SIMBA SC 3-1 NKANA FC; FULL HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (CAF CL - 23/12/2018)

  Рет қаралды 3,694,300

Azam TV

Azam TV

5 жыл бұрын

Simba SC imefuzu kuingia hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya leo kuichapa Nkana FC magoli 3-1 katika mchezo wa maruadiano uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Matokeo hayo yameifanya Simba ifuzu hatua hiyo kwa jumla ya mabao 4-3 kufuatia kufungwa mabao 2-1 katika mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Zambia wiki moja iliyopita.
Katika mchezo wa leo Nkana ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 17 kupitia kwa Walter Bwalya akimalizia kwa mpira ambao mabeki wa Simba waliuzembea kwa kufanya mchezo wa kuotea.
Simba walitulia na kupata bao la kusawazisha kupitia kwa Jonas Mkude dakika ya 29, kabla ya Meddie Kagere kupachika bao la pili kwa kichwa dakika ya 45 na baadaye dakika ya 88, Clatous Chama kuipa Simba bao la ushindi.
Baada ya kuaga mashindano haya, sasa Nkana FC wanakwenda kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika ambapo watalazimika kupitia hatua ya mchujo ili kufuzu hatua ya makundi ya michuano hiyo ya pili kwa ukubwa barani Afrika.

Пікірлер: 1 100
@BasuleBasule
@BasuleBasule 7 ай бұрын
Kama unaangalia hii game mwaka 2024 like hapa tafadhar
@tumainimsowoya294
@tumainimsowoya294 2 ай бұрын
11/6/2024
@SlvanusPius-zq4py
@SlvanusPius-zq4py Ай бұрын
Silvanus
@user-ds8kq8ov6l
@user-ds8kq8ov6l 27 күн бұрын
Mm hapa uwiiiiiiiiiii 😊
@Shadrack-oz1bh
@Shadrack-oz1bh 22 күн бұрын
😢
@africangorilla
@africangorilla Жыл бұрын
kaka unaangalia hii mwaka 2023 piga like wana simbaaaaaa hata haturingi
@moseshaji1177
@moseshaji1177 5 ай бұрын
Walio rudia tena na tena kuangalia hii mechi ya kihistoria kama mimi ndani ya mwaka huu 2024 gonga like
@dicksonaroka6961
@dicksonaroka6961 4 жыл бұрын
Ni wangapi bado wanakuja hapa kujikumbushia jinsi Nkana Fc walivyo kufa kwa mkapa December 23 2018.......achia like kama tupo pamoja......2019....2020
@JosephJumanne-xr9li
@JosephJumanne-xr9li 3 ай бұрын
Hii mechi nikikumbuka kaka hatari
@adammasanja27
@adammasanja27 6 ай бұрын
Unforgettable match the best emotion, feeling 4 simba fans,love m best African giants SSC mnyama❤❤❤
@DESUGARTV
@DESUGARTV Жыл бұрын
Jamn umeludia hii mechi kuangalia 2023. Gonga like yako nione
@magdalenapeter4851
@magdalenapeter4851 10 ай бұрын
Nakaaga nikimisi kuona maajabu ya mnyama narudia mechi Kama hiz aiseee sijutiiikuipenda hii timu ❤️🦁🦁🦁🦁🦁
@wisekingtony6370
@wisekingtony6370 5 жыл бұрын
Sema..simbaaaaaa alafu like.......#group stage ni motooo
@dottolyuba5010
@dottolyuba5010 3 жыл бұрын
Fantastic
@khadijaahmad9539
@khadijaahmad9539 2 жыл бұрын
Jamani kama unaangalia 2022 like❤️❤️❤️🦁🙏
@amanshillartz1380
@amanshillartz1380 Жыл бұрын
Haichoshi kutizamaa
@shelyboyshely2928
@shelyboyshely2928 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@nasibmpindanyi9559
@nasibmpindanyi9559 Жыл бұрын
​@@amanshillartz1380 we have a it is
@anabellahvicent2923
@anabellahvicent2923 Жыл бұрын
Nimerudi tena 2023 mie kuangalia
