Nzuri sana msiwe mnachelewesha adi tunasahau naipenda iii
@majidaballa2964 жыл бұрын
Ni nzuri sana jitahidini kila wiki ichukue muda mrefu
@maikombogolo40074 жыл бұрын
Waooooo nimeipenda iyoooooo tupia nyingine
@saidabdallah14394 жыл бұрын
Aisee napenda sana comedy zenu ila mnachelewa kutoa
@jacoblesinjo65264 жыл бұрын
Aisee mnatutesa sana tunawasubiri kwa hamu
@belindabelinda19184 жыл бұрын
I waited this for long.....dont keep as waiting for this long
@johnsonzakaria61764 жыл бұрын
Nzuri mno msicheleweshe sasa eps inayofata
@mzeeniwewe1364 жыл бұрын
Jamani nzuri Sana Ila fupi Tena mnakawia Sana 🏃
@khatibusendekwa66144 жыл бұрын
Nzuri kweli noma
@bonipet Жыл бұрын
I Love you
@japhetkambale17594 жыл бұрын
Daah mzungu anavotembea 😂😂😂 nihatarr, vitu vzr hadi nasahau jaman muwe mnaleta baada ya ck kadhaa au week moja tu cyo kwa miezi ety, zingatien hilo pia wakuu.
@jumaaramadhan97234 жыл бұрын
Tunawasubiria kwa ghamu inayofuata❤
@neliuskimuyu93924 жыл бұрын
Love it, please let next episode be soon
@mwitakayanda56644 жыл бұрын
:uuii
@hasfatialhaji90914 жыл бұрын
Jaman nzuli ila mnaichelewesh sana had tunasahau
@dativaminja22784 жыл бұрын
Jamani mtoe mwendelezo mapema napenda sana
@nancykenya40074 жыл бұрын
Nakoja sana
@abouumar33474 жыл бұрын
Hatari umetisha
@harunarashid64904 жыл бұрын
Mbona inachelewa sana
@marymarwa88172 жыл бұрын
I can't stop laughing 🤣 but kingereza iliwakujia na matawi
@marymarwa88172 жыл бұрын
My daughter ooh my water 🤣🤣
@hipolitykulaya41324 жыл бұрын
Dituun noma mwendelezo as jmn
@mussalumato9242 жыл бұрын
Jamani mnachelewa hivyo
@kandyray17524 жыл бұрын
Safiii naomb muendelez
@bashirimohamed70024 жыл бұрын
Ushaur wang hii itoe kila wiki..ukitoa kila mwez tunasahau na mood inakata afu story tamu
@mlasiamisi38104 жыл бұрын
Eee ndio hivyo
@petermashalay42804 жыл бұрын
Napenda kufuatilia story hii
@shikokiplangat89104 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪toa kila ijumaa AMA siku moja kwa wiki
@bahatimungundomteteziwetum43604 жыл бұрын
It is very interesting .
@bahatimungundomteteziwetum43604 жыл бұрын
Yes iwe kila week. Inabamba Sana.
@kidawaadam14824 жыл бұрын
Inapendeza sana ila tungefurahi kama ingetolewa kila wiki badala ya Mwezi
@mwajumamsangi93094 жыл бұрын
Mnachelewesha sana mbaka tunasahau iliishia wap
@dyderaryaan85114 жыл бұрын
Utammmhh msicheleweshe banaa👌👌👌👌💓💓💓💓
@mzeendakaya91794 жыл бұрын
Nice. 🤣 Ila mnakaa sana.
@shbanindossy93854 жыл бұрын
Nzuri lakini mnachelewesha kuleta EPs nyingine kwa hiyo fanyieni kazi hilo
@mwitathedon72704 жыл бұрын
Mnakawia sana mbaka hamu inaisha
@harunarashid64904 жыл бұрын
Jaman msicheleweshe
@mariamaisany28974 жыл бұрын
Mnaichelewesha saana
@ayubleo4 жыл бұрын
Umetisha broo
@mkwayamissana17454 жыл бұрын
Unachelewa sana jaman
@alexmsula10074 жыл бұрын
Tatizo mnachelesha sanaaa
@richardtaratio4 ай бұрын
Msuungu Ako na kiparua hapa
@eliasmyamba83934 жыл бұрын
Dah tatizo mna chelewa sana kutuletea mwendelezo wake jitahidini kuwaisha.namlivyo mafundi yani pale pale penye utamu mnaka hahaha
@bestnasomgeveke22444 жыл бұрын
Muwe mnatoa fasta muendelezo tunapata shida sana,is oky
@cutezyzaa14994 жыл бұрын
Msicheleweshe bhana
@aliathman19304 жыл бұрын
Bhanae
@MaryMary-ic8nt4 жыл бұрын
Hahaha noma sana 🥰🥰😍
@utaliiwandani92674 жыл бұрын
Oyaaaa mwendelezo lini ? Mbona mnakaaa sana
@kuguta4 жыл бұрын
Weekend hii
@pilingolanga38474 жыл бұрын
Yap nzur mno
@kareemathuman52192 жыл бұрын
Kichwa kubwa madenge nakubali sa Na
@siriyangu47244 жыл бұрын
Mambo ni 🔥
@martinekazungu8424 жыл бұрын
Muendelezo vip tena jaman
@kuguta4 жыл бұрын
Wikiend ijayo
@joahuafredy1804 жыл бұрын
Iko poa sana
@agnesmbone2923 жыл бұрын
Maajabu
@ahmedsalum12144 жыл бұрын
Bora baada ya siku tatu
@khamissaleh5304 жыл бұрын
Mwendelez dj ep
@luckjuma58764 жыл бұрын
Nzuri sana
@yusraomary31704 жыл бұрын
Jaman toeni nyingine msichelewe
@GamaRacing1234 жыл бұрын
