Goli la Ngoma | Singida BS 0-1 Simba SC | NBC Premier League 28/12/2024

  Рет қаралды 55,560

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер: 77
@RaitonBenard
@RaitonBenard 16 сағат бұрын
Kama wew ni team nguvu Moja like hapa
@GuangzhouOMG
@GuangzhouOMG 16 сағат бұрын
like 10 kwa ubaya ubwela
@mambya5457
@mambya5457 16 сағат бұрын
Ingekuwa Singida ndio wamekataliwa goli like lile la kibu hakika nawambien wangetoka uwanjani na kwenda TFF, cz ule mpira ulikuwa 50/50 ila kwa kuwa tumeshinda hatutaona haja ya kuliongelea
@Johnbida7559
@Johnbida7559 16 сағат бұрын
Na lilikuwa Goal halali kabisa
@CharlesWanyeche
@CharlesWanyeche 15 сағат бұрын
Kwel kbsaaa
@ModouTop-h3g
@ModouTop-h3g 16 сағат бұрын
Simba is the best team in the Africa🎉
@jumamangombe6493
@jumamangombe6493 15 сағат бұрын
Asante Mungu. Umejibu maombi.
@emmanuelmichael7856
@emmanuelmichael7856 13 сағат бұрын
I love you simba
@daluumussa
@daluumussa 16 сағат бұрын
Kabisaa Nguvu Moja ❤❤
@BarakaWaya
@BarakaWaya 10 сағат бұрын
Ahoua 5 Assists 7 Goals
@AminaLibisa
@AminaLibisa 14 сағат бұрын
❤❤❤me nimefurahi leo stairy ya ushangiliaji wa ngalawa😂😂😂
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 16 сағат бұрын
Ubaya Ubwela muhimu point 👉 3
@PawaIkangaa
@PawaIkangaa 15 сағат бұрын
Hapo kwenye isaka na mooto😂.. legend juma nkamia amekusikia bhan
@FestoMadumba
@FestoMadumba 16 сағат бұрын
Simba nguvu moja
@IsmailEl-mazroui
@IsmailEl-mazroui 14 сағат бұрын
TFF wana kz kubwa ya kuwaelimish wachezaj wa kitanzania hawana nidham ya mpira kwann mechi zote lzm wamsukume refa mchezaj anafany makosa , rafu, kusukuma, kushika , akijua adhab ni mbili mpira kuelekea upande wake na yeye kuadhibiw kwa kadi ya njano ikiwa kosa so kubwa kutakuw na adhab mmj mpira kupigw kuelekea upnde wa timu yke lkn ,refa anapofny maamuz yy ndo wa kwanz kumfika refa kumtolea maneno na kumsukuma inaabisha kbx pia iwekwe sheria kal
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 16 сағат бұрын
Hio style ya ushangiliaji inaitwaje wana Simba
@lawimanumbu5103
@lawimanumbu5103 16 сағат бұрын
Ndugu yangu ngoja nikutafaslie hiyo staili, wanapiga makasia wako mtumbwini wakielekea Zanzibar( umesahau yanga waliwapeleka Zanzibar, kwa hiyo utani hauko kwa mashabiki mpaka kwa wachezaji nao wanawatania wenzao.)
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 15 сағат бұрын
@lawimanumbu5103 😀😀😀Nashukur kwa ufafanuzi Lawimanumbu
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 16 сағат бұрын
Tawi la yanga wamekiona kudadaki
@monicachacha455
@monicachacha455 16 сағат бұрын
❤❤❤❤
@ramajuma5620
@ramajuma5620 16 сағат бұрын
Daah simba ni timu yenye furah san na huyu ngoma no mchezji bora san urefu inamsaidia san hapo makolo roho zinawapwita😅😅😅
@PeterMsumba-b9g
@PeterMsumba-b9g 15 сағат бұрын
kweli bro
@tumasitta7902
@tumasitta7902 16 сағат бұрын
Tff tadhali tunaomba ligi ishe leo simba bingwa utoporo kimya mlijua leo
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 16 сағат бұрын
Subiri mzunguko wa pili ndo uongee utumbo wako huo
@MalkDaffa
@MalkDaffa 15 сағат бұрын
Ila kiukwel ushindi wa Simba sahivi ukiwa unacheki roho inaenda mbio ni mtamuu kinyamaa 🔥😂
@MWATANOMOTEE
@MWATANOMOTEE 11 сағат бұрын
Simba bingwaaaaaaa
@PeterJonathan-c8k
@PeterJonathan-c8k 16 сағат бұрын
Singida bs, kushinda ngumi leo mmetuangusha mlikamia mechi vichwani mnawazaa milioni 100 mmetuabisha😂
@geoffreylea4788
@geoffreylea4788 16 сағат бұрын
Ukamiaji gani ule ngoma anafunga header hata hawajamkaba mabeki wao hawajui kukaba maana wanafungwa hivi sana
@directorwizard7310
@directorwizard7310 10 сағат бұрын
Samahani lakini jamani hivi ni kwanini kila wakicheza hawa Mabwana lazima Mechi zao zinakuwaga na Utata hasa kwenye upande wa Magoli kwani wanashida gani?