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 Жыл бұрын
19/6 /2023
@luluray2115
@luluray2115 5 ай бұрын
Who is still watching 2024
@user-up8mj7mw2t
@user-up8mj7mw2t 5 жыл бұрын
Chama chama chama kwani ndo chama la SIMBA mm sielew jmn like kwa SIMBA #simbanguvumoja# 😁😁
@mrishowilliam1296
@mrishowilliam1296 5 жыл бұрын
خديجه علي ximba nguvu 1
@mussakarim4866
@mussakarim4866 5 жыл бұрын
خديجه علي Atari jaman chama
@agoddizzo301
@agoddizzo301 5 жыл бұрын
خديجه علي poa jama
@najmaali5411
@najmaali5411 4 жыл бұрын
Simba oyeee
@emmanuelchris1071
@emmanuelchris1071 4 жыл бұрын
@@mussakarim4866 eeh baba chama weee ni Mimi ninaona unaona kama mim
@halkhaji4288
@halkhaji4288 5 жыл бұрын
Marhaba marhaba marhaba buuuuuuu chama hii ndo simbaaaa usipite bila kulike
@cosoratafaraja2582
@cosoratafaraja2582 3 жыл бұрын
Chama baba lao
@chaurembokihombo333
@chaurembokihombo333 3 жыл бұрын
@@cosoratafaraja2582 9 8
@agnessjohn8404
@agnessjohn8404 5 жыл бұрын
nakukubali Sana #Barakampenja unatangaza vizuri Sana mpaka nashindwa kuelewa wewe ni shabiki wa timu gani huna ubaguzi mungu akubariki Sana Love u
@thompsonmasologo5093
@thompsonmasologo5093 5 жыл бұрын
Agness John Sauti ya radi
@rashidmkangala3024
@rashidmkangala3024 5 жыл бұрын
Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ndio timu inayo Nipa raha zaidi Tanzania Kama nawe inakupa raha gonga like.
@bernardjoseph5541
@bernardjoseph5541 5 жыл бұрын
Hii ndo simbwa wa Africa
@ferouzmasoud4870
@ferouzmasoud4870 2 жыл бұрын
Sichoki kuludia kutazama game hii SIMBA Sc 🦁 Raha sanaaa
@exaverymakoye6026
@exaverymakoye6026 Жыл бұрын
Noma
@mwenyasamhando8262
@mwenyasamhando8262 2 жыл бұрын
Mechi ya maisha yangu, mechi ya historia ya kuishabikia simba na mechi bora kwa upande wangu katika KLABU ya simba . Simba nguvu moja
@annamosha968
@annamosha968 Жыл бұрын
Mimi pia maana nilisali mpaka nikasali tena🙏🙏🙏🙏
@halkhaji4288
@halkhaji4288 5 жыл бұрын
Simba rahaaaa msikereke kwa shughuli isiokua yenu kamanawe unaipenda simba like
@vicentmbise245
@vicentmbise245 3 жыл бұрын
Gonga like kama 2021 umeichekii ,,,simba forever
@beghaezra296
@beghaezra296 5 жыл бұрын
Huwa siwezi kuisahau hii game daaaa Simba ni hatari fire
@maulakaroli8323
@maulakaroli8323 3 жыл бұрын
Kama unaaangalia mechi hii kwa hisia Kali huku ukiifikiria game ya platnam kwa mkapa hapa January 6 gonga like twende na simba yetu
@stewardmwanuke5268
@stewardmwanuke5268 5 жыл бұрын
Hongeleni wachezaji wangu wa SIMBA kwakunipa raha japo tunamajonzi ya mwanachana mwenzetu alie fariki inauma Mungu ailaze roho yake mahara pema PEPONIY AMEEN
@alhajiferuzi9437
@alhajiferuzi9437 4 жыл бұрын
Steward Mwanuke hata mpenja
@kelsonkenedy6473
@kelsonkenedy6473 2 жыл бұрын
Best day ever in Tanzanian Football
@mohammediallykaboza5862
@mohammediallykaboza5862 5 жыл бұрын
Mo , kocha benchi la ufundi na wadau wengine bila kujisahau kama Tim mashabiki mungu asiyuingizie mgogororo acha wateseke zam yao moto haupoi respect simba
@asha_homedecorations
@asha_homedecorations 5 жыл бұрын
Mnyama Simbaaaa On 🔥🔥🔥🔥🔥 mtangazaji ni nomaaaaa
