BABA YANGU KIPOFU Full episode /51/

  Рет қаралды 532,201

BabaJoan

BabaJoan

Күн бұрын

Пікірлер: 713
@UmmuAbdullah-h7m
@UmmuAbdullah-h7m 2 ай бұрын
Mnao mwamini Mungu ndo Kila kitu na ndio muwez wa yote gonga ❤like hapa
@dhahabudeche926
@dhahabudeche926 2 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉
@LeyianSteven
@LeyianSteven 2 ай бұрын
From Kenya 🇰🇪 we say baba Joan to the world 🌎 Nipeni likes🎉
@WinifridaLyanzle
@WinifridaLyanzle 2 ай бұрын
wahoo wahoo baba joani ndomana napendg mvi zako umeonesha jinsi gani watu waliokosea wanajutia makosa yao napia unanifundisha tamaaa sio nzuli asante sana kwa kutuelimisha
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 2 ай бұрын
Mashallah 🌹🌹 zuuu na baba karobo hila cend na roy mafia hil cend na roy wote ni wajane kwa tabia zao mabay wote kwaiyo roy unataka umuganishe na baba karobo wetu mtashindwa wote maan baba karobo ana nguvu za mungu
@AbdulrazaqueNfaumeAli-s4u
@AbdulrazaqueNfaumeAli-s4u 2 ай бұрын
Kama we kweli shabiki pandisha uu mzigo apa na like ya mchungaji 🎉🎉🎉 from mozambiqui 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@jaycburundi257
@jaycburundi257 2 ай бұрын
Nopti acha loho mbaya Kalobo anaweza kabisa mumpe likes zake kalobo na tu❤
@polly-h8z
@polly-h8z 2 ай бұрын
Jamani Leo nmewahi much love love 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@BothainaBothaina-k6c
@BothainaBothaina-k6c 2 ай бұрын
Hii movie ikiisha nitaangalia ipi maana nimesoea hatari na imenifunza vitu vingi sana ila baba karobo ukizusha muzigo mwigine uzushe kama huu tu🎉🎉❤
@mwasitigervas2624
@mwasitigervas2624 2 ай бұрын
Chado Mastar itakufaa
@AmenaMm-r5t
@AmenaMm-r5t 2 ай бұрын
Ooo nimefik tujuan ap kwawal tunao tumia wf za warab mikon juu 🎉🎉🎉🎉 honger baba karob na tim yak nawapend san
@RejinaMfaume
@RejinaMfaume 2 ай бұрын
MUNGU awatie nguvu mpate kutunga maigizo mengine mazuri n'a yenye kufunza jamii
@zuluRaphaelItangishaka
@zuluRaphaelItangishaka 2 ай бұрын
Big up sana team nzima yababa karobo!love from burundi❤❤❤❤
@MilikaGatwiri
@MilikaGatwiri 2 ай бұрын
Yani Nina furaha kwa maisha baba karobo na Familia yake wanaishi kwa furaha ❤❤❤❤kwenu watu wangu nawakubali kabisa
@MaimunaLugua-tf7vh
@MaimunaLugua-tf7vh 2 ай бұрын
Congratulations dad karobo ila karobo nae nawapenda nyote from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Alexmwashihala-gj7ze
@Alexmwashihala-gj7ze 2 ай бұрын
Ongeza. Kujituma. Hapo kaka. Baba karobo. Kaz yako. UKo vzr Sana. 🤛🤛🤛🤛🤛🤛
@amrisaleh8804
@amrisaleh8804 2 ай бұрын
