BABA ATEKWA NA WANAWE NA KUTESWA KISA MALI ZANZIBAR

  Рет қаралды 73,233

KTV TZ ONLINE

KTV TZ ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 212
@pettermasika9120
@pettermasika9120 6 жыл бұрын
Mungu muweza wa kila kitu Akubariki sana Mama, Ukweli usio pingika kipaji ulicho pewa kimetoka kwa baba Mbinguni wawachie Mwenyezi Mungu asimame
@ummusamira3518
@ummusamira3518 6 жыл бұрын
Innalilahi wainnailaihi rajiuni yarabi stara yarabi mpe subra huyu mama Na wanawe Na watu wake yarabi nahao wanaomdhalilisha huyu mama Na watoto wake na baba yao yarabi wasamehe waoneshe haki mola wetu waifate huu ni moto wanautafuta kwa mikono Na miguu Na midomo yao yarabi watahamakishe wasipote inasikitisha sana
@khamiskhamis5323
@khamiskhamis5323 6 жыл бұрын
Subhannallah,,laanatullah alie muoa baba ni mama nae,,Mali kitu gan jaman,,,ahhh ucjal Mama ang Allah atawasaidia Inshaallah hakuna lishindikanalo kwenye hii dunia,,,ila kwa ushauri mie ninge omba uyo mzee izo mali zake zote zitoe sadaka kwenye miskiti au kwa watoto yatima ziwe wakfu,,yaani mali zisizo weza kuuzika basi, kazi imeisha ni ivyo tuu,,apo Itakua safi na atoe kwa moyo moja,,mana awo wanao gombania mali mwisho na wao watauwana wenyewe kwa wenyewe,,bora azimilikishe kwa mayatima ndo dawa yao,,ilo ni wazo tuuu ni ngumu lkn ninzur na itapendeza mbele ya Allah,,tuifateni Qur-an ndio mkombozi wetu na ndo itayo weza kutatua matatizo yetu,,,Inshallah kher Allah atatuvua haya na mengine meng tusiyo ya jua,,ya siri na ya dhahir,,Ameen Ameen Ameen
@merryn4891
@merryn4891 5 жыл бұрын
poleni sana mwenyezi mungu akujalie nitafute vyangu sijawahi kufikiriya Mali ya mzazi
@omarameirsalum8879
@omarameirsalum8879 6 жыл бұрын
Jamani watoto tuwe na heshma,tuwe na nidhamu,tuwe na adabu kwa mama zetu,kwa mama wadogo zetu,kwa mama wa kambo zetu in shaa Allah
@MrKhatibu
@MrKhatibu 6 жыл бұрын
Kumbe tuliotoka katika family za kimasikini tupo na amani ;-) nilijua family za wenye mali wapo na raha za maisha lol.Alhamdulillah baba is poor hana kibanda but we are happy with him japo waliachana na mama miaka 40 iliopita but sijutii kuwa yeye masikini na kuishi na mke mwengine. I lern from the steet how to survive with two legs and two arms.
@victoriachesco35
@victoriachesco35 6 жыл бұрын
Umesema kwl kwl ndugu maukuni tuna raha tutgombea nn wkt hpn kitu
@mozamansour7912
@mozamansour7912 6 жыл бұрын
SubhanaAllah 😓 mtihani wallah huu ,mbona hao watoto wanamfanyia hivo wajue hapa ni duniani watalipwa
@rahmayussuf4368
@rahmayussuf4368 6 жыл бұрын
Inalilahi wainnah ileyhi Rajiuun ...Ama kwli Ukiwa na Pumzii utasema kila Kitu huyo binti anamtukana Mama na Alilewa na yy SubhanaaAllah ...#Hiyo miradhi unagombania Huwenda mkafa nyinyi mbele ya Mzee Muogope Allah maisha ya Dunia ni mafup sana Wacheni tamaa nyiny waislamu
@faridabakari8511
@faridabakari8511 6 жыл бұрын
mungu awaongozee INSHAALLAH hii family 👏👏👏👏
@MrAllydullah
@MrAllydullah 6 жыл бұрын
Kweli kuzaa si kupata kuwa na watoto wenye tamaa namno hizo waeza kukuuwa. Mama pole sana Allah azidi kukupa nguvu ya kupambana na maadui watoto wa mumeo.