@kingayo999
@kingayo999 5 жыл бұрын
aisha hamis mpenja noma anajua tena anajua
@jackobkagusa2400
@jackobkagusa2400 5 жыл бұрын
Aliowapokea awaonyeshe njiayakurudia waambie
@danteshaa5487
@danteshaa5487 5 жыл бұрын
aisha hamis
@willymwakamisa2545
@willymwakamisa2545 4 жыл бұрын
@@danteshaa5487 lbs 9
@leonardnyiti7492
@leonardnyiti7492 2 жыл бұрын
Uko vizr mtngazaj
@emmanmwakuka4938
@emmanmwakuka4938 5 жыл бұрын
Hii clip inanimalizia mb zangu maana si chokagi kuiangalia gonga like kama tupo pamoja wanasimba #Do or Die
@hassanmaganga1544
@hassanmaganga1544 3 жыл бұрын
Hata mm
@nikolausmwailuka8449
@nikolausmwailuka8449 3 жыл бұрын
pmj
@barakatungaraz4649
@barakatungaraz4649 3 жыл бұрын
Yan mm naiyangalia kila mda
@lazarosteven7286
@lazarosteven7286 3 жыл бұрын
@@hassanmaganga1544 m mm
@amanioroma8806
@amanioroma8806 2 жыл бұрын
Leo tarehe 25 Oktoba, 2021 tunacheza na galaxy imenifanya nirudi hapa kuangalia hii match
@sm5tv
@sm5tv 4 жыл бұрын
Bado naiangalia mpaka 2020 Kama na ww upo gonga like hapa
@halfannduvaluv2500
@halfannduvaluv2500 3 жыл бұрын
Balaaa san
@jonesmaula7898
@jonesmaula7898 3 жыл бұрын
Ii ndio mechi bora kabisa
@dullahvoko743
@dullahvoko743 3 жыл бұрын
ni mimi kabisa
@fatumasophu5855
@fatumasophu5855 3 жыл бұрын
Mimi leo 2021 bado naiangalia
@user-nj9vx7bi8e
@user-nj9vx7bi8e 2 ай бұрын
Halafu hizo jezi msimu huo zilikuwa niza bahati Sana kwetu tuling' ara Sana.
@agnessjohn8404
@agnessjohn8404 5 жыл бұрын
vyura wanateseka 😀😁😀 Asante mungu kwa ushindi huu mnono
@isayamwidete6420
@isayamwidete6420 5 жыл бұрын
true
@maduuissa4736
@maduuissa4736 5 жыл бұрын
mavugosimba
@Ram_1893
@Ram_1893 3 жыл бұрын
Kuna mtu aliniambia kuwa kuna shabiki alimwambia Mkude Pigaaa Leo nimesikia vyema hiyo sauti #NGUVU MOJA# ❤🇹🇿❤🇹🇿❤🇹🇿
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
Asante Sanaa chama langu la SIMBA 🙏 Mw/MUNGU awajalie afya njema wachezaji wote
@allyramadhannassoro2198
@allyramadhannassoro2198 3 жыл бұрын
Nakubali sana
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
@@allyramadhannassoro2198 pamoja 👊 sanaaa 👊
@amehassanrehanirehani5061
@amehassanrehanirehani5061 Жыл бұрын
Ah ilikua raha simba raha hii mechi tam san haitoshi na imepat mtangazaj mechi inasisimua I love you simba sc
@thomasnyarusanda2608
@thomasnyarusanda2608 5 жыл бұрын
Will done Simba,Bravo great Simba. Nkana wamepata taabu sana. Nana hamuwezi kukaa Jedi za Simba mlizopatia ushindi kwenu mje kupata ushindi kwetu,mwiko. Simba heshima.
@juliuskened4571
@juliuskened4571 4 жыл бұрын
Kama umeangalia highlights hii 2020 gonga like za kutosha😁😁
@vickkipaule1205
@vickkipaule1205 4 жыл бұрын
Mimi hapa nimeangalia leooo yaani kila nikiangalia mechi hii nasikiaga kulia tu
@kelsonkenedy6473
@kelsonkenedy6473 3 жыл бұрын
Sitosahau maneno ya baraka mpenja mwishoni dramatical win rekodi inafikiwa means 2003 Christopher Alex massawe anafunga penati ya mwisho dhidi ya zamalek miaka 13 baadae rekodi inafikiwa
@eliasbukombe2235
@eliasbukombe2235 3 жыл бұрын
Hui
@charlesnjau8252
@charlesnjau8252 3 жыл бұрын
December 2020 !