Baba karobo ongezajuhudi kwenye kazi Yako uko vzr sana
@GrandePiquiGrande
@GrandePiquiGrande 2 ай бұрын
Hiiii movie nimetokea kuipenda mno kwamajina naitwa Grande PiQui kutoka Moçambique wilaia ya nangade asanteni
@MtumbaMayonjo-gi3ji
@MtumbaMayonjo-gi3ji 2 ай бұрын
Oooh wakukaja
@DomitienNdikuryayo
@DomitienNdikuryayo 2 ай бұрын
Waaaiooo nafurahasana kumuonababakarobo tajili
@SaumuJumwa-u4v
@SaumuJumwa-u4v 2 ай бұрын
Nimewahi kutoka 🇰🇪 bwana Yesu asifiwe yoyote atakaye soma comment hii Mungu ampe maisha marefu
@Herbertonex
@Herbertonex 2 ай бұрын
God bless KAZI Yako babakarobo na team Yako jamani Leo npee like ata moja plz🎉🎉🎉 MUCH love from Uganda 🇺🇬
@DennisBoiyo
@DennisBoiyo 2 ай бұрын
Hii movie ni kali kweli wakuu
@Mygirl_1032
@Mygirl_1032 2 ай бұрын
Mungu ndiyo kila kitu kwenye Maisha yetu hongereni sana kwa kazi nzuri 👏👏👏
@batuli-n8e
@batuli-n8e 2 ай бұрын
umoja n nguvu utengano n udhahifu Wana busat to baba Yangu kipofu hongeren🎉🎉🎉
@vallesndayishimiye2396
@vallesndayishimiye2396 2 ай бұрын
Big up kwako Baba Karobo ❤❤❤❤ 🇧🇮 tunakupenda sana Kwa maana unaweza hta Kuongea kilugha chetu
@LovelyMoNique-v4o
@LovelyMoNique-v4o 2 ай бұрын
Baba karobo❤❤❤
@Dorobwari
@Dorobwari 2 ай бұрын
Wa kwanza Leo jamani kutoka Kenya msininyime likes
@ArsenSilayo-r4o
@ArsenSilayo-r4o 2 ай бұрын
Kuwahi Nako Raha jmn like za kumpongeza baba karobo ziko wap
@marywafula2858
@marywafula2858 2 ай бұрын
Huyu mganga wa nguo nyekundu katokea wapi tena ..ama kwa sababu nukuti ameinua chuki tena ...heeee 🇰🇪🇰🇪❤️❤️
@CynthiaNizigiyimana-w9h
@CynthiaNizigiyimana-w9h 2 ай бұрын
Inaezekana
@JOHNNDUNGU-zf5pl
@JOHNNDUNGU-zf5pl 2 ай бұрын
Jamani tulioshtuka kumwona candy katika sinema ya Babangu kipofu tujuane kwa kugonga like....
@jacklineteresia2629
@jacklineteresia2629 2 ай бұрын
Pia mm namestuka Sana kuona candy alafu analusha Kofi kibao wee😂😂😂😂😂
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 ай бұрын
Mi nmecheka,mama wa sarakasi huyo
@ZaliaMhando
@ZaliaMhando 2 ай бұрын
Ata mm
@ZaliaMhando
@ZaliaMhando 2 ай бұрын
Ata mm nimeshituka
@ZulfaMatimbwa
@ZulfaMatimbwa 2 ай бұрын
i
@SyombuaMuvengei
@SyombuaMuvengei 2 ай бұрын
Jamani nimewai leo nipeni like nami leo tokea kenya 🇰🇪 🎉🎉🎉🎉🎉
@YunucKhalid
@YunucKhalid 2 ай бұрын
Jamani uyo candy ndio tabia zke halisi au naona sio mpole 😅😅😅😅
@MoneyKey247-fk4oy
@MoneyKey247-fk4oy 2 ай бұрын
Mimi wakwanzaaa Kutokea iringa Tanzania weka like 🎉🎉🎉🎉 hapa😂😂😂😂
@PhiliceNerima-fy7dw
@PhiliceNerima-fy7dw 2 ай бұрын
Waliofuria sana baba karobo kwa sahi ako sawa ni gapi