@64aaa
@64aaa 6 жыл бұрын
Duh! Mitihani hino. Mungu awaongoze inshaAllah
@ashazaharan1750
@ashazaharan1750 6 жыл бұрын
Subuhananllah mwenyez mungu awasamehe. Hawa wtt pole saana bibi
@naslamgollo6405
@naslamgollo6405 6 жыл бұрын
Subhana llah mtihani mung atakusimamia mama duu hao watt wanalana
@mwanaaisha1715
@mwanaaisha1715 6 жыл бұрын
subhanallah Allah tunusuru wajawakotunaendawapiss wa zanzibar Allah tunusuru
@aishaally9209
@aishaally9209 6 жыл бұрын
tumrudieni mungu hivi ni binadam ndo anayeumba au aliyetuumba......kwann jamni tunamkosoa aliyejuu ya arshi kuzaa ni mung ndo anayepanga na si binadamu subhannallah
@zungubakathir1761
@zungubakathir1761 6 жыл бұрын
Mh binadam utazani tumejiumba wenyewe pole sana.bibi mungu akupe subira dunia ni.mapito tu
@ghuzlanswaleh2564
@ghuzlanswaleh2564 5 жыл бұрын
Subhanallah ya kareeeem inalillahi wainna ilaihi rajiun ya raaab atusamehe dhambi zetu na makosa zetu sote ameeen mali sote tutaiyacha jamaniii kulku nafsi daiatul maut
@maryammussa2002
@maryammussa2002 6 жыл бұрын
Mtihani Wallah. Ya Allah tunusuru waja wako
@missrizikihaidar121
@missrizikihaidar121 6 жыл бұрын
polen sana mungu yupo pamoja nanyi
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 6 жыл бұрын
Subhanallah hao si watt ...dah Wamekaa km si waislamu?wanawezaje kutamka maneno km hayo ?kuwa mtu hazai hajajitakia wanasahau km na wao wana watt na wataolewa ..je?Allah akiwanyima na wao??mmh duniani mapito tu Allah amsaidie huyu mama.loh hii si familia ya kuowa kabisa kabisa....ukiowa ujuwe ushaingia mkenge .
@ifaifa1502
@ifaifa1502 6 жыл бұрын
hio family mtihani jamaa yangu alijuta kuowa kwao
@darweshk7342
@darweshk7342 6 жыл бұрын
Kuna kitu sio bure pande zote mbili wajitahidi kutumia wazee wenye hekima au masheikh watatue tatizo litakuja kuleta mtihani baadae daah pole sana mama
@rozeeroz2515
@rozeeroz2515 6 жыл бұрын
Pole mama kwa mitihani
@masoudamour8521
@masoudamour8521 6 жыл бұрын
Lakini ukiangalia kiumbali damu ni nzito kuliko maji mm binafsi nawkubali watoto wanao dai baba yao wako ktk good way,wao ndo watakua na machungu zaid ya baba yao mke kitu gani mke si rafiki tu inawezekana anaangalia mali zaidi ww mzee mpaka akatae watoo wke umeona wp ayo.big up sons n daughters
@shababygirlshambuwa8388
@shababygirlshambuwa8388 6 жыл бұрын
subhana llah malipo duniani Allah atawaangamiza hao washapata laana ya mzazi hao
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 6 жыл бұрын
llahaula hyo ndo ile wasemaga konyago wakichonga mwenyewe mwisho wa siku chakutsha mwenyewe 😢😢😢
@goldensparrow1507
@goldensparrow1507 6 жыл бұрын
سبحان الله.. How can children do this to their Dad?
