Bahati Bukuku - Picha ya Mama (Official Audio)

  Рет қаралды 271,575

Bahati Bukuku

Bahati Bukuku

Күн бұрын

Пікірлер: 962
@hawedama-ru3uw
@hawedama-ru3uw Жыл бұрын
Poleni wote mlio wapoteza mama Zenu Mungu wa Rehema awape pziko la milele,, Na sisi tulio na Mama Zetu Tuwaombee mama zetu,mungu awape maisha marefu, na Tuwapende mama Zetu pia❤❤❤❤
@florapolino3702
@florapolino3702 Жыл бұрын
😭😭😭😭🙏
@user-rv5xv6wx9n
@user-rv5xv6wx9n Жыл бұрын
Amina
@nancybaraza4395
@nancybaraza4395 Жыл бұрын
😪😪😪😪
@naomchristopher
@naomchristopher Жыл бұрын
Ameen😭😭💔💔 cjui km ntazoea dah😭😭😭😭😭
@HappyRichard-lh9sz
@HappyRichard-lh9sz Жыл бұрын
Amina nampenda San mama yangu na muombea azid kuish miaka ming na mlio wa poteza mama zenu pole mungu azid kuwap moyo😢😢😢
@Isaya-fi6ro
@Isaya-fi6ro Ай бұрын
Katika nyimbo hii ya bahati bukuku kuhusu mama SI Kwa wale waliondokewa na mama zao Bali hata kwetu sisi kuwa jinsi Gani tumsaidia mama Kwa ukaribu na jinsi Gani tunamapenzi ya dhati kuhusiana na mama
@HildaSanga-fc9mn
@HildaSanga-fc9mn Жыл бұрын
Mungu wape pumziko la milele wa mama wote waliotangulia mbele za haki 😭😭
@ThomasBukuru-hj6ly
@ThomasBukuru-hj6ly Жыл бұрын
Ongela sana da bahati kwa mimbo iyo picha ya mama.mimi ni même wa myaka 67 lakini sina picha la mama wala siwezi kuyipata ata sehemu moja duniyani
@gloriaamase9764
@gloriaamase9764 Жыл бұрын
Me niko huku Qatar mamangu yuko nyumbani Kenya nakutumia barua ya baraka kutoka kwa Mungu mama yangu Mungu akupe maisha marefu mama yangu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ barikiwa sanaa mummy Bukuku nakupenda bure❤💋
@ImaniChaula
@ImaniChaula Жыл бұрын
Penda sana Mama angu Mungu akutunzee❤❤❤
@vanessa-vavandikumwenayo2757
@vanessa-vavandikumwenayo2757 Жыл бұрын
Nyimbo hii imenigusa moyoni sana tena sana inamafunzo mengi Bukuku balikiwa sana🙌🙌 MUNGU akupe maisha malefu
@brendanafula8561
@brendanafula8561 Жыл бұрын
Wale muko mama tafathali pea mama ua lake akiwa hai..mwenzenu naishi kulia kila siku nikona mtu anatusi mama na kumfharau😭😭😭😭😭pumzika kwa amani mamangu nashukuru maana nilimpa mama ua lake 💐💐
@pascaliamutuli6558
@pascaliamutuli6558 Жыл бұрын
Rest peacefully my mummy😢😢😢 , ntakupenda daima, hongera kwa kunipa mwelekeo katika Kristo Yesu 🙏🙏🙏
@jumaomutimba7494
@jumaomutimba7494 Жыл бұрын
Aaii sina picha ya mama
@LaurenciaNdambalilo
@LaurenciaNdambalilo Жыл бұрын
Poleni wote mliwapoteza mama zenu poleni sana mungu awatie nguvu🙏🙏
@Godfreylusekelo-q3t
@Godfreylusekelo-q3t Жыл бұрын
Amina ndug yangu 😢😢😢😢
@PamelaMasimoni
@PamelaMasimoni Жыл бұрын
continue resting in peace my mum,missing you so much
@LutesoSanga
@LutesoSanga 7 ай бұрын
Asante sana mama anauma ndugu yangu
@amosamoo5951
@amosamoo5951 Жыл бұрын
Waaaa😭😭😭😭haya ndio ninayo yapitia naenda hadi kwa wajomba kutafuta picha ya mama
@petermlapa8746
@petermlapa8746 Жыл бұрын
Mungu alipotaka kumchukua mwanangu alpokuwa anahal mbaya hospital 😭😭😭 Nikamkumbusha mama angu ulimchukua mapema nakamwomba anibakishie mwanangu na Mungu aliniskia😭😭😭😭😭
@SarahMmari
@SarahMmari Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭 love mama
@erastomtewa5243
@erastomtewa5243 Жыл бұрын
daaah sina hta picha ya mma yngu😭😭😭daaah kwa ssi tulie poteza mma zetu basi tuwaombee wapumzike kwa aman amina,
@theresamushila9080
@theresamushila9080 Жыл бұрын
wimbo huu umenifanya nirekebishe vitu kadha wa kadha in my mums life.thank you bukuku .
