BAADA YA WAZAZI WAKE KUFARIKI MJOMBA WAKE AKAMNYANG'ANYA URITHI WAKE | INASIKITISHA SANA

  Рет қаралды 359,170

E 7bits

E 7bits

Күн бұрын

Пікірлер: 578
@Official-lajnumz
@Official-lajnumz 3 ай бұрын
Zee la kutyuni congrats kwasababu umesikiliza vilio vya wengi Ani saiv ni moto juu ya moto hupoi ani watu makofi tu🙌🏻
@zenaycechanzinho6702
@zenaycechanzinho6702 3 ай бұрын
7Ebits🎉❤ mm nakuelewa mnoooo yaan kinoma noma nikiskiza watafsir wengine naona maruwe tuu ...ur so talented and good❤❤❤❤
@calvinmathiace9512
@calvinmathiace9512 3 ай бұрын
Hujawah kufeli kaka 🫡 I salute you brother, always u'r the best 🫵 konka
@victoriamwampulo853
@victoriamwampulo853 3 ай бұрын
Endeleeni tu kuomba like 😌 ...ila omba sana hiyo situation isikukute ama isimkute mwanao uliyempambania halafu anatokea bwege tu huko kuja kumnyanyasa unaweza tamani ufufuke 💔
@DorcusLongo-s2k
@DorcusLongo-s2k 3 ай бұрын
We umenen tuomb xana
@HudainaJabir
@HudainaJabir 3 ай бұрын
Yan hay maisha hayan utofaut nayang lkn so kwa mali ila unyanyasaji me nimeapa mwanang kulelew😢 ctk
@marymande3920
@marymande3920 3 ай бұрын
Unyama
@ShugweHusna
@ShugweHusna 3 ай бұрын
Kweli kabisa tunajifunza kupitiya izi izi movie tunazotizama 😢😢😢
@agnessbahamu3931
@agnessbahamu3931 3 ай бұрын
Inauma sanaa😢😢😢
@victormkello9575
@victormkello9575 3 ай бұрын
Hata kama umebeba historia ya kuumizwa kiasi gani, hupaswi kulipiza kisasi kwa kurudisha maumivu kwa wengine, kwani maisha yanabadilika any time. Asante #IZKONKA kwa recap hii ina funzo kubwa kwetu. 🙌🙌
@HAJIKILINGA-ip8il
@HAJIKILINGA-ip8il 3 ай бұрын
0:00
@Wardarajab
@Wardarajab 3 ай бұрын
The girl who saved ma lyfe❤❤ real appreciate dis🎉🎉🎉🎉🎉
@HerbertFrancis-tr8gh
@HerbertFrancis-tr8gh 3 ай бұрын
Hujawahi kukoseaa izkonkaa nakubaliiiiii nomaa nomaaaa saaaanaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@EvenethBiharagu
@EvenethBiharagu 3 ай бұрын
😂😂kla mtu anasema Kawa wa kwnz,bs tulien mm wa mwxho niingie, much love konkaaa❤❤❤❤❤❤
@VenancePeter-w8r
@VenancePeter-w8r 3 ай бұрын
kila nikiangalia na kusikiliza kazi zako Konka ni UNYAMA SANA
@JoshuaShirima-uz1el
@JoshuaShirima-uz1el 3 ай бұрын
Oaeee huyu mwamba mi nampa nyota tano kiroho safi sababu hajawah kuniangushaa🌟🌟🌟🌟🌟
@ShabaniBandini
@ShabaniBandini 3 ай бұрын
Mamen sijawai kukoment ila ii daaa ime nifanya niisi kitu hongela sana kaka 🎉🎉🎉🎉
@jovinmahende
@jovinmahende 3 ай бұрын
Unajua sanaa konkaa movie bomba sanaa story inaumiza mpk inanifanya niicheki big up daprooh king👑
@husseinmshamata4364
@husseinmshamata4364 3 ай бұрын
Gonga like kwa walikuwa pmj na konka big up sana
@Bibi-he6vt
@Bibi-he6vt 3 ай бұрын
Allah atupe maisha marefu inshallah ❤
@Zeinabmea
@Zeinabmea 3 ай бұрын
Amin yaarabi 🤲
@JailosSiasa
@JailosSiasa 3 ай бұрын
Kaka hii motoo sana🔥🔥
@josephkiria-n8x
