Baadhi ya WATU hawajui mpira na matokeo yake,hata ukiwa na ubora KIASI Gani,Kuna wakati uchovu unaweza KUWA tatizo,lakini pia ni aina tatu za matokeo.
@DevidMwakajilaАй бұрын
Hawa madogo hata ndumba wanatumia kukazaa subiri game za level zake anapigwa mpk 3 lkn kwa yanga na Simba zinakamiwa balaa
@GOLDIANEDRICK-sm6xkАй бұрын
Mmmm kumbe yanga angefunga mengi Sana ila ni siku mbaya tu
@MohammedAmour-nf9wqАй бұрын
Apo yanga ndio wapi mana naona kama iyo timu nyengine ina pinga matuta
@ewaldambrose6136Ай бұрын
Utasikia ooh,makosa ya kibinadam
@ikulunimahalipatakatifu7642Ай бұрын
KIPA PASCAL KAZI NZURI,
@SnydacutАй бұрын
Kipa kazi kubwaaa
@IzackMakoleАй бұрын
Daah kama yanga tukiendelea kucheza hivi bora tusiwalilie mamelodi japo cyo mbaya
@GodlistenSamwel-r8pАй бұрын
we kiwanja umekiona je ungekuwa wewe unacheza back to back ungeweza hata kuonyesha hcho kiwango cha wachezaji mnaendekeza tu ushabiki mnashindwa kujua ata ubora wa kipa wao tu umeamua game
@AtanasioDaffaАй бұрын
@@IzackMakole Yanga kushinda bao moja mnaona kiwango kimeshuka?"Acheni kukata tamaa kiasi hicho..Yanga moto ni ule ule tu""Siku hazifanani""je wangetoa droo c ndiyo mngeandamana?
@Said13MashakaogАй бұрын
Goldlisten mbona hutaki tuikosoe tim ikifanya vibaya tufurahie 2 ujinga sio hatutakaa tusifu ujinga kwa sababu zisizo na maana et kiwanja tatizo
@AtanasioDaffaАй бұрын
@@Said13Mashakaog Vibaya vipi?" Imepoteza mchezo?"imetoa droo?""Imeshinda bao moja na zikahesabika pointi 3,""tatizo liko wapi?
@IzackMakoleАй бұрын
@@AtanasioDaffa ni kweli lakini kuna namna walau unaona mtu anapiga pasi watu wanakaba jambo linaeleweka ila Jana mmmh
@Jacsonimassawe8Ай бұрын
🔥🔥🔥
@AllyMasangaluka-bm5ibАй бұрын
Kweli walikwenda kwa Babu zao wamepona kipigwa moja
@BoniphaceMahonaАй бұрын
Goli liko azam ya mchngo
@MoradyElfasАй бұрын
Kip noma aiseee
@bukaone7507Ай бұрын
Ken Gold wazuri kuliko CBE, dadeki
@mohamedkutwambiАй бұрын
Wazuri kuliko 🦁 🦁
@menikojohn2782Ай бұрын
Wazuri kuliko Simba Simba hapo Zingekuwa 5 Tayali
@bukaone7507Ай бұрын
😀😀😀😀😀 ok
@euginedeusАй бұрын
Simba wangesha pigwa 😂😂
@GOLDIANEDRICK-sm6xkАй бұрын
Du golikipa huyu kidogo ni nouma
@onesmosamson8121Ай бұрын
Duuh
@DismasfaustinMalewoАй бұрын
Manula inngekuwa 5
@BigZhumbeАй бұрын
Kwani Manula anafaa kuchezea timu ngapi 😂😂😂😂😂😂
@GodlistenSamwel-r8pАй бұрын
jion ya leo tutajua mnaongea sana kwenye game za yanga mnasahau kuwa nyie tatu na pili leo mnacheza
@MpateIsmailАй бұрын
Si mmeona kabanduliwa mtu
@ewaldambrose6136Ай бұрын
Ken Gold kazulumiwa...
@DennisSimion-hn3eoАй бұрын
Uyudogo nae mtu
@amirlehao8945Ай бұрын
Kipa apewe maua yake
@Abuuhamda256Ай бұрын
Hawa ndo wanasema team bora Africa au kuna nyengine
@InnocentMwafuliwaАй бұрын
Sasa uwoni Ken gold walivyo jitahid
@SuleimanAlly-c9pАй бұрын
Naona wanajiita hivo ata kumi bora hawamo
@magorymara5515Ай бұрын
Tulijua mtaanza kuropoka ropoka itawaponza
@SuleimanAlly-c9pАй бұрын
@@magorymara5515 mpira sio maneno na mumesema Leo ndo mnaanza 5G ipo wapi ? Nyie ndo mutulie musiongee Sana
@rosemahenge9071Ай бұрын
😂😂😂😂wacha tuendelee kufatilia labda kuna nyingine
@ibrahimalharthi4599Ай бұрын
Masikini Ken Gold waliopigwa pute goli lao
@dommediatz194Ай бұрын
Sasa goli likowap kwa hii video
@DanielyMwaisumoАй бұрын
Umesoma kichwa Cha habari
@Zilizopendwa_60sАй бұрын
Mbona wameandika save za golikipa...Sasa goli ni save jamani
@shaviercharvinho18Ай бұрын
Tatizo hujasoma kichwa chá habari hii video ni save za tu za kipa
@Said13MashakaogАй бұрын
Mchezo mbovu pafomance ya hovyooo mnatukwaza mashabiki wenu tunaumia sana na matokeo haya lini tutaongoza ligi sasa
@GodlistenSamwel-r8pАй бұрын
acha ujinga kama sio mtu wa mpira shabikia pooltable
@Said13MashakaogАй бұрын
Nilazma tuwaeleze ukweli wabadilike hatulizishwi namatokea ya kusuasua
@ibrahimmbwana5289Ай бұрын
Acha unaaa. Goli kipa wao kaokoa mangapi.
@ismailmasoud6001Ай бұрын
We itakua ni KOLO KOLO
@ShafiiIsmail-t2wАй бұрын
Baadhi ya WATU hawajui mpira na matokeo yake,hata ukiwa na ubora KIASI Gani,Kuna wakati uchovu unaweza KUWA tatizo,lakini pia ni aina tatu za matokeo.
@Said13MashakaogАй бұрын
@@ShafiiIsmail-t2w huo uchovu unaouzungumzia ndio utatupeleka nafasi ya tatu msim huu we tulia