@winniefridamaiko2775
@winniefridamaiko2775 Жыл бұрын
😢😢😢
@magrethtuma5843
@magrethtuma5843 Жыл бұрын
Barikiwa zaid
@aziabby2562
@aziabby2562 Жыл бұрын
Hakika ujumbe wa wimbo huu ni mkubwa sana. Asante sana. Tuwapende na kuwatunza mama zetu na baba. Nakupenda sana mama yangu Bi Maryam Mhando
@megamomegamo680
@megamomegamo680 Жыл бұрын
Dada umejua kuniliza maana umeyaimba maisha yangu since 1997 sina Mama, ambaye bado una Mama yako mtunze sana Mama yako
@JosephMwaipaja-dl3ki
@JosephMwaipaja-dl3ki Жыл бұрын
Huu wimbo nimeskilz mara Tano Yan unaniliza mno pumzik kwa aman mamangu😭😭😭
@jenniferlissu1088
@jenniferlissu1088 Жыл бұрын
We gonna miss you mumy😭😭😭hata picha yako sina uliniacha mapema sana😭😭😭😭😭
@jenniferlissu1088
@jenniferlissu1088 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@mamadavis8744
@mamadavis8744 Жыл бұрын
Wimbo huu unamafunzo mengi poleni mliopoteza mama zenu na sisi tuliojaliwa kuwa nao tuwaombee mama zetu
@irakozeshela1809
@irakozeshela1809 Жыл бұрын
Asante hongera kwenu ambao mama zenu wako hai
@Sophy-yd5lz
@Sophy-yd5lz Жыл бұрын
Mjar sana mama. Yako kipenzi kuna muda huwa tunamic mpk saut zao mm nlimpotez mam nkiwa na miaka 6 enz hizo hata smu hkuna ko huu wimbo unauhalisia kbisa mwaka 99 unatoa wap picha
@سعيدالشكري-ت8م
@سعيدالشكري-ت8م Жыл бұрын
​@@Sophy-yd5lz😔😔😔pole sana mm ninae ila nipo nae mbal huu mwaka wa nne nimesikia huu wimbo nimelia sana na pia nimeacha watt wangu wadogo Hua wananiangalia video coll wanalia mpaka sasa wamezoea Hua Nawaza najikuta Nalia sabu nimewazulumu naumia nani kama mama
@mamadavis8744
@mamadavis8744 Жыл бұрын
@@Sophy-yd5lz pole dada ang
@janetnzikali6823
@janetnzikali6823 Жыл бұрын
..hongerani mlio na mama,jamani watunzreni mama zenu....Mimi natamani tu arudi kama Leo nimuone mara ya mwisho...ukitaka kujua umuhimu wa mama uliza alie poteza mama...
@OdemarySilas
@OdemarySilas Жыл бұрын
amina kwa ujumbe mzuri bahati nakupenda sana nyimbo zako imani tele ubarikie😃🥰🥰🙏🙏
@nurukyando8829
@nurukyando8829 Жыл бұрын
Polen sana wenzetu waliopoteza wazazi mama hata kama ni kilema , ni kipofu ana baraka zake katika maisha yetu tulio na wazazi tuwapende tuwaheshimu ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ mama ni Mungu wa pili tuwapende tuwaheshimu wazazi wetu
@merrynes8659
@merrynes8659 Жыл бұрын
Pole sana
@MayolwaGolani
@MayolwaGolani Жыл бұрын
Daaah aisee kwanini hivi lakini @bahatibukuku unatuumiza sana😢😢
@graceelias6260
@graceelias6260 Жыл бұрын
Hakika inauma sana😭😭😭 ni miaka 15 sasa tangu utuache mama yetu mola akupe pumziko la milele hauko na ss machoni lakn rohoni upamoja nasi tusamehe pale tulipokukosea nataman uamke japo kidogo t mam angu useme japo neno moja😭😭😭😭😭😭
@evelynenshimirimana2993
@evelynenshimirimana2993 Жыл бұрын
daaah umeniliza kiukweli sina picha ya mama yangu 😭😭😭😭😭😭😭
@nuruhmangoli1232
@nuruhmangoli1232 Жыл бұрын
Mungu awafariji wale wote waliopoteza mama yao ,, actually from KENYA i feel your pain😢
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 Жыл бұрын
Amiina😢😢😢
@MeriMari-ol3ii
@MeriMari-ol3ii Жыл бұрын
Poleni sana mlio ondokewa na mamazenu .pia namshukuru mungu kunilindia mama yangu nakupenda mamaangu..