@josephkiria-n8x 3 ай бұрын
Hatariiii kk hakuna zaidii yako keep it up mzeeh
@DoriceNoah
@DoriceNoah 3 ай бұрын
Unatishaaa ❤❤❤❤❤
@isackobadiah484
@isackobadiah484 3 ай бұрын
Unyamaa Sanaa izkonkaa 💥💥
@charlesmambya6759
@charlesmambya6759 3 ай бұрын
Nimeikubali bro kaz nzur🎉
@BettyKyando
@BettyKyando 3 ай бұрын
Wewe n master u do kill it everytime Konkaaa🎉🔥🔥🔥
@QautharykadriaKhatibu
@QautharykadriaKhatibu 3 ай бұрын
Tupe nyingne konka tunakubali sana❤❤
@NaomiAbdi-k1n
@NaomiAbdi-k1n Ай бұрын
Jamani hini. Movie nzuri sana. Nimeipenda. Sana❤️❤️😍🥰🤩
@rashidiijumaa349
@rashidiijumaa349 3 ай бұрын
Kazi imetulia kinoma sana hongera broo
@AnnuaryAbbas-w3p
@AnnuaryAbbas-w3p 3 ай бұрын
Ebu na mimi nipeni izo like nione kama zima faida😂
@Mjeshitv
@Mjeshitv 3 ай бұрын
Lio nimekuwa mwamba nimewahi sana kicheki hii likap so kama unamkubali E7Beat gonga like
@BrayooMuchui
@BrayooMuchui 3 ай бұрын
The goat 🐐 of movie big respect
@Thuma-tj5rp
@Thuma-tj5rp 3 ай бұрын
Daah naona sai ni competition 👊👊😹🙌 SI ni jusi TU niiliangalia hapa hapa ila Sema pesa ndio inazingatiwa Kwa sana 😹😹
@NajmaAlly-z6w
@NajmaAlly-z6w 15 күн бұрын
Bomba sana 🎉🎉🎉
@DenmaQ
@DenmaQ 3 ай бұрын
Hii story tamu saana ❤❤
@bonakulaya9666
@bonakulaya9666 Ай бұрын
Amazing😊😊
@mkalmoyotv1274
@mkalmoyotv1274 3 ай бұрын
hii kazi nzuri recap zimenyooka sana
@LeonardLawi-s3o
@LeonardLawi-s3o 3 ай бұрын
Nakubali sana yaani Mungu hawezi simama upande ambao siyo
@allykagawa
@allykagawa 3 ай бұрын
Kaz nzr sana kaka👏
@ireneherman76
@ireneherman76 3 ай бұрын
Izikonka ur the best 😊😊
@leonardjoseph1565
@leonardjoseph1565 2 ай бұрын
Safi sanaa kazi nzurii maelezo mazuriii chukua maua yako mzeee🎉🎉🎉🎉
@PiriJuma
@PiriJuma 3 ай бұрын
kali sanaaaa🎉🎉🎉
@FrankSamson-r6s
@FrankSamson-r6s 3 ай бұрын
Kazi kaliiii🎉
@faridyomary6226
@faridyomary6226 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤hiii movie ni Kali sema nataka ile ya half heaven
@TimoZebedayo
@TimoZebedayo 3 ай бұрын
Big up my brother
@ScolaJustin-c5d
@ScolaJustin-c5d 2 ай бұрын
Nimependa sanaaa❤❤❤❤
@TiffanyNjeri-r2h
@TiffanyNjeri-r2h Ай бұрын
Endelea na kazi hio nzuri
@AllyRutaigwa78
@AllyRutaigwa78 3 ай бұрын
❤❤❤ good bro
@DominickCostantin
@DominickCostantin 3 ай бұрын
Hujawah kuw na kaz mbovuu 😊
@waridysimba7571
@waridysimba7571 3 ай бұрын
Kali sana😂
@SiwemaMsemo
@SiwemaMsemo 2 ай бұрын
I'm so emotional I cried 😭
@hajraalihaji2396
@hajraalihaji2396 3 ай бұрын
Nzr sanaaa
@ubalauzi
@ubalauzi 2 ай бұрын
Woow 🔥🔥🥰
@NeemaMbuji-i7s
@NeemaMbuji-i7s 3 ай бұрын
Kazi zuri hongela cn
@moureenkamau8697
@moureenkamau8697 3 ай бұрын
Unatisha brother juuu saana ❤❤❤❤❤
@EstherNanzushi
@EstherNanzushi Ай бұрын
Hongera sana ila jamani tuwache kuwa mbwa mwitu na kunyanyasa watoto wa wenzetu maana hata kifo huwa haiagizi. Si muweke part two....inaelimisha sana.
