TUNAKARIBIA KUMALIZA MOVIE YETU,TOA MAONI YAKO MOVIE MPYA TUIITE JINA GANI? NASOMA COMMENT
@ellahmaketa69263 ай бұрын
Tatizo hatujui aina ya movie mtakayoicheza
@irankundabelyse-ej5vi3 ай бұрын
Baba karobo tunatan iitwe maman kipofu Sasa kipofu akuake maman karobo nayey yamukute😂😂
@irankundabelyse-ej5vi3 ай бұрын
Tunataka film yamama mukwe na mukamwana wake gisi wanapashw kuishiwot wakipendan nakueshimiana asanteni
@RoseMarrann3 ай бұрын
Aaaiiih itaisha ajy Na bdo ujaona n ujue ukweli
@Khatib-xp6fp3 ай бұрын
Movi nzuri sana
@EstherMutisya-rf4qq2 ай бұрын
Wewe chiko,,hivi unàjitambua kuwa wewe ni mtumish wa mungu???sauti yako iko na nguvu za kiuchungaji mungu akuzidishie
@TrizahMalesi3 ай бұрын
Ndio kufika toka Kenya 🇰🇪 wapi likes za wakenya wangu pamoja na likes za mchungaji.
@ShantelNajji-uj6kf2 ай бұрын
❤
@jeremiahngao48462 ай бұрын
Katibu 😂😂kariba nikuite mkisii
@metrinenyakoe17642 ай бұрын
Mchungaji chiko 😊😊
@ApotreDavidsamwuel2 ай бұрын
❤@@ShantelNajji-uj6kf
@sankalekayioni2 ай бұрын
Tupo huku
@jaycburundi2573 ай бұрын
yes I m the first kutoka Burundi nipeni like zangu msinibanie ❤❤ Nani anaona nguvu za Mora kama Mimi???
@AlinaNizigama2 ай бұрын
Mimi hapa siku zote mungu nimungu
@Kirezijosiane-zl4wr2 ай бұрын
Kabx mungu anaweza 🎉🎉❤burundi 🇧🇮 tujuwane
@foryou92313 ай бұрын
Napenda sana mchungaji kwa jinsi anavyo onyesha mungu ananguvu kias gani.. na pia inatupa mafunzo tusiwe watu wa kutegemea nguvu za kishetani❤❤❤❤❤
@JaneMhango-yl7xo3 ай бұрын
Mungu wangu pastor chiko ww ni chungaji ambeye umetumwa na mungu kusaidia watu hapa duniani ilove your job from 🇿🇲🙏
@Gladys-2542 ай бұрын
Ywaigiza ila kipaji Cha uchungaji kipo❤
@olicej78372 ай бұрын
Usikute kuna siku akaigiza kama mchawi 😂😂😂😂
@delvinmoraa86883 ай бұрын
Wale tunamini maombi ndio silaha ya pekee tujuane kwa like🎉🎉
@riziki84062 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@delvinmoraa86882 ай бұрын
@@riziki8406😘😘😘😘
@MwaminiAndason2 ай бұрын
@@riziki8406 Mama kalobo feki hata kama nikuigiza apana punguza roho mbaya
@EditaMalaki2 ай бұрын
Yesu ndo kila kitu
@jamilaaljabry83252 ай бұрын
Iitwe tamaa ya pesa.
@SyombuaMuvengei3 ай бұрын
Wakwanza leo jamani kifumbi na jasho kwa baba karombo like zenu from Kenya 🇰🇪 guys ❤❤❤❤❤❤❤
@christellairadukunda39612 ай бұрын
Baba ka nini? na hapo ukiteleza tu kidogo kwa hiyo mbo na ro utapata jina moja la ajabu saaana
@davidnjenga99722 ай бұрын
Watching from kenya
@SyombuaMuvengei2 ай бұрын
@@davidnjenga9972nice nice 👌
@neemamfusi44462 ай бұрын
🎉
@rehemambingi71802 ай бұрын
Toka nimeanza kufuatilia hii move sijawahi pewa hata like 1 from,,,🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Lucywanjirukagonye3 ай бұрын
Wakwanza kutoka Riyadh Saudi Arabia teem strong wapi like za watumishi wa mungu kwa kazi nzuri wanaoifanya🙏🙏🙏❤❤🎉🥳
@EmilyOrome3 ай бұрын
🙏🙏🙏
@MWANAISHAMTENGO2 ай бұрын
Assalamualaikum
@hellenkhabwanditsa69832 ай бұрын
Jeddah locked in maombi muhimu🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@AishaMurugi-g1j2 ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉
@Ashwag_arabian_rose2 ай бұрын
Baba yangu kipofu nimeipenda sana ilaa siku nyengine wekeni ma sheikh badala wachungaji🥰...