@millicentmukoya1292
@millicentmukoya1292 Жыл бұрын
Nimedondokwa na machozi kuusikia wimbo huu maanake nilimpoteza mama mwaka jana😥😥😥 pumzika kwa amani mama
@LidyaKaniki
@LidyaKaniki Жыл бұрын
Hongera sana dada bukuku mungu akutendee japo upate hata mtoto uitwe mama
@sikuzanibusanya7352
@sikuzanibusanya7352 Жыл бұрын
Pole sana 😢
@zulfazulfa1146
@zulfazulfa1146 Жыл бұрын
Pole dr
@MaryElia-tq7lg
@MaryElia-tq7lg 5 ай бұрын
Ubarikiwe bahati wet mngu azd kukupa mafunuo meng na meng
@evencemangamwachia1617
@evencemangamwachia1617 Жыл бұрын
😢😢😢till you went aki mama life imekua soo hard..I rem your last words while crying.."watoto wangu nkifa mutateseka,huku ukilia"😢😢mungu tu ndie nmebaki nae😢😢 Eee mungu atusaidie
@selemaniyunusi3355
@selemaniyunusi3355 Жыл бұрын
Ahsante Sana ❤❤
@beckyrembo_rebeccanafula5334
@beckyrembo_rebeccanafula5334 Жыл бұрын
😢😢😢poleni sana waliofiwa na mama,,,, nice song,,,,,napenda jinsi unavyo tufunza kupitia wimbo,,, let's love our mothers ❤
@neuroscientistt
@neuroscientistt Жыл бұрын
Mama ni. Kila lkitu duniani
@valentinawanza5347
@valentinawanza5347 Жыл бұрын
Pole kwa familia
@winifridakigingachacha3412
@winifridakigingachacha3412 Жыл бұрын
Pole my dada😭😭😭😭 mwenyez mungu awatie nguvu wote waliofiwa na mama zao daah🙏🙏🙏🙏🙏
@isunga1964
@isunga1964 Жыл бұрын
Amen 😭😭
@commandorsrlo175
@commandorsrlo175 Жыл бұрын
Ahsante kwakututia nguvu
@winifridakigingachacha3412
@winifridakigingachacha3412 Жыл бұрын
Amina🙏🙏
@neemamtangi4818
@neemamtangi4818 Жыл бұрын
Asante dada kwakutia nguvu
@winifridakigingachacha3412
@winifridakigingachacha3412 Жыл бұрын
@@neemamtangi4818 amina
@johncliffordlugadiru4599
@johncliffordlugadiru4599 Жыл бұрын
Lillian Esther Alube Namkuri...i missed you till this date..everything you warned us against are now happening but God has been soo faithful and He has been our shield...you will still fresh in my heart..Rest well my pillar till we meet again..
