Azam FC 2-1 Singida Black Stars | Highlights | NBC Premier League 28/11/2024

  Рет қаралды 74,256

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@PAAKWAMEPAA
@PAAKWAMEPAA 2 күн бұрын
Asante Sana rafiki wengu
@groovy5357
@groovy5357 2 күн бұрын
Singida jersey safi
@faustinfrancis9034
@faustinfrancis9034 2 күн бұрын
Azam vs Singida fountain Gate. Sio black stars. Mnatuchanganya
@connectiondesigner4989
@connectiondesigner4989 Күн бұрын
acha ufala wewe hiyo singida black stars ndo ilikuwa Ihefu imebadili jina,Singida Fountain Gate saivi wamehama singida Kwa hiyo sasa hivi inaitwa Fountain Gate Fc
@hajimdosi2331
@hajimdosi2331 2 күн бұрын
Idd Nado assist 2 on 🔥
@MaloHasani
@MaloHasani Күн бұрын
Nisome kama Hassan mbarouk ame I love Azam fc
@IdrisKabenza
@IdrisKabenza 2 күн бұрын
Weken highlite ya yanga vs al hilal
@musamakuhana2200
@musamakuhana2200 2 күн бұрын
Naona feisali kadri siku zinavozidi anazidi kukosa adabu kwa wachezaji wenzie na kujiona yeye ni mkubwa ki soka aliwai kuwakatikia yanga alipofunga kataka kugombana na beki wa singida brakstar nakuonehsa kua mdomo mdomo sana sijui anaelekea wp ?
@tatufundi937
@tatufundi937 Күн бұрын
Naona hujaelewa nini maana ya kukosa adabu.
@CostantinePaschal-c1n
@CostantinePaschal-c1n Күн бұрын
Jaman mbona watu tunawivu taaa zinashida gani taa zinawaka vizri zingekuwa namwanga hafifu bodi ya ligi ingekubari kucheza mpira usiku
@Kibaba12
@Kibaba12 2 күн бұрын
Hizi taa sio za kuchezea mechi za usiku azam wekeni taa uwanjani acheni ubabaishaji...hamna uwanja wenye vigezo vya kutosha kucheza usiku ukitoa mkapa pekee
@DaudiEmanuel-yv3jt
@DaudiEmanuel-yv3jt 2 күн бұрын
Huyu mtangazaji mbn kama anawatetea azamu. Watangazaji wa mchongo nyiee😢😢😢😢
@geofreybahema5118
@geofreybahema5118 2 күн бұрын
Hamna mtangazaji hapo
@wanjalajesse1694
@wanjalajesse1694 2 күн бұрын
yeye ni mfanyi kazi wa AZAM
@SubiraKhamis-l9o
@SubiraKhamis-l9o 2 күн бұрын
Anawatetea kit gn achen roho mbay utopol
@johnnalompa
@johnnalompa Күн бұрын
😮Uchebe kwa nn jana hakuwepo
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 2 күн бұрын
Kocha wa majungu amefungwa amewafitini akina patric ausen leo ametombwa msanzugwanku ni mnafiki kwani timu ilikuwa na shida gani
@mahmoudhamisi673
@mahmoudhamisi673 2 күн бұрын
Hii angekuwa uchebe azam angepotea
@Muba-rf1eb
@Muba-rf1eb 2 күн бұрын
Mechi km hii tuekeeni mpenja au mzinga
@Kibitiboy42-s1x
@Kibitiboy42-s1x 2 күн бұрын
Azam hana baya mwendo wakuwanyonga2%
@Waziyr
@Waziyr 2 күн бұрын
FEY TOTO
@DennisBudodiPasichal
@DennisBudodiPasichal 2 күн бұрын
fesali ongelasana
@adrophwilliam3225
@adrophwilliam3225 2 күн бұрын
Ubingwa ni kwa Azam mwaka huu
@AliyussufMakame-js5dp
@AliyussufMakame-js5dp 2 күн бұрын
Mchezaji bora mzawa Tanzania Feisal
@JoshuangengeyaNgauwo-y9n
@JoshuangengeyaNgauwo-y9n 2 күн бұрын
Na wewe nenda kawatangaze watoporo
@RamsonEdward
@RamsonEdward 2 күн бұрын
Wakwanza leo
@zaudinzau2258
@zaudinzau2258 2 күн бұрын
Ausio
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 164 МЛН
Муж внезапно вернулся домой @Oscar_elteacher
00:43
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
#zandaani MOMO ATUMIWA UJUMBE MZITO SAKATA LA DUBE / APEWA ONYO
9:35
UTAMBULISHO KWA SHEMEJI
10:38
NANGA COMEDY
Рет қаралды 57 М.
The Match That Made Zinedine Zidane Retire
14:37
BR7 Football
Рет қаралды 4,6 МЛН
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 164 МЛН