@tinabryson2574
@tinabryson2574 3 жыл бұрын
January 2021
@samwelhojatuba1314
@samwelhojatuba1314 2 жыл бұрын
Kweli Simba inanikumbusha mbali Sana naomba waendelee kutufurahisha zamani Kila siku nikiangaliaga hii mechi nasema Simba no Bora Sana africa
@japharimandalafamily6868
@japharimandalafamily6868 4 жыл бұрын
2020 wapi wanasimba yetu
@amedeuslyimo2315
@amedeuslyimo2315 5 жыл бұрын
Pia kwa nidhamu hii ya mchezo wa simba tutafika mbali sana kilaa LA heri timu yangu simba sc inshallah..
@tulivu6377
@tulivu6377 5 жыл бұрын
Kama unaipenda simba ngoga like Twende sawa
@emmyelias5122
@emmyelias5122 5 жыл бұрын
Yeap
@bht5185
@bht5185 3 жыл бұрын
Unyama sana
@raiphodytzkaundatz6244
@raiphodytzkaundatz6244 5 жыл бұрын
Mtangaz mungu anakuona ety marahaba chama Ety magool kama haya yanalusiwa kweri
@amedeuslyimo2315
@amedeuslyimo2315 5 жыл бұрын
Kuna watu wanaumia sana .. This is simba blaaza. Usipoikubali mbele ya kadamnasi lazima uikubali kimoyomoyo.. #simbanguvumoja hongereni sana chama kangu kwa kutinga hatua ya makundi
@kombokombo8463
@kombokombo8463 5 жыл бұрын
Good Simba nguvu moja
@paulsengelemasengelema8950
@paulsengelemasengelema8950 4 жыл бұрын
Kama upo unaitazama hii mwaka 2020 gonga like twenzetu
@azizathabity8573
@azizathabity8573 4 жыл бұрын
Ilkua Raha Sana hiii game
@paulsengelemasengelema8950
@paulsengelemasengelema8950 4 жыл бұрын
@@azizathabity8573 yaani nililia kwa furaha aisee
@eliudesrom5661
@eliudesrom5661 4 жыл бұрын
Saf
@jumbomasudi100
@jumbomasudi100 3 жыл бұрын
Tupo pamoja
@sekeyifabian9517
@sekeyifabian9517 5 жыл бұрын
Waambieni wasije kichwa kichwa.This is Simba.
@nandhiammbughu594
@nandhiammbughu594 4 жыл бұрын
Simbamleweti.anaoshu
@officialamirionaire3731
@officialamirionaire3731 3 жыл бұрын
Naiangalia Leo baada ya simba kuifunga fc platinum ya Zimbabwe na kufuzu kutinga atua ya makundi
@popperkuch669
@popperkuch669 5 жыл бұрын
Hakika kk haji manara upo vzr hongera zako Hongera kwa timu yetu nzm
@ayoubfadhili4695
@ayoubfadhili4695 5 жыл бұрын
this battle was like war of seven manusia,, i love simba from india
@user-bi1pv8gp4v
@user-bi1pv8gp4v 5 жыл бұрын
baraka mbenja we ni next level thnx simba for simba for this
@kingayo999
@kingayo999 5 жыл бұрын
simba akiona jini anazidi kunyanyua manyoa na kuwa mkali zaid this is simba kaka
@simonikaspary9184
@simonikaspary9184 4 жыл бұрын
Okwi
@estabaro6538
@estabaro6538 5 жыл бұрын
Kama we we shabiki kama Mimi like APA
@daimondxhnglani3434
@daimondxhnglani3434 5 жыл бұрын
esta baro gabuvsusb
@stanleymathias7877
@stanleymathias7877 4 жыл бұрын
Tunayerudia naye 2020 like
@rehemabakali494
@rehemabakali494 3 жыл бұрын
Mm narudi leo
@janethsomisha166
@janethsomisha166 3 жыл бұрын
@@rehemabakali494 qarer1axlsdl
@milemberuhula8983
@milemberuhula8983 3 жыл бұрын
Mi hapa 2021 jaman Simba 💪 👊🥂
@fredrickmangera9520
@fredrickmangera9520 5 жыл бұрын
Tripo C utawaua hao, kila goli umehusika. Congrats boe
@muddydamdeok5098
@muddydamdeok5098 5 жыл бұрын
This is Simba brother the great Team Of Tanzania
@wilisonpatrick9696
@wilisonpatrick9696 5 жыл бұрын
Kama nawe umefurahi bas gonga like
@yudagurty6439
@yudagurty6439 5 жыл бұрын
CCC
@zaitunijuma8328
@zaitunijuma8328 5 жыл бұрын
n uzinzi tu!
