Рет қаралды 31,908
Azam FC imepata ushindi wa mabao 3-1 ugenini dhidi ya Dodoma Jiji FC, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma.
Azam FC wametanguliwa kwa goli la kujifunga kupitia kwa Yannick Bangala lakini wakacharuka na kupiga matatu kupitia kwa Nassor Saadun, Feisal Salum na goli la kujifunga la Dickson Muhilu.
Tazama magoli yote hapapa