Mimi alinisomesha madrass mtaa Yombo kwa sheikh Adam ,Ustaadh Nurdin alinichapa sana viboko na Ustaadhi Ahmad naye marehem nae, nawaombea dua sana mungu atawalipa ya kheir
@jumanginga7078Ай бұрын
Tulikuwa wote ndugu,fimbo za mgongo tunachapwa na al marhuum ustadh ahmad
@aminamrisho88784 ай бұрын
Mashaallah tabbarakah Allah awalipe kheri
@jumanginga7078Ай бұрын
Mashallah ustadh wangu madrasat noor,yombo street
@engineertuwere60285 ай бұрын
MaashaAllah Mola akuongoze kipenzi chetu
@Jumaupnda5 ай бұрын
maa shaa allwaah. kaka ustadhi Nurdin wewe ni nondo. allwah akuhifadhi. mimi naitwa ustadhi Juma Yasini tulikuwa pamoja mimi nilikuwa nasoma RAUDHWA ya tandika kwa almarhuum shekhe Omari. mimi sikuwepo hapo ila niliwahi kule magomeni . Allwaah amrehemu shekhe wetu Adamu bin Ahmad na mashekhe wetu wote waliotangulia mbele yaki. amiiin
@maalimhemedsalumu5 ай бұрын
Shekh Nurdin na mwalimu wangu Marehu Ahmad ❤
@SadickJuma-e3x4 ай бұрын
Mashaallah😢
@BuiKishkOnlineTv5 ай бұрын
Ust Nurdin Allah kakupeleka TZ ni sababu tu ukahudhurie Mazishi ya MWL wako 😢 ALLAH AMRAHAM SHK ADAM
@allysaid46795 ай бұрын
Kwani anaishi wapi naomba unijuze ndugu
@LailaBhai-d3r5 ай бұрын
Mashàallah
@FADHILIMNGALIMA5 ай бұрын
maashaalah ustadhi wangu
@UmmaryMuhabbesh-j4q5 ай бұрын
Amin
@SKY-fk3fz5 ай бұрын
Mashaallah
@salamasalimu79245 ай бұрын
Maashaallah
@baruanibakari74105 ай бұрын
Sheikh Nordin ukiacha urafiki ni mwalimu wangu almadrasatul noor kwa sokota
@najmasaleh92314 ай бұрын
Huyu Nurdini ni kijana aliyelelewa kwa Sheikh Adam alitutangulia kwenye kusoma