BABA AMFANYA MWANAE CHAMBO KWA RC MAKONDA ADAI MCHUNGAJI KUWATAPELI ENEO LAO AINGIA MITINI...

  Рет қаралды 28,562

SWAHILI MEDIA

SWAHILI MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 26
@magidalenarauya4286
@magidalenarauya4286 7 ай бұрын
Wachungaji gani hao matapeli wanatumia vibaya jina la mungu,wataungua
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 7 ай бұрын
Mchungaji fisadi tena wa mchongo. Kiwanja hicho ni cha hii family
@WaziriOmari-f3h
@WaziriOmari-f3h 6 ай бұрын
Mzee hongera bint yako mrembo mno
@Bless-sk8uv
@Bless-sk8uv 7 ай бұрын
Shetani anatumia sura ya uchungaji😂😂 huyo ni jini fisadi 😊
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 7 ай бұрын
Mwamba kaomba siku moja tu asali ndo kasali mazima😂😂😂
@dorcasmruma9001
@dorcasmruma9001 7 ай бұрын
Hapa kamishina tumepigwa hakuna mtu hapo
@surusuru1994
@surusuru1994 7 ай бұрын
Mchgaji Arusha makonda km vp arusha itweeni swadaga Kenya
@thelalas9204
@thelalas9204 7 ай бұрын
Makamishna wa ardhi wabadilishwe jamani. wengi wao wamekula Rushwa na wamehusika kwenye utapeli na kuanzisha migogoro kwa maksudi.
@frankmtei6318
@frankmtei6318 7 ай бұрын
Kamishna wa ardhi kwa haraka ni mtupu sana kichwani. Uelewa finyu. Makonda kamuuliza maswali ya msingi sana akiwa ana babaika
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 6 ай бұрын
Afsa ardhi lofa sana
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 7 ай бұрын
Huyu baba ana mtoto chombo sana
@honekisebwa226
@honekisebwa226 7 ай бұрын
🤗🤗🤗🤗🤗
@supertal2943
@supertal2943 7 ай бұрын
Kweli karembo Sana af kapole
@IRENEJONAS-wb8kd
@IRENEJONAS-wb8kd 7 ай бұрын
Mnasemaga tu ukimchukua kuishinaee miezi mi3 Una Ziona kasoro mara oooh iiii😂😂😂
@IRENEJONAS-wb8kd
@IRENEJONAS-wb8kd 7 ай бұрын
Mnasemaga tu ukimchukua kuishinaee miezi mi3 Una Ziona kasoro mara oooh iiii😂😂😂
@EdwardEdwin-w6f
@EdwardEdwin-w6f 7 ай бұрын
​@@supertal2943kamuoe Kama ni mpole😂😂😂 sis hatutakag wapole
@LovenessFedrick-cy9fh
@LovenessFedrick-cy9fh 6 ай бұрын
Kamishna kapewa hongo 😢
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 7 ай бұрын
Huyu kamishina atolewe hapo ni mbabaifu sana
@hassanrashidi1267
@hassanrashidi1267 6 ай бұрын
Akirudi anarudi kweli na akisogea anasogea kweli
@petermangama330
@petermangama330 7 ай бұрын
Mchungaji wa mchongo
@navioma4882
@navioma4882 7 ай бұрын
Nchi imejaa matapeli hiii😢😢😢😢😢
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 7 ай бұрын
Huyu Kamishina ndie tatizo ashamed atajusumbua sana
@edwinmsuya3813
@edwinmsuya3813 7 ай бұрын
Wachungaji wengi hasa makanisa ya kilole niwezi sana
@Ax-xpress
@Ax-xpress 7 ай бұрын
Wachungaji wasaniii wasiotaka suluhu..dhuluma tu zimewajaa
@Halima-wy7to
@Halima-wy7to 7 ай бұрын
Mko umukuwagalia wanawake
@JosephMwaipopo-px4wi
@JosephMwaipopo-px4wi 7 ай бұрын
Mama mrudishe kwenye ukatibuwenezi huyu alifiti sana kule kaacha pengo
[BEFORE vs AFTER] Incredibox Sprunki - Freaky Song
00:15
Horror Skunx 2
Рет қаралды 19 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 31 МЛН
LIVE: Iran holds funeral ceremony for President Raisi
2:49:56
The Times and The Sunday Times
Рет қаралды 574 М.
[BEFORE vs AFTER] Incredibox Sprunki - Freaky Song
00:15
Horror Skunx 2
Рет қаралды 19 МЛН