@MaryamRobert-vr1wm
@MaryamRobert-vr1wm 2 ай бұрын
Waooo 😂karobo na simu
@kondebouy1308
@kondebouy1308 2 ай бұрын
Happy to see baba Joan you are keeping on shining
@MasauShida
@MasauShida 2 ай бұрын
Kazi nzuri Baba Joan🇹🇿
@PatrickCubakamasirika
@PatrickCubakamasirika 2 ай бұрын
Baba Joan ni mukali kama wa kongo🇨🇩🇨🇩
@AdenAdrion
@AdenAdrion 2 ай бұрын
Ahaaaaaaaaa sanaaaa nakukubali
@philohmutua2968
@philohmutua2968 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉 mauwa ya familia ya baba kalobo
@FunnyBanjo-xm8cz
@FunnyBanjo-xm8cz 2 ай бұрын
Nukti aca wivu mwenzak kapamban Ila unamskilia wivu zuuu nakupenda wezid kuish nababakarob umtunze nakarobo achan nawat warohombaya
@AbuubakarHamadRubea
@AbuubakarHamadRubea 2 ай бұрын
Naombeni like, leo ndugu zangu munaofatilia team Baba Joan
@pablonsanzumuhire2024
@pablonsanzumuhire2024 2 ай бұрын
Watu wangu vipi hapo Bongoni,Am great for Mozambique 🇲🇿
@mwitapeternyagokonga948
@mwitapeternyagokonga948 2 ай бұрын
Mnipee zangu,,,,wakenya tuanguke nayo😂😂
@AnnahCarlos
@AnnahCarlos 2 ай бұрын
hii movie naipenda san na hata ikiisha nitaikumbuka san
@resha-AS
@resha-AS 2 ай бұрын
Wakwanza kabisa leo wow😊❤
@NduwayoLevis-k8b
@NduwayoLevis-k8b 2 ай бұрын
Baba kalobo uliombewa ukapona baada yakupona uliacha kusali.nakuonea huluma🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@IrenShirima-xl3yt
@IrenShirima-xl3yt 2 ай бұрын
Ajaach anaabudu kanis la mchungaj aliyempony
@olicej7837
@olicej7837 2 ай бұрын
Anasali Kwenye ilo kanisa la huyo mchungaji aliyemuombea​@@IrenShirima-xl3yt
@LilianNyaboke-gt1vd
@LilianNyaboke-gt1vd 2 ай бұрын
Candy amewasili wadau
@SophieMogiti
@SophieMogiti 2 ай бұрын
Wahu, nimefurahi kumwona Jasmine huku wapi Maua yake 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@ZZawadi-s5v
@ZZawadi-s5v 2 ай бұрын
Kendi amefika huku jameni dadake mamakarobo roho mbaya kbs😂😂😂😂😂😂
@YusraKadzo
@YusraKadzo 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 2 ай бұрын
😂😂😂😂anasauti kali sana
@JudithJudy-hz6wr
@JudithJudy-hz6wr 2 ай бұрын
😂😂😂 tunangoja sania
@OmariJumaaWaziri
@OmariJumaaWaziri 2 ай бұрын
Binadam hawana jema hata kdg😢😮 unafanikiwa kuwa mbali nao lkn bado wanakufuatiliaa hawataki maendeleo yako Tena wanapanga mpaka njama za kukuangamiza Tena 😢 Kama humkubali mama karobo feki gonga like apa👍👍👍
@graffinamisi
@graffinamisi 2 ай бұрын
Karobo hunazingua kweli😅😅
@MangasiMani-kw4kn
@MangasiMani-kw4kn 2 ай бұрын
Salma zangu Zbafikie gutoka burundi❤
@user-qm1um7davidodekawaya
