew1204
@bezaleliandrew1204 Жыл бұрын
Wazawa watatuferisha sana
@mariammbwana9018
@mariammbwana9018 Жыл бұрын
Itawachukua miaka taklibani 10 mbeleni huko azam kuja kuwa timu ya ushindani hapa tz
@nestorymasale2714
@nestorymasale2714 Жыл бұрын
Azam hana akili ya mpira yy ni mfanyabiashara aache kuwa karibu na simba kuungana kubomoa yanga yaani yy azam awekeze bila kujali simba na yanga. Mzee kikwete atowe wazo timu za jeshi ziwekeze kwa wazawa tutakuwa na bora sana
@calvinkiluswa439
@calvinkiluswa439 Жыл бұрын
Kabla ya kufikilia wachezaji wa kigeni ni wengi ..nadhani afikilie bajeti upande wa michezo imeweka shingapi
@johannesmbogela
@johannesmbogela Жыл бұрын
Azam wameprove to be the social forums' propagandist team. Haijawahi kuwa na utofauti hata wakimsajiri NANI. Game zao ni mbili kwa msimu. Baada ya hapo wanakuwa wamemaliza msimu.
@deetz255
@deetz255 Жыл бұрын
Waandish mnapata tabu sana kuhusu azam akuna team duniani itakuwa imara kwa mda mchache kikubwa n procces team n mchakato simba na yanga zimejitafuta zilikuwa zinapigw tu na akina pamba enzi izoo
@adammwandambo4143
@adammwandambo4143 Жыл бұрын
We umejuaje Kama ameungana kuibomoa yanga
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 Жыл бұрын
Azam Hamna kitu hapo SIMBA NA YANGA.NDIYOWENYE NCHI YAO
@jivankulikwa24
@jivankulikwa24 Жыл бұрын
Azam wapo vizuri jaman, tuache utani Daah!!!!!
@EdgarZawadi-dz4fn
@EdgarZawadi-dz4fn Жыл бұрын
Subirinii usajilii wa simbaa ni motoo
@sadickkasaba8069
@sadickkasaba8069 Жыл бұрын
Usajili wa simba ni okotaokota tu
@peterchande957
@peterchande957 Жыл бұрын
Azam wana scouting nzuri misimu yote, lkn hawana viongozi wa mpira
@daudiigobeko9947
@daudiigobeko9947 Жыл бұрын
Hapohapo swali kwa edo na popati umesema azamu wao wana nunua fesal walimununua au kwa kufata utalatibu au walimulubuni huku wakijua anamukataba?
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 Жыл бұрын
Wabongo bana!! baada ya kujitamba kumpata bure!!😂😂😂
@mussammanga7791
@mussammanga7791 Жыл бұрын
Ikisha eti ni mchezaji waliomnunua kutoka Raja, sasa umemnunua vipi wkt kule ametolewa kwa mkopo na amemaliza mkataba wake ikiwa ni free agent? Hahahahahaaa! Hawa watangazaji nawao wanachangana mambo.
@AhmedAdan-po5ps
@AhmedAdan-po5ps Жыл бұрын
Huyo baba levo hafai hanajiropokea anasema hampei nafasi osca
@nappekiliakiliasalimu346
@nappekiliakiliasalimu346 Жыл бұрын
Timu ni mashabi bana.ndo ifanye ili mchezaji acheze. ajitume aonekane mshabiki ndo kila kitu
@martinlinje8625
@martinlinje8625 Жыл бұрын
Azam hata waje na Ronaldo na Messi wao ni kawaida tu.
@hassanntankwa4156
@hassanntankwa4156 Жыл бұрын
Piramidii inapesaaa but marangapiiii wamelikisaa kombeeee
@hassanntankwa4156
@hassanntankwa4156 Жыл бұрын
Acheni utaniiii Azam wanaweza kumlipa mchezaji moja milioni miamija kwa mwezii ?????au mnaongea tuh
@dullybrown7841
@dullybrown7841 Жыл бұрын
Lakini mechi nyingi za azam wanahujumiwa na waamuzi nyingi
@hassanntankwa4156
@hassanntankwa4156 Жыл бұрын
Shida chipsiii wabongooo pia hawajitumiiiii na wamelizikaaaa
@donaldbenedict5761
@donaldbenedict5761 Жыл бұрын
Azam hata wakimsajili Messi cna hofu azam nafasi yao ni 3au4
@joshuakitunzi9500
@joshuakitunzi9500 Жыл бұрын
Tupeni burget yao Azam tujue utajiri wao rasmi,takwimu hazidanganyi bhn😆😆😆
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 Жыл бұрын
Morocco alienda Kisinda lkn ndio hivyo umeona, asikwambie mtu kama huna mtaji wa mashabiki uwanjani ligi ya Tz kufanya vizur sahau,, hata wachezaji wenyewe wanawaza kumbe nimekuja timu ndogo zaid hapo ndio unaona wanaharibu kila muda
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 95 МЛН
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 69 МЛН
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 12 МЛН
ALICHOSEMA ALI KAMWE MSEMAJI WA YANGA FC
12:47
DUNIALEO
Рет қаралды 1,7 М.
🔴#LIVE:MASHAMSHAM NDANI YA WASAFI FM 27-09-2024
2:21:31
Wasafi Media
Рет қаралды 2,3 М.
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 95 МЛН