@zuhuraally171
@zuhuraally171 6 жыл бұрын
Mungu tunusuru sisi tusiopata watoto
@sulemankhamisi7483
@sulemankhamisi7483 6 жыл бұрын
Pole sana mamangu
@umturki5093
@umturki5093 6 жыл бұрын
Dunia yamwisho hao c wtto ni mashetani,maneno yalosemwa kwenye qoran wtto wenu na mali zenu ni fitna ndo hayo yanamkuta huyo baba !mungu awanusuru wte yarab
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Mzee alisema watoto wake wanawaume zao hivyo hawafai kukaa na baba yao, mbona nao hawa anakaa nao kwani hawana waume? na kama hawana waume watoto wao wamepatikana vipi?,,,, tusiwahukumu sana watoto wa mzee mcha , pengine wanahoja ya msingi!!!! In
@shifaa3327
@shifaa3327 6 жыл бұрын
Hayo kweli leo AllhA anazihirisha kuwa sio sisi tu tulokuwa na hy
@zungubakathir1761
@zungubakathir1761 6 жыл бұрын
Dah inaskitisha sana ukiwa na mali mtihan ukiwa hunakitu mtihani duuh mungu awaongoze tafuten mali zenu cha mzee si chako msubir aondoke tamaa tu
@bibiejuma7523
@bibiejuma7523 6 жыл бұрын
Hali hii mzee yupo je akifa si mta chinjwa
@njeerysalum5862
@njeerysalum5862 6 жыл бұрын
jamaniii niwanayeee wapeniii mwanake mwenzaaa muombeee munguu atakusaidiaaa
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Kweli huyo mzee karogwa, yaani kabla ya kujiua anamfikiria binadamu (mke) kwanza, kuliko Mungu? Innalillah!!!
@taturamadhan5940
@taturamadhan5940 6 жыл бұрын
mimi wanawake nawaelewa sanna. wanaume wengi wakioa wake wengine wanasahau familia zao, hasa wakiwa na kipato watalea uko, watasomesha uko. familia wanaziacha. na hicho ndo chanzo, mimi nnachokiona mzee mcha kasahau familia yake wanawe wamekuja juu. apo cha msingi mwanamke akae na mume waliobakia watawanyike.
@mwajumakweli6753
@mwajumakweli6753 6 жыл бұрын
Duh... mmmh ao watoto lahana kum kumsimanga mama mtu mzima km hivyo kisha ajazaa na baba yao hivi awajui hiyo ni mipango ya Mungu na pia wakumbuke hi Dunia Maputo mari zote wataziacha
@shammybeybe1825
@shammybeybe1825 6 жыл бұрын
Roho mbaya sana, binaadamu wanataka kutoana roho kisa mali
@julianamsengi7002
@julianamsengi7002 6 жыл бұрын
Watoto wenyewe wa bi mkubwa na watu wazima kwann wasiende kujitegemea na wao
@zeyfaafarzey1036
@zeyfaafarzey1036 6 жыл бұрын
Juliana Msengi unajua vijana wa sasa wanashindwa kufkiria sasa yanini kutegemea alichotafuta babaako baada ya kutafuta chako
@allyissa6984
@allyissa6984 6 жыл бұрын
Subhanallah
@namisgiggah1571
@namisgiggah1571 6 жыл бұрын
Kwa hiyo wanawake mnatufunza Sisi wanaume mkiwa hamzai tusiwaoe na hata tukiwaoa na kugundua tatizo Hilo tuwatenge.
@عبداللهالإسماعيلي-ظ6ن
@عبداللهالإسماعيلي-ظ6ن 6 жыл бұрын
Namis cartle ww wacha ufala huo
@namisgiggah1571
@namisgiggah1571 6 жыл бұрын
Abdullah Haroub we vutu km huna maelezo usiite wenzio fala. Fahamu hiyo kesi ni wanawake wanamuandama mwanamke mwenzao, sasa wanatufunza nini Sisi wanaume km sio kuwafanyia uroho mbaya km huwo?