@duliz2002
@duliz2002 3 ай бұрын
Upo vizuri kaka unavyo elezea movie, hongera kaka
@titolabani
@titolabani 3 ай бұрын
Oooh unyama san iyooo n mm leo nim kuwa wa kwanza naomb like zang
@shivokenya8761
@shivokenya8761 3 ай бұрын
Big up kuna poor mum na rich mum
@especherathuman2693
@especherathuman2693 2 ай бұрын
Fire🔥🔥🔥
@viviandaudi9628
@viviandaudi9628 2 ай бұрын
Nzuri Sana nimeipenda
@DanielDanyoBwe
@DanielDanyoBwe 3 ай бұрын
kaka @Izkonka unajuwa 🎉🎉 saaanaaaa
@sharifasaidy6399
@sharifasaidy6399 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉movie tamu
@MarthaGailanga
@MarthaGailanga 3 ай бұрын
Aaah unyamaa xaan❤
@Kewe255
@Kewe255 3 ай бұрын
❤huna kazi mbaya unajua kka nakukubali sana @kingkewe
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 3 ай бұрын
Aisee nzuri sanaa unajua pia kuhadithia sanaa mwmabaaa
@MauaMsonjoma
@MauaMsonjoma 3 ай бұрын
Unajuwa 🎉❤❤❤❤❤
@AllrightSaid
@AllrightSaid 3 ай бұрын
Hiii kaziii balaa kaka 🎉🎉🎉🎉🎉
@selemaneassane9490
@selemaneassane9490 Ай бұрын
Nimekubali sana Kaká
@AbdoulAhishakiye
@AbdoulAhishakiye 3 ай бұрын
Umetisha 💥
@RamsoPedro
@RamsoPedro 3 ай бұрын
Kazi nzuri
@MasoudAyoub
@MasoudAyoub 3 ай бұрын
Wapili Mimi jamani Leo naombeni like ata 5 tu
@alphonceluzigashija
@alphonceluzigashija 3 ай бұрын
Hivi likes zinasaidia nini?
@alphonceluzigashija
@alphonceluzigashija 3 ай бұрын
@@MasoudAyoub jibu swali mie ukitukana sijali we jibu swali
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw 3 ай бұрын
​@@alphonceluzigashija😂😂😂😂
@MasoudAyoub
@MasoudAyoub 3 ай бұрын
@@alphonceluzigashija Basi ngoja nikureport kwanza alafu ndio utajua zinasaidia nini
@JumaMilaji
@JumaMilaji 3 ай бұрын
Daah, kaka Iko good sana mpaka natokwa na machozi, nisome kama juma kitongwa, wa kiwangwa
@Selemani-f3v
@Selemani-f3v 3 ай бұрын
Kali sana mzee✊️
@RahabuPius-sj4gh
@RahabuPius-sj4gh 3 ай бұрын
Kaka kazi zinachelewa Sana tunao pata shida ni sisi hapa mashabiki zako hongera lakin Kaka good job 🔥🔥🔥
@e7bits_tz
@e7bits_tz 3 ай бұрын
Nisameheni sana
@chanjesamoviesbank5630
@chanjesamoviesbank5630 3 ай бұрын
Dah umetisha sana. Mkuu Yani wewe ni noumaaaa
@JeanNdihokubwayo-f5s
@JeanNdihokubwayo-f5s 3 ай бұрын
❤❤❤nimekupenda sanaaaaa
@MwanaidiSuleiman-vg2qn
@MwanaidiSuleiman-vg2qn 3 ай бұрын
Awee 🎉 🥳 n balaa
@AbdallahSalum-q4n
@AbdallahSalum-q4n 3 ай бұрын
Kazi nzur kaka....