@AbaidiiniNgweti3 ай бұрын
Aya like 50 kwa baba karobo na mkewe kanusu 😂😂 Mungu mbariki Kila mtu anaesoma sms hii Leo na kesho mbinguni tuseme Amen 🙏🙏🙏
@GloryEmmanuel-q4f3 ай бұрын
Amen 🙏
@ukhtyrehemaabdy28302 ай бұрын
Wahisha zujat akasikie saut ya karobo wamsaidie jaman
@BintalyB2 ай бұрын
Amiin🙏
@AdhisJulia2 ай бұрын
Amen nawe pia ubarikiwe
@emmahosoro87642 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@niyogushimadorine60863 ай бұрын
21min nimesha fika❤❤❤❤ ninawapenda sana kwakutoka 🇧🇮 team Baba Joan juu sanaaaaa🎉
@Kingboollerog-y4t3 ай бұрын
BABA JOAN ANATUBURUDISHA KAMA UNANITAJI BABA JOANI AONE LIKE TUJUWE
@MariamSamwel-nz8vu2 ай бұрын
Like na comment yang plz
@yusrahanasmoha44073 ай бұрын
Tangu nianze kufatilia hii movie sijawahi pata like hata moja 😢
@johnmarcel3253 ай бұрын
Nikupe mimi
@muhamedjaffar56532 ай бұрын
Toa nomber acha like
@ErvinMaridofu-f1l2 ай бұрын
Una tokiya wapi
@saadanassor38822 ай бұрын
Nakupa mm
@bakariramazani85752 ай бұрын
Usiraramike sana
@RehemaNyevu-kk1ms3 ай бұрын
From Kenya naombeni likes hta kidgo toka nianze kufatilia hii move sijawah pata likes
@mohamedwako24253 ай бұрын
Kwani unauza likes😂😂😂
@RehemaNyevu-kk1ms2 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅@@mohamedwako2425
@CosmaMbawala-if8zk3 ай бұрын
Pasta chiko hongera sana Sana unajua kuitendea kazi nafac yako mwenyezi mungu azid kukuongezeeni kipawa zaid mfike mbali ya hapo nawatenda mnooo
@BrendaKenzie3 ай бұрын
Kazi safi sana wachungaji wa mungu wow congratulations wapi like ya wachungaji❤❤❤🎉🎉🎉
@MosesMimbi3 ай бұрын
Sijawahi comment lakini Leo acha niseme kwamba mungu ni mkuu ukimwamini atakukinga na maadui zako
@Marry-u8m3 ай бұрын
Jamani tumpe pastor wemtu mauwa yake team baba karombo❤❤❤🎉🎉🎉🎉🇰🇪🙏🙏👏👏
@sadcome3213mapenzi3 ай бұрын
Wakwanza kutoka Kenya 🇰🇪 like hapa tukisonga
@AseleRamazani3 ай бұрын
Movie nikali mtowenyengine nzuri zaidi yaiyi ongera kwa baba kalobo ❤❤❤ from Malawi
@Agapehope123 ай бұрын
Some one from burundi I am with you 5/5 for this movie baba yangu kipofu and I want your likes for me
@lucasmussa2703 ай бұрын
Tumeipenda sana, baba Joan unajua sana, MUNGU wa mbingun akubariki sana
@Marlenapilikitsao-gk9je3 ай бұрын
Habari mchungaji chiko Mambo yako yako juu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JohanithaAsimwe-tl3ox3 ай бұрын
Yann nimeisubir San final jamani baba karobo nakupenda saan pia movie zako nizur San ❤❤❤❤
@CarolyneLiona3 ай бұрын
No 83 like kwangu ulululu shetani ameshindwa kwa jina la yesu
@safinamdingi79122 ай бұрын
Amen 🙏
@BothainaBothaina-k6c2 ай бұрын
Showing much love from Kenya congratulations 👏 Baba karobo 🎉🎉❤
@Masterngei3 ай бұрын
Since I start watching videos I had never get a like surely 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😢😢😢😢
@adrianwere89602 ай бұрын
ndo hyo yangu nimekupa
@MonnaclassicFashion3 ай бұрын
Ila Chiko kaziunayo ukitoka hapo lazma ujikande koromeo😂😂😂😂😂cini iliopewa ngumu kiukweli ubarikiwe ila unaweza ikiisha movies fungua kanisa utakuwa umewiva 😂😂😂😂
@JudithSimiyu-ps7ee2 ай бұрын
😅😅😅😅niuwe
@MaryPendo-gy4yr2 ай бұрын
Naisha😂
@JoyJack-x5x2 ай бұрын
😂😂😂mm na ww tukawe waumini wake 😂
@MonnaclassicFashion2 ай бұрын
@@JoyJack-x5x kwakweli 🤣🤣🤣🤣🤣 yaani ameweza bilaunafki mauwa yake🌷🌹🥀🌺🌸💮🏵️🌹
@MonnaclassicFashion2 ай бұрын
@@JudithSimiyu-ps7ee 🤣🤣🤣
@RoselineMiruka3 ай бұрын
Wa kwanza nipeww like Ata kumi bas
@OmarYussuf-k5l2 ай бұрын
Wakwanza gutoka sazafrica
@BessyMukami-n7k2 ай бұрын
Kazi nzuri xna pastor chiko ww dio kiboko yaoo much Love from Kenya 🎉🎉🎉
@cheiruth3 ай бұрын
Wakwanza Leo jameni nipeeni like zangu wapenzi🥰
@SyamaaKyalo3 ай бұрын
Mama karobo ajuwe fita za mungu si kama za mchawi😂!!!
