Profesa Farid Kubanda, hekima na maarifa mengi sana kaka
@ellihaule24675 ай бұрын
Napata somo kubwa sana hapa kwa The Great HipHop Artist in the world
@johnrichard54825 ай бұрын
The Really Meaning of FID HOP...🎤🎧🔥🔥🔥 #FidQ
@ShabaniAdamu-j5s4 ай бұрын
Safi sana mlete unju
@radokiraka61105 ай бұрын
ChemCheeem SAAna SAAna naWANA UKOO....💪🏿👏🏾👏🏾
@chimbolahiphop99815 ай бұрын
Chem chem kaka
@AgiripinaNisiphoryАй бұрын
Dah itakua bonge la collabo la east Afrika huo muungano tunausubiri kwa hamu kubwa sana man shedy from malamba
@Dickcheney-b1h5 ай бұрын
Mr IQ nakubali Sana Respect kwako hapo🙌🐐👑
@victorburser17175 ай бұрын
Hiyo point kubwa sana na ndio ukweli Kuna jamaa niliwaambia hiyo kitu wakakaza fuvu kweli yani
@tishaz-r7j5 ай бұрын
we jamaa ni genius, unajua vyenye dunia inaenda.
@NelsonElias-h1p5 ай бұрын
Mwanamalundi heshima kwako brother nyimbo zako tunainjoi tu kila cku mpyaaaaaaaa👊👊👊🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷💯💯💯💯💯💯
@jacksonmadulanga71215 ай бұрын
Nouma sana mzee
@kalengashoppingcenter11085 ай бұрын
Mmmmmh hip hop n life and future
@SolomonKatanga5 ай бұрын
Chombo TV ifike mbali sana kaka mbali sanaaaa
@kaJEMBEvip5 ай бұрын
Sure... Dizasta anastail colabo
@MairaAlly5 ай бұрын
Interview hii ndio imepelekea nisikilize Simba aiseee ni 🔥
@chimbolahiphop99815 ай бұрын
@@MairaAlly Noma Kabisa
@dallerbwoyniglo86754 ай бұрын
Hii inatosha kua tu mwana @siasa
@JohnMabustar5 ай бұрын
Kakamkubwa nasubilia Hilo dundo wow..!! Fid Q ft Rado duu Asante chimbo la H I P H O P
@patrickalfred36805 ай бұрын
Ujue kufanya interview na kaka fid inabidi ujitafute kwanza mwezi mzima...kwasabu huyu ...aaah sijui ni mdiscribe vip ili nieleweke...ila ni ni man n half
@Yegon2545 ай бұрын
Ama kwa hakika Fareed ni Profesa. Ninapata somo
@eddiemohamed90035 ай бұрын
BIG UP💪🫡 KWA MTANGAZAJI KWA KUHULIZA MASWALI MAZURI
@chimbolahiphop99815 ай бұрын
@@eddiemohamed9003 zimefika na tunakuahidi kilicho bora zaidi
@HatibuMahiza5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@OnesmoEphrata5 ай бұрын
Hbd 2 u Mr fd Q Kwani huu ndio mwezi wako wa kuzaliwa Yani Ile August 13 japo zimepita sku7 mie nakufaham tangu zile enzi za kupanda daladala na kuto kulipia nauli kisa ulikuwa una Tisha Kwa sura mbaya na hatari 👺 Nakukubali sana mwamba na mie ni fancy wako no1 kutoka Arusha tangu enzi za MCHAKA MCHAKA HEY LED'S & GENTLEMAN NINAVYO VYUSHA KAMA RAPA NAVUSHA KISHA NIKA PAAAA, Maoni ma kuu kuhusu uhuru ni uwongo kwakweli ndiyo maana hatutaki satellite ili mambo yasiwe bhayana hivyo tuu Bora kuzaliwa 🐕 ULAYA kuliko kuzaliwa mu Africa
@eddiemohamed90035 ай бұрын
INTERVIEW ZA FID Q, NI SOMO🔥🔥🔥💯💯💯🫡🫡🫡👊👊👊👏👏👏
@iFly-t9b5 ай бұрын
TUNAOMBA COLABO NA DZASTA VINA
@amriseleman93955 ай бұрын
Dizasta fanya nae ngoma umboost na yeye
@saeedmassoud2565 ай бұрын
Alokwmbia nani km dizasta anajitaji kubustiwa vipi ndugu jiangalie mara 2
@taojuma32775 ай бұрын
@@saeedmassoud256 Collabo na Fid Q itamuongezea value pia
@christianbihemo82115 ай бұрын
JR Mkazie bwana fid Q kuhusu ngoma yake na rado ifanyike Kwana sisi wana Hip hop Tunamkubari sna Rado pia Tunamkubari Fid Q kwa story iliopo mtaani kihusu mwanzo wa utengano wao haikua nzuri kwenye nafsi zetu ikiwezekana wangefanya hata album ya pamoja Tunasibili Kwa kununua kazi zao
@iFly-t9b5 ай бұрын
ALOKWAMBIA VINA ANATAKA BOOST NI NANI?.. CHALLENGE KUBWA YA FID NOW ITAKUA NI DIZASTA VINA, SIO MEX WALA NANI