Ni Bakhili Qaswida iliyotungwa na Ustadh Ali Alhaidary na kuimbwa na mwanafunzi wake Sayyid Zein Izzudin
Пікірлер: 17
@KhalidAli-zi3re Жыл бұрын
Allahumma swalli wasallim aleyhi
@kingofshorts6824 Жыл бұрын
Allahuma swali ala Muhamad habiballah shafiyalah rasululah
@fathisomo4752 Жыл бұрын
Mashallah
@thecutestgirl2153 Жыл бұрын
Mashaallah mungu akuzidishie
@callmeabubax Жыл бұрын
Masha Allah mwanangu Allah akujaalie uzidi kuendelea mbele. Akuhifadhi na kila Baya.
@swabirattwas6796 Жыл бұрын
S.A.W .💯🥰❤MASHA ALLAH ❤💯🥰
@Ibn.Ba3alawy_007 Жыл бұрын
Maa shaa Allah mwenye 🔥🔥🔥
@alialhaidary3123 Жыл бұрын
Maa sha Allah... Hongera kwa Al ihsaan na kwa zein Izzudin kijana aliejitolea kudhihirisha mahaba yake kwa mtume... Allah akikuze kipaji chake na ainue channel hii ya Al ihsaan... Na mimi faqir naona sharaf kuwa nimekuwa mtunzi wa qasida hii na haya yote ni kwa bidii ya mwanangu mwanangunzi wangu Zein Izzudin Alwydiin Jamalulleyl