@mmBrian-rw4jh3 ай бұрын
Tangu nianze kuangalia baba karobo kutoka episode 1-43 siwahi kupata like
@pablonsanzumuhire20242 ай бұрын
Pia mimi.lakini na penda teams yote!
@BintalyB2 ай бұрын
😂😂😂pia mm guys kumbe 2ko wengi lkn wanafanya vzri wapewe maua yao🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@MercylineMutheu-l5t3 ай бұрын
Siku Saba za maombi azijaisha jameni😊
@AthumanSaidati2 ай бұрын
Hapo sasa😂nilishaitafuta hii comment mda nyie😂😂
@qurthummrabdllh36352 ай бұрын
Wanaboa san hawa😂😂
@Delphinedelly-mg6ex3 ай бұрын
mchungaji chiko kazi nzuri sana kamwe shetani hawezi shindana na watumishi wa mungu
@ReneNzeyimana3 ай бұрын
Like kutoka Burundi 🇧🇮
@MasauShida2 ай бұрын
Kazi nzuri sana Baba Joan🇹🇿👊
@franktodory3 ай бұрын
kumekucha tena na chiko kaamka piah 😂😂😂😂
@mariaowenya83783 ай бұрын
Chikoooo kama sio wewe unaeita Mr wetu kipochi manyoya
@RukiaManga-z1t3 ай бұрын
Wa kwanza leo❤😊 series niipendayo
@arikibok47352 ай бұрын
Courage Nawapenda ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SaumuJumwa-u4v3 ай бұрын
Nimewahi kutoka Kenya Bwana Yesu asifiwe yoyote atalike comment hii mungu ampe maisha marefu 🙏🙏🙏🙏
@Gsh-ov2ut3 ай бұрын
Weee sijachelewa jamani baba karobo god bless you nakupenda Sana from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦Weweee noma sana
@GaudenciaMadirisha3 ай бұрын
Huyo mwenye mzuzu Alisha wahi kuwa mchungaji nini anaweza Tena anaweza sana❤❤❤
@SimaoCrisantos2 ай бұрын
Nakufuatilia toka Mozambique, kazinzuri sana bb Joan.zidi kutupa Raha na mungu akujalie. Amen
@CatherineChege-w5x3 ай бұрын
Wenye munasubiri mama karobo na fashoni waumbuke mko wapi
@martinkioko64372 ай бұрын
Bado tunazidi kufuatilia movie hii ya baba karobo mpaka mwisho hila cograts 👏👏👏 kwa baba karobo siku hizi mnajaribu kuarakisha kutuletea episode kwa haraka❤❤
@karembo70823 ай бұрын
Kila mwenye roho baya hapa duniani apate kipigo kama cha mma karbo na fasheni kwa jina la yesu🙏🙏
@irankundabelyse-ej5vi3 ай бұрын
Kabisa
@NeemajacobMilanzi2 ай бұрын
aminaaaaa
@salehHassan-rl8bd2 ай бұрын
Amen Amen amen
@NadzuaMrema2 ай бұрын
Amen 🙏
@SaviBoyi-u6c2 ай бұрын
Rasi boy from Kenya 🇰🇪 naomba likes jamani
@benmuthoka18332 ай бұрын
Jameni si mnipee uyu zuu😂😂😂
@RoselineMulwa-qg4bn3 ай бұрын
Wakwanza tokea Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪like zangu
@zainzain11632 ай бұрын
Wee mvi nzuri kabisaa keep it up guys ❤❤❤❤❤😂
@philohmutua29682 ай бұрын
Movie kibinafusi ninataka tu baba yangu kibofu iendelee ilinijuwe. Baba kalobo akibona. Atamuoa zujati ,,alafu akioa zuu kibikitafata ,,,, alafu nukuti na mimba ya muganga watafikaje❤❤❤❤❤
@RahmaNyamvula-h5g2 ай бұрын
Labda nukt aende Kwa mchingaji
@miriamnyaitondi88043 ай бұрын
Nipeni likes 🎉 from Kenya ❤
