Рет қаралды 6,732
Tazama mambo yalivyokuwa wakati Azam FC ikiichapa JKU SC magoli 3-1 kwenye mchezo wa kirafiki uliopigwa Azam Complex, Chamzi.
Alassane Diao na Gibril Syllah ndio wafungaji kwa upande wa Azam FC.
Abdallah Jumanne Said akaifungia JKU