@aishaaaa6987
@aishaaaa6987 6 жыл бұрын
Abdullah Haroub kwanini umemuita mwenzio FALA kwani wewe hauoni maelezo ya hao wadada
@sallykanze
@sallykanze 6 жыл бұрын
Namis cartle pengine bi mwanaidi hakutaka kuzaa nae, wanawake tuko aina nyingi,,, mtu kumuita mume wangu ila kumbe hana mapenzi nae ataka Mali, wengine wakimuita mume wangu hawahitaji Mali bali upendo wa kweli,,, mm naona huyu mzee kafanyiwa dawa yani mzee aache wana we wa damu na kwenda kulea damu isiyomhusu mmmmh hapa si bure,,, bi mwanaidi hapati kitu,,, kama Angezaa na mzee mcha hapo sasa ila hakuzaa nae hana haki yakurithi
@puritywamboi4040
@puritywamboi4040 5 жыл бұрын
@@namisgiggah1571 umesema kweli kaka huyo mwenye kukutukana fala yeye ndio fala hajaelewa umemaanisha nini na kabla mutukane wenzio kua unaelewa kwanza na matusi sio suluhisho onesheni mfano mzuri si matusi
@adonisbukhar6738
@adonisbukhar6738 5 жыл бұрын
Mama wa Kambo unakaa na wanao wakubwa wote ! Nawajukuu! Wape nafasi watoto wakae na baba yao
@blacksonismael2501
@blacksonismael2501 6 жыл бұрын
na watafute zao kwani hata mimi baba ana Mali nimemkimbia ili nitafute kwa jasho langu na sijawahi kumumba sabuni tangia ninaishi maisha magumu mpaka nimezoea
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 6 жыл бұрын
hongera sana wewe ni jasir sana kaza but ALLAH ni mwema uta toka tu
@blacksonismael2501
@blacksonismael2501 6 жыл бұрын
Ahsante
@mozamansour7912
@mozamansour7912 6 жыл бұрын
Black Son Ismael kweli watafute zao wasitake za baba yao wajinga sana hao watoto
@adamumjomba82
@adamumjomba82 6 жыл бұрын
Hiyo ni hiari yako waswahili husema mkataaraha mjinga! 7 hao watto ni werevu Sana wanataka kuanziao cha maisha baadae wajazie zao mfuko ndio utatuna!
@saudmohammed3390
@saudmohammed3390 5 жыл бұрын
Hiyo ni laana kubwaaa, Mungu atalipa haki juu yao
@asmaafamau5139
@asmaafamau5139 6 жыл бұрын
Subhanaallah
@madawakemikali776
@madawakemikali776 5 жыл бұрын
Duh! Mali ni shetani kiukweli....makubwa kisa mali......kinachompata ungo kitampata kibeku....hawo watoto iko siku....hui dunia jamani.
@hidayamussa4273
@hidayamussa4273 6 жыл бұрын
Poleni Sana jamani
@shifaa3327
@shifaa3327 6 жыл бұрын
Pole sn mama hayo zanzibar ndio yapo hasaa ht sisi ukoo wetu baba yng ametiwa ububu na marazi kisa mali na mama unguarded ndio anaonekana mbaya
@اللهأكبر-ذ7ث3س
@اللهأكبر-ذ7ث3س 2 жыл бұрын
Mh stori ya uyo bi mwanaidi na mwanawe zinangongana msomi atajua kua nini kiliendelea?
@اللهأكبر-ذ7ث3س
@اللهأكبر-ذ7ث3س 2 жыл бұрын
Mh na uyo mmke wa pili ndio kabisa stori balaa tupu
@jumajaffary9698
@jumajaffary9698 6 жыл бұрын
Innalilah waynailah rajiun
@asmabintikiwashatz9321
@asmabintikiwashatz9321 6 жыл бұрын
dunia imeisha jaman pole mama
@rahmaa.naim.9391
@rahmaa.naim.9391 6 жыл бұрын
Polen sana wazee
@hafidhalhabsi3892
@hafidhalhabsi3892 6 жыл бұрын
Haifai nyinyi watto mungu anawaona baba anataka kuishi na mkewake nyie mnataka mali
@mahijamasukuzi9246
@mahijamasukuzi9246 6 жыл бұрын
Hawa watoto waislam gani imani Hawana,kisa Mali siwasubiri babaao afe ndio waanze vitibwi vyao
@asiakheir3846
@asiakheir3846 6 жыл бұрын
Mmmhhhh!!!yaa rabbi, usiwajaalie wanangu Mali,uwape imanituu,yakukuogopa wewe.