mnachelewesha sana
@iankulecho71204 жыл бұрын
Following next episode please
@beatricemichael84214 жыл бұрын
Safi sana ila msichelewe
@nzeyimanajimmy17524 жыл бұрын
Tatizo mnachelewesha sana muendelezo
@TeacherAlly12304 жыл бұрын
Usichelewesheee basiiiiii
@yalsadsaeed4 жыл бұрын
Ubwege wak unftly pk yk c wenyew tunafatiilia sem tunasubiria Hatengnz wasil ety io
@AnitaSisila8 ай бұрын
Jaman uyu mandeg niatal
@emanueluroki61604 жыл бұрын
Kazi safi sana
@mbarukumchome1774 жыл бұрын
Dimoso na madenge
@youngjanjamasaitz87744 жыл бұрын
hahahhaa noma sana kama unapenda hizi katuni jinzi sinanavyo chekesha gonga like
@santaizarmhosole87654 жыл бұрын
Mnachelewasha
@maryamanalisi1974 жыл бұрын
Yani iko poa sana tatizo mnachelewa sana
@johnbboy73584 жыл бұрын
Muiwaishe mwendelezo wake
@hadharfaki35254 жыл бұрын
Umetusha ila munaganda sanaaa
@youngblocker50492 жыл бұрын
Haa!mganga wa facebook
@akramgamer48043 жыл бұрын
The next day
@rizickmwalongo42854 жыл бұрын
Madenge noma alo ingependeza baada yasiku 3 tutumieni basi da kipo good
@zuwaydasalum44684 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣madenge weeeee
@josephlyacho16874 жыл бұрын
Ipo poh sana
@zuwaydasalum44684 жыл бұрын
@@josephlyacho1687 yani weachatuu
@kelvinmbiduka47024 жыл бұрын
Naomba muongeze dakika analau hata 15/20
@kelvinmbiduka47024 жыл бұрын
Fanyeni baada ya Siku 3
@shugweryimanaeninisia52924 жыл бұрын
Mnatukawiza mnabowa
@othumanikiswagotv24114 жыл бұрын
Ni nzuri lakini mnachelewa kutuma ongeza muda pia
@vffhhvccd90874 жыл бұрын
Ila munatukawiza saaana kuweni munaharakisha
@GTuneTv4 жыл бұрын
I like your creativity, try to use a faster computer so that you can finish animating faster if you haven't. Thanks
@usajilikwanza20174 жыл бұрын
Wahisheni mwenderezo
@estaziajuliasjulias83734 жыл бұрын
Leteni sasa
@dadyshunaydah94214 жыл бұрын
Good Idea!!!..,✍
@sakinatheodos70684 жыл бұрын
Nzuri sana
@sakinatheodos70684 жыл бұрын
Nzuri sana
@fatumakhatibu30413 жыл бұрын
Kipigo cha mwba koko 😆😆😆
@dianaphilipo6664 жыл бұрын
Mbona mnachelewa kutoa nyingine
@stephanolumato4 жыл бұрын
Iko vizuri sana ila punguzeni mda mnachelewa sawa kuweka tena mwendelezo
@fadraj68994 жыл бұрын
Tuna ipenda sanaa ila tatz unachelewa sana jitaid kutumaa kwa wiki mala mbili
@ommyjaphet23852 жыл бұрын
Madenge noma
@ommiy_classic4 жыл бұрын
Sema munachelewesha san
@patriciamwendwa32314 жыл бұрын
amazing show
@hellyfridy4 жыл бұрын
Fanya kila wiki
@jenihpamsengi67934 жыл бұрын
Nzuli sana
@aboumsouth4674 жыл бұрын
Fanya kila siku
@monicahmucheke48502 жыл бұрын
Daa
@witnessmyaka36444 жыл бұрын
Nzr san
@danielmawazo73144 жыл бұрын
kweli imekaa poa
@cheumwamba84434 жыл бұрын
Mbona mbaya
@princetilas474 жыл бұрын
Ukiitoa kila siku itapendeza sana mana ivi 2naisahau ila nzuri
@vumiliabuja35934 жыл бұрын
Nimeisubili hii
@augustinemwalongo25804 жыл бұрын
Swahiba achia crip chsp bas unalala sana
@baimarrajahbuayan62374 жыл бұрын
Nzur
@Denic9354 жыл бұрын
Kam unaikubalii diituni konga like👍👍kwa mambo wanacho 2tuletea
@lirrybou96954 жыл бұрын
Tunawasubiriya kwahamu episode inayo fwatiya.
@chiefmahucha68474 жыл бұрын
Usiseme " Tunawasubiriya bali sema "Tunawasubiria." Lakini pia sio "kwahamu" bali ulipaswa kutenganisha maneno hayo Kwani yapo mawili ila wewe umelifanya kuwa moja, Sahihi ni " kwa hamu" Na mwisho ni neno "inayo fwatiya" hapa kuna makosa mawili; Kwanza kosa la kiuandishi kwa kutenganisha Neno moja na kuyafanya kuwa mawili, Pili ni kosa la kisarufi Hivo ulipaswa kusema " inayofuatia". Na sio " inayo fwatiya".. Jamni tujitahidi kuienzi lugha yetu adhimu ya Kiswahili... Sasa inaenda kuwa lugha ya kimataifa, Ni aibu kwa wenye lugha kutoijua lugha yao..!
@Peter-hb5cn4 жыл бұрын
Hamornize
@joyceqamisha44544 жыл бұрын
Patam
@gabrielngoda61974 жыл бұрын
chief mahucha 😅😅😅😅
@patricktegea14304 жыл бұрын
😂😂😂😂nihatareee xafi xana tuna surbiritu Raha mtupe