Hello poleni na majukum ya kazi karibuni kuni sikiliza nyimbo yangu mpya ambayo nme mshilikisha dayo inaitwa nimekubali weka comment yako share like nishauri pia chochote ❤❤❤❤
@THEE_ELITES3 күн бұрын
My best artist ❤
@Tigertalent2553 күн бұрын
Sjaumaliza ila hajaangusha dayo
@DevibantoTz3 күн бұрын
Unyama nimwingi kaka son nahitaji tufanye korabo 🔥🔥
@benjaminitenge20573 күн бұрын
It IS a Big song 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@benjaminitenge20573 күн бұрын
Naikubali toka kongo🇨🇩🇨🇩
@samwelrobi11173 күн бұрын
jeshi kutoka kenya kazi nzuri B2K nakukubali sana nipe like 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@officialshalma3 күн бұрын
nakubalii sanaaa
@starbea77423 күн бұрын
uhakikaaaaaa
@ndukaubakingsley6722Күн бұрын
Momma, I watched your movies when I was little.. Now I'm grown and I'm listening to your good music... May God bless you real big...
@nazarnazario46223 күн бұрын
Nyimbo kali sana Njombe njombe njombe Makambako Makambako
@neaboy40323 күн бұрын
Like za watu wa makambako na mafinga ziwe apaa 👍
@ChingaMedia-z8z2 күн бұрын
Oya dayoo /B2k mmetisha nimeipenda sanaa hii nyimbo
@vesmile95222 күн бұрын
kama mimiiiii
@ChingaMedia-z8zКүн бұрын
@vesmile9522 nawew naomba kufanya nyimbo nawew
@mbisetv79333 күн бұрын
Wanaomkubali dayo na b2k usipitee bila ku like hapa 🎉🎉
@eusebyjoseph50363 күн бұрын
Safi sanaaa
@starbea77423 күн бұрын
limeishaaaa
@vesmile95222 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@vesmile95222 күн бұрын
familly
@NicolasSaimon-ot8peКүн бұрын
kaka mmetishaa sana hili boongeee la song nasikiliza mbaka nilale leo ♥️
@AUGENSYLIVAND-rq7hzКүн бұрын
Endelea kushusha magoma❤❤❤
@yassadabrown3 күн бұрын
Noma.mzeeeee
@starbea77422 күн бұрын
asanteee
@starbea77422 күн бұрын
kumekuchaaaaaaaaaaaaa niwekeeni liki zangu zifike kumi niwaambie kituuu
@AllySimbajr3 күн бұрын
Sema wasanii amuzipitii comet
@InnoClassic3 күн бұрын
Mauaa yakoo japo nlikukwazaaa Nakupaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@jossporahmsw84202 күн бұрын
Wasanii wakali snaa wenye gundu wamekutana,,, goma kaliii xnaa❤❤❤
@Papadaviotheshadow4 күн бұрын
Mwamba nakukubali sana brother kama una mkubali B2K kama Mimi tujuane kwa likes
@flavoostarbeatboy3 күн бұрын
Kwa comment wap
@starbea77423 күн бұрын
pamoja mnooooo
@vesmile95222 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@THEE_ELITES3 күн бұрын
Am a content creator from Kenya Nairobi.. B2K is always my best artist. I would like to be like you. Am also growing to be an artist. I like how b2k sings. Am growing to be him. Bro ukiiona hii comment jua. Mimi hukuwa nimekurank on top. No any artist like you in east Africa. Natambua mziki wako saana.
@flavoostarbeatboy3 күн бұрын
Noted kaka mkubwa....🎉
@starbea77423 күн бұрын
tunashukuru sanaaaaa
@KellyNyavanga2 күн бұрын
Mmeamka ma fan's wa mzik mzuri ,,goma Kali knouma nyieeeeeeee alie pewa kapew jana ,,trending 20 leo no 18 🤜🤜🤜🤜🤜
@ReubenMdashi-vs5mh3 күн бұрын
Nilikuwa nachukulia poa hii Ngoma ila mmeua sana, yaani ni murua sana yaani ❤❤
@BandoMC3 күн бұрын
Noma
@philichalamila2 күн бұрын
mnyamaaaaaaaa kazikali Sasa na MAKAMBAKO Moja hom🙏🙏🎙️🎙️🎙️🎤