Shukraan sana KTV TZ ONLINE pia Allah atawafanyia wepesi inshaaallah
@samsungoman56263 жыл бұрын
Mungu awafanyie wepesi inshallah
@doubleimpact97493 жыл бұрын
Daahh nilienda hv karibuni kiukweli Pemba watu wanakimbia tena wanakimbia kweli kweli hususan Kaskazini kwa maana ya Wete watu hawapo kabisaa watu ni wachache watu wanakimbilia Unguja,Dar na kwengineko ku find maisha hali ya uchumi wa Pemba ni mbaya hakuna mzunguko wa pesa
@doctorphone213 жыл бұрын
Ndio anaeweza kuishi pemba kw ss ni yule alielazimikiwa kuwa pale au mfanya kazi wa serekalin lkn lkn kw walio baki huwezi kukaa maana hela hamna
@salimomy74183 жыл бұрын
kweli serkl mna2dharau san cc wapemba mungu anawaon..😥
@allyummar98453 жыл бұрын
Kwa Jina naitwa Ali Omar Said nimzaliwa wa wete pemba mimi nitamuomba muheshimuwa raisi wetu mpendwa afanye ziara ya kwenda pemba kuwadikiliza wananchi na kuwatembelea kiujumla namiini itakua ni jambo LA furaha Sana kwa wazanzibar kisiwani pemba ahsante
@jambo37513 жыл бұрын
KTV angalau sasa mnaanza kurudi kwenye jamii kuripoti matukio mbalimbali kama mlivyokuwa mwanzo. Kuna wakati mlikuwa mkituletea habari za viongozi tuuuu yaani mitaani kuliko na changamoto kibao za wananchi na matukio mbalimbali mlikukimbia kabisaa. Kwahivyo ni vizuri zaidi kufika mitaani kuripoti changamoto na matukio mbalimbali.
@hassanbizze26723 жыл бұрын
Suala hili mbona lipo wazi kabisa, sio lazima Rais afike shemu hiyo... Rais ana wawakilishi wake tokea ngazi za chini kuanzia serikali za mitaa na halmashauri ya jiji na manispaa n.k watendaji wa serikali za mitaa kwa kweli wanakazi kubwa kuhakikisha wafanyabiashara wadogo wadogo hawawapotezi kwa kuboresha huduma nzuri na kutoza tozo halisia kutoka na hali ya uchumi kwa ujumla
@ahmedalbalooshi8518 Жыл бұрын
Kwa kipindi kirefu kulikuwa na mipango ya kuikandamiza Pemba,na hasa mji wa Wete,kutokana na misimamo ya kisiasa.Hii imelazimishs WaPemba wengi kuhamia nje ya Pemba kutafuta maslahi ya kimaisha.Ukitaka kustawisha jamii, nishati ya maji ,umeme,usafiri(hasa wa baharini)matibabu na elimu ni vitu vya muhimu kuwepo ili kuwavutia watu wabaki na kuishi hapo.
@mohamedjuma18783 жыл бұрын
Kwakweli kwetu pemba bado maisha ni magumu mwinyi tukomboe baba
@bakariamour60243 жыл бұрын
Wewe ndugu yangu umesema ukweli kwamba kwetu Pemba maisha magumu, lakini watu wengine ni wapotoshaji
@SA-xj8hc3 жыл бұрын
Biashara ushindani shindaneni na wafanyabiashara wa juu, lakin pia baraza la mji watoweni kodi hao wafanyabiashara wa mitaani sio wa sokoni tu.
@makameomar8713 жыл бұрын
Elfu mojakubwa sana sasa huyo mwenye vikuta vinne angalau alipe 2000 vikuta vidogo kwa 1000 kubwa sana
@salimomy74183 жыл бұрын
haha ustaaaz
@SaidShkelАй бұрын
Ccm hata wawape nn ilivokuwa wamekaa kwenye madaraka kwanjia ya dhulma hamna watakalofanya likawa,Dhulma haidumu naikidumu yaangamiza😊
@muhammedkhamis14073 жыл бұрын
Mimi Naona Kwa Wete Ninayo Ijuwa Mm Haina Haja Yakuweka Masoko Mawili Kutokana Na Mzungumko Wa Pesa Wenyewe Soko Moja Tu Lina Tosha Hamna Mnzungumko Wapesa Upochini Kabisa Kabisa😭😭😭
@zakwani8853 жыл бұрын
Dkwa kweli wanakumbia Pemba Kwa sababu pemba haitizamwi MTU hakimbii kwao isipo kua kuna shida na tutizamwe na hicho la huruma dokta njoo kwetu Pemba utufaraji
@masoudseif37733 жыл бұрын
K TV mbona konde hamuji watu wana malalamiko yao sokoni na madukani want aka viongozi wawasikie papatikane ufumbmbuzi
@brytonmnyama656212 күн бұрын
changamoto ni wateja tu bs
@noffelsalim73402 жыл бұрын
Kwa io munajenga masoko ili mukandamize watu au vp.