@user-qm1um7davidodekawaya 2 ай бұрын
C ufungue whastapp group baba karobo ❤❤🎉
@EstherMutisya-rf4qq
@EstherMutisya-rf4qq 2 ай бұрын
Yeah
@JustineEjakait
@JustineEjakait 2 ай бұрын
Yeah twakusubiri kwa hamu ​@@EstherMutisya-rf4qq
@EzekielMasai
@EzekielMasai 2 ай бұрын
Safi sana gonga like kama unamkubali baba karobo
@swabrinamwaka2437
@swabrinamwaka2437 2 ай бұрын
Hivi karobo anataka nn kwa babaake😂😂
@TeddyPaul-j3g
@TeddyPaul-j3g 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@batuli-n8e
@batuli-n8e 2 ай бұрын
mwana kulitaka mwana kuliget
@amrisaleh8804
@amrisaleh8804 2 ай бұрын
Mama karobo anajaribu kua msamaria kwema anajutia alicho mfanyia baba karobo
@AnnastaziaVicent
@AnnastaziaVicent 2 ай бұрын
Ila mama karobo na cendy munaedana sana 😂😂😂
@levinaernest4364
@levinaernest4364 2 ай бұрын
Wanaendana sana kwa roho mabaya zao 😂sikutegemea wangekutana pamoja
@juliananyundo5299
@juliananyundo5299 2 ай бұрын
Mimi leo wa kwanza jman naombeni like zangu
@FidelisMbangweta
@FidelisMbangweta 2 ай бұрын
Am the first one from Zambia make like. Thank u I love u
@mymbaralitv2968
@mymbaralitv2968 2 ай бұрын
Ulibwanji wakamba😂😂😂😂
@Hadijawashuma
@Hadijawashuma 2 ай бұрын
Mi leo ndo sjui wa ngapi😢😢😢😢
@EdigaNashon-g7b
@EdigaNashon-g7b 2 ай бұрын
Jaman naombeni like 🎉🎉🎉Leo nimewahi❤❤❤🎉
@GladysOmwando
@GladysOmwando 2 ай бұрын
😂😂😂😂kalobo niue heti kumbe matajiri wanabigana 😂 wooow candy kafika huku maua yako 🌹🌹🎉🎉movie imenoga kwa kweli
@MdHossen-q8c
@MdHossen-q8c 2 ай бұрын
😂😂bado zuri.na bibiyake kufika kwa babakarob 😂😂😂😂
@DeeDan-sj1mr
@DeeDan-sj1mr 2 ай бұрын
​@@MdHossen-q8c Na kachukua weng kwel baba joan
@RamaJames-d2d
@RamaJames-d2d 2 ай бұрын
Unyama sana ❤❤❤
@AfreyBahalaye
@AfreyBahalaye 2 ай бұрын
Big up brother nikuite fire mko imara Sana 🎉😂❤❤❤❤❤❤
@sadikikashindi3441
@sadikikashindi3441 2 ай бұрын
Wa kwanza leo
@MwaliSuleih
@MwaliSuleih 2 ай бұрын
Waaauuuuh 🎉🎉🎉🎉🎉🎉mmbo ni moto namuona candy huku mmmmh movie ni kubwa hii jamn 😂😂😂😂😂😂😂hata mwenzetu nupty na bwanake mrefu nao kizaazaa😂😂😂😂😂😂 haya zaa mapacha tuwaone 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉ila mawazo yako mabaya naona yanakuponza tena mda c mrefu 😂😂😂😂😂😂
@Lunesavage-vu8yv
@Lunesavage-vu8yv 2 ай бұрын
Haaaa candy uyo atawatowa loho 😂lakini nampenda candy anajuwa cheza drama zamakasiliko I lov uuu candiiii😙💕😉
@NelphineMamyjayden
@NelphineMamyjayden 2 ай бұрын
Mapenzi jamani 🎉🎉🎉🎉❤❤❤zuuu na baba karobo mnaendana akiaMungu😊😊😊😊
@modex_0376
@modex_0376 2 ай бұрын