@matiasjohn5116
@matiasjohn5116 5 жыл бұрын
Wilison Patrick ghnnvghhnj
@hamisihalidi5155
@hamisihalidi5155 5 жыл бұрын
@@matiasjohn5116 Max.jr
@prosperndonjekwa5143
@prosperndonjekwa5143 5 жыл бұрын
Kazeni buti Katika Ligi . Mtakamiwa sana . Kila time inataka kuwafungeni Ili isemme nimeifunga time kubwa
@msyanituntufye3441
@msyanituntufye3441 5 жыл бұрын
Kweli kabisa mzee baba watakamiwa sana lkn naamini ubingwa wa TPL tutauchukuwa tuu
@amrymgeveke9592
@amrymgeveke9592 5 жыл бұрын
Yeyote aje tu
@sephujeupe1040
@sephujeupe1040 5 жыл бұрын
chama magol kama haya yana luhuxiwakwel
@yorrammabugas5856
@yorrammabugas5856 5 жыл бұрын
Oooooohhh yeeeeeessss, kuna watu wanateseka, cjajua hapo mpenja alikuw anawaongelea wat gan, jmn naomb mnisaidie
@williamenos7641
@williamenos7641 5 жыл бұрын
Yorram Mabugas alikua anawaongelea 🐸🐸🐸🐸🐸🐸
@shekhekhandereizer559
@shekhekhandereizer559 5 жыл бұрын
haha wiliam
@agnessjohn8404
@agnessjohn8404 5 жыл бұрын
Yorram Mabugas 😀😁vyura hao
@msyanituntufye3441
@msyanituntufye3441 5 жыл бұрын
Vyura ndo wanaoteseka
@jumaalmasi3611
@jumaalmasi3611 5 жыл бұрын
Yorram Mabugas o
@thomasshaila5990
@thomasshaila5990 4 жыл бұрын
Nikiwa na umwa na huzuni huangaliwa mumechi huu wakati nalia na kupona kabisa ....simba nguvu moja this iz simba.dawa ya corona .20/04/2020
@violethelly9594
@violethelly9594 5 ай бұрын
Kama unaangaria 2024 like hapa😂😂😂
@AsajileABugali
@AsajileABugali 2 ай бұрын
Nguvu moja hatukati tamaa
@mohamedidd3145
@mohamedidd3145 3 жыл бұрын
What a Historical and Unforgettable match for Simba fans, Simba Nguvu Moja
@hassanmoshi5439
@hassanmoshi5439 2 жыл бұрын
Was amazing
@michaelchristopher4037
@michaelchristopher4037 Жыл бұрын
Nm. M n on k m.
@ibrahimjuma8349
@ibrahimjuma8349 5 жыл бұрын
Yaan we chama wewe c Wa Africa bwana unadanganya hujatokea uraya kwer! Yaaan Wa kwanza kukoment jaman like zang bas!!!
@paulobundala3707
@paulobundala3707 3 жыл бұрын
PAULO
@paulobundala3707
@paulobundala3707 3 жыл бұрын
PAULO
@ferouzmasoud3104
@ferouzmasoud3104 5 ай бұрын
2-3-2024 naludia Tena kuangalia Simba hii ndiyo ilikuwa Simba kubwa
@mariapialakanje3446
@mariapialakanje3446 3 жыл бұрын
Dah safi Simba mkude asante sana kwa goli zuri
@hatibukimbondile1392
@hatibukimbondile1392 3 жыл бұрын
Simba is the football's icon ...in Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@josephnabenjamin1801
@josephnabenjamin1801 2 жыл бұрын
Simba vita
@wabumbuli2581
@wabumbuli2581 5 жыл бұрын
Kama umemuona mkude akishika nywele kama wachezaji wa nkana gonga like yak hapa
@alikhajihassani3906
@alikhajihassani3906 5 жыл бұрын
Hongera mtangazaji
@yonamwakajoka2615
@yonamwakajoka2615 5 жыл бұрын
Mm apa nilmuona afu anashka shwele kama wachezaj wa Nkana, afu yey alkua anacheka kabxaa
@geofreymangwelele9737
@geofreymangwelele9737 4 жыл бұрын
Mimi niliona hahaaa
@ratifakumwalu5399
@ratifakumwalu5399 4 жыл бұрын
Jhanse
@ratifakumwalu5399
@ratifakumwalu5399 4 жыл бұрын
Jhansi
@barakajulius5938
@barakajulius5938 5 жыл бұрын
Baraka Mpenja wewe ni hatari,hauendani kabsa na mwili wako na jinsi unavotangaza,nakupenda mno bro.
