Рет қаралды 306
Azam TV
Mbio za Lake Manyara Marathon zinazotarajiwa kufanyika Octoba 29 Mwaka huu katika Mji wa Mto wa Mbu uliopo Wilayani Monduli, mkoani Arusha zinatarjiwa kuwahusisha Wakimbiaji 3000 kutoka ndani na nje ya nchi.