Yaani nchi imeshajiloga yenyewe.imani inazidi kuzimwa
@neemanziku5403Ай бұрын
Ni kweli kabisa Yan ukiandika jina tu bas hii Ni hatar😮
@chezariboyАй бұрын
Askofu sema baba,, NI HERI MTENDADhambi anaehuniri kuliko MTAKÀTIFU Aliyenyamaza hata maovu yanapotawala ,,,ni vipofu wa uelewa ktk akili wanaoweza kukuona hufai japo walipaswa wakuige ktk kazi ya utumishi mwema unayoifanya ,,machingaji mengi yalishakuwa ni mambwa Bubu mbele ya waovu. Ubarikiwe mchungaji askofu MWanamapinduzi.
@fredgonga29 күн бұрын
😅😅😅 maruhani na majini yamepanga foleni kujiandisha 😅😅
@RajabuMussa-h5nАй бұрын
Kweli wanafunzi chini ya miaka kuminanane wameandikishwa kila mahali
Ni ujaambazi mkubwa kwenye uchaguzi nchini sijui mwisho utakuwaje ni hatari uongo uzandiki na dhuluma kubwà naisiktikia nchi yangu ole wako mama Tanzania haki imekufa kabisa toka 2019
@comsmkemwa2671Ай бұрын
Mlio karibu na huyu jamaa, mwambieni aheshimu matumizi ya herufi L na R, panapostahili, na pia sio UMULI ni UMRI, 😏
@charlessomeke8992Ай бұрын
Njoo bariadi ,simiyu,meatu mtu yupo la sita ana mke
@michaelmaziku991Ай бұрын
Kuwa na mke sio kuw km unahaki ya kupig kura kanuni zinasema lazma utimize miaka kumi na minane
@michaelmaziku991Ай бұрын
Sio kocha tu askofu hata akiletwa tena kayoko hatukubali
@victorkisenha5933Ай бұрын
Askofu umechambua vzuri, mwenye masikio haambiwi sikiliza,
@melichmahingule2896Ай бұрын
Kwanza wamekosea, inabidi waandikishwe hadi watoto wa mwezi mmoja,, halafu hii nchi mngewaachia tu ccm watawale milele, nyie wapinzani upinzani wenu ni wa kimagumashi, wapinzani wazuri ni wale wanaochukua nchi kwa bunduki, nyie ni hewa, mtapiga kelele milele hamuwezi kuipata hii nchi, siku mkipata hii nchi niiteni mbwa nimekaa pale😢😢😢😢😢
@fidelludemwa7223Ай бұрын
Yani chadema ni vichekesho haya maigizo harafu ukawape nchi kweli angalia huyu kichaa anatofauti gan na mateja hilo kanisa jamani nendeni mashuleni lakin hamtashinda
@SylvesterMakenzieАй бұрын
Wew chawa la CCM utaelewa nn mpumbavu mmoja
@frankcharles398025 күн бұрын
@fidellumwa...KICHWA HASARA PORE SANA PUMBAVUU
@NgendandumweAlouiseАй бұрын
Pigeni fimbo samia na miwani yake shenzi sana
@levissanga8867Ай бұрын
Huyu sio kichaa. Kanusha kwa hoja
@MginaFiloteusАй бұрын
Acha ujinga huwezi kuingia uwanjan hali ukijua waamuzi wanatoka upande mmoja😊
@MbokaRechadiАй бұрын
CCM mme shindwa kulinda watu ! kwa nni nyinyi viongozi mnataka kuogopwa na watu badala kuwa saidia watu
@AlexMlabaАй бұрын
Usalama wa Taifa unafanywa KAZI gani kama wanaandikishwa hata watu wasiokuwepo
@SalvatoryMtungaАй бұрын
Pumba huyo, uaskofu wa kujibandika.
@georgempogomi7329Ай бұрын
Kama wameuza bandari kuiba uchaguzi ni lazima uovu ni sera sahihi ya CCM
@SeveriniPeterMkiniАй бұрын
Kesi ya akina Ananilea Nkya chukuweni hoja hizo kuhusu kasoro zilizomo kwenye Daftari la kuandisha wapiga kura. Mwaka wa kuzaliwa ni lazima uandikwe ! Mtaa na namba ya nyumba anakoshi mpiga kura lazima ijulikane ! nk.waliofanya Hayo wachukuliwe hatua Kali, kwani hao wanachezea Kodi za raia pasipo sababu.
@GodfreyOswardАй бұрын
Hoja mahakamani Zina utaratibu wa kuziwakilisha labda kufungua kesi mpya.
@fidelludemwa7223Ай бұрын
Huyu m askifu nikichaa hadi majini waumini wake nawapa pole wanaongozw na kichaaaa
@sophiemsuya6507Ай бұрын
Mh. Askofu huo sio ujinga Bali ni MUNGU ameamua kufunua uovu huu. Wakristo tunaamini kuwa tunaishi nyakati za mwisho kitabu Cha ufunuo. Hapatasalia jiwe juu ya jiwe ambalo halitaondolewa. Tuendelee kuomba zaidi.
@frankminga9307Ай бұрын
Ccm ni laana inaitafuna nchi hii
@AlexMlabaАй бұрын
Nchi hii haina usalama wa Taifa wala usalama wa kijiji ila inausalama wa ccm
@musa-v3fАй бұрын
Askofu Mwanamapinduzi kwa hivi sasa CCM wanawatumia wanafunzi kupiga kura ktk maeneo kadhaa maalum hapa DSM kwa ajili ya kuziingiza siku ya kupiga kura. hao wanafunzi na watu wa ziada walioandikishwa hawatajitokeza siku ya kupiga kura isipokuwa majina yao yatatumika kupigiwa kura na kuwekwa kwy mabox wakisubiri muda wa kufungua kituo ufike wayaingize huku majina yao yakiwa yameshatikiwa kuwa wamepiga kura..hii ni NYETI na SIRI kutoka kwa mtu wangu ndani ya CCM
@OttoChiduoАй бұрын
Hiyo ni kutia chumvi tu ! Majini yanaandikishwa vipi kupiga kura ? Yanatoka wapi ?
@muharamijuma1569Ай бұрын
Uchizi unakuanza HILO BUNGE LIMECHAGULIWA NA NANI ? HALAFU UNAJÌITA MCHUNGAJI !!!
@melch3097Ай бұрын
Kuna siku tz itaongonzwa, hata na watu kutoka burundi rwanda au nchi yeyote, watu 60m, tumekua wajinga