@jumamangombe6493
@jumamangombe6493 4 сағат бұрын
Ni ubaya ubwela
@hamzasanane-mi7zv
@hamzasanane-mi7zv 15 сағат бұрын
😂😂Simba bingwa
@dismasjerome1658
@dismasjerome1658 16 сағат бұрын
Nguvu moja
@DennisKlapwijk
@DennisKlapwijk 16 сағат бұрын
Joepie Simba
@hidayahshabani3379
@hidayahshabani3379 16 сағат бұрын
Hakuna kufunga magoli mengi ni moja tu na poits 3 baaas ,simba mteseke na mwigulu wenu na gsm😊😊
@allymohamed4111
@allymohamed4111 11 сағат бұрын
Pamba waliwafunga Simba goli kama hili likakataliwa
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 16 сағат бұрын
Huyu Ngoma ni mtu na nusu kwakweli
@allymaimuna8688
@allymaimuna8688 16 сағат бұрын
Tawi la yanga
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 15 сағат бұрын
Singida Bado ni timu ndogo ndio maana inafundishwa na kocha mdogo anaeongoza Kwa majungu kawafukuzisha kazi Denis kitambi Sasa Kiko wapi
@roberth3337
@roberth3337 15 сағат бұрын
Campeonato Ruim,, Fraco ...😂😂😂😂... Is Brasili..💪
@Johnbida7559
@Johnbida7559 16 сағат бұрын
Goal letu halali la kibu😢
@badmanno.1650
@badmanno.1650 15 сағат бұрын
Hata tukichukua ubingwa timu yetu inahitaji marekebisho.
@salummhita9368
@salummhita9368 15 сағат бұрын
Hawa wanapahidi kutoa fedha pale Tim inapocheza na Simba wanaaibika Kila siku ndo mkome mbona Tim inapocheza na utopolo Hadi hizo hakuna ???
@franccoz94
@franccoz94 16 сағат бұрын
TUMENYIMWAA GOLI LA HALALI LA KIBU DENIS
@stanastana3199
@stanastana3199 15 сағат бұрын
Simba wanaxheza chini ya kiwango daah,hata ni aibu
@AsiaBakari-b8d
@AsiaBakari-b8d 15 сағат бұрын
Aibu mtu akifungwa
@stanastana3199
@stanastana3199 15 сағат бұрын
@AsiaBakari-b8d yanga sisi bingwa
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 14 сағат бұрын
Fuleshi tuu Ubaya Ubwela Mimi shabik wa simbaa hatucheki na wowote wivuuu wivu mamaaaa 😂😂😂
@stanastana3199
@stanastana3199 14 сағат бұрын
@najmasalim-rg6ow simba wanabebwa ,ubingwa hampati
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 14 сағат бұрын
@@stanastana3199 fuleshiii 😂😂
@gundasontv570
@gundasontv570 15 сағат бұрын
Azam badilisheni mchambuzi badala ya Amri Kiemba, Kiemba ni mshabiki na cyo mchambuzi mfuatilieni mtanielewa
@taseleli9181
@taseleli9181 12 сағат бұрын
Ni bora uchukue wewe hiyo nafasi ya kiemba Utopoloooo utawajua tu wivuuuuuuuu😂😂😂😂😂
@ShukuruMakoko
@ShukuruMakoko 16 сағат бұрын
Ubaya ubwela hatari
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 13 сағат бұрын
Kagoma ni namba nyingine
@amosicommedy6917
@amosicommedy6917 15 сағат бұрын
Hamjaona hamza kamzuia metacha kuucheza mpira yaaan hawa marefa wa bongo
@MrKulanga
@MrKulanga 15 сағат бұрын
Bila shaka hiyo unaiona wewe peke yako
@AsiaBakari-b8d
@AsiaBakari-b8d 15 сағат бұрын
Mmmh utakuwa na ushabiki na akili mbov sasa
@EltonMmari
@EltonMmari 12 сағат бұрын
Alafu tukio ilo ilo sema watu wabadilike sasa muwe che malone na kipa wake 😂😂 waka gongana hapo pamba jiji akanyimwa goli 😂😂😂😂😂😂😂💔💔
@rajabujuma3283
@rajabujuma3283 15 сағат бұрын
Kwani lin 51mba kashinda goli kialali Kila siku figisu tu
@frederickpatrick5966
@frederickpatrick5966 14 сағат бұрын
Epl Onana kafungwa mawili mkuu 😂
@mmfreestyle6270
@mmfreestyle6270 13 сағат бұрын
Afungwe Singida aumie utopolo kazi yenu ni ngumu sana 😂😂😂
@taseleli9181
@taseleli9181 12 сағат бұрын
Eti figisu utopooooooo mtateseka sana mwaka huuuuuuuuu
@SISTIPATRIS
@SISTIPATRIS 10 сағат бұрын
Imekuuma haikuwa matarajio yenu utopolo
@kakore_jr
@kakore_jr 16 сағат бұрын
YANGA MUTASUBIRI SANA . MWAKA HUU NYIE NI WATU .WWTU🤣🤣🤣🚴🚴UBAYA UBWELAAA
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 16 сағат бұрын
😂😂
@Elizabethdaniel-y2u
@Elizabethdaniel-y2u 15 сағат бұрын
Ubaya ubwela
@RaitonBenard
@RaitonBenard 16 сағат бұрын
Kama wew ni team nguvu Moja like hapa
@MmasaJkadari
@MmasaJkadari 13 сағат бұрын
Simba nguvu moja
@ZawadShiyunga
@ZawadShiyunga 13 сағат бұрын
Ubaya ubwela
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
Fountain Gate Princess vs Yanga Princess last Encounter
1:41
Fountain Gate Sports
Рет қаралды 13 М.
MBWADUKE: Goli? Ubaya ubwela! Fadlu alichopatia ni...
12:42
Mbwaduke Stats
Рет қаралды 14 М.
Емельяненко vs Дацик #shorts
0:39
Майор Гром
Рет қаралды 1,5 МЛН
celebrates with teammates after scoring their team's first
0:45
Soccer Prime
Рет қаралды 1,1 МЛН
celebrates with teammates after scoring their team's first
0:45
Soccer Prime
Рет қаралды 1,1 МЛН