@abdillahjuma84743 жыл бұрын
Obviously ya kwamba huko wete yenyew ukihitaji kwenda wakat unatoka chake n shida kubwa xn kwa7bu ya BARABARA MBOVU SANAA
@rashidabdallah32533 жыл бұрын
Kiukweli unaweza kuidogosha 1000 tu lakini ukiipigia hesabu ya mwaka ni 360,000 kikuta tu hapo hajalipia huduma ya mlinzi wala huduma ya choo wala ya usafi ikiwa pia wanalipia kwa hiyo ukionganisha huduma zote hizo kwa mwaka ni laki zisizopungua 5 mtaji wake mtu ni laki 1 jeee umemuenua au umemporomoa? Nadhani baraza likae kuwafikiria wadau wao unguja na Pemba hatufanani kabisa kibiashara.
@muhammedkhamis14073 жыл бұрын
WETE mbona Haina shida ila tatizo ni uwongozi wa Juu ndio ikawahamna Maendeleo mpaka leo hiyi nn shida Uwongozi haupo Sawa hata kidogo Watendaji ni wabovu sana
@mrok2843 жыл бұрын
Mh.Rais tunakuombea uende na Pemba Ndugu zetu wanaumia.
@kbsaid68223 жыл бұрын
Huyu mkurugenzi kawambia walipe 30000 kwa mwezi wakaona ni kunwa kwa hio wakakubali kwa kila siku walipe 1000 sasa kwa mwezi itakua kiasi gani 🤣
@yasalaam5903 жыл бұрын
Hapo sasa yaani 🤣🤣🤣
@khamismasoud4123 жыл бұрын
Hhhhhhh kuna miezi Ina siku 31 na ule wa February siku 28 kwahiyo watailipa zaidi elfu moja hhhhhh
@doctorphone213 жыл бұрын
Kwa mtazamo wangu mm sh. 1000 kw siku sio kubwa ikiwa kuna mauzo ila sh. 200 yaweza kua kubwa ikiwa hakuna wateja na kinachowaponza wafanya biashara wa soko la wete no kwamba watawala wote walio pita hakuna alie kua tayar kuufungua mji wa wete na pemba kiumjumla kibiashara. Ombi langu kw mh rais mwinyi aifungue wete kibiashara kwanza kwa kuijenga bandari ya kisasa ya abiria na mizigo halafu muckie kama kuna mtu atalalamika kutoa elfu kw siku
@kreamagdfsa16973 жыл бұрын
Umezungumza point ya msingi ikijengwa bandari ya wete mambo yatakua bull bull
@kassimomar75893 жыл бұрын
Eti elfu 30 na kwa siku elfu moja si hiyo hyo
@amourhasaan72423 жыл бұрын
Hapaa kituu hapaa mwezii 30 mzungumza nao kwa sikuu 1000 sii Nisawa kuruka mkojo kukanyaga mafii ndooo nn ss
@kiri58073 жыл бұрын
kutokana na biashara zao hawawezi kusave hizo moja moja wakalipa kwa mwezi ndio wameona ni bora watoe kila siku haidhuru mtu atajinyima kitu chengine lakini ipatikane elfu .
@truthspeaker20623 жыл бұрын
Rais mwinyi ni muelewa na mwenye hekima . Naamini atalishughulikia hili .
@kreamagdfsa16973 жыл бұрын
Inabidi serekali ifanye mbinu mbadala pia itoe elimu kuhusu biashara pia wito wangu kwa vijana munaokaa pemba musikimbilie unguja na dar-essalam kufanya biashara jitahidini kupambana ili kuijenga PEMBA
@hemed40643 жыл бұрын
Wapambane vp wkt hali hairuhusu ndugu! Pemba haitizamwi viongoz wameisahau kabisa, Pemba hali ni mbaya. Rais aiangalie kwa jicho la pili na la tatu. Mtu atoke leo aitembelee pemba na Unguja basi lazima ataiona tofauti kubwa iliopo
@salmahilal35773 жыл бұрын
Wapemba sio kama hawapendi kukaa kwao na kufanya biashara kwaoo ,,, ilaa fursa iliyopo na hali halisi ya maendeleo ya Pemba na wanachi wakee hayapewi kipaombelee especially na serikali ,,,, serikali ingejaribu kuikuzisha kimaendeleo Pemba bac wafanyabishara weng wa kipemba wangekuwepo ila kila kijana ikifika mda anahama Pemba kwasababu hapakalikiii ,,,, hali ni tete na hairuhusuuu , serikali ingebidi iliangalie hilii jambooo kwa kinaa kama inania na watu wakee haswa wapembaaa