@kimmseinvtz
@kimmseinvtz 6 жыл бұрын
Asia Kheir Amin
@mwanamisomari6409
@mwanamisomari6409 5 жыл бұрын
Ungewapenda hao watoto wa huyo baba hata. Wewe ungepata Mtoto
@fatmashaibu7156
@fatmashaibu7156 6 жыл бұрын
Yani bi mwanaidi unaona mwanao anavyokaa na were na Bb wa kambo na wajukuu wa wanao .na hao watt nao wanatamani wakae na Bb yao na wajukuu wapate raha na mapenzi ya babu yao.tumia busara bibi mwanaidi kwani unaweza
@nadiyakisho2178
@nadiyakisho2178 5 жыл бұрын
kweli kabisa
@shifaa3327
@shifaa3327 6 жыл бұрын
Hayo jamani na kwetu pia baba hd utahira kapewa na kafanyiwa kimazingira kisa malii
@zahormohammed4476
@zahormohammed4476 2 жыл бұрын
Kwani hawa watoto wa huyu mama aliozaa huko kwa wanaume wengine pamoja na watoto wao wamejazana hapo nyumbani wakati watoto wa huyo baba hawaruhusiwi kuishi na baba yao
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 5 жыл бұрын
Jamani dunia adaah
@omarameirsalum8879
@omarameirsalum8879 6 жыл бұрын
Hao watoto hawana adabu,kwani aliyemuoa huyo mama ni wao watoto au baba yao? Hebu watoto tuwe na adabu tafadhali!!
@hudhud2022
@hudhud2022 6 жыл бұрын
Omar Ameir Salum Hasbiyallah Waneemal Wakeel watoto hao walafi roho mbaya nyie mlijuaje kama anazo ila zote hizo kuweni na heshima sie hatujafaa hatujesha kuumbwa na kama mchawi muachilieni MMungu atahukumu haki mnahakika gani kama atakufa yeye kwanza muogopeni MMungu mitihani mikubwa MMungu awageuzie awahidi Serikali ya kidhalim na raia watafanya wanavyotaka Allah Kareem Rais gani mwanangu yeye mwenyewe kadhululumu MMungu tuhifadhi tusijeambiwa wachochezi
@aishiaatanzniaa3230
@aishiaatanzniaa3230 6 жыл бұрын
sah
@kingiagritech_ltd
@kingiagritech_ltd 6 жыл бұрын
Omar Ameir Salum wamemtukana matusi mabaya kabisa, Habithil `amal
@yunussuleiman8641
@yunussuleiman8641 6 жыл бұрын
HAO WATOTO WAJUE HII NI DUNIA TU WANAWEZA KUONDOKA WAKAZIACHA HAPA DUNIANI HIZO MALI
@sheebqpsheebqp8314
@sheebqpsheebqp8314 6 жыл бұрын
Yunus Suleiman j
@mozamansour7912
@mozamansour7912 6 жыл бұрын
Yunus Suleiman hakika kabisa
@nusaebahkeis6774
@nusaebahkeis6774 6 жыл бұрын
Wao wenyewe hawana haja ya baba wanataka.mali tu watt hawa mungu anawaona tena hata hawana limeme.walllah dunia hii
@farhatsoud5916
@farhatsoud5916 6 жыл бұрын
nashangaa huyo anosema anampenda huyo baba vp atampenda yeye zaidi kuliko watt wake ambao ni damu yake wanotaka mali ni hao watt wakufikia
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Kumbuka watoto ni warithi halali wa Mali!!
@mariamfaki1166
@mariamfaki1166 6 жыл бұрын
Mnataka urithi wakati baba enu bado hajafa huo ndio uchawi hamna hata hofu ya mungu na hao askari wa zanzibar wanalalamikiwa na kila mtu hawafanyi kazi zao kwa weledi wana uonevu mkubwa masaun ongea nao ndugu zako sioni kazi wanazofanya matukio kibao yanatokea na wala hayafatiliwi fanyeni kazi acheni ubinafsi mungu anawaona
@asiakheir3846
@asiakheir3846 6 жыл бұрын
Mbona hizo ni tabia za ki ccm hawajali ya mungu.