@EmmanuelMbav
@EmmanuelMbav Жыл бұрын
Mungu akubariki maman bahati bukuku😢
@EmmanuelNzigilwa-pn1tc
@EmmanuelNzigilwa-pn1tc Жыл бұрын
Mungu wangu naomba nituzie mama angu🤲🤲🙏
@lucyaloo920
@lucyaloo920 Жыл бұрын
Finally umetukumbuka sisi tusio na mama...😢
@nyachirangimlengwa
@nyachirangimlengwa Жыл бұрын
Pole Lucy
@barackmutua849
@barackmutua849 Жыл бұрын
Mama yangu . Jamani pumzika kwa amani nimekukumbuka xana . Mengi najionea sina wakueleza mama lala salama 😢😢😢😢😢❤❤❤
@nabiibikemwayowele
@nabiibikemwayowele Жыл бұрын
Ongera KUBWA ƙwakweli
@hellenenock7458
@hellenenock7458 Жыл бұрын
Huu wimbo umeniliza sana nime mkumbuka sana mama yangu😭😭😭
@agnesskhamasi5557
@agnesskhamasi5557 Жыл бұрын
Ooooh mama yangu😭😭😭😭😭ata sikumbuki sura mama😭😭😭😭
@gloriaamase9764
@gloriaamase9764 Жыл бұрын
Mama ni dahabu kweli wenye mama wangali haii tupende mama zetu na kuwaheshimu!! Na wenye hamna mama Mungu yupo pamoja nanyi yeye ni baba tena yeye ni mama
@goodluckmutapa7919
@goodluckmutapa7919 Жыл бұрын
😢rest in peacce my mama Angel i Miss you sana, katika maisha kuna mda ata kama Mutu anakuwa kiasi gani uwepo wa mama unaitajika! Tupige vita vyema paka mwisho kama atuta zimia mioyo tutawaona wandugu zetu walio tangulia kwa safari, wewe ambaye auya AMINI yesu mpe maisha Yako Léo, kifo sio mwisho lakini ni mda wa pumziko fupi, ilikuanza maisha ya milele kama sio uzima wa milele utaishi katika moto wa milele🙏🙏🙏 Waebrania 3:15
@authoritydiroma2762
@authoritydiroma2762 Жыл бұрын
daaaah!!!! Picha ya mama kweli sina R.I.P MOM❤❤❤😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏
@teblatebla7739
@teblatebla7739 Жыл бұрын
This song has many hidden words. May those who seek to have children be granted their wish 😍
@delhidarling4285
@delhidarling4285 Жыл бұрын
Amen my sister 😢
@williamsimukonda8206
@williamsimukonda8206 Жыл бұрын
Qqqqqq
@williamsimukonda8206
@williamsimukonda8206 Жыл бұрын
QQ
@williamsimukonda8206
@williamsimukonda8206 Жыл бұрын
qqqQ
@goretyogola6285
@goretyogola6285 Жыл бұрын
Lord if I'm not worthy that u can't answer my prayers then pls Answer my prayers of having children through this text's favor 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@joyceandongwisye4809
@joyceandongwisye4809 Жыл бұрын
Pole dada nawote mlio fiwa na mama zenu 😢😢😢hii nyimbo itafanya nipige picha na wazazi wangu nikienda kijijini maana Sina picha zao
@benyjoseph949
@benyjoseph949 Жыл бұрын
Daaah!! 😢😢mama ni msingi wa maisha na matokeo mazuri ya maisha tunayo yaishi leo😢
@devotalaiton5888
@devotalaiton5888 Жыл бұрын
Mwenzenu nashindwa kusikiliza mpaka mwisho nalia jmn japo mama Yang yupo uishi maisha marefu TREZIA WANGU nakuombea sana mama Yangu
@Happiness-k9q
@Happiness-k9q Жыл бұрын
I love my mum❤❤❤, mungu akupe maisha marefu na afya njema, polen msiyo na mama mungu wetu akawe miji wenu
@rehemaomar4924
@rehemaomar4924 Жыл бұрын
Eeeeeh! Maskini Tuko Wengi😮😮😮
@PurityKadzo-s3y
@PurityKadzo-s3y Жыл бұрын
Wimbo huu umenitoa machozi ni kikumbuka mamangu ....aki rip mamangu ntakukumbuka daima😭😭😭😭😭😭
@loycematiasmlobeloloycemat395
@loycematiasmlobeloloycemat395 Жыл бұрын
Nakupenda San mom ❤️❤️ 🙏 asant nakukumbuka sana ni mengi umenifunza na MUNGU akulinde na baya .pole Kwa Walio fiwa na mama
@situmajunior2946
@situmajunior2946 Жыл бұрын
I love my mum❤❤she is our pillar since our dady departed from this world,my mum went through alot but she didn't gave up to stand with us,praying healing power to her(mum)❤❤
@julietmakhanu311
@julietmakhanu311 Жыл бұрын
😢😢 nakumbuka wakati mama alikuwa hai😢😢😢
@leahngole
@leahngole Жыл бұрын
ulinitoka nikiwa mdogo sana mama sikuweza ata kupata picha yako pumzika kwa amani mama nakupenda❤❤❤ nawashauli mlio na wazaz muwaeshimu na muwatunze ipo siku akikutoka utajua umuhimu wake nawapenda
@joskyshams4758
@joskyshams4758 Жыл бұрын
Kwa wale hawana Mama poleni sana Mungu awatie nguvu. What an emotional song.