WA KWANZA LEO LAKINI NAOMBA MUSILIKE AMA NITAENDA KUJINYOGA NIFEE NIKIONA MUMELIKE N MUSICOMENY
@FineNtebutse-py2lg
@FineNtebutse-py2lg 2 ай бұрын
Utajinyonga kwasababu gani
@ZamzamMusa-ve5tc
@ZamzamMusa-ve5tc 2 ай бұрын
Karibu sana dada candy mamake mwazani🎉🎉🎉🎉
@ABIGAIL67-tria
@ABIGAIL67-tria 2 ай бұрын
So baba karobo you're that handsome ❤❤❤IAM from Kenya single mom of 3 Baba karobo fikiria Hilo jamani😅😅😅😅
@LucyMuhina
@LucyMuhina 2 ай бұрын
😂😂😂
@NekesaSylvia-p1r
@NekesaSylvia-p1r 2 ай бұрын
Ujinga hii😂😂😂😂
@ABIGAIL67-tria
@ABIGAIL67-tria 2 ай бұрын
@@NekesaSylvia-p1r waaalah😂
@leonardkalafya3200
@leonardkalafya3200 Ай бұрын
hapo umetish
@gadinamahukuluroberto8875
@gadinamahukuluroberto8875 2 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Lubumbashi nawapata vema sana nataka lik zenyu
@MsafiryChitema
@MsafiryChitema 2 ай бұрын
Hongera kakaa pamoja na timu yako kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 hayo hapo
@AhmadAlly-x1c
@AhmadAlly-x1c 2 ай бұрын
Jitahidin mmalize movie aisee, mnaifanya ndefu sana na visa hammalizi, Japo ni kazi nzuri
@Jovetina-jp7zc
@Jovetina-jp7zc 2 ай бұрын
Kongole sana kazi nzuri baba karobo
@EveKaari-r7r
@EveKaari-r7r 2 ай бұрын
Waaah movie Kali hii itaendelea Hadi kieleweke house girl wakaamia huku candy na Roho yake mbaya kila Kona 😂😂😂
@NadiauweraUwera
@NadiauweraUwera 2 ай бұрын
Babakarobo umemsahau mungu kuponatu hautaki ten kuabud 😂😂😂😂😂from Burundi nawapenda sana❤❤❤❤❤
@webnet5652
@webnet5652 2 ай бұрын
Karobo kwa Sasa unafuraha San Yako Yuko na pesa❤❤❤
@NAOMIMSNAOMI-s3m
@NAOMIMSNAOMI-s3m 2 ай бұрын
Zuu angalia vizuri usijekamuponda baba karobo naiyo makalio Yako makubwa inakuwakama maji musashe😂😂😂 kula maisha dada
@SifaClaudia-m3w
@SifaClaudia-m3w 2 ай бұрын
Leo ni me wai mauwa kwa karobo❤❤
@janecharo1196
@janecharo1196 2 ай бұрын
Ràha sana kwa baba kalobo mungu mkubwa haezi àcha mja wake. Unae pitia changamoto Eka tumaini kwa mungu nae atakushibdia
@EncheryneNyongesa
@EncheryneNyongesa 2 ай бұрын
Kwa kumuamini mungu yote yanawezekana🥰🥰🥰
@ZawadiMella
@ZawadiMella 2 ай бұрын
Umesahau maombi umesahau mchungaji kazana kuomba Vita bado baba karobo tena saizi vitakuwa zaidi ya ile kazana maombi watu hawajafurahia mafanikio yako wewe na zuu mungu ndo Kila kitu
@VairethLuhanzu
@VairethLuhanzu 2 ай бұрын
🎉🎉🎉❤ wow nimempenda dada wa kazi anaspiak English
@AshaAlfred
@AshaAlfred 2 ай бұрын
Samahani mm Nipo tofautii ,mbona zujath hasimamii Uusika waake kama mke Mwema Kwa baba karobo ❤❤❤
@fridahkaguri7140
@fridahkaguri7140 2 ай бұрын
Wakwanzab wapi maua yangu wadau😂😂