@حميدهخلفان
@حميدهخلفان 6 жыл бұрын
muombe mungu dua kwani dua yenye kudhulumiwa huwa halirudi nyuma
@aishaaaa6987
@aishaaaa6987 6 жыл бұрын
Watoto wanakosea kwakweli kwa kuyafanya hayo, kwanza kabisa kuhusu kutokuzaa hiyo ni mipango ya Allah na si yeye msifanye hivyo m, mungu anawaona jamani
@darweshk7342
@darweshk7342 6 жыл бұрын
Kuna kitu cha kujifunza kwa sisi vijana tunatoka jasho kutafutia watoto zetu tujitahidi kuwaombea mungu Na kuwapa malezi mema ya Dini zaidi Na tukijaaliwa Mali basi tuweke USIA wa usawa kwa watoto maandishi mapema kwani inasaidia
@nadiyakisho2178
@nadiyakisho2178 5 жыл бұрын
hmmm hapo ipo namna so bure lkn na nyie wtt kwann mwamtek baba yenu kwa jili ya mali km hataki kuwap so lazima mpak mumzalilishe mzazi wenu tunaelekea wp jaman
@midohimna8334
@midohimna8334 6 жыл бұрын
Ya rabbi tunusuru na mitihn km hiyo
@mozamansour7912
@mozamansour7912 6 жыл бұрын
Mido Himna Amiin
@hudhud2022
@hudhud2022 6 жыл бұрын
Mido Himna Amiin YAARABIY
@najma3268
@najma3268 6 жыл бұрын
Wanalaana hao wallah , cwatafute mali wenyewe
@aliissa6632
@aliissa6632 6 жыл бұрын
Mali ni mtihani kubwa ni kumshukuru mungu sio rais wala nani huyo rais anamuomba mungu kubwa ni kumshukuru mungu ndie muweza kila jambo
@bakarimwendaseko5616
@bakarimwendaseko5616 6 жыл бұрын
we mama mbona hunahuruma hivi hao watoto wako mbona wote unakaa nao huoni kama unawatesa hao wa mzazi mwenzio kwakuwanyima fursa ya kuishi mzazi wao nawao wakapata hekma na busala za baba yao wakwako2 ndio unaona wanahaki ya kuishi na baba tena wakambo halafu nauyo binti anaesema askari wa Zanzibar hawafai je na rais nae hafai
@bakarimwendaseko5616
@bakarimwendaseko5616 6 жыл бұрын
kwani we dada huna baba yako mzazi ukamchukua na ukamlea kwanini unazimisha kumlea baba ambae siwako kama hamna tamaa isije ikawa Mme mtelekeza baba yenu
@shifaa3327
@shifaa3327 6 жыл бұрын
Unoitwa ww hats mama yng asgaitwa ela mama pole sana huo ni mtihani kumrithi mtu hajafa na baba yng ndio hv hiv
@حميدهخلفان
@حميدهخلفان 6 жыл бұрын
askari wa zanzibar haawawezi kazi
@bakarikharidi497
@bakarikharidi497 5 жыл бұрын
Ao watoto haki yao wamchukue baba yao awawezi kumfanyia ubaya baba yao wanampenda sn awahitaji mali
@mohamedomarhasan5377
@mohamedomarhasan5377 6 жыл бұрын
Hii picha inakaribia kama King Majuto walikuwa wanaishi vizuri tu baada ya kufariki mama nje sijui vp mpaka leo hatari iliyopo hapa huyu mama kawajaza watoto wake na watoto wa mzee ni nje kisheria mama anavutia upande wake kwa ajili ya mali ili Wapate wao kwa sababu wametoka umaskini Hilo ndilo lengo Lao ilitokea kifo cha mzee mali itakwenda kwa watoto wa mzee pamoja na Yule wa kiume
@reemiiomar9386
@reemiiomar9386 6 жыл бұрын
Jamani hakuna atazikwa n Mali zote mtaziacha hapa hapa ngoje afe bc ndio murithi hz mali na mukimuuwa bc mujuwe n hzo Mali hamutaishi nazo zote zitapeperuka
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 6 жыл бұрын
Jamaniii mbona wanamtesa mama yao,hata kama hajawazaa huyo ni mama yao,alafu kwa nn wanamtesa mzee wao Khaaa,watoto wakolofi hao alafu wamemgeuzia maneno mama yao,alafu mchawi anamjua mchawi mwenzao
@alfredinafelix836
@alfredinafelix836 4 жыл бұрын
sasa kumbe hawa wa mama wakubwa hivi na wajukuu Ruksa kukaa na wazAzi ila baba wake waende kwa waume zao...