@COSMASYOHANKAROLI
@COSMASYOHANKAROLI Жыл бұрын
Namkumbuka mama yang jaman mama yng nataman uwepo wako japo kua uko mbali na mm ila naamin mungu amekupuzisha kwa aman❤❤❤❤❤❤
@MariPaulin-h7m
@MariPaulin-h7m Жыл бұрын
Mungu peke abariki maman irudiye tena nguvu
@LoiceHamisi-kd6qm
@LoiceHamisi-kd6qm Жыл бұрын
Aky wimbo huu unaguza moyo wangu saana mamaangu mungu amuajalie maisha marefu maana waliopoteza wazazi wao wanaumia
@calystusguyavitv7062
@calystusguyavitv7062 Жыл бұрын
Am touched,may those who lost their mum be strong in the lord
@Paplick9
@Paplick9 3 ай бұрын
Mwenyezi Mungu awape maisha marefu na afya kina Mama wote ❤ pia wapumzike Kwa Amani kina Mama wote walio tangulia mbele za haki 😭😭🕊️🕊️
@sarcozzykaendo4616
@sarcozzykaendo4616 Жыл бұрын
Wew ni noma...ubarikiwe Mama ❤❤❤❤
@mamadavis8744
@mamadavis8744 Жыл бұрын
Huu wimbo nasikiliza kila siku kuna mambo ya kujifunza kwa sisi ambao mama zetu mm siyo mpz wa picha lkn saiv ntajitahidi kupiga nae picha tuwaheshimu tuwapende na kuwajali mama zetu wakiwa hao na Mungu awape faraja mioyoni mwenu mliopoteza mama zenu nakupenda mama yang kipnz Mungu akupe maisha marefu mama zetu wote
@carenafandi6901
@carenafandi6901 Жыл бұрын
Mungu na akubariki Bahati kwa kunitia moyo
@elikanaernesti8440
@elikanaernesti8440 Жыл бұрын
Asante Mungu endelea kumweka Mama yangu siku nying hapa duniani poleni pia mlopoteza Mama Mungu awalaze mahala pema peponi
@winnerjudith2007
@winnerjudith2007 Жыл бұрын
wimbo mzuri sana huu ubarikiwe mtumishi wa Mungu,natamani ni like tena na tena na tena
@isaacomondi1387
@isaacomondi1387 Жыл бұрын
Poleni wanaotafuta picha ya mama na sisi tulionayo tuwape heshima
@jokhakassim4241
@jokhakassim4241 Жыл бұрын
A very moving song 😢 Hongera Dada Bahati kwa ujumbe huu nzito.
@ModestMwande
@ModestMwande Жыл бұрын
Huu wimbo ni kama kaniimbia Mimi Kila kitu kimenitokea ahsante sana Bahati Bukuku....
@tuliansibula4859
@tuliansibula4859 Жыл бұрын
Kiukweli nimeliya akuna aliye kama mama rip my mother i always miss you
@HappyMgeni-o1g
@HappyMgeni-o1g Жыл бұрын
MUNGU naomba mlinde my mom jmn nmpendaa 😢😢 plz lord
@HappyMgeni-o1g
@HappyMgeni-o1g Жыл бұрын
Wimbo umenigusa at the maximum ikiwaa mama Bado ninaye jmn mama ni mama😢❤
@KennedyMushibwe-mu2vi
@KennedyMushibwe-mu2vi Жыл бұрын
Amen and Amen to the Glory of GOD people are going to have a hard time with this song ❤❤🇿🇲🇿🇦🇿🇲🇿🇼🇿🇲🇹🇿 Amen to all the people off Africans 🇰🇪🇮🇱🇫🇷🇪🇷🇪🇭. Jesus is Lord keep you safe.
