KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE 0625466848 AU 0753393036
Пікірлер: 29
@SalmaBinyagaКүн бұрын
Huyo baba ake hatuwezi kuhukumu lkn hiyo ni laana watoto wako wa kuwazaaa jmn subhallah Allah atunusuru na anususuru vizaz vyetu dunia imekua mbaya sanaaa
@RoseeyRoseey18 сағат бұрын
Usilie mdogo Yesu anakupenda.
@shamzone388Күн бұрын
Pole ndugu yangu maisha ni safari ndefu mazuri na mabaya utakutana nayo maana upo msituni hujui utakutana simba au chui au kondoo Usiogope piga moyo konde usilie utafanikiwa kuwa na nia safi mungu yupo na wewe
@WardaSadiki-le6gu23 сағат бұрын
Pole dada inauma mungu akusimamie kili mwanadamu mkosefu
@nannakhamis535019 сағат бұрын
Ki kubwa uhai ila uyo baba afingwe😢 dada njoo uwarabuni tupambane😢
@merinajuma694823 сағат бұрын
mmmmmh aiseee mtihni kiukwel mungu wangu kunamapito kwenye hii dunia hpa kiukwel nimeumia snaa😭😭😭😭
@Janemuthoni28920 сағат бұрын
Baba kama yuko uhai ashikwe,kuhusu mimba wanawake wengi wametoa ila hawasemi, na kuenda uwarabuni sio kutuliza akili ndio akili italipuka juu sio mchezo mtu wa stress na.dippresion kuenda uwarabuni, stress za waarabu hata ukuwa mzima utakufa,huyu atafutiwe councilor apewe counciling apangishiwe chumba apewe mtaji akae na watoto wake akiwa sawa asafiri
@mariamnur103623 сағат бұрын
Pole Sana dada
@VeredianaNicholasКүн бұрын
Pole dada Mungu akusaidie
@Manyanya8551Күн бұрын
Duh! 😢😢😢😢 imeniuma sana
@khadijachacha315621 сағат бұрын
Aende akaeke vijiti atakaa miaka mitano bila ya kubeba mimba na atakua na maisha mazuri tu
@mrsab303Күн бұрын
InshaAllah everything go well for you InshaAllah 😭😭😭😭
@onesmochaula413Күн бұрын
😅😊😊😅😊😊😊
@Manyanya8551Күн бұрын
Maoni yangu kama huyo binti ni muislam kamkutanishe na uongozi wa dini watajua namna ya kumsaidia na kama ni mkristo mpeleke vilevile kwenye uongozi wa dini yake naamini atapata msaada umri wake mdogo sana.
@aairraahseif564811 сағат бұрын
Msikiti upi na kanisa lipi?wapi tufahamishe ili tuweze kuwaelekeza na wengine wakasaidike
@yukundapeter820020 сағат бұрын
Inatakiwa hill xee lichomwe moto hadharani.
@maximumtvonline5 сағат бұрын
Lipo tu linainjoy maisha mpaka sasa
@ndayishimiyejoyce3736Күн бұрын
Kwa sababu uyu dada amepitia mengi wenye uwezo wamusaidie lakini sio kwenda uwarabuni anaweza kwenda huko akabahatika boss mubaya ataumia zaidi
@sifatiimanКүн бұрын
Na Kwa Nini uwaze boss mubaya tu😂 Kwa Nini usiwaze kwamba aweza pata bos mzuri na maisha yake yakabadilika kuanzia hapo?
@khadijachacha3156Күн бұрын
Kupata boss mzuri huku ni bahati nasibu wengi wanalalamika wanateswa sasa akipata boss m baya anaweza akajinyonga
@shamzone388Күн бұрын
@@khadijachacha3156 hiyo ni fikra zako akija huku aweza kupata boss mzuri mbona tupo tunaendelea kufanya kazi usimkatishe tamaa mwenzio
@aairraahseif564811 сағат бұрын
Huwa ni bahati mbaya Sio kubahatika Boss mbaya, nakwanini uwazi mabaya kuliko mazuri?
@aairraahseif564811 сағат бұрын
@@khadijachacha3156mmhh 🤔🤔najaribu kutafakari hiyo kujinyonga
@fatmaalnabhani3609Күн бұрын
Aende uzunguni labda akili itatulia
@aairraahseif564811 сағат бұрын
Uzunguni ndo wapi, ni mji au mtaa?
@Rose-ue2hoКүн бұрын
Huyu asiende nchi za kiarabu kwasababu huku ni kuchanuwa akili na kuhangaika si kutilia akili au mwili..
@aairraahseif564811 сағат бұрын
Sidhani kwa lugha hiyo umefahamika ulicho kiandika,napata taabu kufahamu
@Rose-ue2ho8 сағат бұрын
@@aairraahseif5648 basi mpenzi kajifunze kiswahili