@josesizy1315
@josesizy1315 6 жыл бұрын
Msiangalie upande mmoja ty inavyoonekana huyi baba kaegemea kwa watoto wa huyo bibi aliyoko ndani. Nao wana hski ya baba yao pia. Si.laxima wanayoyasrma yawe kweli.
@sallykanze
@sallykanze 6 жыл бұрын
Jose Sizy kabisa na hapa si bure mzee aache damu yake na kwenda kulea damu ambayo haimhusu mmmh, huyu bb me namuona mrefu mno kwa mwanamume gani huyo amba atapewa majukumu kulea hata wajukuu wasiomhusu,, kama bibi Angezaa na huyu mzee mcha hapo kuna haki hata yakurithi ila kwa bahati mbaya hakuzaa nae ina mana bb hana chake hapo aishi nae hata miaka Mia ila hapati kitu labda atapata hapo anapolala tuu,, huyu mjukuu wa bimwanaidi yuongea ujinga tuu eti magufuli aangalie yani wamuona magufuli hana kazi au vipi ntsee ww mjukuu ujue bb yako hana haki ya kurithi kitu,,,,
@wanjikukaguara3900
@wanjikukaguara3900 4 жыл бұрын
Kweli
@alfredinafelix836
@alfredinafelix836 4 жыл бұрын
kule baba hataki wanawe waje anataka waende kwa waume wao...ila hawa wa bimkubwa mbona wapo home?na kulingana na mtoto wa bimkubwa inaonekana hadi na wajukuu wapo hapa...kwani hawa hawana makwao? na kuhusu hawa watoto wa bimkubwa kumjali baba ni mama yao kawatengenezea mazingira hadi mzee awaone wao nitakataka...mwamama sisi ni mabingwa wa kutengeneza mazingira kwa tuwapendao
@khamisahchao530
@khamisahchao530 6 жыл бұрын
Kuzaa ni majaaliwa wacheni bi Mwanaiddi akae na mume wake, huyo baba yenu mwamtia roho mbaya kwenu hata kama ni mali atampa huyo mkewe na radhi hamna sababu baba yenu ana uhuru wa kuamua akae wapi, mcheni Allah
@fatwimamakungu5456
@fatwimamakungu5456 6 жыл бұрын
Ao watoto wanalana tena wamuogope Allah maana ata wakipewa uwo urithi wata kufa na kwenda nazo izo mali za baba yao tena wakae wakijua baba yao alijituma ndio akazipata izo mali za baba yao tena watoto kama hao ndio wanauwaga wazazi wao kisa wapate mali wajitume watafute za kwao na wao
@mrishobhaya8965
@mrishobhaya8965 6 жыл бұрын
Fatwima Makungu wamefata tabia ya Mama yao hao washanzi
@ashuraatanas5967
@ashuraatanas5967 6 жыл бұрын
Mbona mnapendeza jamani pande zote mbili mnapendeza kaeni muelewane
@jokhanassor3507
@jokhanassor3507 6 жыл бұрын
hee roho mbaya zao mali ndio nn mali zipo pepon jaman heeee tobaaà🤔😢😢😢
@mihamboluku9403
@mihamboluku9403 6 жыл бұрын
apo wtt wmefny kosa walipoharb nyumb kwa kuvunja na kuwapga waliokuwepo ila namuomb mungu na mm asnipe mali ya kusababisha matatzo km haya ila anpe mali ya kusaidia maish yng t
@khairatmohd9051
@khairatmohd9051 6 жыл бұрын
mtihani hao watoto au mtihani
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 6 жыл бұрын
Awo watoto wangekuwa wanaishi dar police wangewanyoosha kwa kipigo maan kuvamia nyumba ya mtu Na kuvunja ata kam Ni baba yenu Sio sahii,sema police wa zanziber wanakunywa urojo asubui wanasinzia
@sheebqpsheebqp8314
@sheebqpsheebqp8314 6 жыл бұрын
Hawan akil hao wtt ni wajing sana wapat nn hapo mali kit gani wangap wamekuf wameach mali
@leylatsalumu3768
@leylatsalumu3768 6 жыл бұрын
قاسم يقعوب
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Hata mfanye nini, mnatakiwa kukumbuka kuwa watoto wake mzee mcha ndio warithi wa kwanza wa Mali za mzee huyo!!!!