@GloryJohn-nm5wo
@GloryJohn-nm5wo Жыл бұрын
Kwa wale ambawo hamna mama
@rosemaryjausiku7403
@rosemaryjausiku7403 Жыл бұрын
Umenikumbusha Mama yangu 😭😭😭
@JeniferVictar
@JeniferVictar Жыл бұрын
Mungu akutunze na akupe umri mrefu mama yangu nakupenda sana hata uwe na madhaifu kiasi gani lakini najivunia wew❤❤❤❤
@alicekamala6740
@alicekamala6740 Жыл бұрын
Nyimbo imeniliza mwee! Hongera mama
@asimaamiri
@asimaamiri Жыл бұрын
Imenigusa pia mpaka nimelia mamaangu yupo nawapenda wa mama wote na walitangulia mungu awaweke mahali pazuli peponi
@meryfrednimependasana3142
@meryfrednimependasana3142 Жыл бұрын
Wale wote wanao dhalau wazazi huu wimbo nifunzo kubwa sana ❤mama
@JudithMsemwa-gk3in
@JudithMsemwa-gk3in Жыл бұрын
Daaaaaaah nakupenda sana mama yangu Mungu akuponye nakukupunguzia maumivu uyasikiayo
@mercyshahonya5565
@mercyshahonya5565 Жыл бұрын
Thank you mama for everything ❤❤❤,asante sana bahati kwa wimbo huu
@SteveNyombo
@SteveNyombo Жыл бұрын
Sasa ivi ni ta kwenda kupiga picha na mama yangu wimbo uyu umenifundisha mengi kabisa bahati bukuku mungu akubariki
@Hellenah_Sufii
@Hellenah_Sufii Жыл бұрын
😢😢very sad . Mungu awatie nguvu zaidi wote waliowapoteza wazazi wao. Ujumbe mzuri, tusichezee zawadi ya mzazi ❤❤❤. Mama ni wa maana Sana ❤
@TumainiSanga-pj5et
@TumainiSanga-pj5et Жыл бұрын
Pumzka kwa aman mamaang nitakukumbuka daima😭😭. Hongera Sanaa mtumishi kwa ujumbe mzuri
@mourinngala5454
@mourinngala5454 Жыл бұрын
This song made me subscribe,,I was too young when mum passed away but I have the memory 😢RIP mummy
@magembedaniel2179
@magembedaniel2179 Жыл бұрын
Nakupenda Sana mama angu nyimbo hii nzuri Sana 😭😭😭😭😭
@MTUWAMUNGU3-7-15
@MTUWAMUNGU3-7-15 Жыл бұрын
Hengelaa sana wimbo umefanya nipate aidia nyimbo ina uzunisha kwelikweli polee sana bukuku
@WiselightOfficial
@WiselightOfficial Жыл бұрын
Mbona nalia jamn😭Asante nampenda mama sana
@marrykeza7166
@marrykeza7166 Жыл бұрын
Nakipenda maman yangu kipezi Mungu akupatiye maisha marefu maman
@saidiswima5728
@saidiswima5728 Жыл бұрын
Poleni wote mlio wapoteza akina mama Mungu awatie nguvu kweli inaumiza Mungu nitunzie mama angu
@nakshibintimrembo8430
@nakshibintimrembo8430 Жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa muda alionipa nikaishi naye Mamangu,picha tulipiga,tulilia,tulicheka,tukasali pamoja ili Mungu abadilishe maisha yetu.😭😭😭Mama!Nalia nikukumbuka jinsi haupo Mama.Jinsi😢Mama ,Mungu mwaminifu alijibu...ila haupo kushuhudia uaminifu wake.Wakati mwingine nahisi maisha hayana ladha kabisa.. 😭😭😭😭😭
@vanessa-vavandikumwenayo2757
@vanessa-vavandikumwenayo2757 Жыл бұрын
Pole
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Pole sn mungu amuwekeee panapostahili
@marcksonmleka4908
@marcksonmleka4908 Жыл бұрын
Bora wewe mm alifariki tuu sk m nazaliwa kwahyo sikuwah hata nyonya maziwa yake nataman hata ningepata saut yake..