@hamisibakari342
@hamisibakari342 3 ай бұрын
Ila wee KOOONKA ninoma sana Wengine hovyoo kabisa Wengine hawatafsili Bali Wana hadithia oya nimesha subscribe 🙌🙌🙌
@Eri-khan26
@Eri-khan26 3 ай бұрын
Kaka unatisha endelea kaka💞💞💞
@MikidJow-r1m
@MikidJow-r1m Ай бұрын
Cool baba unajuaaaa
@AliceJonh-l9s
@AliceJonh-l9s 3 ай бұрын
Next❤❤❤😊
@ZainabZainab-od8ob
@ZainabZainab-od8ob 23 күн бұрын
Umetisha mwamba
@husseinyakoub-f4r
@husseinyakoub-f4r 3 ай бұрын
Oya uko vizuri sema fanya nani hii iwe na saa lizima
@e7bits_tz
@e7bits_tz 3 ай бұрын
Kosa kisheria
@onlymemes_tz
@onlymemes_tz 3 ай бұрын
@@e7bits_tz😅😂
@mwenieliasa6517
@mwenieliasa6517 3 ай бұрын
Asante konkaaa❤❤
@latifajuma1928
@latifajuma1928 3 ай бұрын
Nzuri atar ❤
@JOHNJONAS-e6q
@JOHNJONAS-e6q Ай бұрын
Iko vzr xan na inafundixha😢😢😢😢
@JaneDaimon
@JaneDaimon 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉yako ninzuli Sana
@MachanoBadru-vj9zt
@MachanoBadru-vj9zt 3 ай бұрын
Kaziiii imetishaaa❤❤❤
@JumaMtamila-t1h
@JumaMtamila-t1h 24 күн бұрын
Brather umetisha
@AshaMambo-u4o
@AshaMambo-u4o 3 ай бұрын
Kali san🎉🎉🎉🎉
@EmmanuelSelestine-f7g
@EmmanuelSelestine-f7g 3 ай бұрын
Unajua lakn una chelewa sana pole na kaz brother
@Ablahisaid
@Ablahisaid 2 ай бұрын
Kaka hongera sna ww unasimulia vizur ila chozi kwli linanitoka
@AishaSaid-bb9xl
@AishaSaid-bb9xl 3 ай бұрын
Kazi nzur sana kaka
@SifaMasamba-rq6ee
@SifaMasamba-rq6ee 3 ай бұрын
Unyama Sana bor🎉🎉🎉
@PiusIgnas
@PiusIgnas 3 ай бұрын
Umetisha br k o
@GARACKENGINEERINGGROUP
@GARACKENGINEERINGGROUP 3 ай бұрын
great movie
@ZawadiJackson-v4j
@ZawadiJackson-v4j 2 ай бұрын
Unatisha sana nzuri balaa
@cheruiyotkirui3448
@cheruiyotkirui3448 3 ай бұрын
Kazi yako safi inavutia sana
@LatifaIddy-s6h
@LatifaIddy-s6h 3 ай бұрын
Kooonka👊
@NunuNoor-e4o
@NunuNoor-e4o 3 ай бұрын
Ipo vzr saan 👌🏼😍
@KumbukaMaganga
@KumbukaMaganga Ай бұрын
nakubari kazi zako kaka
@FÁTIMAJAMALNFAUME-u1m
@FÁTIMAJAMALNFAUME-u1m 3 ай бұрын
Kupitia na yote ila movie ni tamu kabisa ❤
@innocentmvwazake856
@innocentmvwazake856 3 ай бұрын
Very nice
@JanethAnania-w3s
@JanethAnania-w3s 3 ай бұрын
Nakupenda sana
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
AFTER SCHOOL - ANNABEL APARA, FAITH STANLEY, KELVIN EZIKE (Kenzy)
1:51:12
RuthKadiri247
Рет қаралды 12 МЛН