@abdallahhassani1893
@abdallahhassani1893 5 жыл бұрын
kama unaipenda simba gonga like zakutosha
@johnsonmartin2072
@johnsonmartin2072 4 жыл бұрын
Niilipita ila nagonga like.
@mamohamed5914
@mamohamed5914 5 жыл бұрын
Wazungu wana sema this is simba brother I love this matche coz it's nice game
@davidmchome949
@davidmchome949 5 жыл бұрын
Goli la Chama litakufanya usahau shida zote za 2018. R.I.P Christopher Alex Massawe
@stevenjonathan7001
@stevenjonathan7001 5 жыл бұрын
sikuzote muchezo wa simba ingalikuwa hivi basis shabiki wangeongezeka
@afyasession
@afyasession 5 жыл бұрын
Best 10 Funny peenarty kicks kzbin.info/www/bejne/fojMXphjrdSosJI
@jacksonmmassy3538
@jacksonmmassy3538 4 жыл бұрын
Alikufa nan
@willymwakamisa2545
@willymwakamisa2545 4 жыл бұрын
@@stevenjonathan7001 Vb90
@paziramadhani8331
@paziramadhani8331 5 жыл бұрын
nani anateseka kama unateseka Fanya kama unajikuna BC Cheka kwadharauuuuuu!!!! nani kama simba kama wewe shabiki Wa simba gonga like hapo chini
@jeremiahsengasu6894
@jeremiahsengasu6894 5 жыл бұрын
This is simbaa
@hifidhikiyoni4487
@hifidhikiyoni4487 4 жыл бұрын
HONGERA mnyamaa
@goodluckmwakilema9977
@goodluckmwakilema9977 4 жыл бұрын
Awaz ao ni watoto wadogo
@hemedbacco4719
@hemedbacco4719 Жыл бұрын
Simba nguvu moja.. Still watching in 2022
@hamisirashidi3518
@hamisirashidi3518 5 жыл бұрын
Yaan Huyo kes kabla yampila alkua añaiponda simba Leo baada yakidundo anaikubali kwel nmeamin anayekucheka Leo kesho atakuheshimu BIG UP SIMBA kuna aliye onewa
@OmanOman-hr6cb
@OmanOman-hr6cb 5 жыл бұрын
Simba simba simba nakufa nakufa simba konk uwiiiiiii wanateseka uku mama weeeeeeeeeeee
@mosimndeme9618
@mosimndeme9618 Ай бұрын
Unyama unaludi tena Kama unaamini nipe like zangu simba nguvu Moja 💪
@peterbandah5560
@peterbandah5560 5 жыл бұрын
Yan hizi highlights kila nikirudia kuangalia huwa nashangilia kwa mzuka kama naangalia live vile....POLE KWA WANAOTESEKA...THIS IS SIMBA BROTHERS AND SISTERS
@dismashaule1631
@dismashaule1631 5 жыл бұрын
ivi macho yako yanaona kama mm😁😁😁😁😁 simba raha sana
@fadhilaimamu7620
@fadhilaimamu7620 4 жыл бұрын
Tunaoiangalia hii mechi 2020 kwa bashasha gonga like hapaa wana msimbazi wenzanguuuu Love you more SSC
@adilcosmas
@adilcosmas Жыл бұрын
Mechi ilioweka historia ndani ya club ya simba🔥🔥🔥🔥⚽️
@djstone255tz
@djstone255tz 5 жыл бұрын
Asante Simba kwa zawadi ya funga mwaka
@kelvinbadili2223
@kelvinbadili2223 3 жыл бұрын
Hii game ilikuwa bora sana na mpaka xaxa
@agnessjohn8404
@agnessjohn8404 5 жыл бұрын
siamini Kama kweli wewe mtangazaji huna timu unayoishabikia hapa tz 😀au na wewe ni mmoja wa wale wanaoteseka 😀nakupenda Sana mtangazaji Kwasababu sijajua timu yako ni ipi maana kila anae funga unasifia kweli huo ndo utangazaji big up kwako simpendi kitenge
@denissaid2545
@denissaid2545 5 жыл бұрын
SMB
@shanunishanuni7751
@shanunishanuni7751 5 жыл бұрын
Agness John xxnx
@yuzotv458
@yuzotv458 5 жыл бұрын
simba nguvu moja daima..
