BAADA YA MIAKA 20 MKONGWE AWILO LONGOMBA AWASILI DAR NAKUPOKEWA KWA SHANGWE

  Рет қаралды 20,435

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 34
@jazzymkalitv5535
@jazzymkalitv5535 3 жыл бұрын
Wow! Maisha yanabadilika kishenzi....si masihara. Awilo Longomba! Karibu Tanzania tena.
@shakilaabdallaherio5617
@shakilaabdallaherio5617 3 жыл бұрын
Awilooooo I love you wellcome Tanzania😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
@marymbugua5416
@marymbugua5416 3 жыл бұрын
Just found out He's Uncle to Prophet Lovy Longomba who just lost a vry dear brother Christian Longomba! I remember their songs them days.
@dianamkita6571
@dianamkita6571 3 жыл бұрын
Karibu sana Tanzania Awilo...Nakumbuka enzi za "Coup Bibamba'..
@winnesakara6957
@winnesakara6957 3 жыл бұрын
Love awilo
@thomasraiton7760
@thomasraiton7760 3 жыл бұрын
Nimemuona Patcho Mwamba hongera kwa kumpokea ndugu yako
@kingdawood.6157
@kingdawood.6157 3 жыл бұрын
Jamaa linajua sana hili. Gives back the memories of good old days
@marymfugwa847
@marymfugwa847 3 жыл бұрын
Nakumbuka 1997 wakati nimeenda musoma mjini nikakuta kanda ya Awilo ndo imetoka duh! Hadi raha.
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 3 жыл бұрын
Yeah ile kanda ilishiba,nyimbo Kama Getale,Coupe Bi Bamba,nk.. yaan zilifunika sana
@denisnsokolo7098
@denisnsokolo7098 3 жыл бұрын
Huyu huyu Dada anae muhoji Awilo,, yupo vizuri kwa kidhungu 😂😂
@aboubakarykitemi3721
@aboubakarykitemi3721 3 жыл бұрын
Akiondoka utaskia mondi kapiga nae ngoma😃😃😃
@hadijalukas5959
@hadijalukas5959 3 жыл бұрын
safi sana wacongo kuitambuwa Tanzania yetu namkubari sana fali pupa, kofi, na wewe kongwe awilo, jamani tujuzeni gatho naye bado yu hai au?
@dionsangoa1428
@dionsangoa1428 3 жыл бұрын
video change kama antenal vip hukooooooooo
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 3 жыл бұрын
Waandishi wa habari jifunzeni kifaransa sio wacongo wote wanajua kingereza hawa maarufu wanazunguka sana dunia ndio wanaokota kingereza but kifaransa ndio lugha ya wanamuziki mnaopenda sikuhizi nakufell interwiew
@fuadmagova9256
@fuadmagova9256 3 жыл бұрын
Hivo hivo kingreza kinatosha wagen ndo wajifunze kiswahili
@daishajumanne5990
@daishajumanne5990 3 жыл бұрын
@@fuadmagova9256 sawa sawa wanakuja kwetu wajifunze lugha yetu tuna jivunia sana na kiswahili chetu kuna watu wana kitamani na hawakijui
@hadijalukas5959
@hadijalukas5959 3 жыл бұрын
@@fuadmagova9256 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙉🙉🙉🙉🙉🙉👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼
@khadijatanzania8040
@khadijatanzania8040 3 жыл бұрын
Wapili
@wasemeabdallah7689
@wasemeabdallah7689 3 жыл бұрын
Kumbe bado hai
@amnemkubwa7353
@amnemkubwa7353 3 жыл бұрын
Kupekupeku Bamba.. shumapeku alikula metembele🤣🤣🤣🙈
@janemutoma5308
@janemutoma5308 3 жыл бұрын
Umenichekeshaaa
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 жыл бұрын
Kaja kwaajili ya raisi samia Ana roho Safi tu na sio jengine
@yusufwewe8600
@yusufwewe8600 3 жыл бұрын
Hi
@marygaspar6429
@marygaspar6429 3 жыл бұрын
Ma maiki hayo misongamano hiyo wageni wote hao mnaakika wamekuja bila COVID 19?wa TZ mmejichokea na kila kitu!
@josephfuraha2289
@josephfuraha2289 3 жыл бұрын
Wakwanza
@nasmafarmsltd9146
@nasmafarmsltd9146 3 жыл бұрын
Hiyo kupekupe ilikua hunitoi karbu ñâ redio hizo 😂😂😂
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 3 жыл бұрын
😁😁
@hadijalukas5959
@hadijalukas5959 3 жыл бұрын
yuko vizuri kinyama nilimmisi sana huyu awilo japo sijawahi kumuona live ila nampenda mno
@isackmosha4283
@isackmosha4283 3 жыл бұрын
Hahahah
@lugomemtamayaye9508
@lugomemtamayaye9508 3 жыл бұрын
Kuna mtu kakohoa hapo wote wamemwangalia,mashaka haya!
@platnumsnews4474
@platnumsnews4474 3 жыл бұрын
Ina maana waandishi wengine ngeli haipandi?😃 sasa si muongee kama awilo tu😂
@isackmosha4283
@isackmosha4283 3 жыл бұрын
Kupe kupe kubamba
@frankmtei3017
@frankmtei3017 3 жыл бұрын
1997
УЛИЧНЫЕ МУЗЫКАНТЫ В СОЧИ 🤘🏻
0:33
РОК ЗАВОД
Рет қаралды 7 МЛН
Vampire SUCKS Human Energy 🧛🏻‍♂️🪫 (ft. @StevenHe )
0:34
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 138 МЛН
Mbunifu wa trekta ya kulimia kwa kutumia injini ya mashine ya kusaga
3:56
WAZIRI ULEGA ALIVYOTINGA KIVUKONI KUKAGUA, ATOA MAAGIZO
5:16
Millard Ayo
Рет қаралды 1,1 М.
Kwa nini Hakuna Wasomali Githurai?
16:15
Churchill Television
Рет қаралды 202 М.
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 802 М.
HECHE AJINADI ABANWA MASWALI MAGUMU
18:10
Millard Ayo
Рет қаралды 13 М.