@FrolaWangwe-xi1js
@FrolaWangwe-xi1js 2 ай бұрын
Mmhh mm nilihisi ndo kipande cha mwisho kumbe bado visa vinaongezeka hii movi ni 🔥🔥🔥🔥🔥
@TimaBofulo
@TimaBofulo 2 ай бұрын
Move sai iko nzuri snaa isiishe kabisa baba karobo❤❤
@SubiraExzaverkihombo
@SubiraExzaverkihombo 2 ай бұрын
mumalize Sasa jaman😂😂😂 umeanza kufuba😂😂
@salomejames9639
@salomejames9639 2 ай бұрын
😂😂jmn hat mie nishaanz kuichok ety
@NyangweSabina
@NyangweSabina 2 ай бұрын
​@@salomejames9639jaman 😅😅😅😅
@JudyMwende-u8r
@JudyMwende-u8r 2 ай бұрын
Kendi we nimkorifi baraa❤❤❤nawapenda hivo hivo
@SafiyaIssackAli
@SafiyaIssackAli 2 ай бұрын
naumba Miki mwona mama karobo feki mumtandike
@DainesWilliam
@DainesWilliam 2 ай бұрын
Wa mwisho jmn naomba like hata moja
@Marry-u8m
@Marry-u8m 2 ай бұрын
Malezi yababa raha aki😂😂❤❤❤🎉🎉 karobo ana jue nice show 🇰🇪🔥🔥🔥
@reginaodeta473
@reginaodeta473 2 ай бұрын
Nukti ikiwa mungu anakutasha hatarini ukirudi nyuma kidogo shetani imekupata uneona 😢😢, Baba karobo na Sujati muenderee namaombi mungali na mtiani 🙏🙏
@KAPIPIOG
@KAPIPIOG 2 ай бұрын
Kazi safi sana brother hongela sana 🎉🎉🎉
@IgnatiusEpaka
@IgnatiusEpaka 2 ай бұрын
Kutoka kenya Mungu anainuliwa kwa filamu hii
@LIKEEFUNNY-g5x
@LIKEEFUNNY-g5x 2 ай бұрын
no 5 watch
@MariamMchomvu-q3s
@MariamMchomvu-q3s 2 ай бұрын
Waoo karobo anasoma shule nzuri jaman😂😂
@JudyNyaboke-e6o
@JudyNyaboke-e6o 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂candy sasa tena umekame uku na kelele zako
@JescaFelix-e4x
@JescaFelix-e4x 2 ай бұрын
Leo nimekuwa wa 579aloooo ila vyote na vyote baba karobo ni yanga damuuu😅😅😅
@PatrickiGodfrey
@PatrickiGodfrey 2 ай бұрын
😮na uyu nae yuko ukuu dah ninomaa ila kendi
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz 2 ай бұрын
Tulofrah kumuona candy gonga like hapa 😂😂😂😂
@Haleema-dg5bo
@Haleema-dg5bo 2 ай бұрын
Amekuja kuaribu ndoa za watu 😂😂😂😂
BABA YANGU KIPOFU Full episode /52/ #love
33:54
BabaJoan
Рет қаралды 539 М.
MAGIC SCHOOL | ep 14 |
20:06
Dubu Tz
Рет қаралды 103 М.
Жездуха 41-серия
36:26
Million Show
Рет қаралды 5 МЛН
«Жат бауыр» телехикаясы І 26-бөлім
52:18
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 434 М.
ALBASTINI _ Episode 3
31:43
kp wa Aquino
Рет қаралды 35 М.
UTUMBO NDIZI FULL MOVIE SEASON ONE [1-10]
2:41:32
Dar film media
Рет қаралды 2,5 М.
MY DAUGHTER  I ep 14 I
17:04
CLAM VEVO
Рет қаралды 288 М.
BABA YANGU KIPOFU FULL EP 01 SEASON TWO 💕
20:35
BabaJoan
Рет қаралды 130 М.
MAAJABU YA WATOTO OMBAOMBA (@asmacomedian9021 )
8:32
ASMA FILMS
Рет қаралды 2,2 МЛН