@SaumuJumwa-u4v3 ай бұрын
Fashen amegongwa na ukuta 🤣🤣🤣 ama kweli siku zote mungu hajawahi kushindwa na jambo lolote tueke imani thabithi 🙏🙏team Baba Karobo team Chiko hoyeeeee💪💪💪wapeni like zao na maua kma wakumbaliana na mm🎉🎉🎉🎉🎉
@ميريم-ط1س2 ай бұрын
Akiwa na mama karobo ndani yake 😂😂
@DivineIngabire-lj3sr2 ай бұрын
@@ميريم-ط1س😂😂😂😂
@KKK-v6j2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@MarySengo-i4c2 ай бұрын
Fasheni anakaribia kufa ule ukuta ni hatari sijui huko alikoangukia 😊😊😂😂
@devotaLain2 ай бұрын
Kwa kweliii🙏🙏
@ChingaMchinga2 ай бұрын
Baba joan mungu akubarik kw kutuelimisha
@MrUhakikaTz3 ай бұрын
Leo nimekuw wa kwanza jmn wapi like zangu 😢❤
@ZaituniMbonyimana-e2e2 ай бұрын
M'y favorite serie🎉🎉🎉
@GEOFREYMBAKA3 ай бұрын
Wap like ya zu jameni..........huyo mtoi unichanganya 😂😂😂😂
@NaomiAkoyo-w4x2 ай бұрын
One thing I like about you baba joan wewe ni mwokovu sana mungu akuzidishie na akupe hitaji la nyoyo zetu maanake wakristo twapigwa vita sana but mungu yupo nasi siku zote na atabaki kuwa mungu
@Bentrixx_3 ай бұрын
Likes kama unamsapoti baba joan💯💯💯💯🙏🏾🙏🏾♥️
@johnkyalo4798Ай бұрын
Mungu hawezi kushindwa na Jambo hara moja.Haya yote ni majaribu ya ibilisi.Ilihali Hana mamlaka hara kidongo.Ameshidwa na ataishi kuwa ameshidwa.Tumtumaini mungu sie.❤❤❤❤.
@GodwinMalala3 ай бұрын
Showing much Love from Nairobi Kenya❤❤❤ Love this show very much
@TanganyikaTanganyika-d6c3 ай бұрын
Hongerani sana na kazi zuri ❤❤❤❤
@HMm-b8j3 ай бұрын
Mko pn A sana movie mpya iite mbinguni kwa babb😂😂😂🎉🎉🎉
@MagotiJoseph-fg2ld3 ай бұрын
Amina watumishi wa bwana mbarikiwa sana nawapenda wote jamani kutoka musoma mara
@GraceDavd3 ай бұрын
Kongole kwa tamthilia yenu..inapendeza
@JULIETHGORWA2 ай бұрын
Kazi nzuri sana baba karobo Mungu aendelee kiwatia nguvu ,naamini kwa maombi tutashinda hii vita
@YazidoChilaosaide3 ай бұрын
Muvi ijayo ningepend iitwe maumivu 🇲🇿
@Pisca-hj8zb2 ай бұрын
Mulisha aza kawiza mmmh 🎉🎉🎉❤❤❤
@djothaniel254.2 ай бұрын
I'm late today but better late than never.... Mwenyezi Mungu ndie muumba mbingu na aridhi na vyote viliomo....kama tegemezi letu sote ni mwenyezi Mungu nipe like yako❤
@ignitiussilungwe79302 ай бұрын
Pole sana Baba Karobo unapitia mateso magumu Mungu akusaidie Karobo awezeku rudishwa katikahali yakeyakawaida
@tumwesigearexandere5963 ай бұрын
Mpak nadimase kwer nakubar san bab jowan❤❤
@NepanepaSafiana2 ай бұрын
Wanaopenda mama korobo pamoja na fashion washindwe mpango wao goga like hapa wa kwanza kutoka congo
@violetwandela44053 ай бұрын
Wa kwanza kutoka Kenya naomba likes jamani
@MasauShida2 ай бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri, Mwenyezi Mungu awazidishie Ubunifu Mzidi kufanya kazi nzuri zaidi na azidi kuwaweka Pamoja Msije mukaingiwa na Tamaa Kundi likasambalatika🇹🇿🙏
