Balozi wa Marekani Ashindwa Kujizuia mbele ya Kardinali Rugambwa, Nimepewa Habari na Masista

  Рет қаралды 4,742

Jugo Media

Jugo Media

Күн бұрын

Пікірлер: 7
@SylvanusNgutse
@SylvanusNgutse Жыл бұрын
Powerful speech
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
GENGE LA WAHUNI KATKA AGENDA ZAO
@hijazhija316
@hijazhija316 Жыл бұрын
🌈
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi Жыл бұрын
Unaipeperusha kijanja kama kama afande Rm😅😅😅
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 Жыл бұрын
Haya ndio Mambo anasema Prof lumumba balozi wa marekani anatafuta nini hapo na kwanini aongee angekuwa mtazamaji tu. Dini zinatumika kuendelea kututawala. Ni aibu kwa mwendo huu tutakuwa watumwa milele uwe mkristo au muislam.
@tumusiimeomukama3151
@tumusiimeomukama3151 Жыл бұрын
Be postive, au acha kutumia Simu kwamaana haijatengenezwa Afrika.
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 Жыл бұрын
@@tumusiimeomukama3151 Jielimishe siwezi kuacha kutumia simu kwasababu bila ya Africa hakuna simu wala computer, Tatizo ni watu kama nyinyi mnaofikiri mzumgu ndio amegundua kila kitu. Tukiamua tunatengeneza kila kitu ila viongozi wanatuangusha pamoja na hao wadini. Hata dini tulianzisha watu weusi lakini picha za yesu ni mzungu na Mohamed ni mwarabu. Kuna mambo mengi tunafanya au tulifanya watu weusi. Amka babu bado umelala.
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 74 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 37 МЛН
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 12 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 275 #shorts
00:29
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 74 МЛН