@hamismohamed3920
@hamismohamed3920 5 жыл бұрын
Agness John hahaaahaa
@abuuhafsah9630
@abuuhafsah9630 5 жыл бұрын
Baraka mpenja ...a.k.a....sauti ya radi....huyo ni Simba lia lia ....na ndio atakuja kua msemaji mkuu Simba sports .....over
@masautfromtz
@masautfromtz 26 күн бұрын
Kama unaangalia game ya Simba sc vs Nkana fc ngonga like
@isaacleonard2774
@isaacleonard2774 11 күн бұрын
Kama umerudia kuangalia tena hii game 2024 August likee nyingi
@paulokiruwa9879
@paulokiruwa9879 3 жыл бұрын
Baraka mpenja uliitendea kazi mechi hii kwa utangazaji wako big up
@zamzamrashid9534
@zamzamrashid9534 5 жыл бұрын
mabilionea yetu niboratukamaliziye uwanjawetu ili nass tuzidi kuwa timu bora imara nayenyekilakitu hongera simba hongereni mashabiki wanachama nawafuwasi wasimba tuwepamoja kwakila namna big up simbaaaaaaaa
@omarmussa2325
@omarmussa2325 2 жыл бұрын
Dah mechi hii naikumbuka Sana ilikuwa baada mda mrefu simba ikatinga tena hatua ya makundi chama atakuwa katika mioyo ya Simba daima
@DataMasokoTv
@DataMasokoTv 2 жыл бұрын
"Popote Ulipo ni rahisi tu, Usipitwe... Kila kitu Kiganjani mwako"- DMtv Karibu Ku-Subscribe, Ku-Like, Ku-comment na Ku-share #DMtv- Wherever you are! kzbin.info
@dgt6303
@dgt6303 5 жыл бұрын
Hii simba nmeielewa. Lakin zaidi leo nmeona mashabiki kama ulaya. Sapoti ya mashabiki haikuwa ya kitoto
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 5 жыл бұрын
mwendo mdundo!
@patiencemdendemi5406
@patiencemdendemi5406 Жыл бұрын
it was a wonderful match
@User-xl1ul4fp9b
@User-xl1ul4fp9b 2 ай бұрын
Pamoja kaka simba yetu haiboi❤❤❤❤❤
@Datiusleonidassimon-qj9go
@Datiusleonidassimon-qj9go 2 ай бұрын
2024 nipo naangalia simba hiii ilikua moto sana❤
@shenymohamed3313
@shenymohamed3313 5 жыл бұрын
SIMBA HATA WAKITAKA UBNGWA AFRIKA WANAWEZA!! NI KUJITOA TU KWA MOYO
@steveneshao7740
@steveneshao7740 5 жыл бұрын
Sheny Mohamed
@trumplee9960
@trumplee9960 4 жыл бұрын
2020 weka likes Nguvu mojaaa
@wilsonkimaro6375
@wilsonkimaro6375 3 жыл бұрын
UCHEBE LEO TR 22/11/2020 BADO NAKUKUMBUKA SANA KWAJINSI ULIVYOIPENDA SIMBA HATA HAYA MASHUTI YA MKUDE NAWENGINEO NIJUHUDI ZAKO, NINAIMANI UNGELIKUWA SIMBA HADI LEO TUNGETISHA KIUKWELI JUHUDI ZAKO NAUPENDO WAKO VILIIWEKA TEAM TOGETHER AS ONE NAKUFANYA TEAM IJIAMINI MNO, NAKUKUMBUKA SANA UCHEBE, KAMA NAWEWE UNAMKUMBUKA UCHEBE LIKE HAPA KUITAKIA SIMBA MEMA KWAYAJAYO YAFURAHISHE KUANZIA LEO, SIMBA TEAM YANGU TANGU UDOGO WANGU I LOVE YOU SIMBA SC, MWAKA HUU MFIKE AT LEAST FAINALI CLUB BINGWA AFRICA
@sonjon7483
@sonjon7483 2 жыл бұрын
Tuliopoo hapa mwezi wa nane 2022 tujuanee kwa likee, wanaliaaa polee e asantee sana mpenjaa
@imanndimbwa9807
@imanndimbwa9807 5 жыл бұрын
This was the historical game....