@modex_03763 ай бұрын
YOYOTE AKISOMA HII SMS NA KULIKE NA KUSEMA AMEEN ALLAH ATUJALIE SOTE NDIO WAJA WAKE WA KUINGIA PEPONII AMUHIFADHII NA WATU WABAYA AMJALIE KAZI MZURI
@qwerqasd85973 ай бұрын
Allahuma aamin jamia
@HajraIddy2 ай бұрын
Allahumma amin
@BeatriceCharles-f8t2 ай бұрын
Hello @@HajraIddy
@BintalyB2 ай бұрын
Amiin yarabb 🙏🙏
@BintiAboubakari2 ай бұрын
Aamiin thum Aamiin
@LilianKilonzo-b3sАй бұрын
Mama yangu kipofu atlist nione Roy akiwa kipofu nafuatilia movie zenu nikiwa Kenya 🇰🇪🇰🇪 ebu mnipe likes za kenya napenda sana movie za baba Joan ❤❤❤❤
@GladysKalu-r6t3 ай бұрын
Kila siku mimi ndio nachelewa nipeni hata fear na za mr berry basi🙆😂😂
@Kingmasai-p9t2 ай бұрын
Uipe jina la kaka yangu mlemavu 🎉🎉🎉🎉🎉
@yasinmohamedahmed56513 ай бұрын
Movi tamu kweli lakini ni fupi sana dakika naomba mfanye at least iwe mrefu kiac from somalia❤❤
@fanishangima10342 ай бұрын
Mungu wangu pastor chiko wewe ni chongaji ambeye umetumwa na mungu kusaidia watu wake duniani l love your job from saudia aribia God bless you
@fredrickowino33 ай бұрын
Huku watu hamuchelewi?much-loved series bado ni wakenya ndo tunaongoza kufualilia hi movie ❤❤
@QueenCheilla-f3r3 ай бұрын
Daah nilikua naisubir sana😍😍😍
@josephinejulius95993 ай бұрын
Nanini wakwanza leo nipe I like zangu🎉
@HuguetteMakabo-p4n2 ай бұрын
Baba karobo kazi yako haina hata kosa moja movie yako nimuzuri sana❤❤❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@EmmanuelprodHazardBeatsaun-e5x3 ай бұрын
Je vous suit dépuis le Congo 🇨🇩 Kinshasa
@mussaleonard87092 ай бұрын
Uko vizuri sana baba karobo na unajua kuwaisha vipand mung akubariki na tuko tyr kuipokea Hy mv mpya big up saan🎉🎉🎉🎉🎉😂😅😮❤❤❤❤❤
@PaulPius-r2h2 ай бұрын
Tupeee kidogo ndo Jina litapatikana mana hatuwez toa Jina wakt hatujuiiii ww mtunziiii una mawqzo ganii like kwa baba karoboo naombaa like zanguuuuu
@MrEdu47-yj2vs2 ай бұрын
Love from Kenya 🇰🇪 😍 ❤️ ♥️ ❤
@GloryEmmanuel-q4f3 ай бұрын
Jina la Bwana lihimidiwe🙏🙏
@MariamJaberi-g5y3 ай бұрын
Kaz nzuri San bab Joan tunasubir mpy
@kingchiefking92653 ай бұрын
Liké zangu kutok🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@GraceJoseph-u2q2 ай бұрын
Hongereni Sana mnatubuludisha mashabiki zenu Nina wapenda wote mungu awalinde awatunze mzidi kutuletea move nzuri mnajua sana
@John_B_Best3 ай бұрын
Ongera Ila mu na chelewesha. Nawafata toka Congo bukavu bagira mulambula avenue pharmakina
@cintiakerubo43482 ай бұрын
Team baba karobo❤ like hapa.hakuna nguvu yoyote itaweza kushida neno la mungu.amani muhimu
@AlfredinaYohana3 ай бұрын
Wakwanza jaman
@HalimaAli-e4w2 ай бұрын
Sikuzote mungu ndo kila kitu hawez kishidwa naam baba karob atapona n atampata mwanae karobo wangapi wanaungan n mm tujuwane hapa❤❤❤🎉🎉🎉