@nakshibintimrembo8430
@nakshibintimrembo8430 Жыл бұрын
@@marcksonmleka4908 🫂
@gmziwandanation555
@gmziwandanation555 Жыл бұрын
Pumzika kwaamani mama yangu umeniacha tangu nikiwa na miaka 5 sikumbuki hata sura yako mamaangu 😢😢 wala sina picha yako mamaangu 😢😢 ila mwanao nimekua sasaivi nakupenda sana mamaangu 🙏🙏🙏
@MercyWilliams-r9f
@MercyWilliams-r9f Жыл бұрын
May God give strength to all who have lost their mother's and may protect and bless all mother's with long life 🙏🙏🙏🙏
@kusuniaidd4437
@kusuniaidd4437 Жыл бұрын
Nice
@SalomeSanga-zg8sw
@SalomeSanga-zg8sw Жыл бұрын
Sina picha ya baba nikisikia huu wimbo machoz hayaniishi mtumish mungu azid kukupa ufunuo tuimbie nawa baba
@johnmwangeka4165
@johnmwangeka4165 Жыл бұрын
Hongera kwa wimbo mzuri sana Mungu azidi kutenda kazi nawe dadangu👏👏👏👏👏👏💪💪
@mpendaramso5236
@mpendaramso5236 11 ай бұрын
Ilove u my mom, ewe mwenyez mungu marehem wakina mama wote walotanguli mbele ya hakai
@damarisonsembe8126
@damarisonsembe8126 Жыл бұрын
You have made me to cry again, mum why did you decide to go and leave us in darkness?😭😭😭😭 but I know u are watching us.
@beckyrembo_rebeccanafula5334
@beckyrembo_rebeccanafula5334 Жыл бұрын
So sorry about your lose 😢
@braeuerlilian5580
@braeuerlilian5580 Жыл бұрын
❤❤
@maureenrandiki9805
@maureenrandiki9805 Жыл бұрын
Hugs dear one ❤
@SESECOMABUTU
@SESECOMABUTU Жыл бұрын
Asante mungu wangu kwa kunilindia mama yangu nampenda sana mama yangu Ee mwenyezi mungu mwingi wa lehema unitunzie mama yangu Aminaa
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 Жыл бұрын
Bahati Bukuku Never Let Me down. Be Blessed Bahati we love you so much in Jesus Name
@bajeckokasitu7705
@bajeckokasitu7705 Жыл бұрын
Kwakweli 😭😭😭 it's painfully ambao hatuna picha ya mama, Asante dada Bahat kwakuwakumbusha walio na mama zao kupiga nao picha Ata km akina mama wapo vijijin.ubarikiwe.
@Queenester1984
@Queenester1984 Жыл бұрын
🥹🥹😭😭😭 very emotional but great message and was well delivered . I love you mama always ❤❤❤
@martinmsafiri2260
@martinmsafiri2260 Жыл бұрын
Umenitingisha BUKUKU,wimbo wako umenijia tu kwenye list u-tube hata sijawahi kuujua kama upo! Naona bora niufowadi maana unanifanya nishindwe kufanya kazi,unanifanya nianze kufikiria mengi.nasema tu, hembu uniache kwanza!
@doctoramos3079
@doctoramos3079 Жыл бұрын
I love the way bahati has been teaching me new things all times. This is direct talent from God. Always be blessed.
@euniceatieno5313
@euniceatieno5313 Жыл бұрын
I miss my mum
@beatricekapufi5667
@beatricekapufi5667 Жыл бұрын
Pumzika kwa amani mama yangu kipenzi
Bahati Bukuku - Dawa Yangu (Full EP)
23:15
Injili
Рет қаралды 35 М.
Bahati Bukuku - Picha ya Mama (Official Music Video)
8:21
Bahati Bukuku
Рет қаралды 1,9 МЛН
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 7 МЛН
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 32 МЛН
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 21 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 2,3 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /49/ #love
25:53
BabaJoan
Рет қаралды 110 М.
Bahati Bukuku - Sitaki Lawama (Official Audio)
8:58
Bahati Bukuku
Рет қаралды 257 М.
EMANUEL MDOE ft BAHATI BUKUKU -   UPENDO (official audio) 255755979789
6:07
Pastor Emanuel Mdoe
Рет қаралды 23 М.
Bahati Bukuku - Sitaki Tulaumiane (Official Music Video)
8:48
Bahati Bukuku
Рет қаралды 1,7 МЛН
Nitafika Tu
5:21
Maggie Muliri - Topic
Рет қаралды 9 М.
BAHATI BUKUKU MAAMUZI
11:58
Elijah Njenga
Рет қаралды 8 МЛН
Top Gospel Songs by Bahati Bukuku : African Gospel Songs Swahili
1:34:20
Bahati Bukuku
Рет қаралды 2,6 МЛН
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 7 МЛН