@elizabethjohn4549
@elizabethjohn4549 5 жыл бұрын
Jaman goal la mkude limeua mwanachama wa simba Mr kessy amefariki dunia leo baada ya simba kusawazisha ni uzuni kwa wanasimba kwa ujumla
@frankemanuely4461
@frankemanuely4461 5 жыл бұрын
Elizabeth John polen xna familia ya kessy R.I.P kessy
@verdadirodesouza8558
@verdadirodesouza8558 5 жыл бұрын
Elizabeth John r.i.p
@agiejunio998
@agiejunio998 5 жыл бұрын
Jaman pole yet sote
@nellydjfutado4789
@nellydjfutado4789 5 жыл бұрын
Elizabeth John chama ni noma make wachezaj wa nkana hawakuelewa yeye yukoje cha ni noma saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaan
@hemedyadam5116
@hemedyadam5116 5 жыл бұрын
Elizabeth John kweli
@jrmusty759
@jrmusty759 2 жыл бұрын
Kama bado unaangalia hii mechi hadi leo mwaka 2022 achia like yakoo
@sarahmwalyela
@sarahmwalyela 9 ай бұрын
Nimerudi kuangalia tena Leo 2023
@khadijahali4837
@khadijahali4837 4 жыл бұрын
Jamani wale tunaoangalia 2020 kipindi hk cha corona tujuane #simbanguvumoja
@ammarhedeb2464
@ammarhedeb2464 5 жыл бұрын
naitwa OMARY rashidi kutoka tanga chama chama utafungwa wewe magoli gani hayo like hopo bs
@maduuissa4736
@maduuissa4736 5 жыл бұрын
mavugo
@lazariushananda5014
@lazariushananda5014 4 жыл бұрын
Hongeren wana Simba
@ranveerearjun6468
@ranveerearjun6468 4 жыл бұрын
simba ni chama la wana jamani 2020
@hilallymayota8720
@hilallymayota8720 Жыл бұрын
20/06/2023 dah hii sjawahi isahau kabisa ❤
@ibrahimmfundo8455
@ibrahimmfundo8455 5 жыл бұрын
Mashabiki hao wanaoishangilia nkana wamekuwa kama machoko
@simontamba1285
@simontamba1285 5 жыл бұрын
Ibrahim Mfundo yap
@hamislutungu5457
@hamislutungu5457 5 жыл бұрын
Ha!! Unasema wanakua km machookoo!! Hawa ni machoko kitambo xana sema tu ulikua ujui..
@saidmuogope6788
@saidmuogope6788 5 жыл бұрын
@@hamislutungu5457 kweli Mzee baba
@agnessjohn8404
@agnessjohn8404 5 жыл бұрын
Ibrahim Mfundo 😀😁😀
@majeshisafari7500
@majeshisafari7500 5 жыл бұрын
Ibrahim Mfundo
#FT :SIMBA 4-1 YANGA Magoli Yote Haya Hapa
7:11
Simba SC Tanzania
Рет қаралды 5 МЛН
Messi Hat-trick vs Real Madrid at Bernabeu 2014 English Commentary
19:45
Raheem Comps
Рет қаралды 4,2 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 35 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 44 МЛН
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 24 МЛН
Highlights | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | NBCPL - 30/12/2022
24:15
Simba SC ilivyoichapa Nkana FC goli 3-1
6:24
Azam TV
Рет қаралды 10 МЛН
SIMBA SC 1-1 UD SONGO: FULL HIGHLIGHTS (CAF CL - 25/8/2019)
36:59
DIYORA KELDIYOROVA DZYUDO MALIKASI❤❤❤
0:20
NURI UZ
Рет қаралды 2,2 МЛН
Не стоило этого делать! 🔥😱 (@n7сkоrtiz on IG)
0:56
ОТПРАВИЛ ДВА РАЗА В НОКАУТ🔥
0:39
RFC Fighting Championship
Рет қаралды 285 М.
Olympic close call! #shorts
0:13
CowPhobia86
Рет қаралды 45 МЛН