@ashuraatanas5967
@ashuraatanas5967 6 жыл бұрын
Wewe mama kaeni mumuuguze huyo Mzee Kwa pamoja wewe ni Mke na wao ni watoto muna haki ya kushirikiana maana nahisi kuna ukweli na uwongo umejificha katika pande zote mbili
@gamershyper1016
@gamershyper1016 6 жыл бұрын
assalam alaykum
@fathiasalum9545
@fathiasalum9545 6 жыл бұрын
hao watoto wote Hawana radhi Mimi nahisi mutuliye mutizame mungu atavyo yapeleka
@shifaa3327
@shifaa3327 6 жыл бұрын
Sw na mama yng ndio hy hy mama pole sn mama
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Ikumbukwe kuwa watoto ndio warithi wa kwanza wa mali za wazazi wao!!!
@dasonsdachi3087
@dasonsdachi3087 6 жыл бұрын
Huyu analogwa kweli hawa watoto waende mahakamani wakagawane Mali yaishe huyu mama atakachowafanyia hawa
@sadaali3207
@sadaali3207 6 жыл бұрын
Huyu maama ako sooooo selfish. Yy ako ma watoto na wajukuu wake. All leaving in the same house!!! Mbona watoto wake hataki wa access babayao?
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 жыл бұрын
kuna kitu sijakifahamu hapa ila mpaka sasa naona kuna ukakasi usio wa nchi hii
@muniraathman1453
@muniraathman1453 5 жыл бұрын
Kwendeni zenu mwampenda nini? Kama hana kitu mungempenda ama mungekaa nae? Damu nzito watoto wake wana haki naupendo zaidi yenu nanilazma wawe na uchungu nae na mzee wao mke utapata mwengine mzee jee ?
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 6 жыл бұрын
Serikari imsaidie huyo mama kwanini ataseke hivyo jamani.
@zhmzzz9061
@zhmzzz9061 4 жыл бұрын
Sasa mbona nyie mmejijaza kwenye nyumba full hamna makwenu, nendeni mkahamie kwenu, mwacheni huyo Bibi akae na mumewe
WALIOMTEKA BABA YAO WAFUNGUKA (MZEE AONEKANA)
23:35
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 227 М.
Новости дня | 23 ноября - утренний выпуск
4:49
Euronews по-русски
Рет қаралды 61 М.
كم بصير عمركم عام ٢٠٢٥😍 #shorts #hasanandnour
00:27
hasan and nour shorts
Рет қаралды 6 МЛН
ТЫ В ДЕТСТВЕ КОГДА ВЫПАЛ ЗУБ😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 4,4 МЛН
Новости дня | 22 ноября - вечерний выпуск
11:48
Euronews по-русски
Рет қаралды 104 М.
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 67 М.
Perang Akhir Zaman Dah Hampir - Ustaz Auni
39:21
Meet My Malaysians
Рет қаралды 576 М.
The Story Book : Mizimu Ndani Ya Pango La Ngonga Zanzibar
30:04
Wasafi Media
Рет қаралды 240 М.
Rais mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume "afunguka"
8:23
MFARANSA AKUTWA HOI KALALA USWAHILINI ZANZIBAR
3:49
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 39 М.